Quillian made it kwanza hiyo organ🔥🔥looking forward for some good lessons 😂
@elipendodavid1773Ай бұрын
Nimefurahi kumuona huyo dada alieimbisha furaha gani ni wa muda mrefu neema gospel na still sauti yake ni🔥🔥
@masalugusessa3702Ай бұрын
Hata mimi kanikosha ❤
@elizabethmasolwa9675Ай бұрын
Hata mm amenibariki nampenda Sana ❤, Dada Tabitha
@EuphrasiaNtawatawaАй бұрын
Hakika na mimi amenikumbusha enzi zille za nyimbo hiyo ya shangilieni,nimebarikiwa sana
@UshindiGwivaha-y5y29 күн бұрын
Watoto wa 2000 hawakuelewi😂😂
@janethdavidsanga599928 күн бұрын
@@UshindiGwivaha-y5y😅
@sillaskisotta739810 күн бұрын
Musicians understood the assignment 2:02🔥🔥
@henrybaraka525815 күн бұрын
Mbarikiwe....wimbo wa SHANGILIENI...Ikiwezekana uimbeni wote....yaani beti mbili zote umenoga sanaaaa......
@christislord1360Ай бұрын
Mwaimba kama wa Tanzania wa kale😢❤❤❤. Jamani tulikua tume miss uimbaji kama huu❤❤❤❤
@masalugusessa3702Ай бұрын
Yaani imebamba kwakweli
@miriamkusula8166Ай бұрын
Dear my kids.. this was our best music we used to listen..😂
@RachelNgalya27 күн бұрын
😂😂 okay Mumy
@TheWorldGospelАй бұрын
NI FURAHA GHANI TUKIFIKA MBINGUNI?! Ni shangwe Na nderemo tu . ❤, Weka likes 🌍🇰🇪🇹🇿👍🔥🔥
@MutuaMusembi3 күн бұрын
Kepha hiyo flute ni kali bwana💥🔥🔥🔥🔥
@PascalChales-r7oАй бұрын
Tunashukuru mungu kwa neema ya kuifikia siku ya talehe 25/12/2024 ni kwa neema tu WANGAPI wamelazwa sisi ni kinanani ni neema tu 😢 (AMEN 🙏)
@BoniphaceManjekaАй бұрын
Back in days Tumaini Shangilirni and Upendo St james in VHS 👏👏👏
@miriamkusula8166Ай бұрын
Kale ka feelings ka furaha gani mimi nipo aiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉…’akiiii masanjaaa mtaniua😂😂😂
@WinfridaJoshua29 күн бұрын
Daaaa hongereni saaana,ivi unaanzaje kumwacha yesu maburudani kama yote.
@careenjones6971Ай бұрын
Still the original hits to the core. Good jod thou
@witneyjerry2587Ай бұрын
Nakumbuka miaka hiyoo shangilieni Arusha moja
@JudithAdonisАй бұрын
Yeah ❤
@neemamsuya23829 күн бұрын
My lovely sis Tabby Mungu akubariki sanaa Muongezewe furaha na Yesu mwenyewe🥰🥰
@noelmarapachi1808Ай бұрын
Shangilien ni wa Tumaini Choir na Furaha gani ni wa Upendo Choir zote za ni za kanisa hili hilo moja la St. JAMES kaloleni
@ShaddyMayieka25 күн бұрын
The awesome flashbacks" I get when listening to this😁😁😁.
@TapuwaAlishdambaАй бұрын
Perfect christmas present from NGC❤🎉😊
@UshindiGwivaha-y5y26 күн бұрын
Uyu Dada aloimbisha mwanzo apo mwanzo Ana sauti nzuri
@adonis9664Ай бұрын
Nimekumbuka mbali sana hii nyimbo 2002
@winniemukami585125 күн бұрын
I was in class 2
@danielmnyagaАй бұрын
On repeat 🔥 Keep on blessing our lives Neema Gospel Choir
@gladnessshola2718Ай бұрын
Hallelujah! 2000's sio rahisi kuelewa 😅😅🎉🎉❤❤
@MeckMagangaАй бұрын
@@gladnessshola2718 tunaelewa vizuri tena sanaa
@neemamabeleАй бұрын
Watulie😂😂😂
@yohanaraphael192229 күн бұрын
2003 kaloleni arusha Anglican nilikuwa nasali hapo
@pendosenya250929 күн бұрын
Kabisa, vitu adimu sana kupata siku hizi
@joshualazaro318128 күн бұрын
Wenye D mbili Tunaijua hiii😂😂😂
@NellieNaisola-h5k21 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@sheilahmamisi3728Ай бұрын
Weeee!! It brings back the good child hood memories,what a beautiful combination..
@andrewmatheka974917 күн бұрын
asanteni sana Neema choir changombe, nyimbo za miaka za nyuma hizo.
@lizzybethmlaki4531Ай бұрын
Furaha gani wapendwa tukifika kwa Mwokozi 🙏🔥
@minsulwe16 күн бұрын
Nampenda sana yule mama huwa amesimama right side juu. Naona this time ameshuka chini mbele. God bless you Mum ❤
@byaombembella5585Ай бұрын
Asante Kwa Zawadi nyingine Leo kiukweli Kila Niki sikiliza nyimbo zenu kila wakati Imani yangu unazidi kuwa kubwa 🇰🇪🇰🇪🙌🙌
@ianjesse852511 күн бұрын
Powerful praise song
@emmanueljohn7Ай бұрын
Huu Wimbo mkali sana kwanza Nimefurahi kuona Aunt yangu Thabisa Kakumbukwa jamani kitambo sana
@MasikaGloria-j2d21 күн бұрын
Amen God bless you all ❤❤❤❤❤❤❤
@samwellupimo1125Ай бұрын
THABITHA tangu enzi za KANUMBA ❤🎉🎉 WE LOV YOU SISTER
@RodaBokeАй бұрын
Hii ni siku ambayo Dunia nzima ina sherehekea
@KefrineKiregi-r7xАй бұрын
Tumepewa mkombozi alie Acha enzi mbunguni kwa ajiri yetu ni furaha kubwa hakiki tushaangilie barikiweni saaaana ❤❤❤🎉🎉🎉
@HenryMhande25 күн бұрын
Tabitha 🔥🔥🔥❤
@HelenaLimbu-c6o25 күн бұрын
The kids 🔥
@isackobadiah484Ай бұрын
Mungu Azidi Kuwabariki Kwa Kuendeleza Kutoa Nyimbo Nzurii za Kumtukuza Mungu.!👏👏🙏🙏
@sundaystanley532229 күн бұрын
Kwa kweli neema gospel choir mpewe maua yenu,mnajua kutubariki kwa kweli,watu wa music huu wimbo mmeitendea haki,nilitamani muendelee hata kwa sekunde 30 tu
@bensonmwaikuju9226Ай бұрын
Safi sana! Mmeshindwa kupiga muziki kama vile vile jamani, mmenidis hapo bwana! Nawaaminia vijana wangu
@deborahfaustine1501Ай бұрын
Wow wow wow Hakika amezaliwa Shangweeeee Mungu awabariki sana
@silaskatola959029 күн бұрын
Wow! When gospel was gospel,good work
@AndreasKlein-p5k29 күн бұрын
❤❤❤Am so happy ❤❤❤ so precious and I appreciate it very much
@christinachriss923128 күн бұрын
I love the way you included the little girls. Ni pando jema ❤
@telengoboy6 күн бұрын
Nice tribute
@annamussa18529 күн бұрын
Nimefurahi kumuona Dada mweupe mwenye mwanya muimbaji wa zamani wa Neema Enzi za kanumba waliimba pamoja ni zawadi kwa Neema mtunzeni sana ❤❤❤❤❤
@noelmarapachi180829 күн бұрын
@@annamussa185 ni wa muda mrefu sana huyo dada, alikuwepo tangu Kanumba bado anaimba kwaya miaka ya 90 mwishoni
@archkitenge522328 күн бұрын
Jina lake tafadhari
@noelmarapachi180828 күн бұрын
@annamussa185 una kumbukumbu nzuri sana, kabla ya kujaga Neema Gospel, alikuwaga mwanakwaya wa AIC Magomeni akiwa bado binti mdogo sana na ni mwanafunzi, nafikiri kuhama kimakazi kuka mleta Neema Gospel, ni Muimbaji mzuri sana
@noelmarapachi180828 күн бұрын
@@archkitenge5223 anaitwa Tabitha
@archkitenge522323 күн бұрын
@@noelmarapachi1808 jina lake tafadhali
@JosephMwashu-c7h28 күн бұрын
Kwa kweli Mungu awazidishie tuingiapo 2025
@jaymeeky770428 күн бұрын
Nawapenda sana
@joasitz955926 күн бұрын
Mungu awabariki sana, wimbo umetulia. Amen Yesu azaliwe mioyoni mwetu
@emmanuelmusyoki3836Ай бұрын
You guys are so cool🥹♥️
@Alex_SeshАй бұрын
Kama wrwe ni GenZ huwezi elewa huu wimbo chibuko lake❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@EmmanuelMadelemАй бұрын
Asent God kwa neema na uzima na afya sisi no wakinana mpaka kufika 25/12/2024🎉🎉🎉
@MunezeroParfait-hx4ch28 күн бұрын
Amena balikiwa sana
@innocentchristopher7571Ай бұрын
Kitambo San neema mnajua kucheza na muda
@christinachriss923128 күн бұрын
Feeling so nostalgic today 😢
@MonicaNjoroge-e2iАй бұрын
Muwe na Krismasi njema na mwaka mpya wa 2025,Neema Gospel Choir.
@archkitenge522328 күн бұрын
Well balanced song with the instruments, light, voice just amazing, this is the real heaven feel
@Sumadaniel-sw7quАй бұрын
Hii choir nawapenda sanaaa♥️🙏🙌 Mungu azidi kuwainua kwa viwango vingine amen ♥️🙏
@zakariaphilemon8275Ай бұрын
hii songi nipambe hasa hasa hapo kwenye NTI NTI NTI NTINTI NTI NTI NTI NTI NTI watu weweeeeeeeeee
@kilianmtotowamungu3885Ай бұрын
Nakumbuka nilikua na hizi nyimbo alileta baba yangu ,kipindi cha VHF
@jonathansouza-b3rАй бұрын
Wow another hit ,live from SA 🇿🇦🇹🇿
@MarimMapunda22 күн бұрын
Waooo
@aderanderwa7623Ай бұрын
Ila hawa sio wenye wimbo huu wimbo nilisikia zamani sana hata sauti sio
@yohanakuziwa5892Ай бұрын
Ni WA tumaini choir shangilieni st James Arusha
@manasesimong815929 күн бұрын
Hadi hapo wameshafanikiwa tayari, mana lengo lilikuwa kukuletea hiyo kumbukumbu ya zamani, uipate feeling leo/kisasa.
@bentamoj737729 күн бұрын
Wow! 🔥
@moseskibe3146Ай бұрын
Safii
@SylvierMugureАй бұрын
Mmeufurahisha moyo wangu jamani
@MugishoJosueBashombanaАй бұрын
🎉🎉🎉🎉
@DavidChananjaАй бұрын
Leo natak niwe wa kwanza kui view
@MargrethMagashiАй бұрын
Waiting.... Wuuh wuuuh
@juliuswisalah9183Ай бұрын
Nakupenda Tabitha🎉 leaders Mungu awabariki, Kazi nzuri 🎉
@tabitherrichard4531Ай бұрын
Amen ahsante Sana
@miriamkusula8166Ай бұрын
Nimependa jinsi walivo advocate another church kwa kuimba nyimbo zao .. the body of christ
@christophernyongeja8584Ай бұрын
Aminaa amezaliwaaa..shangilia..simba wa Yuda ..
@TheophileGraceАй бұрын
Mungu awabariki wa mamajusi🎉❤
@EMMAMEDIA-h1c27 күн бұрын
Asante sana nimefurahi
@christopherngiga9349Ай бұрын
Zamani nyimbo zilikuwa zinatungwa kweli maana mpaka Sasa hata usipi ziboresha Bado ni Kali tu.
@MeckMagangaАй бұрын
First comment
@SakinaMbeziАй бұрын
Mungu wa Mbinguni awabariki sana 😘😘
@JOCLED28 күн бұрын
Mpangilio wa sauti no top notch
@DenisNdoroАй бұрын
Wow
@dennisevaristАй бұрын
2 in 1 , zawadi ya Christmas 🎄
@Amina-o7x1hАй бұрын
Nawapemda nyie nawapemda Sana vijana wenzangu nguvu moja roho moja Nia moja💪
@modestamodesta3940Ай бұрын
Mungu awabarik ndugu zang nataman na mm sku moja niimbe kma nyie mungu nisaidie❤❤🙏🙏💯✅
@ceciliaathanas3135Ай бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri.Sisi sote ni taifa la Mungu
@HazinNgoy-fr6czАй бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥 amina 🎉🎉🎉🎉🎉
@HappyNkemboАй бұрын
Waooooo mzidi kubarikiwa neema gospel!!
@farajahezayi8468Ай бұрын
Heat 🔥🔥🔥🍽️🍽️🍽️🍽️🍽️
@SiscaJosephАй бұрын
Jaman shangwe🔥🔥🔥
@marthastanley7608Ай бұрын
Njia ni Yesuu
@aloycejames4862Ай бұрын
🔥🔥🔥 Hakika nuru imetuangazia
@JanethJuma-e6nАй бұрын
I like it mdogo Wang neema ujaniangusha❤ nawapenda sana❤❤
@masalugusessa3702Ай бұрын
Joyous celebration wangekuwa na huyu dada wangetamba nae sana ....... ana sauti iko na quality ya juu sana
@michaeljohnjmalonja6434Ай бұрын
safi sana mmenikumbusha mbalisana❤🎉🎉🎉
@petersonnyaga9168Ай бұрын
Amen choir ya baraka..
@lovenessshore6752Ай бұрын
Mzidi kubarikiwa , Marry Christmas and Happy New year in advance 🎉
@juliusmacha2259Ай бұрын
Nimeingoje hii nyimbo since 2023. Hongereni
@fredrickrenatus8186Ай бұрын
NGC 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥
@edisonngaizaАй бұрын
Mary Christmas❤❤❤
@denilsondenis399029 күн бұрын
Hahahaha Mlichokifanya kwenye Altor/sauti ya pili😅😂 bigup sana......