MBINGUNI ITAKUAJE LYRICS. Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashangilia kwa Baba Imba kwa Baba itakuaje? Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashangilia kwa baba Imba kwa Baba itakuaje? Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashangilia kwa Baba Imba kwa Baba itakuaje? Mbinguni itakuaje? Kwa Baba itakuaje? Tutashingilia kwa Baba Imba kwa Baba itakuaje? Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Hakuna njaa Hakuna giza wala kiu Ni kuimba milele Na kumuinua Bwana Just imagine How we gonna dance Just imagine How we gonna sing Hossana Just imagine How we gonna dance Just imagine How we gonna sing Hossana And music gonna sound We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in His presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana Tutaimba mbele zake Na kucheza mbele zake Mbele za Bwana, mbele za Bwana We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised We gonna dwell in his presence Praise his Majesty Because he is the Lord And he is worth to be praised
@Beny_Daniel3 ай бұрын
Amen amen 🙏
@myself-ed9kl3 ай бұрын
I feel blessed ❤❤
@Beny_Daniel3 ай бұрын
@@myself-ed9kl Amen
@JevestinaJames3 ай бұрын
Mbarikiwr Sanaa neema gospel......zaburi 100:2 ......your really doing God's work🎉🎉🎉
@mariamuna47893 ай бұрын
just imagine how we gonna dance🔥🔥🔥🔥
@PauloJulius-uq8mi3 ай бұрын
Daah sijui ni kwanini Mimi kila niki Comment sipati hata like 😥🤦😭🙆🙆
@ellymwasalemba48743 ай бұрын
😂😂 ila watu tuna matatizo 🙌🏾😂
@rachelsenni89193 ай бұрын
Hiyo hapo mpendwa
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
✅️✅️✅️💯
@MichaelMgallaTz3 ай бұрын
Nasikia raha tu Katika YESU sijui wewe mwanacommet mwenzaa
@mariamawazo93053 ай бұрын
うぇ
@jesusislord50453 ай бұрын
I hope to meet you guys in heaven!. Kama unaamini utaingia mbinguni gonga like hapa❤🙏
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏
@samwelcharles41343 ай бұрын
Haya jaman nimewahi na Mimi nipeni like zangu za kutosha.❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@moviesclips57593 ай бұрын
Like za nn mwanaume
@samwelcharles41343 ай бұрын
@@moviesclips5759 kwa utukufu wa MUNGU tu ni moja ya kupenda nyimbo Hadi nimechanganyiwa na neema gospel 🤣🤣🤣🤣🤣
@mcharvey35783 ай бұрын
Za kazi gani sasa
@samwelcharles41343 ай бұрын
@@mcharvey3578 wewe Sasa maswali kibao ebu tusikilize kwanza mbinguni itakuaje!😊😊😊
@happinessandrea21183 ай бұрын
Nataman nifike jamani,,,eeh Yesu umkumbuke kila atakae soma comment hii siku moja tukutane mbinguni,,,Kwa Yesu yote yanawezekan
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@matendomedia3 ай бұрын
TULIORUDIA ZAIDI YA MARA 10 GONGA LIKE HAPA.
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mosesphares61012 ай бұрын
kila siku nausikiliza
@Christinah3013 ай бұрын
Mbinguni itakuwaje wow Kenyans🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mko wapi come here we show some love 😘 likes zikam
@psalmistjosephsnr73923 ай бұрын
Im telling you. It's really a thrilling and an enthusiastic gospel music hits. Twende kazi wadau🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PaulineMajengo3 ай бұрын
A quality Misic, HAWANAGA KAZI MBOVU KAMA NA WEWE UNAAMINI HAWANA KAZ MBOVU NA WANAKUBARIKI SANA KWA VIWANGO VYA JUU,,USIPITE BILA KULIKE
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu🙏🙏🙏
@poh-beyz18603 ай бұрын
Mungu anataka mziki mzuri na mziki mzuri ndo huu acha utukufu mrudie YESU
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Hakika🔥🔥🔥
@nickyamani74023 ай бұрын
Wapi likes za Kenyans Suppoters ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BeritahWambani3 ай бұрын
Ameen natamani siku moja.niwe miongoni mwa wale watakao onana na bwana🎉🎉❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@PeterAnyimikisyeKalinga-ou5so3 ай бұрын
Kwa wale wote mnaotegea kumchezea Bwana hapa duniani niwape tu pole, Mbinguni itakuwaje maana tutacheza na kumwimbia Baba yetu
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Hakika🔥🔥
@davidkomba97813 ай бұрын
Ko neema gospel hule wimbo tunao uomba kila siku mmegoma kuutoa kbsa Najuua mnaujua, mnaimba hivi kama dhahabu ipitishavo katika moto huo ss
@humphreypeter56413 ай бұрын
Hio nyimbo hata haijarekodiwa wala kufanyiwa live record kua mvumilivu ndugu
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Tunaomba uvumilivu wako tunalifanyia kazi ombi lako🙏
@elishabatromayo18923 ай бұрын
Wacha Mungu apokee utukufu Kwa kazi nzuri na yenye kubariki sana Mungu aendelee kuwainua viwango vya world Mbinguni hii lazima tukaicheze
@christinebeulaАй бұрын
I like the way hao watoto wanacheza ,,,jameni wanaitwa kina nani nawapenda sanaa❤❤
@SEPHTECH3 ай бұрын
Mungu awabariki Sana Neema Gospel nawapenda
@EliasafiEliapenda-px3ss3 ай бұрын
Oooo hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah niliisubili sana . Tutashangilia kwa Baba ,Imba kwa Baba,
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Hakika itakuwa 🔥🔥🔥
@kilangiih3 ай бұрын
Another new hit in town ase 🎉Tutashangilia,tutaimba na kucheza aisee sipati picha Mbinguni itakuaje 🤔... Haya tukutane hapa 🇹🇿🇷🇼🇰🇪🇺🇬🇺🇸🇹🇹🇹🇷🇹🇴🇹🇳🇺🇿🇸🇸🇸🇷🇸🇴🇸🇲🇸🇱🇸🇰🇸🇧🇸🇨🇸🇩🇸🇪🇸🇪🇷🇺🇷🇼🇸🇦🇵🇭🇵🇫🇵🇪🇳🇬
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Hakika mpendwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@farajahamis18383 ай бұрын
Basist Mungu akubariki
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@benjaminmutua79063 ай бұрын
My best Kiswahili choir
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Wow☺️
@TapuwaAlishdamba3 ай бұрын
You can say that again
@benjaminmutua79063 ай бұрын
I love this song; Mbinguni Itakuwaje?❤
@gracenyakaninign20443 ай бұрын
Team Kenya.. please like ❤❤❤❤❤❤
@kalamuyangu13 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu pekee aliyeweka kibali ndani yenu NEEMA GOSPEL CHOIR
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu
@brandsmedia48613 ай бұрын
NIMEKUBALI WAKUU hii Choir ni Next seriously Levels
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Glory be to God 🙌🙌
@MinzaMadilo-zf5yl3 ай бұрын
Mbinguni itakuwa shangwe ,tutapewa mwili mpya na Bwana tutaimba bila kuchoka ❤❤❤❤❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Just imagine 🔥🔥🔥🙌🙌🙌
@BlackViper-x8d3 ай бұрын
FROM KENYAAAA nyinyi ni wanareee Noma sanaaa
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@gracenjogu89583 ай бұрын
Much love from 🇰🇪
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen ❤️❤️❤️🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@AmosKomanya3 ай бұрын
Mungu aendelee kuwatunza Watumishi wa mungu hii nyimbo ni hit 🔥🔥
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@ambindwilehosea68373 ай бұрын
Amen hapana kiu wala njaa kwake nikusifu na kuabudu milele hallelujah sifa kwa Yesu
Nabarikiwa mpaka Nawish siku hiyo ifike amen sana barikiwa sana Neema gospel
@josephezekielmasolwa82832 ай бұрын
Hawa jamaa mziki wanautendea haki kweli kweli. 🎉
@chemutaijaneth5683 ай бұрын
Itakuwa raha ilioje❤
@nyanduva3 ай бұрын
Hakika i can't imagine mbinguni itakuwaje. My favorite song..💃💃💃
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@AgnesThomas-zr7qc3 ай бұрын
nawapenda sana ❤❤❤
@ElizabethBunga-y8p3 ай бұрын
Amina Mungu tusaidie tuione mbingu yako uliyotuandalia
@EstherSalla-l4d3 ай бұрын
Wimbo mzuri sana hakika sijui itakuaje tukifika
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@Johnny-s5x8d3 ай бұрын
Bella !!❤aiii Wacha Mungu akubariki milele Nakupenda sana belle❤
@laurawiraka81763 ай бұрын
Uabudiwe ee mungu 🙏🙏 wangu 🙏
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@Collovoz3 ай бұрын
mwanibariki sana nkiwa Kenya. Mungu azidi kuwatumia🎉🎉
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🙏🙏🇰🇪🇰🇪
@EzekielDismass3 ай бұрын
Mmmhhhhhhhhh hiyo outroo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥
@IsayaMorange-wb5ek3 ай бұрын
Always your the best in East Africa, more greetings to Brother Fredrick Masanja
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥👏👏🙌🙏
@emanuelmwanakadudu9553 ай бұрын
Naipenda sana hii vibe katika roho na kweli mbele zake, on Earth and in heaven forever!!
@SamwelDaudi-qj7js3 ай бұрын
Hongereni sana Neema Gospel Mungu awainue kutoka utukufu hadi utukufu🎉
@MariamKibyaji3 ай бұрын
I'm blessed Mungu aendelee kuwatumia❤❤❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@RoyMunene-gk5qu3 ай бұрын
Basss guitar nomaa
@robertisack48863 ай бұрын
Jamani naipata picha ya mbinguni sijui itakuwaje, Asante Mtu kutukumbusha tuache dhambi..
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@Pauloedwad-ug9xo3 ай бұрын
Kwaya yangu ya moyoni na damuni kabsaa nawapenda mnooo ❤❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Tunakupenda pia🙏🙏❤️
@MEDIAJUMA3 ай бұрын
Greatest Choir of all time 🙂 classic levels and unic
@esese8483 ай бұрын
You have inspired many through your songs Neema choir keep inspiring many all over the world @# Dr. Mahalila receive my greetings all the way from Kenya more love.
@Mahalila-jd6hq3 ай бұрын
❤❤❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Glory be to God🙏🙌
@VictorMuuo-j4r3 ай бұрын
Imekua ni mwaka ndio kungoja hii😢 ❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Ubarikiwe sana subira ya vuta heri🙏🙏
@kipkiruigillie43323 ай бұрын
Papa Freddie masanja ,kepha mndeme, Andrew Michael, bassist and the drummist and huyo kaka wa Aux 2...nyie mko fireeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥jameeni Doing great work from Kenya 🇰🇪 Moore love watu wa mungu
@EmmanueliSimpemba-p2z3 ай бұрын
What a arrangement music; vocals aiseee 🔥🔥 Mpiga bass kunywa soda nalipaaa 🔥🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Wow utukufu kwa Mungu🔥🔥
@MinisterDieumerciofficial3 ай бұрын
Hatuna shaka ndaniya yesu tuko salama,, blessings fellow saints.
@maselemusic86573 ай бұрын
Mligwa shikamoo 🙌🙌🙌
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🙌🙌🙌🔥
@MussaSmano-v1c3 ай бұрын
Watumishi wa Bwana Mungu awabariki sana! Niwaimbie kitu watumishi wa Bwana, mtafika mbali naona uamsho mkubwa sana wa watu kuokolewa na kumjua Mungu kupitia nyinyi.kikubwa Mungu awe mkuu kuliko chohote mtafika mbali sana!!! Ahsante nawapenda katika kristo Yesu. Ameeen!!
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu, Mungu akubariki sana endelea kuombea huduma yetu🙏🙏
@MussaSmano-v1c3 ай бұрын
@@NeemaGospelChoirAmeeen!!
@dominiclikumba99063 ай бұрын
Huu wimbo ni taswira kamili ya mbinguni... Kazi njema❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@fadhilidanieli14783 ай бұрын
Hamnaga kaz mbovu
@liliannduta32213 ай бұрын
Neema gospel choir needs to make a tour in kenya please ....your songs really blesses me🙏🙏🙏
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen, keep praying for this🙏🙏
@RehemaMissinzo3 ай бұрын
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉, mungu endelea kutukuka zaid sifa nizako shama
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@Steven-e7u8u2 ай бұрын
Waohhh!!!! Congratulation
@janemadulu14373 ай бұрын
Finally ❤,wimbo nmeusubiri Sana ,mbarikiwe nawapenda
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@jemachenga93623 ай бұрын
Aiseee yani naangalia huku natabasamu peke yangu ,hamjawahi niangusha Nyie watu nabarikiwa sana
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu 🔥🔥🙌
@masebomusic3 ай бұрын
❤ this is Neema Gospel Choir 🎉🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen, Glory be to God, urudi sasa🙏
@TapuwaAlishdamba3 ай бұрын
@@masebomusic Neema Gospel Choir it is🔥
@masebomusic3 ай бұрын
@@NeemaGospelChoir siku sio nyingi 😔🔥🔥🔥
@kempsinternational77423 ай бұрын
Moto ni mkali sana,you are very blessed my fam.
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
To God be the Glory 🔥🔥🔥
@yusuphdeogratius10363 ай бұрын
Ni kusifu milele❤❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥
@evakatani6363 ай бұрын
Nice song , blessed up guys 🙏
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen🙌🙌🙌🙏
@santebnassaryrabi22383 ай бұрын
Mbinguni itakuaje tutashangilia kwa baba
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@marymrefu40963 ай бұрын
❤❤
@imaniandrew50093 ай бұрын
neema gospel is the best of the best
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Glory to God 🙌
@LovenessNdosi-z5n3 ай бұрын
God is good always
@PeterBenard-yu6gd3 ай бұрын
Mbarikiwwe sana watumishi wa MUNGU kazi zenu ni njema sana ❤️❤️❤️
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@devothasanga2023 ай бұрын
We gonna dwell in his presence praise his majesty because he is the lord and he is worth to be praised❤❤🎉
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🙏🙏🙏🔥
@HealingWorshipTeam3 ай бұрын
Moto moto ndugu zetu mbarikiwe kwa wimbo wenye nguvu na uzima❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@justusmutuku71153 ай бұрын
Aish neema hii nyimbo niliiskianga onces nikiwa na brathangu sasa tulikuwa twaiba tu wakati mlikuwa Kenya DCI utawala 🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🇰🇪
@joshuamuthiany69053 ай бұрын
Dakika ya 2.22 sijui kama mnaona vibe ya huyo mtoto kweliiii 🔥🔥🔥
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Ni 🔥🔥🔥
@davidwanjohi70653 ай бұрын
From Kenya i feel blessed listening to this song....God keep lifting u people as u minister
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen Glory be to God🔥
@emmanueldaudi37973 ай бұрын
Safi sana Bassist @Sule
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@Lorlar0423 ай бұрын
Can't even imagine missing heaven because of our worldly desires,Oh lord our God make it easier for us to enter to your kingdom ☺️😊
@calvinhernest1253 ай бұрын
Ar them again.. 🤭👐👐... Mungu azidi kuwabariki na kuwainuaa zaidi..
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@treasureforashes34973 ай бұрын
Am going back home yo join this choir
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Wow your most welcome to the team 🙏🙏🔥
@elishamorumbe37413 ай бұрын
Amina
@lydiamaniawafaith98193 ай бұрын
Tutashangilia Kwa Baba,tukishinda ulimwengu
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen🔥🔥
@Danielemasa3 ай бұрын
💯💯💯kwakwel munajuwa kuukosha moyo wangu
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Utukufu kwa Mungu🙏
@UshindiGwivaha3 ай бұрын
Aaaaaaaaah we mbona wimbo mzuri sana😮😮😮😮 MUNGU AWABARIKI SANA
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen utukufu kwa Mungu ❤️
@jacobkitou92103 ай бұрын
Ni tofauti ngani ya neema gospel choir na aic changombe choir
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Ni tofauti ngani ya Paul Clement na Joel Lwaga
@barakastewart3 ай бұрын
😂😂😂@@NeemaGospelChoir
@ErickJackson-q7e3 ай бұрын
Mungu mkubwa saana katika huu wimbo ukawe hivyo kwangu na family Angu
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@JacklineStide3 ай бұрын
Wamependeza
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Asante
@gloriousnp3 ай бұрын
Ila fundi aloshona nguo za wana wa kike esp hizo kofia , msirudi kwake 😢😂😂😂 ….otherwise Injili isonge mbele regardless 🙏🏿😍🇹🇿
@omondibabu3 ай бұрын
Halooooo... Mbingunii mambo sawaa 🙏🏿...God bless you @NeemaGospelChoir
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen🙏🙏
@mwlSama3 ай бұрын
TIME ni hii kumwambia jirani yako aje aimbe nasi Mbinguni itakuwaje
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Hakika🔥🔥🔥
@heavenguard32483 ай бұрын
Baraka teleeee🥰🥰🥰🎉🎉vigelegele Ameeen
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen
@happymerry86753 ай бұрын
Nipo
@Ndotocommunitycentre3 ай бұрын
Wooohooo, naipenda nomasanaaaa❤🎉
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@treasureforashes34973 ай бұрын
My countrymen, worshipping God is in the DNA ,
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Glory to God 🙏🙌🙌
@TapuwaAlishdamba3 ай бұрын
We gonna dwell in His presence ❤❤❤
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Hakika mpendwa🔥🔥
@JacklinSayoАй бұрын
Nimependa tone ya kaka bassist it's fireeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@petrosweve46413 ай бұрын
Wametisha sana
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🙏
@TheWorldGospel3 ай бұрын
Mbinguni Itakuaje has to go 🌍🇹🇿🇰🇪🇷🇼🇧🇮🔥🔥
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
Amen Glory be to God 🙌🙌🔥❤️
@teresiahwanjiru60373 ай бұрын
Baze guitar 🎸🔥🔥💯🎉
@NeemaGospelChoir3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@praiseandhymns69243 ай бұрын
These ministers have really understood their assighnment.Given their best in giving excellent and consistent deliveries
@NdagijimanaSeth3 ай бұрын
Wonderful song
@damarisnthenya30863 ай бұрын
Tutaimba mbele zake na kucheza mbele za Bwana🎉🎉🎉❤❤