Nemo - Vumilia

  Рет қаралды 12,820

ONALIS

ONALIS

4 жыл бұрын

Пікірлер: 36
@poshiesharp3724
@poshiesharp3724 2 жыл бұрын
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana enzi hizo babe daddy alikua ananiimbia hiii nyimbo nikawa naipenda ila cha ajabu aliniacha hapa namwambia my son hiyo nyimbo baba yako alikua ananiimbia enzi hizo kabla hajatukimbia
@noahb2009
@noahb2009 2 ай бұрын
Soo sad polee dada angu
@tonyi6807
@tonyi6807 6 ай бұрын
❤ tungo nzuri,utulivu,mpangilio mzuri wa sauti dah...popote ulipo NEMo rudi kwenye Game RnB 🇹🇿🎶
@danieljohn6070
@danieljohn6070 4 жыл бұрын
nilikuwa nautafuta sana huu wimbo....thanks a lot
@tonyi6807
@tonyi6807 6 ай бұрын
Mimi pia
@danielfrancy6097
@danielfrancy6097 3 ай бұрын
Daaaaah unishindi mm kumamake!
@noahb2009
@noahb2009 2 ай бұрын
​@@danielfrancy6097😂😂😂😂
@madalasela3984
@madalasela3984 14 күн бұрын
Hizi ndio ngoma zetu
@user-fc8so7xd1q
@user-fc8so7xd1q 8 ай бұрын
hii nyimbo inanirudisha miaka kadhaa nyumaa hakika mziki ulikuwa zamani sio miaka hii
@khethukuthulamlungisi636
@khethukuthulamlungisi636 3 жыл бұрын
chingy laza hapa mi ndo nime utupia huu wimbo nemo ni mtu wangu karibu tangia 207 nyimbo turikuwa wote geto so ivyo nami nipo south Africa kama miaka 15 so maisha
@terrymc5593
@terrymc5593 Жыл бұрын
Niaje broo naomba nisaidie contact za mwamba Huwa nakubali mno naweza fanya nae jambo mkuu please
@khalidibero
@khalidibero 4 жыл бұрын
Pongezi kwako ulieutupia huu wimbo,inaonesha hata wasanii wenyewe hawanaga ngoma zao za zamani
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 3 жыл бұрын
Kwel
@kashmilimlotwa2248
@kashmilimlotwa2248 2 жыл бұрын
Me nautafuta siupati aisee
@wahidkombokhamis4330
@wahidkombokhamis4330 4 жыл бұрын
Bonge la ngoma
@mrishojterry
@mrishojterry 3 жыл бұрын
Shabani Mpute nakuelewa sana kijana
@halmaninonino395
@halmaninonino395 4 жыл бұрын
Video yake iko wap jaman nimeutafuta sana huu wimbo😔
@imaculathalibana9875
@imaculathalibana9875 3 жыл бұрын
Who listen dhiz song 2021
@donaldmhulula6888
@donaldmhulula6888 2 жыл бұрын
bongo star search ya mwanzo Mtu wangu Nemo Mpute au Shabani Mpute.
@ltlmedia8480
@ltlmedia8480 3 жыл бұрын
Pongezi KWA aliyeweka wimbo huu tukaupata wenye matumiz yetu dah roho imetakata Sasa
@mickeymaico4055
@mickeymaico4055 4 жыл бұрын
Baadaa ya kuutafuta kwa muda mrefuuu sanaa🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@philljombs1151
@philljombs1151 10 ай бұрын
Duh! Inanikumbusha ilivyo kua Moja ya Kali za RnB. Nemo na Rama Dee. Thank you for uploading this gem.❤
@furahamwaisemba6532
@furahamwaisemba6532 2 жыл бұрын
2022 Hadi natokwa na machozi coz nilikuwa namuimbia sana My lovely Wife Nazael Mshana,.. Nemo your legend my brotha, Sauti hizi hatutokuja kuziona TZ mpaka pumzi zetu za mwisho... Manaalama kubwa katika kizazi chetu enzi hizo
@daudbeatuc6698
@daudbeatuc6698 8 ай бұрын
Mwenye nyimbo hii video yake anisaidie maana saiv kwenye platform zote haipo
@juniormmanga7089
@juniormmanga7089 6 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@mtewelet6941
@mtewelet6941 Ай бұрын
WAOO
@emmanuelfabian6105
@emmanuelfabian6105 4 жыл бұрын
Ahsanteee
@Breyce4
@Breyce4 4 жыл бұрын
Asante sana 🙏🏾
@salomembasha2746
@salomembasha2746 Жыл бұрын
Dedication from my babydady!!nice song love😘
@hashpower7113
@hashpower7113 3 жыл бұрын
Nimeutafuta huu wimbo for soo fucn long time where is Nemo?
@ema4west689
@ema4west689 2 жыл бұрын
Hivi was this a debut single of Nemo?....noma sana hii nimeutafuta sana. Shukrani kwa kuuleta hapa.
@fineboytz6331
@fineboytz6331 3 жыл бұрын
awesome song
@Peacekhamic3232
@Peacekhamic3232 Жыл бұрын
Sauti hadimu mpk leo hii yani kama ndiyo ime toka jana”
@lionaim
@lionaim 3 жыл бұрын
"nimekuzoea ukiniacha nitauumia"😔😔😔
@user-rd6nr4qq3s
@user-rd6nr4qq3s 3 ай бұрын
Audio please
@panoramaniTV
@panoramaniTV 3 жыл бұрын
2021
Buibui nimekusamehe
4:57
ONALIS
Рет қаралды 66 М.
BUSHOKE DUNIA
7:13
BUSHOKE
Рет қаралды 46 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
小丑和奶奶被吓到了#小丑#家庭#搞笑
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 9 МЛН
Israel Mbonyi - Nina Siri
11:11
Israel Mbonyi
Рет қаралды 57 МЛН
Lady Jaydee - Njiwa (Official Audio)
8:14
LadyJaydee
Рет қаралды 338 М.
Sultan King Baby Hallow (Official Videos)
3:17
Sultan King
Рет қаралды 9 М.
Mr blue ft walter  nipende nilivyo
4:58
Mv genius
Рет қаралды 90 М.
Hardmad  Tamala by Mika Mwamba production
4:52
Biorn Productions
Рет қаралды 400 М.
Grace Matata - Free Soul [Official Video by mlabrecords.com]
4:42
Dully Sykes Ft Hidaya - Nyambizi (Official Audio)
5:44
Dully Sykes
Рет қаралды 41 М.
Dully Sykes - Asha Mapromise (Official Audio)
4:51
Dully Sykes
Рет қаралды 9 М.
Kinyaunyau (Official Video) - Kilimanjaro Band Njenje
6:46
Kilimanjaro Band Njenje
Рет қаралды 1,4 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН