Lady Jaydee - Njiwa (Official Audio)

  Рет қаралды 355,156

LadyJaydee

LadyJaydee

Күн бұрын

#Njiwa #LadyJayDee
Lady Jaydee.
You Can Now Download | Stream | Share Lady Jaydee Music WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES: | Itunes, BoomPlay, Mkito, Deezer, Audiomack, Mdundo, Tidal, Amazon Music, Spotify, Pandora. LINK: ffm.to/ladyjaydee
FOR BOOKINGS: mxcartertz@gmail.com
Follow Lady Jaydee on:
/ jidejaydee
/ jidejaydee
/ ladyjaydee

Пікірлер: 530
@JoshuaSirma-we8nx
@JoshuaSirma-we8nx 10 күн бұрын
Ngoma yaliwaza kweli kweli daaah❤❤
@RashidNduwimana-w2i
@RashidNduwimana-w2i 13 күн бұрын
Wallah unajuwa mama ww nimkali san
@nica6662
@nica6662 4 жыл бұрын
Ckua najua uyu wimbo uliimb uyu dad
@FabiannDaniel
@FabiannDaniel 6 күн бұрын
hata mm sikuamin kabisaa an
@jamesmwita2995
@jamesmwita2995 4 жыл бұрын
Hatarii piga kelelee
@dizoboy7256
@dizoboy7256 4 жыл бұрын
Daaah kuna watu wanaimba asee we jide ni nomaa yaan wimbo ukiuckia unatulia kama umemwagiwa maji ya baridi😁😁💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻
@tiktokgang1
@tiktokgang1 23 күн бұрын
Komando, umeimba vizuri sana humu. Shukran sana. 2025
@anoldrwehabura7795
@anoldrwehabura7795 2 ай бұрын
bado ya moto aiseee🔥🔥🔥
@abdoulpainite2501
@abdoulpainite2501 4 жыл бұрын
We ndo komando bhana! Wangapi wameikumbuka muhogo wa jang'ombe na siwema? Pigeni kelele 1 kwa Jideeeee ake🤪
@maryamjuma8726
@maryamjuma8726 4 жыл бұрын
We
@kitundumakala3758
@kitundumakala3758 4 жыл бұрын
Abdoul Painite gudd xanaa
@agnesmanimba8548
@agnesmanimba8548 4 жыл бұрын
Abdoul Painite hongeeraaaa sanaaaaaa
@gwakisaezekiel2576
@gwakisaezekiel2576 4 жыл бұрын
Maryam Juma weeeuuweeeeeeeee
@dublea4118
@dublea4118 4 жыл бұрын
We
@shomarisangari6357
@shomarisangari6357 4 жыл бұрын
Nyimbo hii iliimbwa JKT Taarabu Kama komando kaiimba kwa ubora wa Hari ya juu gonga like hapo.
@afterfull-time1348
@afterfull-time1348 4 жыл бұрын
Jideee comando na vyeo vyoote vya kijeshi,sauti imetulia kama mwandiko wa mwanafunzi aliyesoma darasa la awali kwa usahihi..all in all i appreciate you at all madame
@twalibumohamedi2494
@twalibumohamedi2494 4 жыл бұрын
Nakupenda sana dada wa Taifa tangu unaanza kuimba "nailazimisha furaha" , piga kelele kwa Jide wakeeee!
@younmillan7887
@younmillan7887 4 жыл бұрын
Komando Jide Herself natural voice pure legend.. Drums 🔥🔥🔥 solo guitar 🔥🔥 Weka like kama unaamini Jide ana copy yake mpaka sasa...
@smstore5535
@smstore5535 4 жыл бұрын
Ebhana komando jide kwa hapa nakupa salute 🙌👮 umenikoshaa😊
@lemonadesoldier1377
@lemonadesoldier1377 4 жыл бұрын
Nyimbo ya kikubwa ,inakula hadhi ya kusikilizwa na kila Rika ,inatuliza akili Jide ameitendea HAKI #make good musicallive Big up Jide mamalaoo
@lablondenela4848
@lablondenela4848 4 жыл бұрын
Tuko wangapi ambao muwili umesisimka kwa sauti Yani zauti nyororo masha allah
@mrschura3134
@mrschura3134 4 жыл бұрын
Wenye sauti zao mjini, waliojaliwa na Mungu, love u jdeee.
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 4 жыл бұрын
Yes
@ashaathuman1472
@ashaathuman1472 4 жыл бұрын
Nakukubali kinyama dada
@nyamogafamily4262
@nyamogafamily4262 4 жыл бұрын
🦆🦆Njiwa peleka salamu kwa wanawake wote wapambanaji kama mimi duniani,wambie nawaombea sana ,,Mungu awanusuru na corona
@elizabethkisogole34
@elizabethkisogole34 4 жыл бұрын
Zimefika
@makayunisali1772
@makayunisali1772 4 жыл бұрын
Ameen
@ndayisimiyeakram1871
@ndayisimiyeakram1871 4 жыл бұрын
Amiin akulinde ww pia na familia yako yote
@leonardmeshack2661
@leonardmeshack2661 4 жыл бұрын
Kama uliisahau Corona kabisa wakati unamsikiliza malkia wa nguvu gonga like na macoment kama yoteee 👍👍👍
@sottithomas9443
@sottithomas9443 4 жыл бұрын
Mara tunajivunia kuwa na mwanamziki katika Tanzania hii ambaye hachuji wala haboi zaidi ya 20years.
@s.simponda138
@s.simponda138 4 жыл бұрын
Sauti muruwa kabisa kwa pumzisha akili yako iliyochoka! Nice sing.
@mc_mrope
@mc_mrope 4 жыл бұрын
Wimbo unaondoa stress zote za janga la korona safi sana Jdee
@asmaafamau8307
@asmaafamau8307 4 жыл бұрын
Swadakta
@oongojoseph5469
@oongojoseph5469 4 жыл бұрын
Ukweli
@fozyafozya4060
@fozyafozya4060 4 жыл бұрын
Kabisaa
@Ibratz255
@Ibratz255 4 жыл бұрын
Jipatie kipato mtandaoni kwa mtaji mdogo kupitia hapa affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228 Msaada zaidi WhatsApp #0679345914
@mosesjohn8922
@mosesjohn8922 4 жыл бұрын
Yaaap
@irakozebijou9403
@irakozebijou9403 4 жыл бұрын
Gonga like kama uko fans wa commando lady Jaydee kutoka burundi🇧🇮
@maseramecleopatramokhaneli3738
@maseramecleopatramokhaneli3738 4 жыл бұрын
Sending my love from South Africa.
@brendahotieno5587
@brendahotieno5587 2 жыл бұрын
Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@kitinyakitinya1727
@kitinyakitinya1727 4 жыл бұрын
Makofi kwa legend
@samboyhussein591
@samboyhussein591 4 жыл бұрын
DADA UNAZEEKA NGOZITU LKN SAUT YAKO ITAENDELEA DUMU
@ochiengmcochiengjohn8073
@ochiengmcochiengjohn8073 4 жыл бұрын
Eeeeeeeh taarab lenyewe pooh nimelipenda jamani (njiwa ipeleke salamu mpaka huku kwetu taaaam sanaaa
@allyramadhan2558
@allyramadhan2558 4 жыл бұрын
Hii ngoma inaponya corona....achana na hawa wavua chupi
@hasamitv8050
@hasamitv8050 4 жыл бұрын
Sijawahi kukutana na wewe ana kwa ana ila kiukweli ninakupenda sana tangu nilipokusikia kwa mara ya kwanza kitu cha penzi la milele. Love you sana tu
@mosesjohn8922
@mosesjohn8922 4 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali sana'aa comando
@brothersalim001
@brothersalim001 4 жыл бұрын
Lady jaydeee nakuaombaa karibu mombasa hata mm ni msaniii
@godlistenmtemi1361
@godlistenmtemi1361 4 жыл бұрын
Umetisha Sana dada #jaydeeee
@wardamwarami4789
@wardamwarami4789 4 жыл бұрын
Ng’ombe hazeeki maini ❤️ the talent you have sis is endless, hazina ya Tanzania ❤️ keep the good music alive
@lifeisgood4242
@lifeisgood4242 4 жыл бұрын
Lady J. Umepumzisha moyo akili na mwili wangu. Uishi sana mamaaa.
@annysingrandy9712
@annysingrandy9712 4 жыл бұрын
Umetisha sana jideboss
@NIZAHRTVTibaAsili
@NIZAHRTVTibaAsili 4 жыл бұрын
Kazi nzuri hugusa mioyo ya watu wazuri na wabaya. Hakika hii ni kazi nzuri kutoka kwa Dada Mkubwa Lady Jay Dee Gusa picha upande wa kushoto wa hii comment ili kupata njia sahihi za kujitibia bila kumeza dawa. Usisahau ku-like, subscribe and share.
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Jay de upo vizr here we gooooooo Nakutaka next time nikuone #bungeni#
@josephmbise6301
@josephmbise6301 4 жыл бұрын
Kaliiii sana komando jide
@ogetoj6245
@ogetoj6245 3 жыл бұрын
Umefikisha ujumbe mwafaka kwa wale hao! Lako limekamilika, Dada Jaydee. Mashaallah! Dr. Ogeto International
@hajimnubi4581
@hajimnubi4581 4 жыл бұрын
Safi,sio mpaka tuige Nigeria
@husnafunga1877
@husnafunga1877 4 жыл бұрын
Wawooooo nyimbo iko poa Sanaa Dada Umejua kuitendea haki zote 💯💯❤️
@dismassamwel7130
@dismassamwel7130 4 жыл бұрын
umeuwa sana mamii nakukubali sana
@nancyosaka6473
@nancyosaka6473 3 жыл бұрын
Sauti nyororo kweli 💖👏
@fatimamsangi2626
@fatimamsangi2626 7 ай бұрын
Here in June 2024😊 You are BEEEEEEST Lady Jay D🙌🏾 You are a 5 star artist, mkali wa miaka yote, fundiii kabisa, MAJOR GENERAL🙌🏾🙌🏾🙌🏾 Uishi miaka mingi mamaa🤍
@moreendanford7403
@moreendanford7403 4 жыл бұрын
10000000%mama kubwa umetisha yani noma na nusu ❤❤❤
@mhomboedward7200
@mhomboedward7200 4 жыл бұрын
Tisha sanaaaaaaaaaaaaaaaa Comandoooooooooooooo jideeeeseeeeeee
@lilydaniel5860
@lilydaniel5860 4 жыл бұрын
Njiwa is my favourite song of all the time. U did it komandoo .👍👍
@dream_force_studio
@dream_force_studio 4 жыл бұрын
No like you my tisha sana beautiful sound ❤️❤️✅ jamani msinipite bila like zenu plz 🙏🏽❤️❤️
@angelamarlow510
@angelamarlow510 3 жыл бұрын
Na wale wenye kumbukumbu ya wimbo wa nimekua teja wa maapenziii Na wimbo wa Nakupendaa..❤.nakuitajiiii💟
@ev.mhugohantish288
@ev.mhugohantish288 4 жыл бұрын
Kuna baadhi ya nyimbo Kama hizi unatamani zingekua Ni za Gospel Hivi. Dah. Weka like kwa Jide akeeee!
@allyrashid1085
@allyrashid1085 4 жыл бұрын
asante sana comandooo J pamoja dadaa
@awadhyalamoodysato651
@awadhyalamoodysato651 3 жыл бұрын
Absolutely true
@arusha_icon
@arusha_icon 4 жыл бұрын
Kama unailubali hii cover ya lady jaydee gonga like hapa👍
@Ibratz255
@Ibratz255 4 жыл бұрын
Jipatie kipato mtandaoni kwa mtaji mdogo kupitia hapa affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228 Msaada zaidi WhatsApp #0679345914
@Nzinyangwa
@Nzinyangwa 4 жыл бұрын
Huyu ndo komando bhanaa,, Unajua sanaaa komando,, 10000000%
@matsarigi2986
@matsarigi2986 2 жыл бұрын
Love from Switzerland. Always my best Tanzanian vocalist ❤
@alikibausa4984
@alikibausa4984 4 жыл бұрын
Love from usa 🇺🇸 🤘🤘❤️🔥🔥✅
@frankrobert3106
@frankrobert3106 4 жыл бұрын
Umenikumbusha miaka hiyo ubwabwa marage una hadhi
@polinahkilunju6529
@polinahkilunju6529 4 жыл бұрын
Jaydee, Jaydee you have nailed it🔥🔥🔥. Rudi mamaaa uzidi kutuburudisha. Love youuu
@johnsonthuva1880
@johnsonthuva1880 Жыл бұрын
Taarabu moja safi sana,,huwa inanisisimua mara nyingi
@praygodemmanuel6810
@praygodemmanuel6810 4 жыл бұрын
Huongo mbaya nilishakumic sana sister 😘 saut nzuri kweli yaan inaingia mpka moyon sauti haikwaruzi😘😘😘
@elijahmwinuka389
@elijahmwinuka389 4 жыл бұрын
❤❤💥💥hii safi paka sound unasikia ya kinyumbani sio these copycat songs za sikuizi, Jide u nailed this one for real
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 4 жыл бұрын
Umetisha Dada yake penda saana
@mariaflorian9941
@mariaflorian9941 4 жыл бұрын
waoo unasauti nzuri jama hongera sister jay
@RidhiwaniShikeli-du6nv
@RidhiwaniShikeli-du6nv Жыл бұрын
We dada unajua Mungu akujalie uzima akulinde na maasidi wabaya karibu kenya
@mcbalozi2519
@mcbalozi2519 4 жыл бұрын
bado kwangu unasimama Kama mwanamke pekee tz mwenye uwezo mkubwa katika muziki.... hii nyimbo niliisikia ukiimba katika moja ya matamasha yako nikawa najaribu kutafuta hatimaye leo umetupa zawadi..... #commando
@tanitani3387
@tanitani3387 4 жыл бұрын
Hii nyimbo ni ya Bi Patricia Hillary so JD hajaongeza cha kwake. JD ameurudia tu.
@mcbalozi2519
@mcbalozi2519 4 жыл бұрын
shida sio kurudia nyimbo ....mi naijua hii nyimbo tangu na tangu maana mama yangu na Patricia wameimba pamoja band moja .... hapa nazungumzia uwezo wa sauti na mapigo ya muziki.. kaa humo
@tanitani3387
@tanitani3387 4 жыл бұрын
@@mcbalozi2519 Umeeleweka
@veronicawoisso5332
@veronicawoisso5332 4 жыл бұрын
Kazi nzuri sana dada
@rosesamweli6499
@rosesamweli6499 4 жыл бұрын
Salute kwako dada Juddy
@Mbeyaconscious
@Mbeyaconscious 4 жыл бұрын
Wa kwanza kabisa dada Angu umeludi Ni 🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥🔥 🔥
@gastordominic410
@gastordominic410 4 жыл бұрын
Ila fika mkuranga one day Dada langu
@athumanisaid8630
@athumanisaid8630 4 жыл бұрын
Judith Lameck Mbibo Wambura,lady jd,wallet,commando,mama some food nk
@WandigaKalambwada
@WandigaKalambwada 4 жыл бұрын
🇰🇪 Represented
@jumamwengwa4682
@jumamwengwa4682 4 жыл бұрын
Jide wimbo mrefu na ni mdamuuu kama mrenda wa kwetu#Manyoni -Singapore(Singidani,singida😜😜😜😜😜😜#Komando jd💪💪💪
@saidimuhabeshy3650
@saidimuhabeshy3650 4 жыл бұрын
nakukubali sana my judith wambura. wewe ni moto wa kuotea mbali. wadada wote waimbaji hakuna aliyekufikia hata mmoja
@karimkibasa2001
@karimkibasa2001 4 жыл бұрын
Old is gold like please if is true njiwa nakupenda
@matthewjohn5108
@matthewjohn5108 4 жыл бұрын
Jaydee asante kwa zawadi hii katika msimu huu wa Pasaka 2020. Penda sana wewe, hakuna kama Lady Jaydee bongo na dunia nzima.
@furniceondieki6471
@furniceondieki6471 2 жыл бұрын
Lady Jaydee nakupenda mama
@fainesyjoachim3118
@fainesyjoachim3118 4 жыл бұрын
no one like yo dada kuimba unajua jamani dahh umanikumbusha siri yangu naupenda sana yani ...mungu akupe maisha marefuuuuuuu
@kadehajoseph4852
@kadehajoseph4852 4 жыл бұрын
Unajua jide
@noxlosingida2369
@noxlosingida2369 4 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali kwa wimbo huu enzi hizo tulikuwa hatuna smartphone kama Siku hizi ukipigwa kwenye radio lazima ukae chini kwanza
@shilangida4330
@shilangida4330 4 жыл бұрын
Ahsante kwa kunikumbusha marehemu star mombasani
@geraldswai5492
@geraldswai5492 4 жыл бұрын
Dada yangu hongera sana .UNAJUA
@sibiromallya5894
@sibiromallya5894 4 жыл бұрын
Duhhh jide bado mautam yke hayaishi kabsaaa
@owenshoo3909
@owenshoo3909 4 жыл бұрын
Dada wa TAIFA umeuaaaaaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@omarymwenda1146
@omarymwenda1146 4 жыл бұрын
Daaah..!! Niseme nini sasa..!?! A legend is back..!!
@pendozacharia2803
@pendozacharia2803 4 жыл бұрын
My role model piga kelele tatu kwa kwa jd
@NeemaMedia
@NeemaMedia 4 жыл бұрын
Hii ndio miziki,sio ile ya Ifike jioni unionyeshe alichokupa mama Dooh penda jide
@alexfred1060
@alexfred1060 4 жыл бұрын
🙌🙌🙌 my best vocalist ever
@leonardoharold349
@leonardoharold349 4 жыл бұрын
Dada jide, uko classic sana.. Anacondaa.komando.#njiwa
@saimonmbwambo8426
@saimonmbwambo8426 4 жыл бұрын
Tsha sana commando wetu
@henrysanga8975
@henrysanga8975 4 жыл бұрын
Daaa huu wimbo bado ni mzuri mno ....hizi ndo nyimbo bwana . Hongera sana dada Judith
@bellacaramella2196
@bellacaramella2196 4 жыл бұрын
Woooow napenda hii nyimbo saaana from BURUNDI
@rosesamwely5931
@rosesamwely5931 4 жыл бұрын
Dada umeutendea haki huu wimbo, hongera Sana.
@deboramrema2861
@deboramrema2861 4 жыл бұрын
Sauti ya pekee hongera sana dada Jide sauti nyororo toka enzi Mungu aiweke miaka mingi inshaallah
@miriammuller2845
@miriammuller2845 Жыл бұрын
Zangu salamu uzifikize kwa Fulani❤🎉kutoka Swiss
@francoiskaris7163
@francoiskaris7163 4 жыл бұрын
When it comes to vocal and lyrical prowess, lady jay dee is in the class of her own
@ericknkonya5682
@ericknkonya5682 3 жыл бұрын
i second this
@amaningonyani2775
@amaningonyani2775 4 жыл бұрын
Japo sielewi kiswahili lakin hii nyimbo ni Kali ssna like nyingi kwa jide komando
@Ibratz255
@Ibratz255 4 жыл бұрын
Jipatie kipato mtandaoni kwa mtaji mdogo kupitia hapa affiliate.iqoption.com/redir/?aff=154228 Msaada zaidi WhatsApp #0679345914
@angelmmbaga2367
@angelmmbaga2367 4 жыл бұрын
Wewe ndonime kuelewa kwenye huu wimbo
@fettykimaro3430
@fettykimaro3430 4 жыл бұрын
Wapiiii lady daydeee miaka 💯,
@jamesdimosso2601
@jamesdimosso2601 4 жыл бұрын
Daaah huu wimbo umenikumbusha mbl sana. Hakika ww ni Komando💪💪. Uzeeki Mwili wa Sauti
@winheleni9263
@winheleni9263 4 жыл бұрын
Hiii nyimbo 🔥🔥🔥🔥🔥wewe kweli komando
@alexkapange663
@alexkapange663 4 жыл бұрын
Dada nakukubali ile mbaya super woman wangu
Patricia Hillary - Njiwa  Part 1 (Official Audio)
7:57
Patricia Hillary
Рет қаралды 79 М.
Salama Na Lady Jaydee Ep 24 | POWERHOUSE Part 1
36:54
YahStoneTown
Рет қаралды 124 М.
Vampire SUCKS Human Energy 🧛🏻‍♂️🪫 (ft. @StevenHe )
0:34
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 138 МЛН
-5+3은 뭔가요? 📚 #shorts
0:19
5 분 Tricks
Рет қаралды 13 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 737 М.
Lady JayDee - Historia (Official Video)
3:47
LadyJaydee
Рет қаралды 88 М.
Njiwa 1
7:51
Patricia Hillary
Рет қаралды 226 М.
WATU NA VIATU - NYOTA NDOGO
4:31
kitalifa
Рет қаралды 898 М.
Mwasiti Ft Ali Nipishe -  Mapito.(Official Video)
4:07
Mwasiti
Рет қаралды 330 М.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Oliver Aswani
Рет қаралды 3,2 МЛН
Banana Zoro - Zoba
7:43
Swahiliwood
Рет қаралды 1,4 МЛН
Lady Jaydee - KIFO (Official Audio) SMS SKIZA 7916622 to 811
7:25
Lady Jaydee - Nimekusamehe (Official Audio)
7:16
LadyJaydee
Рет қаралды 15 М.