Woooo nandy wewe nimwanamke nanusu ❤❤❤❤❤ aki nawapenda mungu hawalinde
@Papaa_Hillary_Mrema Жыл бұрын
Aya Mangi Nicholas Lyimo na Nandina Mfinanga Mpare Mtani wetu. Mangi ukumbuke kuwekeza na Kilimanjaro pia hata Hotel kubwa Moshi Town. One Love Nilipe Nisepe Zingatia Maokoto.🇹🇿🇹🇿
@AshuraMustafa-z8o Жыл бұрын
Nyie mie Kila nkiwaona wote nafeel happy flan iv nyie mnapendana Sana then true love mjaaliwe ivo ivo
@marylutego8554 Жыл бұрын
Mme weza mm nawapenda sana jaman
@OfficialAdaOnce Жыл бұрын
Couple yenu nzur sana❤❤❤❤❤
@Umbeawako Жыл бұрын
My favorite couple ❤❤❤
@Itszydanny Жыл бұрын
boss nataka changu🔥🔥🔥
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
Nawapenda hadi naumwa
@Dindane-f6x Жыл бұрын
Waoooooh good
@AshuraMustafa-z8o Жыл бұрын
Nandy nakupenda hata kabla sijawa na akili now ND nazd Kila nkiona picha zako kwenye masaloon naktzama mno ww n mrembo icho kidoti knakuzdsha halaf bila make up upo vzur zaid