NENO LA SABAYA BAADA KUHUKUMIWA MIAKA 30: "MSIOGOPE MUNGU YUPO KAZINI"

  Рет қаралды 114,125

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Ulitamani kufahamu maneno aliyoyasema Lengai Ole Sabaya baada ya kuhukumiwa miaka 30 jela jana kwa hatia ya makosa matatu ya unyang'anyi wa makundi pamoja na unyang'anyi wa kutumia silaha? AyoTV iliinasa kauli yake hiyo baada ya hukumu hiyo kutolewa.

Пікірлер: 280
@edesiuskuyasiwa6352
@edesiuskuyasiwa6352 2 жыл бұрын
Mungu akupe unachostahili, yeye anajua kila ulilofanya...
@denyu9975
@denyu9975 2 жыл бұрын
Pole sana japo wote tunapitaaa nakuonea huruma sana Mungu akusamehe lakinii usiache kumtegemea Mungu wewe umekuwa wa mfano pia kwa wengine wanaotumia vyeo vyao vibaya jamii imepata fundishoo na haki imetendeka binadamu tunajisahau sana
@jamesvmusic2677
@jamesvmusic2677 2 жыл бұрын
Mungu yupo kweli🙏
@amirikoshuma3039
@amirikoshuma3039 2 жыл бұрын
Mungu yupo na anasimamia haki za watu
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
ndio maana kahukumiwa
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
@@ayububakari9942 ngoja tusikilize mbowe naye Nita..... Mungu anajuwa🙏
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
@@hadijamagufuli2661 Naye kama ushahidi upo hukumu itapita tuu SHERIYA NI MSUMENO
@Nur_nun
@Nur_nun 2 жыл бұрын
Mungu awalinde yupo nanyi
@julieluziga1095
@julieluziga1095 2 жыл бұрын
Mungu amtetee jamani. Si kwamba hana maovu, lakini wapo wengi wenye maovu. Amtegemee Mungu na Mungu atamtetea
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
Kumbe katumwa
@estermathias8354
@estermathias8354 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 ndio Sasa kwenye mambo ya utakatishaji pesa ulitaka aende raisi
@drtheresiakaruhanga3543
@drtheresiakaruhanga3543 2 жыл бұрын
Amina. Mungu atakusimamia. wabongo tunapend kuhukumu hata tusiyoyajua ila Mung aonaye sirini atakulinda. hata Yesu alambiwa kwamba kama anamuamini Elia amshushe msalabani, kweli alimshusha, Mungu ni mwema na mwenye huruma
@innocentjohn8520
@innocentjohn8520 2 жыл бұрын
Mungu anajua ,hii ndo bongo 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@hermanndongolo1550
@hermanndongolo1550 2 жыл бұрын
Amina mungu bado anafanya kazi
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@eischerschwederm7876
@eischerschwederm7876 2 жыл бұрын
Allah is the greatest,, don't underestimate his power ....Sabaya bear in mind it's a Test Allah test hard those who he loves....but his help is very near..my prayers are with you..may Allah unfold the truth...ameen
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@mustaphahassan589
@mustaphahassan589 2 жыл бұрын
Acha kutetea upuuzi
@sultansallah4509
@sultansallah4509 2 жыл бұрын
Kafiri hapewi mtihani
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 2 жыл бұрын
We bana uwislam wakuombea kafili maneno makali km ayo umeyapata wapi.amewakaba waislam na kuwapiga madukani alafu unamuomnea jambazi akapumzike kwanza
@ericklaura7511
@ericklaura7511 2 жыл бұрын
U mean what court did wasn't right!?? Please respect the Leadership and authority
@mamachris6811
@mamachris6811 2 жыл бұрын
Kama umeonewa, MUNGU asimame akutetee Kama ni vinginevyo Mungu akusamehe
@missmwayway4704
@missmwayway4704 2 жыл бұрын
HAKIKA M/mungu ndo kila kitu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@leilaadamu4817
@leilaadamu4817 2 жыл бұрын
Mm nahisi km kaonewa ssb yakauli aliyotumia yakusema mungu bado yupo kazi 😒😒😒
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
kama ni kweli na huko jela upate maradhi kedekede
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
@@leilaadamu4817 Mi nahisi hakuonewa kwa sababu ya ile kauli yake ya kusema alitumwa na Mheshimiwa Raisi akatekeleze hayo na kwa kauli hiyo ikmpelekea afungwe 30 miaka
@leilaadamu4817
@leilaadamu4817 2 жыл бұрын
@@ayububakari9942 muombee mwenzio kheri jmn 😒😒😒
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 2 жыл бұрын
Mungu asifiwe, nahamini mungu atamponya
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Amiin amiin
@sponsor7882
@sponsor7882 2 жыл бұрын
Unatetea jambazi
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
@@sponsor7882 Dear hebu tumuiachie mungu tz mambo ni mengi muda mchache wapo watu wapo mahabusu mpaka Leo kwa kesi wengne za kweli wengne za uwongo yote hayo mungu ndie mjuzi
@edwarddaniel5683
@edwarddaniel5683 2 жыл бұрын
Amponye kwani anaumwa?
@saleheinnocent7636
@saleheinnocent7636 2 жыл бұрын
Mambo Ni Mengi wale Ambao hatuja umizwa mojo kwa moja na Sabaya hatuwez kujua Magum yalowapata wenzetu. Na ikiwa hakutenda Basi Mungu mwenyewe ndo Anajua na Atamtilia wepesi. Lkn kwa Macho na Akili ya kawaida tu ninapata ukakasi nikianzia kwenye tukio la Tundulisu wilayan Hai ktk harakat za kutafuta wadhamin.
@leilaadamu4817
@leilaadamu4817 2 жыл бұрын
🥺🥺🥺🥺🥺mungu akusimamie km hawakutendie haki basi mungu atatenda miujiza yake km umehukumiwa sahihi mungu akulinde maisha ya jela sy mazuri 🥺🥺🥺🥺
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 2 жыл бұрын
Mungu atakusindia ipo siku endelea kumtumainia Pole sana SABAYA na familia
@masuseleman978
@masuseleman978 2 жыл бұрын
Weh Bwege nakuombea mungu ikiwezekana usitoke huko Jela au ufie huko'huko .. na Mungu yupo kweli. na anafanya kazi yake.ila Magufuli ulokua unamtegemea yy ndo hayupo Sasà. Na ngoja Ushonwe uko Jela.Fisi weh
@gregorychogelo2013
@gregorychogelo2013 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏 Mungu ni mwema.
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
ndio maana kapata alichokipanda
@mkanza5573
@mkanza5573 2 жыл бұрын
Leo ndio anajua Mungu yupo kazini.nabii God bless lema alimwambia aache ujinga akamwambia lema mshamba hayo ndio malipo ya upumbavu wake
@ibrahimmelita2699
@ibrahimmelita2699 2 жыл бұрын
Acha upumbovu tangu lini lema kawa nabii? au ninyi ndiomnaozidiwa na mapenzi ya vyama mpaka mnashindwa kutofautisha jema na baya.
@sarahemmanu809
@sarahemmanu809 2 жыл бұрын
Unasema. Msiogope, unafikiri Mungu wako unaemsema alikuwa anafurahi unyama uliyokuwa unafanya, kama hujui Huyo Mungu unaemtaja ndo aliyekufikisha hapo ulipo Leo maana alichukizwa na unyama wako uliyowatendea binadamu wenzako
@tinayonafoundertinayonafou1927
@tinayonafoundertinayonafou1927 2 жыл бұрын
Nakupenda Sana Mungu atafanya njia na utaweza kutoka tena
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
Kwani mungu ndo alomtuma akafanya aloyafanya hata anasema mungu yupo kazini
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@pretty_witney8124
@pretty_witney8124 2 жыл бұрын
No one is perfect
@martinengholo1683
@martinengholo1683 2 жыл бұрын
Amina
@KoreanDramaMoviesKiswahili
@KoreanDramaMoviesKiswahili 2 жыл бұрын
🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 2 жыл бұрын
Kweli Mungu yupo kazin usiogp miak 30 ni michach tuu Sabaya
@richardtungaraza7509
@richardtungaraza7509 2 жыл бұрын
Ni kweli..miaka 1000 duniani kwa Mungu ni sawa na siku 1
@kabalompula4156
@kabalompula4156 2 жыл бұрын
Kila jambo lina maana yake usije ukashindwa kuamini utakoposikia Sabaya anagombea urais haya matatizo ni kwa kila mtu tusiwe watu wa kushangilia kila kitu vitu vingine ni mpango wa Mungu anapotaka kumvusha mtu toka hapa mpaka paleeee
@yunusali7617
@yunusali7617 2 жыл бұрын
Sabaya utatoka soon inshallah,wacha mungu akulinde aoneshe kua visivyowezekana kufikirika kwa wanaadamu kwake Allah ni faster tu.
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
kwa hiyo vile alivozulumu watu ni sawa ??
@alimussa2655
@alimussa2655 2 жыл бұрын
@@ayububakari9942 usibishane nao hao wanafirwa
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
Mungu halindi madhalimu na mafisadi. Sabaya alikuwa ni jambazi katika suti za ukuu wa wilaya
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 2 жыл бұрын
Nadhani kijana anapata mshahara wa matendo yake.
@tagdymagdy7301
@tagdymagdy7301 2 жыл бұрын
Kumbe Viongozi Wa CCM Mnaweza Kushtakiwa Ndio Maana Hamtaki Katiba Mpya
@fredleonardo739
@fredleonardo739 2 жыл бұрын
Ameen
@gabrielisack7786
@gabrielisack7786 2 жыл бұрын
Mazuri ya mtu hufutwa na kosa moja la mtu lakini hakika hakuna hata mmoja wetu aliyezaliwa na mwanamke asiweze kufanya kosa. Kama Mungu angekuwa anahukumu makosa yetu papo hapo basi wengi wetu tungekufa papo hapo,lakini kwa sababu ya rehema za Mungu bado tunaishi. Sabaya asilie bali anatakiwa afurahie kwa yale anayoyapitia maana dunia ikikukataa hata kwa machache mazuri uliyoyafanya basi Mungu atakuhurumia hata kama ulijikwaa. Sisi tulio uraiani tuna uhuru wa kumchambua sabaya kwa jinsi fikira zetu zinavyotuambia, haijalishi alinitendea mimi mabaya au alimtendea yule mazuri lakini yote ya yote tuendelee kumchambua tuwezavyo lakini ukweli ni kwamba hatima ya Maisha yake imo mikononi mwa Mungu nasio katika vinywa vyetu na hukumu za kibinadamu. Mungu atusamehe wote bila kujali kuwa unashangilia katika hili au una huruma katika hili maana sote hatuijui kesho yetu bali Mungu pekee mwenye kuijua hatima yetu.
@emmanuelnibaruta5834
@emmanuelnibaruta5834 2 жыл бұрын
Mungu yupo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@blessmerody7979
@blessmerody7979 2 жыл бұрын
Mungu yupo kutetea haki nchi hii malipo yake ndo kama haya sabaya ulipambana na matajiri wakubwa kwa nguvu zote ili kuwatetea walala hoi ila unalipwa miaka30 mungu ndiye mwenye kutetea zaid malipo mema utayapata hata kama sio ww basi hata kizazi chako kitapata matunda ya mema ya uliyoyapanda
@egonemmanuelkudaba4945
@egonemmanuelkudaba4945 2 жыл бұрын
Amina
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 2 жыл бұрын
Ipo Namna Haki Yakuipambania Haki. Naaitajalisha Nitajiri Ama Masikini. Niile Haki Iwe Nihaki Nasikwa Sababu Fulani Tajiri Au Masikini. Haki Itabaki Haki. Nautajiri Utabaki Kama Utajiri. Naumasikini Utabaki Umasikini. Haki Itasimama Kama Haijalishi Nimasikini Ama Tajiri. Nasiroho Mbaya Chuki Zakuwachukia Matajiri. Watajiri Wanayohaki Yakupendwa Nakuchukiwa Kwakutegemeana Namatendo Nasi Kwasababu Yamali. Ubaya Ukifanywa Hatakama Nababa Yangu Au Mama Mzazi Ni Aula Ukakemea Nakulaaniwa. Bila Kuangalia Huyu Fulani Jamaayetu Aaaa Tumuache. Nduguhuyu Alikosea Bilashaka Amevuna Alichopanda.......
@aramamisamatime3183
@aramamisamatime3183 2 жыл бұрын
Mungu ajawai kushindwa
@hamiarseif7299
@hamiarseif7299 2 жыл бұрын
WAKATI. UNAIBA. NA. KUNYANYASA WATU. ULIFIKIRIA. MUNGU. HAYUPO. NENDA. UKO. WE
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
Alikuwa akimuabdudu Magufuli
@kakaashim8103
@kakaashim8103 2 жыл бұрын
Mungu yupo kazini bado
@joharijohn7005
@joharijohn7005 2 жыл бұрын
Jembe hana hofu hata kidogo safi commando Mungu yupo kazini badoo
@ezekielmugeta2427
@ezekielmugeta2427 2 жыл бұрын
Dah kwel ka alikua ana shida s wangemshtk kipindi magu yupo
@rachelkibingu1758
@rachelkibingu1758 2 жыл бұрын
KWELI mungu yupo sabaya nakwambia hutokaa miaka 30 utatoka,
@luhindakanige2987
@luhindakanige2987 2 жыл бұрын
Akka Mungu ni mwema
@nextlevelmusic3006
@nextlevelmusic3006 2 жыл бұрын
Daaaaah 😥😥😥😥😥
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@kenslogistics4377
@kenslogistics4377 2 жыл бұрын
Ingelikua ni huku kwetu Kenya, hiyo kesi lingetupiliwa mbali....bora pesa ziwe ziko za kuhonga ma jaji
@dickaugustino2214
@dickaugustino2214 2 жыл бұрын
Lkn Kama kavimba kichwani upande wa kichogoni..?GOD BLESS HIM
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
Amen.bora umemkimbilia Mungu mtumishi Mungu atakutetea hats kama ulifanya makosa Mungu hakika yupo kazini kama yy angehesabu maovu yetu nan angesimama ulitenda makosa sasa lakinj rehema na neema za Mungu bado zipo Amen
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 2 жыл бұрын
Maana ya Mungu yupo kazini ni katika kumlipa yeye kwa mabaya aliyoyafanya
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
@@Ndu-wa.uroony2 Mungu ni wa rehema kama angehesabu maovu yetu nan angesimama
@Ndu-wa.uroony2
@Ndu-wa.uroony2 2 жыл бұрын
@@jacquelinemwakasala9563 Sisi ni jirani zake ..baba yake alikua mbaya sana hadi kuna wakati wananchi waliandamana wakitaka kumuua walipomkosa wakaishia kuchoma makazi yake.kijana wake kaja ni mbaya Mara 2 ya baba yake...mtaani kuna wanawake aliowatesa kingono wanamlaani sana
@jacquelinemwakasala9563
@jacquelinemwakasala9563 2 жыл бұрын
Uwiii eee
@erodeshayo8672
@erodeshayo8672 2 жыл бұрын
Sambaya ulizidi sifa sana ukajisahau sana pole Mung akupe afya njema yakutumikia kifungo chako
@sophiekivuyo6028
@sophiekivuyo6028 2 жыл бұрын
Mungu unamjuaa ww
@juliusmollel7313
@juliusmollel7313 2 жыл бұрын
yani dunia mapito leo sabaya ndio anafungwa 30 years waah mungu simama mwenyewe
@makusaro2289
@makusaro2289 2 жыл бұрын
Miaka 30 siyo maamuzi ya Jaji/ Hakimu, ni maamuzi ya sheria.Hata hivyo hakimu kawa na huruma,maana sheria inasema,isiyopungua 30,(siyo isiyozidi 30),na viboko juu.Kumbuka huyu alikuwa mteule wa Rais,mlinzi wa usalama wa wilaya ya Hai,(siyo Arusha alikovamia). Tuna haki ya kumsikitikia na kumhurumia,siyo kwa adhabu aliyopewa,bali kwa matendo aliyotenda.Kwa sababu adhabu haimuondolei aibu aliyopata kwa kutoheshimu heshima na cheo alichopewa na rais wetu. JAJI amekitendea haki kiti cha heshima cha rais wetu,ameitendea haki Taasisi ya Sheria na Mahakama.Ameutendea haki mhimili wa Bunge na wananchi kwa jumla. Labda imetokea hivyo ili kuandika historia ambayo mtumishi ye yote wa umma au serikali atarejea kila anapokutana na vishawishi vya rushwa na ufisadi.
@facebmzeewakimba1546
@facebmzeewakimba1546 2 жыл бұрын
Tupo pamoja%
@tangamedia4729
@tangamedia4729 2 жыл бұрын
real
@blessjo1678
@blessjo1678 2 жыл бұрын
Nice comments....iwe funzo maana wananyanyasa wananchi wakijua majaji wote wanauchama uchama wa kubebeana maovu na kuumiza watu wengine wanafanya kazi hiyo kama professional inayojiheshimu na wanamhofu mungu na sio walio juu yao..ko wanatenda haki kumwakilisha Mungu
@magdalenaadam819
@magdalenaadam819 2 жыл бұрын
kwa kweli mungu atatenda
@chantalnizigama5012
@chantalnizigama5012 2 жыл бұрын
😭🙏
@hadijamagufuli2661
@hadijamagufuli2661 2 жыл бұрын
Sabaya mungu akusaidia kwa hali na Mali kama ni ugaid namini sio sabaya tu niwengi na wengi na wengi ila nivile tz Kuna Ile Nani ahukumiwe na Nani asihukumiwe ila mungu yupo wengne watahukumiwa na mwenyezi mungu
@jamesjoseph6825
@jamesjoseph6825 2 жыл бұрын
Usimshirikishe Mungu kwenye Mambo ya kipuuzi! Nguchiro wewe, kuna watu waliteseka kwa ajili yako, wewe ndo ulichukua nafasi ya kuamua kama Mungu juu ya maisha yao, yaani uliwaamulia kuhusu maisha yao, Mungu wa mbinguni amekuaibisha! Nawe sio wa kwanza walikuwepo kama ww tangu enzi na cha Moto walikiona kwa nguvu ya Mungu, ulichopanda ndicho unachovuna
@ashaathuman1472
@ashaathuman1472 2 жыл бұрын
Kweli Mungu yupo omba bila kuchoka
@jocenocha8846
@jocenocha8846 2 жыл бұрын
Sabaya hakika tuko pamoja ni wakati wa jema kuwa baya na baya kuwa jema machoni pa waovu
@nelsonchristopher1989
@nelsonchristopher1989 2 жыл бұрын
Acha ujinga kwahiyo unataka kusema mahakama imemuonea ??Ushahidi uliotolewa ndio umesababisha akutwe na hatia tanua ubongo wako wewe dunia inaenda kasi sana 😢.We hujawawazia aliowaumiza na kuwadhulumu ??Acha ujinga
@jocenocha8846
@jocenocha8846 2 жыл бұрын
@@nelsonchristopher1989 wewe hata ukiropoka nakufahamu ni mmoja wao waumini wa ibada za gizani wakala wa shetani kwenu ukiona uovu roho yako inaendeshwa na mishatani uliyo nayo kwako
@jumamglecs7684
@jumamglecs7684 2 жыл бұрын
Mola atafanya wepesi.
@prettyh7509
@prettyh7509 2 жыл бұрын
Hyo ni hukumu ya wanadam matumbo yetu yamejaaa haram na dhulma, mungu yupo hakuna la kudum
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 жыл бұрын
Mungu si wa kudhihakiwa !! Lini Mungu alilala !? Mungu ni hakika ya Haki !!
@sophianasri6107
@sophianasri6107 2 жыл бұрын
Duuh dunia daaa ukimwengu shujaa pole sabaya Mungu awe nawe
@epifaniashayo6162
@epifaniashayo6162 2 жыл бұрын
Mm ninachoshangaza ni jinsi wanacheka wanatoa wapi iyo furaha na kama ni kweli walifanya hayo na tusiyoyajua machozi na dam za watu zitawakost aloo
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 2 жыл бұрын
Jaribu halikuwapata isipokuwa kuliko kawaida ya Wanadamu hata hivyo Mwenyezi Mungu Ni mwaminifu atafanya njia pasipo na njia...Usiogope.. .. hatuogopi... Mungu wetu hajui kushindwa.. Rais ajae aweza kutumiwa na Mwenyezi Mungu.... éee Mwenyezi Mungu tubariki na kutuokoa Watoto wa Tz
@zabronmwasi1775
@zabronmwasi1775 2 жыл бұрын
Wewe ni mwanaume pambana kaka mungu yupo
@epodlyrics6417
@epodlyrics6417 2 жыл бұрын
Ok
@rajabkhamic8057
@rajabkhamic8057 2 жыл бұрын
Aliyekwambia Mungu yuko likizo ninani
@JumaRashidi-qu6nv
@JumaRashidi-qu6nv 2 жыл бұрын
Wewe ulizani ni ungetawla kwa bunduki milele?????? Nawe onja joto ya jiwe,na afungwe kweli hamna longolongo tafadhali,kozi mabaya yake yanajulikana wazi wazi sisi wananchi tunajua
@vintagemusicgroup9236
@vintagemusicgroup9236 2 жыл бұрын
Vipi kuhusu mazuri yake, mnayajua pia?
@rozimeryrozimery1840
@rozimeryrozimery1840 2 жыл бұрын
Bado sabaya anazungushwa tyu jaman.kaka angu usikate tamaa Mungu yu pamoja nawe popote utakapokuwa
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
Mungu hayupo pamoja na majambazi na maharamia wanaowapora raia wanyonge kwa silaha za umma.
@monikakimath3810
@monikakimath3810 2 жыл бұрын
Nakupa hili sabaya anatoka
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 жыл бұрын
Hivi ni kweli alistahili adhabu kubwa kiasi hicho? Hapo naona kuna tatizo katika hukumu iliyotolewa. Hii ni serikali ya waswahili na hivyo ndivyo walivyo. To
@evarensiabamala1864
@evarensiabamala1864 2 жыл бұрын
Hyo hukumu ni ndogo Sana hata mawakili wake wameongea kuwa kwa makosa yote Yale aliyokuwa nayo hawakutegemea kupewa hukum ndogo
@abdulwahidali17
@abdulwahidali17 2 жыл бұрын
😪
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@janekichonge4957
@janekichonge4957 2 жыл бұрын
Mungu atsmtetea
@suleimankhamis8298
@suleimankhamis8298 2 жыл бұрын
niseme nini 30 years behind bars ? sijui kama ni kweli au sio kweli ulifanya lakini neno hilo nakubali god never take a break or vacation.
@tingbatuuka7278
@tingbatuuka7278 2 жыл бұрын
Kweli Mungu kamshugulikia
@edinawilliam2943
@edinawilliam2943 2 жыл бұрын
Mimi haya cjui nini ila ivi tumeingiliwa nanini watz kwanilivyo muamini baba kweli angeweka mtu wa ovyo bc kama ni kweli kawajibikie makosa yako na kamaniuongo bc mungu akutetee
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 2 жыл бұрын
Kwa kweli yupo kazini acha afanye kazi yake maana unatisha
@jimsjoelwisdom88
@jimsjoelwisdom88 2 жыл бұрын
Na kwa namna gani mazuri hayahesabiki.. baya moja kumfanya mtu aitwe mubaya!? Nashukuru MUNGU sio binadamu, tungesha kufa wote
@ifozatv2513
@ifozatv2513 2 жыл бұрын
Mungu yupo kazin kwel umevuna ulichopanda
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 жыл бұрын
Palipo na Mungu haki haipotei kama ni kweli Mungu awasamehe
@yusuphmruma1232
@yusuphmruma1232 2 жыл бұрын
Sisi tulijua natunajua kwmb mungu yupo nahakuna jasho wala tone la damu litakalo anguka chn na bd niapa dunian umefany janja janja ili upewe azabu kidogo kuliko maovu uliyo yafany tafuta na majibu yakumjibu mungu imeandikwa mshahara wa DHAMBI ni mauti sio maneno yang maneno ya MAANDIKO matakatifu
@mahmoudjuma3825
@mahmoudjuma3825 2 жыл бұрын
Dah pole sna brother hajapokuwa ulikuwa na roho isiyo mzur
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@immanuelinvocavith1498
@immanuelinvocavith1498 2 жыл бұрын
Huyu Mungu wa sabaya Ni yupo, tuwe serious tunapomtaja Mungu watu wananyamaza mambo mengi ya huyu mtu acheni kumtetea jamani otherwise hawa wanaomtetea Ni wale wenzake waliobaki
@blessjo1678
@blessjo1678 2 жыл бұрын
Umeona eeeh maana kundi lake lipo nyuma yake wanaojidai ameonewa na hajatendewa haki...alikua anakula nao labda matunda ya uovu wake ...sikia diwani ambaye anatoka naye chama kimoja hawez ongopa kuwa aliyafanya hayooo maana angekuwa chadema sawa lakini ni mwanachama mwenzake......angalia alivyokuwa anamjibu G.LEMA na lema alivyo genius alimrekod bila yy kujua ....sasa Haki ipo na namshukuru rais kutoingilia mahakama....maana enzi na enzi kuwafunga hawa jamaaa ilikuwa ngumu wanalindana sana....
@macamezunguzungu5584
@macamezunguzungu5584 2 жыл бұрын
Dunia inamambo Mambo duh 30 mpinga kristo yupo karibu kuja😭
@ayububakari9942
@ayububakari9942 2 жыл бұрын
mpinga kristu tiyari keshalamba 30
@salomekibwana7718
@salomekibwana7718 2 жыл бұрын
salome kibwana
@mossilamanne3350
@mossilamanne3350 2 жыл бұрын
Mungu akupe kile ulichokipanda wakati ukiwa kiongozi Mzee wangu
@gadsonndato2941
@gadsonndato2941 2 жыл бұрын
Na mungu kweli yupo kazin ametenda haki yake
@johnmrindoko7875
@johnmrindoko7875 2 жыл бұрын
Mungu anatenda haki tuu basii
@reubenismail3672
@reubenismail3672 2 жыл бұрын
Anajua kitakachofuata ndo maana anajiongelea kwa kujiamini! Lkn angekuwa kapuku hakika angetoa machozi!mwisho wake mtauona I knew tz
@salimshaibu610
@salimshaibu610 2 жыл бұрын
Askari weka huyu ndani?hahaha unauna utamu wa ndani sasa mungu yupo kazini nandiomaana yamekukuta
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 2 жыл бұрын
Kabisa mungu yupo kzn alali wala Asinzii times hikifika bc Akuna makando kando
@suleimanrashid58
@suleimanrashid58 2 жыл бұрын
kweli Sabaya Mungu yupo na ameanza kuwahukumu na wengine wote kama wewe watahukumiwa hivyo hivyo.
@sitihussen5880
@sitihussen5880 2 жыл бұрын
Jifunzeni kupitia Zambia hichilema alinyanyaswa leo ndo rais Zambia . Hivyo viongozi mkae mkijua ipo siku unaemfanyia mabaya leo ipo siku atakuwa boss wako.
@zubedasaid5962
@zubedasaid5962 2 жыл бұрын
Si kwa huyo sabaya lakini
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 2 жыл бұрын
Huyu anaandaliwa kuwa ..
@laurenttadey1955
@laurenttadey1955 2 жыл бұрын
Msenge tu huyo baada ya kutesa wananchi leo ndo anajua kuww mungu yupo kazini mbuzi kwel kwel mungu yupo kazini juu ya wqnaodhurumiwa haki sio kwa ajir ya majambazi
@patrickclavery4799
@patrickclavery4799 2 жыл бұрын
Fungua ujione aiseee 😐😉 kzbin.info/door/8IrCFHu1DSEvrYtaTQ19dg
@godwinbbycool8507
@godwinbbycool8507 2 жыл бұрын
Anamjua mungu nae huyu pepo
@afrisaran7749
@afrisaran7749 2 жыл бұрын
It hurts so much
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
It doesn't, justice prevailed
@afrisaran7749
@afrisaran7749 2 жыл бұрын
@@AhmedAli-gh1lm I don't think if there is justice because he claimed to be at Arusha but not in the shop when the event was done and his fellows claimed not to be around there. So here there should be enough time of investigating the case so as to find a reason why sabaya and his fellows differs in their words of defending their rights.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
@@afrisaran7749 Do you have trust in our justice system? If you do, then accept the judge's verdict. If you don't, then join us in demanding a new constitution that will remedy many shortfalls in our political and justice system.
@afrisaran7749
@afrisaran7749 2 жыл бұрын
Though our Constitution should be amended but justice shall apply to all classes I think you get me.
@nassarrostom1919
@nassarrostom1919 2 жыл бұрын
Sheria duniani Haki mbinguni😓😓😓🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@elibarikinkya9738
@elibarikinkya9738 2 жыл бұрын
LEO NDO UNAJUA MUNGU YUPO WEWE SHETANI.... WAKATI ULIPOKUWA UNACHINJA WATU HUKUJUA MUNGU YUPO.. HIYO 30 KWANZA HAIKUSTAHILI INGETAKIWA UNYONGWE KABISA MBWA WEWE...
@ruthifesto7308
@ruthifesto7308 2 жыл бұрын
Neno la mwisho la sanaa baada ya hukum
@blessjo1678
@blessjo1678 2 жыл бұрын
Bado Bashite jamani mbona wamemkaushia
@mursallusinde9189
@mursallusinde9189 2 жыл бұрын
Maisha ni safar ndefu isiyo eleweka maisha ya kesho ni fumbo kubwa kuna mengi ya kujifunza ktk hili la sabaya
@alexlingwendu6780
@alexlingwendu6780 2 жыл бұрын
Naamini Sabaya bado yupo kazini.Huko jera anakoenda anapelekwa kufanya kazi maalumu.
@issaally4364
@issaally4364 2 жыл бұрын
Fala huyo ananajuwa alichokuwa akikifanya Mungu hamuungi mkono mnafik
@deograsiamoyo6428
@deograsiamoyo6428 2 жыл бұрын
Ndugu wa sabaya njoni kwa mwamposa. Ataomba km kaonewa atatuka tu mungu wa masabau ile hashindwi jambo jamani nakosa. Usingizi juu ya sabaya cjui kwa nini mmrmtuma wenyewe mnamfunga wenyewe dah huzuni kwa familia. Dah inauma
@alexmiage5351
@alexmiage5351 2 жыл бұрын
Me nashangaa vipi mbna uyu jamaa anacheka inaonekana alikuwa katili sana
@adamdemarch5565
@adamdemarch5565 2 жыл бұрын
Alijiita kuwa yeye nimtot wamjini 😅😅😅😅. Uzuli wa jela Kuna wale jamaa wananda Sana naniliu
@billmike8441
@billmike8441 2 жыл бұрын
Mungu yupi maana mungu wako kafa ndio maana unapata taaba
@akilimalimali253
@akilimalimali253 2 жыл бұрын
Hahahaaaa
@ashurahaji9115
@ashurahaji9115 2 жыл бұрын
Jinsi anavyofurahia Kama anaenda mbinguni kesho atarudi
@terezimarura9814
@terezimarura9814 2 жыл бұрын
Alipe deni?
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 93 МЛН
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
ToolTastic
Рет қаралды 13 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
Ip Man 2 | The Boxing Competition
15:57
Cinewatch
Рет қаралды 7 МЛН
How India Is Failing Its Educated Youth
8:22
Bloomberg Originals
Рет қаралды 219 М.
Bank Heist (Joker) | The Dark Knight [IMAX]
4:56
Flashback FM
Рет қаралды 138 МЛН
How Data Centers Became Hot Real Estate Investments
10:11
NEW MOVIE TRAILERS 2024 (Action) | 4K ULTRA HD
35:02
TrailerSpot
Рет қаралды 2,6 МЛН
When you discover a family secret
00:59
im_siowei
Рет қаралды 33 МЛН