NEW‼️JINSI YAKUPIKA DONASI ZA BIASHARA NA ZENYE FAIDA KUBWA/DONASI ZA MACHINE TAMU SANA NA LAINII

  Рет қаралды 103,236

Hadija Sheban

Hadija Sheban

Күн бұрын

Пікірлер
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Hi Lovies Kwahio video nimesahau kueka mayai kwa hesabu so usisahau na bora mayai ununue kreta nzima itasaidia pia kama unaona kuuza nilivyosema nishida kuwa unamwambia mteja akunulie all the ingredients na akupe 300 kama kukulipa mkono wako👌(muhimu vitu vidogo vidogo usimuitishe darling)ukipata muelewa itakua bora mfanyie kitu pambee afurahieee🔥 Video za biashara zengine kzbin.info/aero/PL0lMsQJd3yDB5YqRtSZUla-Wb9N9XMqd5 NB:Ukiwa makini sana ama mwenye bidii InshaaAllah mungu anakufungulia swali lolote niandikie hapa chini🤗 #roadto50k
@penliinandole5325
@penliinandole5325 2 жыл бұрын
Mashine sh ngap
@SafaaYuusuf-ts8wz
@SafaaYuusuf-ts8wz Жыл бұрын
shukran sana,,nauliza swali mi mbona mashine yangu nikitengeza inawivisha chini tuu,,juu huwa nyeupe na pia inachukua mda mrefu kuwiva ,,tatizo nn au nakosea wapi,,nisaidie
@IrakozeDebora
@IrakozeDebora 7 ай бұрын
Sa ukiwa huna mayayi huwezi tengeneza?
@juddiemunge
@juddiemunge 2 жыл бұрын
Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako ♥️♥️♥️♥️♥️napenda kazi yako safi
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Allahuma ameen mpenzi sante sana nakupenda🥰🥰
@halimaderua4281
@halimaderua4281 2 жыл бұрын
Allah akupe baraka kwa huo ukarimu wa ku share ideas za biashara kwa watu wengine.
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Allahuma ameemy love shukran pls sharer
@salamaaziz144
@salamaaziz144 2 жыл бұрын
MashaAllah TabarakaAllah waminshar hassidhn idha hassad wallah zimetokea vizury😋😋😋
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Shukran my love Ameeen🤗🤗zakusubiriiiaq
@hannanmahdi55
@hannanmahdi55 8 ай бұрын
MashaAllah naomba queen cake za biashara
@SekundaNyanga
@SekundaNyanga 26 күн бұрын
Ubarikiwe mno
@staher108
@staher108 2 жыл бұрын
MashaAllah , Donasi kama Donasi. Thank u for sharing
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
My babe saw your msg nakutaftia time we talk thankkks loveee❤️❤️❤️
@shakila3914
@shakila3914 Жыл бұрын
Shukran sana nimepat nguv y kufany hii biashara nilikua nawaza mungu akubariki akujalie kil la kher
@HadijaSheban
@HadijaSheban 11 ай бұрын
Ameen na Mungu akutilie barka
@Georges.Kitchen
@Georges.Kitchen 2 жыл бұрын
Thank you for sharing 😘
@halimaibrahim2607
@halimaibrahim2607 2 жыл бұрын
Umeni inspire sana....Shukran dear now I just need to purchase the donut maker
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
MashaaAllah pls kuwa makini ukitafuta zingine huwa hazijai jai ni pana
@halimaibrahim2607
@halimaibrahim2607 2 жыл бұрын
@@HadijaSheban Shukran JazakAllahu Kheyr
@magdalenemuna684
@magdalenemuna684 3 ай бұрын
Tulinunua wapi donut maker
@mohammedsultan8998
@mohammedsultan8998 2 жыл бұрын
Mwenyenzimungu akuzidishie kila lakheri masomo manzuri Sana mashaallah
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Allahuma ameen love
@aishaabdallah4560
@aishaabdallah4560 2 жыл бұрын
MashaaAllah ddngu mungu akuzidishie moyo huo utuchanue na zaid
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Tabarakallah love Allahuma ameen
@shebanishebe7866
@shebanishebe7866 2 жыл бұрын
Asante sana,.
@bakarimluwa254
@bakarimluwa254 9 ай бұрын
​​@HadijaSheban Assalamu alaikum Dada yangu, naomba kujua jina la brand ya Donuts Maker yako. Please My Sister,,,,,,,,,,???
@saadaomar-qi2bn
@saadaomar-qi2bn Жыл бұрын
Asante dear Allah akuzidishie
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ameen shukran
@julianacharles5562
@julianacharles5562 10 ай бұрын
Ahsante kwa somo dada barikiwa,vp kwa kilo moja zaweza toka ngapi na bei pia ni shngap@1 nko Tz
@HadijaSheban
@HadijaSheban 10 ай бұрын
Asante sana kipenzi na Ameen
@vipvip-zv7xv
@vipvip-zv7xv 2 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah ❤kwahiyo sio lazim utumie unga w cake..Mm hupika lkn kwa kutumia unga w cake bt leo Alahmdulilah nmeon y unga w ngano kumbe haina tofaut..shuqran jazzilah khery..Mungu akujalie afya njema uzid kutufunz
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Allahuma ameen darling mm sijawahi tumia unga wa keki kwa hizi za machine
@mariamhilali489
@mariamhilali489 2 жыл бұрын
Mashine Bei gani? Na inapatikana wapi
@lydiaceasar4738
@lydiaceasar4738 Жыл бұрын
​@@HadijaSheban naipata wapi hiyo mashine na ni how much?
@qmaalim1687
@qmaalim1687 2 жыл бұрын
Aa dear MashaAllah tabarakalla
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Wslam kipenzi afwan❤️❤️
@sadaakiba4291
@sadaakiba4291 2 жыл бұрын
Wow MashaAllah nzuri 😋😋
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Sante sana kipenzi
@mercykimani9741
@mercykimani9741 8 ай бұрын
Asante mama nitajaribu nami nipate hela
@HadijaSheban
@HadijaSheban 4 ай бұрын
karibu sana
@FebineAwuor
@FebineAwuor 2 жыл бұрын
Asante sanaa kwa mawaidha haya. The donut maker looks pretty and saves a lot on oil and time.
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Most Welcome love
@aishamwalimu4821
@aishamwalimu4821 28 күн бұрын
Mm nataka kujuwa hyo meka ya kuchomea ni how much mum
@ibraabuemu9231
@ibraabuemu9231 2 жыл бұрын
Maa sha ALLAH ni tamu sana
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Shukran ❤️
@cedicedi8782
@cedicedi8782 2 жыл бұрын
Good donation sasa hauwezi kupata
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Sijaelewa
@judithmrema6049
@judithmrema6049 Жыл бұрын
@@HadijaSheban Asante kwa ukarimu wako ,wapi napata hii mashine na ni bei gani? Msaada tafadhali naomba
@munahashim8898
@munahashim8898 2 жыл бұрын
Mashallah nice wallah😋
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Tabarakallah nice sanaa
@fatumaabkul5401
@fatumaabkul5401 2 жыл бұрын
MashAllah Thanks sister
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Welcome dear
@FatinaIsuja
@FatinaIsuja 4 ай бұрын
perfect
@TatuSalim-fr5bl
@TatuSalim-fr5bl 2 ай бұрын
Asalaam aleykum dada naomba kuuliza nini kinafanya zifure maana mie nkitengeneza hazifuri sana
@mwanasalkash6112
@mwanasalkash6112 2 жыл бұрын
Baking soda ulieka kiasi gn love
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Kidogo sana kama ½tsp tena usijaze
@eploniawakio3544
@eploniawakio3544 3 ай бұрын
Soo bicarbonate of soda inatumika kama baking soda
@jaizaakhalfan475
@jaizaakhalfan475 2 жыл бұрын
Maashallwa, 🙏
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tabarakallah
@umazimwatela2627
@umazimwatela2627 2 жыл бұрын
Heri ivyo vipimo ungetuwekea in grams. Asante kwa video
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Kipenzi nikiwa kwangu I use grams ila kwetu sina hivyo vitu next time I will but ukiwa una duka jirani unapeleka tu wanakupimia then ukirudi nyumbani pima na measuring cups
@umazimwatela2627
@umazimwatela2627 2 жыл бұрын
Tuseme iyo robo ya blue band ni 250grams pamoja na sukari? Unga nao utakua tuseme 350 grams au
@mwanatz5980
@mwanatz5980 2 жыл бұрын
Asante sana
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Karibu sana lovie
@lestherusitukanesanasomaam1339
@lestherusitukanesanasomaam1339 11 ай бұрын
Darasa zuri sana. Nauzaje dada mpenzi
@HadijaSheban
@HadijaSheban 11 ай бұрын
yategemea na sehemu uliopo
@DorryMsigwa
@DorryMsigwa 3 ай бұрын
100 nitapata faida kwa recipe ya 1/2? Kweli inategemea sehemu ulipo ngoja nikajaribu yaani kijijini ni shida sanaa
@SitiHassan-z6g
@SitiHassan-z6g 11 ай бұрын
Samahani habbty Naomba vipimo Vya unga kilo moja
@HadijaSheban
@HadijaSheban 11 ай бұрын
hivi nilivyotaja unaeza ongeza mara mbili au tatu
@ThimaDullah
@ThimaDullah 10 ай бұрын
Dada mm nikitengeza hua donuts zangu zakatika katika mbona
@bettyngala8518
@bettyngala8518 6 ай бұрын
Asante
@HadijaSheban
@HadijaSheban 5 ай бұрын
karibu
@NerryTullo
@NerryTullo 15 күн бұрын
Kwa hiyo hapo ukipeleka dukani unauza shingapi
@emillyimbaya7900
@emillyimbaya7900 8 ай бұрын
Nusu kilo yatoa donuts ngapi hivi?
@ZainabramadhaniZainabramadhani
@ZainabramadhaniZainabramadhani 7 ай бұрын
Aslm alekum siz ,naweza kutumia selfrising flour kuliko nitumie baking soda
@HadijaSheban
@HadijaSheban 5 ай бұрын
wslam love try utaniambia
@hamidaabukar8957
@hamidaabukar8957 2 жыл бұрын
Masha Allah
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Tabarakallah
@dakigolompo7301
@dakigolompo7301 Жыл бұрын
I tried it thanks darling nauza sana
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Hongera na mungu aendelee kuibariki kazi yako
@AliAhmada-r6k
@AliAhmada-r6k Ай бұрын
Number yako tafadha naona nya kwangu havivimbi
@asharamadhan3667
@asharamadhan3667 2 жыл бұрын
Nzuri zinavutia
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Asante kipenzi
@eshaswaleh7988
@eshaswaleh7988 2 жыл бұрын
Je unga kilo moja unatumia mayai mangapi na blueband kiasi gani
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Mpenzi kipimo nilichofanya unaeza kuongeza ama kupunguza
@MrsJampani
@MrsJampani Ай бұрын
Mashine zauzwa beigan
@ClaraKiria-be1gd
@ClaraKiria-be1gd Жыл бұрын
Jinzi ya kutengeneza bagia
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
ziko kwa videos baby
@adventinavedastus5478
@adventinavedastus5478 2 жыл бұрын
Vp kuusu a mila
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Sijataja
@hafsaramadhan6369
@hafsaramadhan6369 Жыл бұрын
Sukari umeweka kiasi gan
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Nimetaja kwa video
@BintMchungu-wu9go
@BintMchungu-wu9go Жыл бұрын
Nitajarib
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Nice
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
🥰🥰
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
🥰🥰
@Assam8885
@Assam8885 2 жыл бұрын
😋😋😋
@diddahjay2185
@diddahjay2185 2 жыл бұрын
Mashallah
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Tabarakallah somo
@jaizaakhalfan475
@jaizaakhalfan475 2 жыл бұрын
Dada,
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
❤️❤️
@mwanamkuukassim2653
@mwanamkuukassim2653 Жыл бұрын
Km huna mixer waez tumia blender
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Yes japo sijawai jaribu ila natumai unaweza
@gracebenjamin6564
@gracebenjamin6564 2 жыл бұрын
Hongera hiyo mashine umepikia inaitwje?
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Donut maker
@saeeda3205
@saeeda3205 2 жыл бұрын
Daah kama huna bulu bandii utafanya. N n
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Prestige
@lay-laylee
@lay-laylee Жыл бұрын
Unauza kwa moja moja au package
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Madrasa wauza moja moja kama ni dukani wazipanga kama tano
@lestherusitukanesanasomaam1339
@lestherusitukanesanasomaam1339 11 ай бұрын
Shs ngapi moja?
@MinahilMlingi
@MinahilMlingi Жыл бұрын
Naweza kutumia brenda kama sina hand mixer?
@kokudina7324
@kokudina7324 Жыл бұрын
Unaweza Ndiyo
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Yes unaeza
@wemaakyoo5118
@wemaakyoo5118 2 жыл бұрын
Asante my dada hiyo mashine inapatikana wapi na je kama sina mashine
@makuraheema1122
@makuraheema1122 2 жыл бұрын
Bicarbonate of soda waeka vijiko vingapi dear
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Mpenzi unaeza kununua kwa supermarket
@nassirmohamed8492
@nassirmohamed8492 2 жыл бұрын
Inapatikana maduka ya kuuza vyombo
@jessicaonsongo1714
@jessicaonsongo1714 2 жыл бұрын
The glass you have used to measure flour ni gram ngapi or its equivalent to the measuring cups
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Angalia video utaiona hio glass
@zakiaayub7268
@zakiaayub7268 Жыл бұрын
A.a nilitaka kujuwa kwa vipimo hvyo ulotowa zinatoka donasi ngapi??
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ws nimetaja kwa video
@FURAHAVUMBI-xv5xe
@FURAHAVUMBI-xv5xe Жыл бұрын
Dada upon vizuri katika hiyo Gani ya donate,je kama Sina hiyo mashine ya kupikia nitumie Nini Ili nifanikiwe kuzipika?
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Angalia playlist yangu ninazo hizo donuts za kawaida
@ummuqaasim5227
@ummuqaasim5227 6 ай бұрын
Zinadumu kwa mda gani??
@HadijaSheban
@HadijaSheban 5 ай бұрын
1week
@badawyhaji9288
@badawyhaji9288 2 жыл бұрын
😋😋😋😋😋😋😋😋
@jumamoyo5822
@jumamoyo5822 8 ай бұрын
Umetumia all purpose flour?
@HadijaSheban
@HadijaSheban 5 ай бұрын
Yes, correct
@lydiaceasar4738
@lydiaceasar4738 Жыл бұрын
Iyo mashine inaitwaje na naipata wapi?
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Donut machine
@Ruthkaremi-d9f
@Ruthkaremi-d9f Жыл бұрын
Na mtu mwenye hana machine ya kukoroga
@HadijaSheban
@HadijaSheban 11 ай бұрын
unatumia mwiko
@maryamrahma1907
@maryamrahma1907 Жыл бұрын
Mashaallah
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tabarakallah
@DanielMd-kh6nh
@DanielMd-kh6nh 11 ай бұрын
nitumiye mim mapishi ya kdf
@HadijaSheban
@HadijaSheban 11 ай бұрын
sawa
@LilienDaka-p4z
@LilienDaka-p4z Жыл бұрын
Nahitaji donatmaker kama hiyo ntapataje na bei yake sh ngapi?
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Uko wapi dear
@upendoagustino7592
@upendoagustino7592 8 ай бұрын
Na mimi nahitaji ni sh ngapi
@makuraheema1122
@makuraheema1122 2 жыл бұрын
Bicarbonate of soda waeka vijiko vingapi
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Nus kijiko cha chai
@azizaal-amri3577
@azizaal-amri3577 2 жыл бұрын
Mashallah B,p soda umetiya vijiko vingapi
@DorryMsigwa
@DorryMsigwa 3 ай бұрын
​@@HadijaShebankwa recipe ya kg ngapi?
@zeina2728
@zeina2728 Жыл бұрын
Mbona zangu haziivi katikati😢
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Watumia machine gani
@zeina2728
@zeina2728 Жыл бұрын
@@HadijaSheban inaitwa geepas
@bakarimluwa254
@bakarimluwa254 9 ай бұрын
​@@HadijaShebanAssalamu alaikum Dada yangu, naomba kujua jina la brand ya Donuts Maker yako. Please My Sister,,,,,,,,,,???
@sipangwingwi7766
@sipangwingwi7766 2 жыл бұрын
Nipe vipimo za kilo mbili
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Ongeza mara nne yake pls
@rahmaabdallah2194
@rahmaabdallah2194 2 жыл бұрын
Mm nlifanya ya maziwa ikakaa dukani 5 days ikaharibka..so nimeambiwa maziwa si nzuri am confused
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Wah sijui basi maybe hukupata maziwa mazuri try kufanya za nyumbani for 5days uangalie
@rahmaabdallah2194
@rahmaabdallah2194 2 жыл бұрын
@@HadijaSheban Sawa shukran lemme see
@judithmutethya1339
@judithmutethya1339 Жыл бұрын
Maziwa huaribu cakes haraka,water and a little lemon ama lemon rid inaweza kaa.
@aaliyahjuma4980
@aaliyahjuma4980 2 жыл бұрын
Shuklan
@HadijaSheban
@HadijaSheban 2 жыл бұрын
Karibu
@mishisaid9493
@mishisaid9493 Жыл бұрын
Ásalam aleikum warahmatullah wabarakatu Nilipika donuts zilikuwa nzuri na tamu bt sikurudisha Mali Wala faida. Ilibidi nizile na wanangu
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Waaleykhm mussalam warahmtullah wabarakatu kila kitu hapo nimetaja fanya vipimo vyako vizuri na wakati unaeka usijaze excess na sijui unatumia donut maker ipi
@salojaanbaloch
@salojaanbaloch 11 ай бұрын
Wiwi best Kwa cooking na sorry Swahili yaku not good writing
@HadijaSheban
@HadijaSheban 11 ай бұрын
Ok thank you
@FatinaIsuja
@FatinaIsuja 4 ай бұрын
perfect
@abdulazizshaban5074
@abdulazizshaban5074 Жыл бұрын
MashaAllah
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Thanks
@lay-laylee
@lay-laylee Жыл бұрын
Unauza kwa moja moja au package
@HadijaSheban
@HadijaSheban Жыл бұрын
Package bora
Donasi za machine | Mapishi ya donasi  laini na tamu kama keki.
3:57
JINSI YAKUPIKA SAGA NOTI TAMU SANA #kenya #ramadhan
8:07
Hadija Sheban
Рет қаралды 142 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
Caleb Pressley Shows TSA How It’s Done
0:28
Barstool Sports
Рет қаралды 60 МЛН
Best Donuts 🍩 Recipe. Taamu and very easy to make.
8:04
Malkia Foods
Рет қаралды 13 М.
HALF KEKI ZA BIASHARA ZENYE FAIDA KUBWA/HALFCAKES/KANGUMUU
4:05
Hadija Sheban
Рет қаралды 175 М.
Donasi /Jinsi Ya Kutengeneza Na Kupika Donasi /Doughnuts Recipe / Tajiri's kitchen /Donasi Laini
11:06
Mapishi ya mini doughnuts|Mini doughnuts recipe
6:30
Shuna's Kitchen
Рет қаралды 337 М.
TENGENEZA TAMBI ZA BIASHARA BILA KIFAA MAALUM
8:32
keki plus
Рет қаралды 308 М.
Donasi za machine | Jinsi yakupika donasi laini kama keki .
5:31
Rukia Laltia
Рет қаралды 134 М.
Jinsi Ya Kupika HalfKeki Za Biashara Zenye Faida Kubwa
5:34
Caroline Haro
Рет қаралды 93 М.
Jinsi ya kutengeneza donut za mashini laini sana bila siagi
4:13
Mapishi rahisi
Рет қаралды 48 М.