Samahani naomba kuliza mie huwa napika lkn naweka bkn soda na hamira ya chenga je ni sahihi maana kuna watu naskia wakisema harfu cake hupikwa na hamira moja je ni kwer
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tumia baking powder na soda
@subiraalmasi5059 Жыл бұрын
Kuna baking poda na soda na hamira ya chenga inayoumua andazi haiwekwi ni izo tyu soda na poda
@user-du8hp9cc6u10 ай бұрын
Nzuri kwel nimefata process zote but zimekua ngumu sana na hazijapasuka lkn zimeiva na nitam wap nakosea msaada plz
@clarachebet3263 Жыл бұрын
Niandikie recipe
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ipi
@user-eg3gi6hq6z4 ай бұрын
Unaweza tiya hamila
@veronicamiracle21474 ай бұрын
How many grams was the flour?
@neemakullaya7221 Жыл бұрын
Waoo yani naangalia leo 1st November nime sikia anasema happy new months I thought ni ya mwezi huu kumbe ni November ya last year -
@HadijaSheban Жыл бұрын
Siku zakimbia sanaa
@NorahStarnley-i6r24 күн бұрын
Umetumia unga gani wa ngano dada
@HadijaSheban10 сағат бұрын
unga wa kawaida All purpose flour wowowte
@saidasalum74603 ай бұрын
Kwani aziweki amila?
@maryrogers7141 Жыл бұрын
Hongera kwa mapishi mazuri swali kuhusu baking powder na baking soda zikikaa muda mrefu pasipo tumika ukaja tumia je halfcake zako zitakuwa katika muonekano gani?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Asante sana sijaelewa
@hildakilufi8778 Жыл бұрын
Naomba ujisaide picha ya Baki ng poda zinazotumika kwenye hafu kek
@HadijaSheban Жыл бұрын
Yoyote tu
@hildakilufi8778 Жыл бұрын
@@HadijaSheban asante
@sipangwingwi7766 Жыл бұрын
Give measurements for 2kg pls, 😍 🇰🇪
@HadijaSheban Жыл бұрын
Kindly check my new video nimeeka ya 3kg also kama hutaona just double the ingredients
@salimagulamu40832 жыл бұрын
Mashallah nusu kilo umetoa halfcake ngapi
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Unaeza toa 35 to 40
@judycheserek89562 жыл бұрын
Nataka kujua wat makes it kupasuka?kindly tel me.
@salmanh97782 жыл бұрын
@@judycheserek8956 yes
@essiehtracieh22792 жыл бұрын
maji ni moto ama baridi
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Yakawaida
@angelamulelwa58192 жыл бұрын
Mimi nimefata masharti yote ila ya mekuwa magumu ni kwa nini
@user-qo3oz3ok6s Жыл бұрын
Iko poa
@HadijaSheban Жыл бұрын
Shukran kipenzi
@mwanaishambaruku9258 Жыл бұрын
Amila ueki
@HadijaSheban Жыл бұрын
Sijaeka
@joanagola5556 Жыл бұрын
Hivi sio lazima kutumia baking soda kwa kupika half keki?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Unaeza tumia
@ClaraKiria-be1gd8 ай бұрын
Kutengeneza kalmat
@HadijaSheban8 ай бұрын
nishaeka video shuka chini ama search Hadija Kaimati
@fauziaomar31932 жыл бұрын
Nisambazie na chai
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Zinakuja mpenzi
@sakinaabdulrahman53952 жыл бұрын
Umm asmaa wengine wasema watia maize flour kidogo ni kweli haya? If yes zinakua vp
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Sijawahi jaribu mpenzi labda tujaribu
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Maybe wanataka ziwe crunchy
@stansiauisso54414 ай бұрын
Samahani nipo Nairobi nauliza kwa unga kilo 2 zinatoka hafcake ngapi za sh 10
@lilliannyambu5782 Жыл бұрын
I tried to make half but zlikuwa ngumu sana n hazikupasuka.plz assist.
@HadijaSheban Жыл бұрын
Hi dear kupasuka ulizipa mda hata 10min kabla uchome hakikisha usikate nyembamba sana sometimz zinagoma kupasuka ila raha zikipasuka angalia my other video Ya Halfkeki
@rosecharles9284 Жыл бұрын
Jaman kumbe half cake haziwekwi Amira?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ziko za kila aina kipenzi ila sana huwa haziekwi hamira
@user-yt1qp7xf8x8 ай бұрын
Kumbe hamira hawatii eeh dada
@HadijaSheban8 ай бұрын
ndio hatueki
@user-yt1qp7xf8x8 ай бұрын
Sawa dadaa ngoja nijaribu tena
@mombasaraha15022 жыл бұрын
Hujasema umetowa. Vioande vyingapi cost yake shingapi na faida ningapi
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Yes sikusema sababu zilikuwa zinaokotwa okotwa ila nimeeleza ukitymia mobile utapata zaidi ya zangu kama ni za 5bob
@mombasaraha15022 жыл бұрын
Kisha hizi hukaa siku ngapi kabla itupwe au ziwe .ngumu haziliki?
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Huwa yategemea ukiziacha wazi hazikai sana week zafika ukizihifadhi vizuri
@mombasaraha15022 жыл бұрын
@@HadijaSheban asante sana dadangu nakupenda buree bila hata kuweka sukari haha
@safiayussuf9308 Жыл бұрын
Mbona hamira yasoda hukuweka?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Sijaeka hamira
@janetndumi1513 Жыл бұрын
Lakini kuna tembe nyeupe umeweka nini hio?
@HadijaSheban Жыл бұрын
Tembe gani tena kila nlichoeka nimetaja love
@tecklaphilipo2986 Жыл бұрын
Me napika keki za biashala ila mbona nnje zinakua ngumu
@HadijaSheban Жыл бұрын
Zinakuwa ngumu ndani au?
@damarismwawiro68972 жыл бұрын
Nimependa unavyo elezea. Kwanza mambo ya biashara🤔🤔🤔
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Asante sana kwa support pls share
@giliadmugeta9136 Жыл бұрын
Sa dada me nakaanga half cake lkn mbn hazvmbi kama haziwekew hamira
@HadijaSheban Жыл бұрын
Haziekwk hamira
@paskalineodhiambo3530 Жыл бұрын
Nilifuata masharti ikatoka poa shida ni nina toa kidogo sijui nilikosea wapi?
@HadijaSheban11 ай бұрын
Ulikosea mahali kidogo love
@quashartsandcrotchets4715 Жыл бұрын
Ukieka yeast itakua aje
@HadijaSheban Жыл бұрын
Jaribu
@shelaghskitchen Жыл бұрын
Leo lazima nipike half cake kwenye channel yangu
@HadijaSheban Жыл бұрын
All the best
@shelaghskitchen Жыл бұрын
@@HadijaSheban I tried but I guess nilikata vidonge vidogo but zilikua tamu sana. Thanks🙏
@linahtesha93292 жыл бұрын
Nauliza kwan haziwekwi hamira
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Hizi nilizopika sio za hamira
@tiktoktanzania28322 жыл бұрын
Nimejaribu but mbona yalikuwa yanamupuchuka kwwny mafuta,,mafuta zimenyonya,,yani nimevurunda kabiza
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Nieleze umefanyaje nitajua ulipokosea ama moto ulikua mdogo sana je ulikua unaongeza na kupunguza ama
@tiktoktanzania28322 жыл бұрын
Moto haukuwa mdogo ,kwanza ziliungua
@tiktoktanzania28322 жыл бұрын
Kile kikando kilikuwa kilaini nikiwa naongeza unga
@tiktoktanzania28322 жыл бұрын
Nahisi niliweka kilaini sana coz process zote za kuweka Unga ,nikaja chapa mandashi japo nilizidisha co sijajua kipimo,nikaja maji mafuta nikaweka vijiko vitatu vya chakula,nikaja na maji ya uvugu vugu,,unga wenyewe niliweka robo kilo
@tiktoktanzania28322 жыл бұрын
Lakini kitu nilicho toa ,,hata mwenyewe sijala,home wananicheka wananiambia naharibu mafuta ,
@tarikwatarikwa6777 Жыл бұрын
_what you no ritet ingredent
@Tmk5342 Жыл бұрын
Siku hizi hakuna za tala tala ni ashara ashara
@HadijaSheban Жыл бұрын
Ashara weuweeez
@clairenjiru2553 Жыл бұрын
Give instructions for 6kgs please and especially when using baking soda
@HadijaSheban Жыл бұрын
Kindly double the ingredients
@halimaramadhani18962 жыл бұрын
Baking soda sio lazima
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Kila recipe ina mambo yake angalia video zangu za halfkeki utafahamu dear baking soda unaweza kueka
@Odama-dn7xy2 жыл бұрын
Ivi sio lazima kutumia ya moto hapo mwanzon kwenye kuchangany unga
@Odama-dn7xy2 жыл бұрын
Mi nikianz kuchoma yanamung'unyuka keki hazitok n chenga tu za cake sijui shida nn
@HadijaSheban2 жыл бұрын
Umejaribu na recipe zangu?kama yes na bado nihivyo shida siezi juwa nigani Pole sana ila lazima kuna mahali haifanyi sahihi
@rehemaoyier5587 Жыл бұрын
Katika kuandaa sijaelewa tunatumia baking powder au baking soda?