Kwenye Ngendembwe utaweza kujionea vituko vya jamaa ambaye anajiita TOLEO LA KATI na utajua mikasa yake ikiwemo ya kuweza kufaminiwa na mke wa mtu na kutiwa kwenye kiroba.
Пікірлер: 14
@mkwangajonior97625 жыл бұрын
Selemani udongo wa mwiaho noma sana
@saeedmohammed10675 жыл бұрын
Usikufuru kwa kutafuta umaarufu, tambua iko siku yote hayo usemayo utakuja kuyajutia.