UNABII WA KIBOKO YA WACHAWI UMETIMIA. USHAURI KWA SERIKALI

  Рет қаралды 23,109

huduma ya kristo

huduma ya kristo

Күн бұрын

Пікірлер: 133
@eunicemasai9544
@eunicemasai9544 2 ай бұрын
Ni kweli Mtumishi wa Mungu umeshauri vizuri Mungu akubariki kazi ya Mungu isonge mbele
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 2 ай бұрын
kiboko wawachawi hao walio fungia kanisa niwachawi usiwache waishi wote walio panga kukufungia ibada wafe woteee wajue mungu yuko kazini kuna mmojaa alizuiya mkutano wa kiboko arusha leo anapumulia mashine
@goldmansun5859
@goldmansun5859 2 ай бұрын
Asiwaach waishi?kama ni wa Bwana bas Bwana mwenyew ataingilia, ngoja tuone
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 2 ай бұрын
Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
​@@thefinalstand2022usimmsingizie Magu kwenye huu ujinga aisee! Mahubiri Yale ya kusema hawezi huniri utakatifu?! Usitudanganye
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Which god ndugu?
@designdesign4426
@designdesign4426 2 ай бұрын
Hili nalo taila kiboko ya wachawi unamuamini tapeli lile
@NinaKenya
@NinaKenya 2 ай бұрын
Umeongea ukweli Mtumishi Be blessed 🙏
@StevenMwita-g3i
@StevenMwita-g3i 2 ай бұрын
Sijakuele kumwombea mtu kwa pesa kuchanga kwa viwango kwa kazi ya mungu mfano kujenga kanisa nk sio kumbea mtu kwa viwango badili hiyo
@ellentukiko5699
@ellentukiko5699 2 ай бұрын
Umeongea vizuri sana Mtumishi wa Mungu, na umeshauri vizuri sana kuhusu hill swala. Mungu akubariki🙏
@SofiaMwale-m4w
@SofiaMwale-m4w Ай бұрын
Mm Niko kenya.na pastor Dominick alisaidia watu wengi hasa wa tz.lakini serikali ya tz ilimfukuza bila kumuonya.
@djfaraji
@djfaraji 2 ай бұрын
Jamani imani inatisha sana msiingize imani na siasa imani inanguvu.
@SereneIcyComet-gd5we
@SereneIcyComet-gd5we 2 ай бұрын
Nina Imani 100% kama ni mtumishi wa mungu bwana hatomwacha afukuzwe kama mbwa na isitoshe kama waliofanya huo ujinga kama wameshawishiwa na wachawi wataanguka muda sio mrefu
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 2 ай бұрын
Kwani lazima afanye huduma Tz? Afanye hata kwao Mungu atakuwa pamoja naye.
@imanimulumbilwa6056
@imanimulumbilwa6056 2 ай бұрын
Ongera sana,umechambua vizuri sana ktk hili la kiboko
@MusaNzoa-n4e
@MusaNzoa-n4e Ай бұрын
@Leeeeeeee-96
@Leeeeeeee-96 2 ай бұрын
mungu aendeleee kukuinua kaka 🎉🎉🎉
@OS-pf6op
@OS-pf6op 2 ай бұрын
Asepe! Mbona Kagame kafungia makanisa zaidi ya 1000
@AsiaRamadhan-t7k
@AsiaRamadhan-t7k 2 ай бұрын
Mungu akubariki
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 2 ай бұрын
Sahihi mchawi anatakiwa kufa kwa maombi, hatakiwi kuishi hata Mungu karuhusu wafe kwa maombi,
@TumainiManga
@TumainiManga 2 ай бұрын
Ubarkiwe Mtumishi kutueleweshwa
@christophermwankenja1221
@christophermwankenja1221 2 ай бұрын
Mbona mgogoro mbaya wa kkkt konde wizara haikuingilia kati?
@titoDanda-m4p
@titoDanda-m4p 2 ай бұрын
Wawezaje kulinganisha zaka na viwango vya kuombewa au kumwona mtumishi wa Mungu?
@saimonjuma2411
@saimonjuma2411 2 ай бұрын
Wanafungia neno la mungu kweli
@JastiniElishawaokoke
@JastiniElishawaokoke 2 ай бұрын
Uko sawa mtumishi
@CamillahAdam
@CamillahAdam 2 ай бұрын
Umeongea point sana, wamemuonea kiboko ya wachawi
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
😂umemsikiliza? Rudia tena ,utafuta comment hii
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 2 ай бұрын
Hongera sana ndugu, nafuatilia sana jumbe zako
@josephmallya5525
@josephmallya5525 2 ай бұрын
Usimwache mwanamke mchawi aishi shida hili sio fundisho la msingi kama alivo kiboko ya wachawi ni kama kufanya mafuta ya upako sio fundisho la msingi ila yalitumika
@BenjaminMwakitalu
@BenjaminMwakitalu 2 ай бұрын
Huyu jamaa amefanya kazi kubwa kwa muda mfupi, kuliko mtumishi yeyote yule Africa na duniani kote ,lakini kama huyu jamaa anatumiwa na Mungu hawa watu wsliofanya hivi watamjua Mungu kuwa yupo mbinguni.
@UtukufuEliya-sy2po
@UtukufuEliya-sy2po 2 ай бұрын
Roho ya mpinga kristo hiyo
@abrahammtegeta635
@abrahammtegeta635 2 ай бұрын
Mtumishi umeongea kwa hekima ya juu sana
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Mungu akupe umri baba
@florencemushi6561
@florencemushi6561 2 ай бұрын
Safi sana mtumishi wa Bwana. Huyo ndo utaratibu wa kiMungu. Mbona Mwamposa aliua watu zaidi ya 20 na hakuchukuliwa hatua!!?. Viongozi.wa hiyo CPCT wsmemuonea 100%
@GraceWilliam-d1w
@GraceWilliam-d1w 2 ай бұрын
Kwenye sadaka hapo umekosea kiwango alichokiweka mungu ni kwenye fungu la kumi tu. Sio kwenye. Sadaka na matoleo mengine hapo ni wewe unachowiwa moyoni mwako na nilichogundua wewe ni mmojawapo maana unaonekana unatetea maovu mi nategemea mbarrkiwa atakujibu maana unajichanganya kwenye maelezo yako hueleweki sasa hata wagonjwa wanawekewa viwango toka zako ujinga hapa serikali imefanya vizuri sana na wengine watafuata
@goldmansun5859
@goldmansun5859 2 ай бұрын
Michango kwa ajil ya huduma ipo tu,hulazimishw kutoa ,we chagua kiwango changia,hutak acha, inategemea sasa moyo na nia ya hao viongozi
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 2 ай бұрын
Kwake yamekua magumu kwa sababu ya Uraia tuu!!!! Afrika kusini ipo mahali pote hapa Afrika. Tuwe Makini tunapo ushi inchi za watu!!!!
@AishaAishaothmani
@AishaAishaothmani 2 ай бұрын
Mungu muinue tena upya kiboko ya wachawi mlinde asante baba kwa kumtetea hana makosa ni fitna tu kutoka gazi flani ila mungu ataonyesha njia🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ShorasticaSalanje
@ShorasticaSalanje 2 ай бұрын
Achana na Tengwa kabisa ni mpakwa mafuta wa MUNGU unamfananisha Tengwa na nani vile,,
@monicasimpilu6257
@monicasimpilu6257 2 ай бұрын
Mungu atusaidie ss wakristo wenzetu waislam hawahangaiki kabisa. Pia serikali isisajili tu makanisa wafanye uchunguzi kabla hawajasajiliwa. Tuwe makini Watanzania.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Ht wao Wana madhehebu km hujui
@moseshaule586
@moseshaule586 2 ай бұрын
Wewe usiseme nyamaza kabisa, waislamu wanajazana kwa mwamposa na kwa kiboko ya wachawi ni balaa.. tena hao ni wengi kule wewe husikilizagi shuhuda
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 2 ай бұрын
Hata kama ni Mtumish wa Mungu anaweza kukosea pia,ila labda asitoze pesa nyingi hata kwa masikini yeye ni nabihi anaaswa kujua huyo anaekuja kukuona hana pesa awahudumie wote bila watu wakiona mafanikio watatoa tu pesa
@ericosambi2736
@ericosambi2736 2 ай бұрын
Ngojeaa kamaa wahengaa wanavyoo semaa mudaa utasemaa baasii tutaonaa
@sizyathom-qq5cx
@sizyathom-qq5cx 2 ай бұрын
Apooo kweli
@Yomiyomi6897
@Yomiyomi6897 2 ай бұрын
Ninyi, huyu Stivin Jacob, siyo mtu wa kumdhihaki huyu. Mwogopeni mtu huyu. Msikieni mtu huyu. Ni baraka kupewa mtu huyu. Tafadhali.
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 2 ай бұрын
Wewe upo pamoja naye ?
@happykidagayo1270
@happykidagayo1270 2 ай бұрын
Wewe kijana mpumbavu huwezi kumtaja tengwa hiyo level nyingine
@AdrofinaRaymond
@AdrofinaRaymond Ай бұрын
Kwakwel
@BarakaTsere-hi8uj
@BarakaTsere-hi8uj 2 ай бұрын
Yesu alikuja kwaajili ya wachawi jamani nao instakiwa waokolewe
@GraceMalley-ly2xn
@GraceMalley-ly2xn 2 ай бұрын
Ilo kweli alitakiwa kuonywa sio kumfukuza ,na kuua wachawi huwa naona anawaua kwa maombi nikisikiliza ibada huwa auwi kwa upanga,apunguze gharama kubwa lakini asemehewe
@BOAZMAGANGA
@BOAZMAGANGA 2 ай бұрын
Selikali kufikia kufunga kanisa ujue wamefanya uchunguzi
@AmisseMwenetombwe
@AmisseMwenetombwe 2 ай бұрын
Wamsafirishe sasa na Mkewe na kulmlipia passport ili wasije kutenganisha ndowa yake.
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv Ай бұрын
Umechanganya mambo mchango na kuombea watu kwakutoa pesa au kumuona mtumishi kwa pesa hapo kuna vitu viwili tofaut mchango au kuwa patna kuchangia huduma sio kosa) kosa ni kulipa hela ya kumuona au maombi ya kutoa pesa Ww umechanganya mambo unatia hasira
@joshuayohana7880
@joshuayohana7880 2 ай бұрын
Uko vzr kk
@tumwitikemanda7601
@tumwitikemanda7601 2 ай бұрын
Imeandikwa usiende kabisa ni Nikon mitupu
@blandinakimbe8910
@blandinakimbe8910 2 ай бұрын
Baba iringa tanangozi malagos pitia pale
@mrsfidekessymkumbo7007
@mrsfidekessymkumbo7007 2 ай бұрын
Waislamu hawafungui misikiti. Lakini tayari pia nao wapo wanaofanya mihadhara. Lakini pia nao sasa wana vidhehebu kadhaa. Ila waumini wao wengi tu wanakwenda kwa hawa wenye mafuta.
@saimonjuma2411
@saimonjuma2411 2 ай бұрын
Kwann unafungiwa kanisa
@credychipungahelo1515
@credychipungahelo1515 2 ай бұрын
Sherehe ya muda lakini najua Mungu atamwinua tena
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi 2 ай бұрын
Uko sahihi mtumishi hata hiyo hela yenyewe huwa hawalazimishi watu.
@annalyimo2659
@annalyimo2659 2 ай бұрын
Anza kufa ww usitambua mafundisho ya kweli na ya ukengeufu
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Ulipelekwaaa
@sarahmaro215
@sarahmaro215 Ай бұрын
Mtumishi kiboko.ya.wachawi.bola.shaka unamwona anachokifanya kwa sasa mitandaoni je huyo bado ni mtumishi huyo kweli? Binafsi staki hata kumsikia maani ni mhuni kama wahuni wengine
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Mi kuhusu hela sina shid acha watoe maan ahajawlaazimisha! Ila yale mahubiri hapana aaisee! Yale mavazi yale mnaelewa maana yake? Haoana hebu kuweni makini
@sesilianjala3306
@sesilianjala3306 2 ай бұрын
Kweli kabisa, hata Mimi sijawai mwelewaga yule jamaa, kiboko ya wachawi, MUNGU anisamee
@margaretlongway133
@margaretlongway133 2 ай бұрын
Jamani Kuna tetesi waliotapeliwa hela na huyu mkongo anaejichumbua wanarudishiwa Ni kweli?
@wilfredmuruve3323
@wilfredmuruve3323 2 ай бұрын
Waganga na Wachawi nao pia wafungiwe na wao hutoza hela nyingi zaidi kwa wenye shida tena hawana maadili..
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 ай бұрын
Wanaofanya huduma kama kiboko ya wachawi ni wengi saivi tz na Africa wezi tu ila kiboko ya wachawi kaonewa 7bu sio mtanzania
@hajimnzava1972
@hajimnzava1972 2 ай бұрын
Umeongea Kwa hekima
@GodfreyMarema-z7o
@GodfreyMarema-z7o 2 ай бұрын
Huyo nambii wa wachawi ni tapeli mkubwa
@MdAr-q7i
@MdAr-q7i 2 ай бұрын
Nahao walio fanya hiv wafe wasibaki hata.moja.yani ningekuwa karibu naye ningemwqmbia asimuache hata hao wanao ropoka ropoka mtandaon
@thefinalstand2022
@thefinalstand2022 2 ай бұрын
Nimemkumbuka kamanda wa Mungu Mtumishi John Pombe Magufuli.... Hakika John Pombe ungekuwepo leo, Kiboko cha wachawi asingeguswa kabisa! Mimi niseme, asiporudi sasa, atarudi tena baada ya uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.
@EmmanuelKalebu
@EmmanuelKalebu 2 ай бұрын
Acha kutetea uovu
@bihusiismaili6154
@bihusiismaili6154 2 ай бұрын
Baba wauwe hukohuko ulipo wachawi wote wafeeeeee hizo ni figisu tu na wivu wafeeeee
@wilsonchallange4420
@wilsonchallange4420 2 ай бұрын
USIJISIFU HAPA. Huyo Dominick Kiboko ya Wachawi alishaandamwa Sana na dalili zilionesha kuanguka kwao. Hapo HAUJATOA UNABII ni kwamba UMEBETI.!
@titoDanda-m4p
@titoDanda-m4p 2 ай бұрын
Wote wanaotumia fedha kumwona nabii wafutwe tu,mmepewa bure toeni bure
@charlesnyanhanga4382
@charlesnyanhanga4382 2 ай бұрын
Leo nimekubali MUNGU anakutumia mtumishi
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 2 ай бұрын
Tithe is not compulsory under new testament. Kwenye agano jipya tunatoa kwa moyo wa kupenda, sawa na kufanikiwa twetu.
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 2 ай бұрын
Huyo naye nimchawitu hakuna kumpamba tenakama nimkongo stoke nchini ungekuwa weweukiwa Mchungaji ungewaita nakuwaombea kwaMunguwakweli wangeacha.
@MarthaLungwa-sr4er
@MarthaLungwa-sr4er 2 ай бұрын
Ni wanafki wote hubirin din ya kweli saidien watu wasiojiweza sio kutrend kwaajili ya mtu mwingine sikuiz dunia iko hovyo hakuna hata mtakatifu rejes biblia vizur soma kwa makin isay hesabu zbe yremia uone mambo soma na nyakati
@wilsonkakili2481
@wilsonkakili2481 2 ай бұрын
Ww nni mt usiyejitambua lini ulifika Efatha ukakuta mwingira kumwona unatoa hela usitafute jina kupitia mwiingira Ustahili hata kua mchungaji Katafute kazi ya kufanya
@ChristineKassanga-xm9xe
@ChristineKassanga-xm9xe 2 ай бұрын
Wanaompinga wote wachawi ila ajirekebishe tu kwenye maombi Yesu aliponya bila pesa tena alikuwa akimponya mtu anamwambia usimwambie mtu yyt sasa hawa sijui wapo kidigital 😆
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 2 ай бұрын
Mmh mwingira?!!! Ndo nasikia leo ,kwamba kumuona mpk fedha? Mmh Labda km kuna michango ya kawaida ya ujemzi wa kanisa , anyway mnaosali kwa mwingira mtithibitishie hili,sitaki kuchuma dhambi
@AminiMoshi-cn9wi
@AminiMoshi-cn9wi 2 ай бұрын
Hapa kàma mñàfungià hudumà na nyie mkifungíwa mnàyoßimàmia nà Mungu tutafika?
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 2 ай бұрын
Hakika wewe ni mkweli sana nimekukubali!
@AdamJonas-sx4mi
@AdamJonas-sx4mi 2 ай бұрын
Tatizo haliko kwa Watanzania tatizo ni wa kristo wa Kitanzania ni wanafiki hawapendi huduma ya mtu mwingine iinuke.
@gudayakutemile577
@gudayakutemile577 2 ай бұрын
Hiv na mabodigadi wako walikuwa wanakula buyu kweny wizi huoo
@StansMushi
@StansMushi 2 ай бұрын
Wewe jacob nilikua nakwamini sana, lakini na ww nimeanza kupata mashaka. Kweli kwa mwenendo wa dominic ni wa kupewa onyo? Ama kweli MUNGU atusaidie.
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Tumishi wa kiroho wachawiiii wengi tunakutana kwenye folen ya waganga na wengine walifika kwa kiboko kuomba awaguse huduma zao zsonge
@estertemba
@estertemba 2 ай бұрын
Huyo ni mwizi hata Mimi amenichukulia Hela yangu e mungu atakupiga tu na Hela za watu
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 2 ай бұрын
Labda alionywa kabla,sidhani kama kuna uongozi wa kuchukua hatua kabla ya maonyo maana nao ni watumishi wa Mungu kwa mujibu wa warumi13-1-4.
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 2 ай бұрын
Serikali ichukue hatua kali kwa wahubiri (watumishi) matapeli.
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
MUngu akubariki Mtumishi wa Mungu maana umesisima kama Malaika wa Mungu. Nafikiri wanaomchukia niwachawi. 13:56
@HeppyRafaeli
@HeppyRafaeli 2 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu maana hii ni chuki kubwa
@HoseaMyovela-wg1kf
@HoseaMyovela-wg1kf 2 ай бұрын
makanisa yasiyo sajiliwa yafungiwe
@agustinohizza1395
@agustinohizza1395 2 ай бұрын
Humdanganyi mtu
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 ай бұрын
False prophets are just for money. Everyone is doing business.
@moshiwasua5749
@moshiwasua5749 2 ай бұрын
Mordegai alimwambia Malkia Esta Je unadhani wewe utasalimika ?
@NaomiAgreey
@NaomiAgreey 2 ай бұрын
Acheni kufuraia hamumpendi kiboko ya wachawi, ni zambi na mjue wanabii bado wanatakiwa kuongezeka wala dominic hajaanguka mtaanguka wenyewe ,
@MdAr-q7i
@MdAr-q7i 2 ай бұрын
Acha uchawi na ww fanya na ww hebu watu wagoner mbona sipitali hawahubiri wala duwa yeyote hamuongei lakini huyo anaye.ongea neno lamungu.mnaongea acheni roporopo.midomo yenu inanuka.kama.chooo
@AverinaShirati
@AverinaShirati 2 ай бұрын
Lutumba
@zabibusaidi1404
@zabibusaidi1404 2 ай бұрын
Iboko anasoma biblia na anajuakuitafakari vizuuur kabisa mm ni muislam lkn napenda mahubiri yake mpaka ni echanganyikiwa nimeponea kwake
@Gislamushi
@Gislamushi 2 ай бұрын
MUNGU haziakiwi,
@karimmveyange280
@karimmveyange280 2 ай бұрын
ANACHOKIFANYA DOMINIC NI SAHIHI. BIBLIA NA QURAN ZIMEAMRISHA WACHAWIWOTE WAUAWE. UKIONA KUNA WANAO MPINGA UJUE KABISA WAO NDIO WACHAWI. NA WANANCHI WATATESEKA SANA KWA ISSUE YAKULEA WACHAWI.ITABIDI WATU WACHUKUE SHERIA MKONONI
@radisokida894
@radisokida894 2 ай бұрын
Hata wewe umepotea huutambui wito wa kazi yako mna unga unga nyinyi mnakwenda na misimu wewe mwenyewe huna utumishi wowote yako mengi ya hovyo unayaficha mbona yako huweki hadharani acha unafiki
@bahatadof5543
@bahatadof5543 2 ай бұрын
Ila ndugu na wewe una vomuattack Mama kila wakati,mbona Kama una hekima mbona humfuati Mama private ukamueleza anirekebishe,Leo unamtetea kiboki ya wachawi unamtetea mpaka mishipa inakutoka,jamani.ushauri wako wa Leo ni wa hatari
@TeddyPonera
@TeddyPonera 2 ай бұрын
Ww unaongea nn kaa kimya bible inasema kut, 22:18 nani andiko ajasema mchawi atubu . Nyie mnaekumbatia wachawi mko nje ya maandiko Domimick atarudi yule. Mtumishi wa Mungu wa kweli na Mungu atamrudisha na mtaaibika
@ZawadyKaoneka
@ZawadyKaoneka 2 ай бұрын
Ccm wanafanya makosa mengi mbona hawafutwi
@knight6757
@knight6757 2 ай бұрын
🤔🐸
@hamismohamed3541
@hamismohamed3541 2 ай бұрын
et jaman
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 2 ай бұрын
Kwani hapo wanaongerea siasa au manabii wa uongo
@knight6757
@knight6757 2 ай бұрын
@@ZawadyKaoneka 🤷‍♂️
@philomenastephen3364
@philomenastephen3364 2 ай бұрын
IFUNGIWE CCM KWANZA
@Gislamushi
@Gislamushi 2 ай бұрын
Unatetea uovu
@jenipherkachecheba8097
@jenipherkachecheba8097 2 ай бұрын
Anasoma biblia na anaijua! msikilize kwa makini! labda ulizoea kuona biblia inasomwa kanisani ama kwa kukaririshwa!
@Alicemsafiri
@Alicemsafiri 2 ай бұрын
Alafu kiboko ya wachawi ajawai kusoma bibria zaidi ya kusema wachaw
@Mahershalalhashbazi-kf6xi
@Mahershalalhashbazi-kf6xi 2 ай бұрын
Wacha bana
@AishaAishaothmani
@AishaAishaothmani 2 ай бұрын
Unauhakika
@AverinaShirati
@AverinaShirati 2 ай бұрын
Anasoma kidogo
@AverinaShirati
@AverinaShirati 2 ай бұрын
Alikuwa na kongamano limeishia njian
@MagrethShao-v4s
@MagrethShao-v4s 2 ай бұрын
Yaani huyo kiboko jamani ni mchawi naanauwa watu nakusambaratisha familia siyo mtumishi wa Mungu huyo aliniitisjha pesa nikawa Sina skanifukuza na unaprwa karatasi ya laki tano ndiyo ukamwone huyo pepo sdui wa msalaba
@AverinaShirati
@AverinaShirati 2 ай бұрын
Anafukuza watu kanisani kwake
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 12 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 66 МЛН
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 14 МЛН
MUNGU AMERUHUSU MAUMIVU KWA WASEMAJI NA WATENDAJI WA SERIKALI
35:14
huduma ya kristo
Рет қаралды 16 М.
KIBOKO YA WACHAWI KALAANIWA EV PASCHAL CASSIAN
39:08
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 80 М.
UNABII UNAENDELEA KUTIMIA. WAKO KWENYE LAANA YA UTORO.Mwanzo:4:11-12
44:29
KIMEUMANA CASSIN NA KIBOKO YA WACHAWI KUZALILISHANA HAZALANI EV PASCHAL CASSIAN
1:11:12
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 140 М.
KILIO HUJA USIKU  NA FURAHA HUJA ASUBUHI
1:04:04
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 2,8 М.
MCH HANAJA APIGA NONDO NZITO KUHUSU KIBOKO YA WACHAWI
28:20
Mbengo Tv
Рет қаралды 58 М.
How it feels when u walk through first class
00:52
Adam W
Рет қаралды 22 МЛН