VIDEO: MAJAMBAZI WANASWA WAKIWAPORA WAZUNGU WANNE kwa KUTUMIA BUNDUKI...

  Рет қаралды 21,386

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

VIDEO: MAJAMBAZI WANASWA WAKIWAPORA WAZUNGU WANNE kwa KUTUMIA BUNDUKI...
Kitengo cha upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini Kenya (DCI) wameachia video yenye ukakasi ikionesha jinsi raia mmoja mzungu alivyoviziwa na kuporwa na genge la majambazi ambao walikuwa na bunduki.
Katika video hiyo ya CCTV, mwanamke mzungu alikuwa na wenzake watatu kwenye barabara moja nchini humo inayoonekana kuwa ni mtaa wa kifahari jijini Nairobi ambapo majambazi hao waliwavizia kabla ya kuwatolea bunduki.
Wenzake walifanikiwa kutumia falsafa ya miguu niponye huku mmoja akibaki katika mikono ya genge hilo la majambazi ambao walimburuza vibaya kabla ya kumuibia kila kitu na kumuacha hoi bin taaban.
Katika video hiyo ya ukakasi, wanaume wawili wanaonekana wakiwavamia wageni wanne na mara moja wakaanza kuchukua mali zao kwa nguvu.
Majambazi hao wanaonekana wakibeba begi lake na kuanza kukimbia; mlinzi anayesimamia jengo la jirani alijaribu kuwafuata, lakini wakamtisha kwa bunduki.
Awali ofisi ya DCI ilieleza jinsi genge la majambazi ambao wamekuwa wakiibia watu walikamatwa baada ya kufuatiliwa kwa zaidi ya saa 24.
“Jambazi Peter Waithaka mwenye umri wa miaka 33, anayeaminika kuwa mkuu wa genge lililohusika na wizi wa kutumia silaha ambao umeripotiwa huko Kilimani na viunga vyake, alikamatwa jana jioni huko Makongeni katika viunga vya ardhi vya Nairobi Mashariki,” ilieleza ofisi hiyo ya DCI.
Peter Waithaka anatajwa kuhusika na mauaji ya raia wa Ugiriki mnamo Oktoba 15, mwaka huu.
Jambazi huyo ambaye aliachiliwa hivi karibuni kutoka gerezani aliwapeleka maafisa wa upelelezi hadi nyumbani kwake Wangige, kaunti ya Kiambu, ambapo vielelezo muhimu kuhusiana na visa vya wizi vilipatikana na kurekodiwa.
\⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 17
@globaltv_online
@globaltv_online 2 жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 2 жыл бұрын
Mwafrika Akiibiwa Ulaya Inakua Sio Habari Lakini Mzungu Akiibiwa Afrika Ndio Habari Dunia Hi
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Utasikia ooooh kenya tunaela zikowapi mbona wanaibia watu🤣🤣🤣🤣🤣😏😏
@neemamkemae2580
@neemamkemae2580 2 жыл бұрын
Ebu leteni habari za maana bhn, sio kumuibia tyu wangemtia na mikofi Kwan mzungu yy nani ...
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
Maisha ya kenya ni magumu sana, wanasiasa wa kenya wameharibu sana taifa la kenya, kwetu Tanzania pia wanaiharibu sana nchi, maisha kwa vijana yamekuwa tight vibaya.
@khadijajacobo4660
@khadijajacobo4660 2 жыл бұрын
Wafanye kazi
@amoonatnzani9834
@amoonatnzani9834 2 жыл бұрын
Duuh
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
💔💔💔💔💔💔💔🤧🤧🤧🤧🤧🤧
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Bass haya
@nyaganyaga3876
@nyaganyaga3876 2 жыл бұрын
Huyu mwingine alitaka kuibiwa mbona mwingine kakimbia yeye kabaki tu hapo
@ErickCharles-yd7lp
@ErickCharles-yd7lp Жыл бұрын
Unasauti zari msimliaji
@davidmwandenuka1712
@davidmwandenuka1712 2 жыл бұрын
Kesho kutwa utasikia ameachiwa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 2 жыл бұрын
Acha wawapole tu wao wanatuibia kweupqe
@frenkfrenk5064
@frenkfrenk5064 2 жыл бұрын
Apo ingekuwa tanzania ungesikia maneno yakipuuzi kibao
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa, ungesikia wameshasema R.I.P
@farajambigo7702
@farajambigo7702 2 жыл бұрын
🤣🤣
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Utasikia ooooh kenya tunaela zikowapi mbona wanaibia watu🤣🤣🤣🤣🤣😏😏
TAZAMA MBWA ALIVYOMSAIDIA ASKARI ALIYEKUWA AKIPORWA SILAHA na MHALIFU..
7:23
Global TV Online
Рет қаралды 1,3 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 22 МЛН
“Don’t stop the chances.”
00:44
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 62 МЛН
Scammers PANIC After I Hack Their Live CCTV Cameras!
23:20
NanoBaiter
Рет қаралды 29 МЛН
DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA
5:44
Millard Ayo
Рет қаралды 856 М.
Rigathi Gachagua kutoa taarifa kuhusu chama chake cha kisiasa
4:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 105 М.