Haki pastor naomba mwenyezi MUNGU akupe maisha marefu Ili uzidi kutubariki naneno lake MUNGU.
@rosemutinda30765 жыл бұрын
Hapa nimesoma kitu. Wakati nitakapo anza kujenga nitatakasa shamba langu. Asante sana mtumishi wa Mungu
@vickylupemba60553 жыл бұрын
Kwa damu ya Yesu Kristo Pastor David Mmbaga barikiwa sana. Mimi ni mfuatiliaji wako. Amina.
@buyambabuyamba25405 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi asante kwa kunifungua kwa mafundisho ya Damu ya Yesu.
@adamsonkyando6823 жыл бұрын
Dar!!!!Unafundisha vizuri sana hongera kwa kupendelewa na Mungu
@mossesjoseph22023 жыл бұрын
Mungu na akujalie umri mrefu na heri duniani, uzidi kutulisha chakula cha roho.
@mariamngumbao7836 жыл бұрын
Asnte kwa ushauri umenisaidia mungu akubairiki. Amina mchungaji
@esthersimuli99522 жыл бұрын
Amen damu ya Yesu imenisafisha
@atinaminzani13726 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Baba yetu aliye mbinguni
@isackonlynetv28106 жыл бұрын
Asante pasta
@tamaraotieno3135 жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi Wa Mungu
@eunicenyandiko13894 жыл бұрын
Amina uongezwe neema na busala
@josephinembise61512 жыл бұрын
Asante Mungu
@loyceackim42966 жыл бұрын
Ubarikiwe mchungaji
@rafoursamiol52445 жыл бұрын
Nabarikiwa sana mtumishi wa Mungu
@Olivia-le4oc5 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji kwa masomo unayo tufundisha. Ila nina swali hapa nyoka amelaaniwa lakini kwanini Mungu alitumia kama ishara ya kumuakikishia Musa ishara? Naomba unifundishe hapa kidogo huwa najiuuliza sana maswali kuhusu hili jambo. Na lingine swali ni kwamba; maisha yetu ni baada ya ufufuko wa yesu which is agano jipya, sasa hapa kwenye swala la sadaka sijui mafungu ya kumi ya n.k ambayo hii ni ya agano la kale. Mchungaji naomba utuandalie hili somo ili watu tuelewe zaidi maana imefika mahali hatujui wapi tusimamie kuhusu hili jambo. Asante na salamu sana kutoka huku Belgium.
@edinahmoraamageto7344 Жыл бұрын
So so powerful ameen
@gidombawala31114 жыл бұрын
Mafundisho salama, kwa sikio linalosikia lisiishie kwenye kusikiliza tu bali na kutendea kazi. NAOMBA DAMU YA YESU IWAFANYE WENGI KUWA WATII WA AMRI ZOTE KUMI ZA MUNGU.
@loycemgonja26346 жыл бұрын
Barikiwa mchungaji kwa somo la nguvu ya damu hili somo limenifanya nifunze kitu kipya
@nippermshana92606 жыл бұрын
Aminaaa
@maureenjovial60834 жыл бұрын
Amen nabarikiwa asante
@shimwekagwiza23005 жыл бұрын
Asante pastor nimekuelewa
@gabrielpott33255 жыл бұрын
jina labwana naliwe juu yetu daima hakika mkono wake unanguvu milele.ameeen
@veronicambwambo64314 жыл бұрын
Ubarikiw mtumishi una nibariki san
@neemajaphet53495 жыл бұрын
Mungu akubariki.sanaa
@awalimunishi6 жыл бұрын
kila siku napata mafundisho mapya kwako Pastor ,Mungu akubariki
@priscalmichael85795 жыл бұрын
Masomo haya yamenipa nguvu mpya Mungu akubariki sana sana
@MahubiriPrMmbaga5 жыл бұрын
Amen
@angel-y6 жыл бұрын
Amen. God bless you Pastor.
@msangodiesel31322 жыл бұрын
tunapata thawabu kutoa
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
amen
@stelllakapaya95174 жыл бұрын
Amina mchungaji
@kiazikitamu39856 жыл бұрын
hata huku ulaya kuna maghost kwenye baadhi ya nyumba na.huwa kuna kipindi maalumu kwenye TV kinaitwa Panorama investigation au Haunted house.kuna mauzauza ya ajabu inatisha ukiangalia ni kweli mtumishj anavyosema nyunyizia damu ya yesu kwa imani kila unapoamia nyumba mpya .
@simonnyakunga60306 жыл бұрын
Kristo wa neema yote
@davisrotich1165 жыл бұрын
Amen Amen
@bidafumbuka8556 жыл бұрын
Bwana asifiwe milele zote
@roseshayo10806 жыл бұрын
Barikiwa Pr kwa masomo mazur
@sheilaombongi80865 жыл бұрын
Hallelujah Amina
@shadrackmpama29474 жыл бұрын
Hongera sana mchungaji unanibatiki
@neemajaphet53495 жыл бұрын
Hahaaa pastar.huyo mchungaji likuubua kweli kama watoto venye wanatuumbua ubalikiwe
@nickfranck50046 жыл бұрын
Barikiwa pastor
@euniceeunice76806 жыл бұрын
Akika mungu mkubwa nimeona nitoe huu ushuuda.mimi kila siku uwa nasikiliza aya mahubiri usiku mchana na asubuh sasa mimi naishi na mnaigeria ajui kiswahili ila nimeshangaa saiz apa ananiambia aya unayo yasikiliza nikilala uwa nasikia uyu mchungaj anaongea English namuelewa kbs yn nimeshangaa sanaa mchungaji unahubiri kwa kiswahili lkn uyu mwezangu anasema anakusikia vzr kbs yy anasikia unaongea English akika jina la yesu libalikiwe mungu azidi kukupigania nashukuru pia kuona nguvu ya yesu inaendelea kufanya kazi mimi ni msabato kwa baba na mama na nimebatizwa sema siko tz kwa sasa mungu awabariki sana watu wa mungu
@zamdasalumu97406 жыл бұрын
hakika Mungu ni mwema sana
@junessalama91292 ай бұрын
Hakuna jambo la kumshinda Bwana
@fei36685 жыл бұрын
Ameeeeeni
@phiniasoyugi48506 жыл бұрын
Kweli bwana yu ndani ya watu wake naona umenipa fundisho ambalo sijalisikia bado
@rebeccagasper83104 жыл бұрын
Mungu atukuzwe kwa kukutumia vyema
@nyarkamrumbeayoma68865 жыл бұрын
Hakika neno la Bwana li hai,kila unapo hubiri ni kama unaniambia mimi tu, Endelea kutupa neno la bwana
@judithsamson59106 жыл бұрын
Unatubariki sana
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Judith Samson BWANA ATUKUZWE
@shamuadavid73476 жыл бұрын
Mch uongezewe cku za kuish ili uendelee kutubariki ubarkiwe saaaan na Mungu akupe afya amina barikiwa
@daudmsomba24394 жыл бұрын
I nimependa
@janekuloba9266 жыл бұрын
Asante Pastor kwani nime pokea hambacho nilikua nasubiri uparikiwe
@emmanuelchaunga87566 жыл бұрын
Ninabarikiwa na mafundisho yako hadi nashangaa
@MahubiriPrMmbaga6 жыл бұрын
Amen. Mungu atukuzwe
@emmanuelmbuliimo70553 жыл бұрын
Nimeangalia upya ili nielewe. VIZURI huyu Mungu muache aitwe Mungu
@عيالي-م6ف6 жыл бұрын
Asante sana mchungaji napendasa mufundisho Yako bamba nambayako ta whatsApp
@germansada51544 жыл бұрын
Post more
@selfaakinyi5125 жыл бұрын
Mchungaji mwezi ujao nataka kufungua biashara but Mimi siko Kenya Niko Qatar nitamtumia kaka yangu pesa afungue, ila umesema kabla yakufungua biashara tunaitaji kunyunyiza damu ya yesu na kuakisha mwanga was yesu kwa biashara zetu. Sasa nitanyunyiza vipi nikiwa mbali na hiyo biashara mchungaji?
@jamesswai65835 жыл бұрын
@selfa unafanya kwa iman ata Kama ukiwa mbali waweza fanya.
@mussasengeka81116 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu naomba number yako ya simu yangu 0768745942 Nina shida sana