Yoyote anaesikiliza Leo pasaka 31 March 2024 Mungu awe nasi .
@ClaudPaul-bb3jx8 ай бұрын
Amina
@jacksonvalence73658 ай бұрын
Amina
@STELLABARRACKS-rc6if8 ай бұрын
Amen😊🤲🏾
@stella8206211 ай бұрын
Huyu shimanyi ni moto wa kuotea mbali
@VelmaAkinyi-e7vАй бұрын
Ninausikiza wimbo huu kila mara.najihisi pia kuimba❤❤ sauti nzuri sana💥💥💥
@esthersissamo1120 Жыл бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki barikiweni sana wanakwaya kweli mmeimba vizuri sana Mungu awe nanyi
@zawadilameck2136 Жыл бұрын
Hujawahi kufeli kila kuchapo unazidi kuwa hatalii🔥🔥🔥🔥 Shimaaa🤗wew ni hatali daima utabaki kuwa hatari
@mercykavaya5284 Жыл бұрын
Tunawasalimu kutoka Kenya mbarikiwe jameni hii imeweza tena saana
@Onesmus8301 Жыл бұрын
watanzania mko kiwango cha kipekee katika nyimbo za injili, kazi nzuri
@Mc_Kibonge_Mwepesi Жыл бұрын
Dada Teddy popote ulipo nakusalimu kwa jina la Bwana 😀😀😀 Shimanyi wewe tulishakubaliana pale mbinguni lazima upate chumba chako special! Duke kionee huruma kinanda kinateseka jamani! Binti Kidaluso wewe ni mtoto wa nyoka lazima ung'ate kam babaako! Huyu mwenye moka zinazonata na bit😀😀😀 ubarikiwe sana! Funga kazi huyu mmasai wa mchongo anayewafungilia geti huyu kitengo chake huko mbinguni ni hichohicho!😀😀😀
@theresialfredybugalama5850 Жыл бұрын
😂😂
@ednadaniel3026 Жыл бұрын
Kazi. Nzuri sana mungu azidi kuwabariki
@abelmlandali1894 Жыл бұрын
😂😂😂
@JastinMassawe Жыл бұрын
Hahaha hii Comment imenifurahisha
@justinchilya4685 Жыл бұрын
Hongern jamn
@EMMANUELMAGANGA-in2gn8 ай бұрын
Aminaa 🙏🙏🙏 nami nawatakia heri ya pasaka alelluya alelluya mungu awabariki🙏🙏
@VeronicahMutua-t8j Жыл бұрын
I listen to this song every day aki inanibariki sana nikiwa kenya
@emma_mtapila755 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 @Shimanyi ndugu Yangu Mungu aangalie hata nyimbo zako..... asitazame dhambi zako° 🔥🔥🔥🔥
@martinleonidas4361 Жыл бұрын
Kabisa
@Meck1682 ай бұрын
Kazi nzuri duniani ni kumwimbia Mungu Asante kwa kutuonesha ujuzi Mungu Atukuzwe kwaajili ya wimbo huu Hakika Kafufuka
@Godfrey-pq1gj9 ай бұрын
I love this song and may it be a blessing to all who listen to it. Be blessed all.
Mbarikiwe sana tena sanaaa ila dada anaesolo wa kwanza kanivutia sana katendea wimbo haki ila wote mmeuaaaaaa
@chrysostomagapiti8635 Жыл бұрын
Waoooooo kazi nzuri na Mbarikiwe Sana Kwa uinjilishaji ili kazi ya Mungu isonge mbele kupitia uimbaji
@georgeziboni Жыл бұрын
Creativity kali mwalimu, naskia nota za kristu mfalme-ray ufunguo, lakin bonge la nyimbo 👏👏
@justinambrose3577 Жыл бұрын
Good morning ...... Amkeni amkeni aisee kumbe mambo ni motooo🔥🔥🔥🔥
@FABIANNYAMBATI-pi1zd Жыл бұрын
Ni heri nyoyoni mwetu,Yesu Mfalme ameshinda mauti,tumkaribishe kwa maisha yetu aweze kutuongoza katika maisha ambayo Yana milima na mabonde.Nawashukru wanakwaya kwa nyimbo nzuri.
@thepebrisfamilygracedbless6668 Жыл бұрын
Na nikasema umbali tumetoka na umbali tuanaenda kama CGen Pro watu wangu... Tunapaa mawinguni... Kazi safi kweli kama Kawa... Keep up the Good Job dears... Kaka Shimanyi never disappoint ❤🎉 Wanakwaya nao ni Malaika kweli. Yesu amefufuka Kweli... Happy Easter watu wangu
@edelassenga8515 Жыл бұрын
Ubunifu wa hali ya juu. Sifa kwa Roho Mtakatifu ❤
@joyceedes6654 Жыл бұрын
Waooh huu wimbo ni another level Mungu awabariki waimbaji wote pamoja na mtunzi 🙏🙏
@delfinankirote6501 Жыл бұрын
Hakika Bwana Kafufuka,🎉🎉🎉🎉🎉, I love the song
@berndethamavange5184 Жыл бұрын
Hongereni sana kwa wimbo mzuri, hongera kwa brother Fortune Shimanyi utunzi mtamu sanaa❤, hongera Duke organist brother paschal duuuh acha jamani
@HemedMressa5 ай бұрын
Safi sana jeshi la Mungu
@eliaskanonko Жыл бұрын
HONGERENI KWA WIMBO MZURI SANA
@futurenews5229 Жыл бұрын
Kazi nzuri, hongereni sana.. Nampongeza sana director Mdete TM pamoja na mtunzi bora Shimanyi pamoja na woote
@immaculataroeser9094 Жыл бұрын
Hakika Bwana ameshinda mauti.Tumtukuze na tumshukuru.Alleluia!! Hongereni sana wanakwaya wote.
@linahmacha370 Жыл бұрын
Sifa na utukufu ni zako ee Bwana 🤲🙏
@daudiwilliam1971 Жыл бұрын
Kazi moja kubwa sana tena ya moto. Hongera Kwa wote waliofanikisha kazi hii ya #muziki_mtakatifu #Mungu awabariki mzidi kumtumikia katika #Roho na kweli. Kaka #Shimanyi kwako sina deni kabisa kazi nzuri umeifanya. #Mungu azidi kukubariki ili utuletee vitu #vitamu na #adimu kama hivi. Hakika kumbe #NI_BWANA_KAFUFUKA.
@paulmziba1060 Жыл бұрын
Naomba tu nihamie Dodoma Nije niinjoi huuu muziki na wataalamu kama akina shimanyi, mmetisha sana Kristo Mfalme Kizota, nawamis
@jameskapita24998 ай бұрын
Aiseeee....Mungu Atubariki sote
@malocamugo769 Жыл бұрын
HONGERENI SANAAA KWAYA YA KRISTU MFALME KIZOTA CHINI MWAMBA MWENYEWE shimanyi na pascal duke kweli hii inatosha Kwa kweli pascal hiyo sauti yako bna ni bombaaa sanaaaa myself naomba sauti ya 4 nataka niimbe kama wewe .....any way mbarikiwe nyoteeeeeee
@OswardOsward-w4pАй бұрын
Yan nyimbo ni tamu na nusy🎉🎉
@DEEJAYCEDRICKE Жыл бұрын
Mungu azidi kubariki kazi ya mikono yako Shimanyi, Kenya well represented ❤
@lincolnsiso86983 ай бұрын
Hongeren kwa kipaj cha uimbaj
@mkatolikikenya8164 Жыл бұрын
Shimanyiii🔥🔥🔥🔥 Creativity nzuri Sana☺️💪🏾 Homgera kwa kazi safi🎉
@gregorymwakio56848 ай бұрын
Wimbo mtamu sana huu; sauti za nzuri sana! Nimeurudia sana na Bado naendelea kuusikiliza hivi sasa
@jonathanmarickh-un6fi Жыл бұрын
Kazi nzuri sana pongez kwenu wapendwa. FM Shimanyi, napenda sana Tungo zako,
@MARYKINGORI-xs5cf Жыл бұрын
Asanteni sana.huu Wimborne nashinda kusikiza kill wakati.Mwenyezi Mungu azidi kuwabariki.nawapenda wote
@annamoris2324 Жыл бұрын
Hongera kwa kazi nzuri afufuke pamoja na kazi ya mikono yako barikiwa wapendwa wote
@josephambrose2215 Жыл бұрын
Asanteni sana kwaya na wote mlioshiriki ktk uandaaji wa kazi hii nzuri sana🙏🙏🤔
@KMMM-KNDEGEDODOMA Жыл бұрын
Shimanyi & Duke hii combinenga aisee motoo mbarikiwe pia kkm Kizota mmeupiga mwingi🎉
@josephinegravasiano8860 Жыл бұрын
Wooow!! Wakatoliki tuko juu sio kwa kuimba huko , Mungu awatunze
@kahamahospital8231 Жыл бұрын
Nice nice da josephne na wengine mmetisha sana sana mje na kahama kristo mfalme nyasubi
@djqowechkenya Жыл бұрын
Mi ni wakwanza kuview kazi safi sanaaa mwalimu shimanyi ❤❤❤❤
@samuelomweri1419 Жыл бұрын
Hata sijui niseme nini kuhusu huu wimbo wallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rehemacharles327 Жыл бұрын
Mdogo wangu KIDALUSO MUNGU AKUBARIKI SANA DADA MZURI! HONGERANI SANA WANAKWAYA KWA KUIMBA VIZURI
@kalistsakaya6964 Жыл бұрын
Kwa kweli Mungu atukuzwe kwa ajili yenu,mmetisha hongera sana. Nipo Mbeya.
@faustinemakinda5838 Жыл бұрын
👏👏👏👍👍👏👍🙏hongereni sana kwaya Mimi Niko Moro Mwl shimanyi bg up 👊👊👋👋
@kostantinahowa1741 Жыл бұрын
Kumbe Ni Bwana ✨✨✨❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️
@victoranthony8705 Жыл бұрын
Sijawahi sikia wimbo wenye vibe kama hili, mpaka sasa
@Kagamastephen Жыл бұрын
Hongera sana ndg yang Shimanyi Mungu aendelee kukubariki kwa utunzi mzuri wa asili...na pia hongereni wanakwaya na wote walioshiriki kuandaa kazi nzuri hii...nawapongezi soloists wote kwa kuimba vizuri pia...
@monicaakale5707 ай бұрын
Creativity ya hali ya juu sana...pongezi shimanyi❤
@csato9415 Жыл бұрын
Shimanyi na wanakwaya wote pokeeni maua yenu 💐🌹🥀🌺🌻🌼🌷⚘you nailed it 👏👏
@EstherMukasa-zk4tb7 ай бұрын
Kwa kweli mtunzi na waimbaji mko vizuri sana.Mungu aendelee kuwainua
@calistarmrosso1940 Жыл бұрын
Sichoki kuangalia huuu wimbo jamani mzuriiii Sanaa barikiwa sanaaa.
@Anthony_Genge8 ай бұрын
wimbo mzuri sana huu🥰🥰🥰😘🥳
@stanslausnzwili5418 Жыл бұрын
Mambo Ni 🔥🔥🔥🙌🙌🙌 The shimanyi hongera Sana brother for wat you are doing. Mziki mtamu. 🙌🙌🙌
@tukenselachungu8336 Жыл бұрын
Hongereni saana🔥🔥🔥 vibe Kama lote
@rosemwaura9787 Жыл бұрын
Ooh my my my!!! Mko wapi nikuje? Hata Malaika mbinguni wanadance kwa hiyo wimbo. Shukran😇
@authormutumajkaruntimi2566 Жыл бұрын
Wimbo mtamu sana. Keep up the great work. Twawahiga nyinyi
@leninyakafumbe1828 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri,,nimebarikiwa sana🙏🙏
@meshackkikove5490 Жыл бұрын
Huu wimbo nimeskliz siku Zima nabado naendeleeea mniombee
@peterlulu8639 Жыл бұрын
Dah, Mungu awabariki ,Very great, mtunzi heko kwako
@holyfamilymedia1325 Жыл бұрын
Cogratulation cgen. The song is very sweet. God bless the work of your hands
@johnmasanja1413 Жыл бұрын
Daaaah hongera sana wimbo mzuuuri had raha jaman mung awaongez salam
@mercymutisomusic Жыл бұрын
Kazi safi❤❤
@fredyfrank7428 Жыл бұрын
Safi sana kaz nzuri Bwana afufuke ndani ya mioyo yenu
@thepebrisfamilygracedbless6668 Жыл бұрын
We have hit the Target. 100k within 3weeks on this Ufufuko hit is By God's Grace. Kaka Shimanyi, CGen Pro, Wanakwaya the Sky is never the Limit. We are Aiming Higher. Road to 10k Subscribers and 200k views on this Beautiful Song. Let's Go my people. It's CGen Pro all the way this time🙏🙏🙏
@Witnesssambala Жыл бұрын
Nyimbo zuri sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@agatonngailo6632 Жыл бұрын
Hongeren san kwa wimbo mzuri
@abelmlandali1894 Жыл бұрын
Hongereni sana, Thedy mwanangu nakuona hongera sana kuimba solo vizuri
@SiloLynchia-ph4yg Жыл бұрын
Ejoying from Kenya!very smart and nice song la Ufufuko wa yesu.🕺🕺🕺
@KelvinKamugisha-wq8qp Жыл бұрын
Hongera sana hakika ni Zaid ya wimbooo.....mkuuuu shimanyi🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@mghendipato Жыл бұрын
Creative generation
@KimathiNkabu8 ай бұрын
Wimbo mtamu huu,, Kristu yu hai kweli
@JacklineJoseph-e4m8 ай бұрын
Mziki safi kabsaa❤
@benadetanyango Жыл бұрын
Hii Sasa ndo Iko juu 🎉
@MagrethFumbo Жыл бұрын
Wow sifa apewe MUNGU 🎉🎉🎉🎉🎉
@FelistaSanga-zd2wr Жыл бұрын
Jamniiiii my soulmate jacquline makota ❤ hongera my dr🌸🌹🥰
@francismuoki38978 ай бұрын
Wimbo mzuri zaidi kweli bwana kafufuka
@alexkabogo6865 Жыл бұрын
Kazi nzuri sana kaka Shimanyi hongera bila kuwasahau waimbaji
@SarahRutta-rq7hn Жыл бұрын
One of the best catholic songs and videos of this generation 😊🤍
@theresiajoseph1943 Жыл бұрын
You're doing well sir 🔥🔥🔥Mungu azidi kukubariki. Kitu short and clear 🔥🔥
@andrewnyamosi411 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana. Mbarikiwe!
@JosephinekokihzgАй бұрын
this song the first time i listened to it for it brightened my day.
@mapendoglory16 Жыл бұрын
Huyu kaka huyu!!!!!! Shimanyi. Kristo mfufuka akubariki.
@emmanueldabali5588 Жыл бұрын
Bonge Moja la wimbo.. nimebarikiwa sana Asante Shimanyi na WANAKWAYA kwa ujumla
@Mwaniki_SJ Жыл бұрын
🕺 🕺 🕺🕺🕺🕺tamu sana
@princepetermusau6203 Жыл бұрын
🔥 kama pasi
@imeldaseneda6593 Жыл бұрын
Hongereni sana, waimbaji, mtunzi na studio, Mungu awabariki Sana 🙏
@NeliusWanza8 ай бұрын
Alleluia!! bwana kafufuka kweli. God bless you all so beautiful.
@Bernadethamichaeli8 ай бұрын
Utukufu baraka heshima na shukran vyote ni vyako bwana
@remigiuskahamba74408 ай бұрын
Kazi iliyotukuka asante Maestro Shimanyi
@IrGodardWakatani8 ай бұрын
Musiki mtamu sana. Nasi tu na misalimiya toko republic of congo