NI FURAHA SOMO WA WOLPER ALIVYO INGOA KWENYE SINGO YA WOLPER/AINGIA MSAFARA WA KUTOSHA

  Рет қаралды 76,913

Bona Tv

Bona Tv

Күн бұрын

Usisahau ku "SUBSCRIBE" Channel yetu kwa habari nyinginezo nyingi na nzuri
NI FURAHA SOMO WA WOLPER ALIVYO INGOA KWENYE SINGO YA WOLPER/AINGIA MSAFARA WA KUTOSHA
#Bonatv #Exclusive

Пікірлер: 78
@jacquilinenoah949
@jacquilinenoah949 Жыл бұрын
uyu somo ananimalizia bandle langu cchok kumuangalia bandle lenyewe la mkopo😂😂😂😂hongera kwa somo
@ummkolthumkoalthum3271
@ummkolthumkoalthum3271 Жыл бұрын
Manyakanga tumeona Somo umecheza viuno vya unyagoni starehe chumbani Safi sana hongera mingi mingi somo 🔥🔥
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
somo lazima atukuwa kampa mafundo pambee biharusi maana anaoneka siyo mtu wa mambo mengi mashallha
@zubedakiluwa4246
@zubedakiluwa4246 Жыл бұрын
Jmn.somo yupo vzl afu kistaarabu zaidi...kachangamka sanaa
@yfhff5268
@yfhff5268 Жыл бұрын
Somo unayaweza umependeza sana nashep yako mwaaaa
@marianamsuha3899
@marianamsuha3899 Жыл бұрын
Somo pambeee
@dijadiose7400
@dijadiose7400 Жыл бұрын
Somo umetisha,nimekupenda bureeee😍
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Жыл бұрын
Somo pambee ka hataki vile safiii😅🥰🥰🥰🥰full confidence
@KidotiTwiga
@KidotiTwiga Жыл бұрын
Nmempenda sana jmn anaonekana hana mambo mengi
@kairatiswahilli7024
@kairatiswahilli7024 Жыл бұрын
Somo nimependa Sans mambo yake ya kisomo somo👌👌👌
@catherinekiwipa9271
@catherinekiwipa9271 Жыл бұрын
somo.anatia raha tuliofundwa kinyamwez tunaelewa uno lake
@salmasaid1521
@salmasaid1521 Жыл бұрын
Mashallah somo upo vzr
@aggynzungu3422
@aggynzungu3422 Жыл бұрын
Somo umetisha
@zwinaalhabsi664
@zwinaalhabsi664 Жыл бұрын
Mashaallah huyo ndio somo pambe mambo yake muruwa
@zulfahamad6485
@zulfahamad6485 Жыл бұрын
Nimempenda uyu dada jamani kiukweli anajua❤️
@hildakiwili5374
@hildakiwili5374 Жыл бұрын
somo kama somo wajuz hawana mbwembwe👌 woyooo
@ashaabdallah9729
@ashaabdallah9729 Жыл бұрын
Naima wangu unajua tena unajua tena
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
Uchezaji wa mtu anaejielewa utaujua tu huyu dada anaejielewa angekuwa shankupe hapo wangejuta kumfahamu🤣
@bernardzuhura4187
@bernardzuhura4187 Жыл бұрын
😂😂😂
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 Жыл бұрын
@@bernardzuhura4187 😂😂nakwambia
@bernardzuhura4187
@bernardzuhura4187 Жыл бұрын
@@rosemahenge9071 ni kweli ana cheza kistaarabu yani ana jielewa mwngn angekata miuno mpaka chini apigiwe kelel apate sifa kumbe ana jiaibisha tu
@r9ayyansaid652
@r9ayyansaid652 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@consolatamedard6593
@consolatamedard6593 Жыл бұрын
Kiukweli kacheza kiustarabu sana
@fatumamakwaia1126
@fatumamakwaia1126 Жыл бұрын
Nice
@mwanaidathuman78
@mwanaidathuman78 Жыл бұрын
Hongey kwake
@lavuulovenes1682
@lavuulovenes1682 Жыл бұрын
Noma sana 💕💕💕
@habibangawile7024
@habibangawile7024 Жыл бұрын
Somo MashaaAllah
@shekhajuyah8239
@shekhajuyah8239 Жыл бұрын
Somo wa kutakata somo wa kueleweka somo wa uhakika somo wa shindo somo kwel kwel
@ummysalama1355
@ummysalama1355 Жыл бұрын
Somo anajua anajua tena anajua tena anajua tena
@faridaabdallah7424
@faridaabdallah7424 Жыл бұрын
Nimempenda SoMo jamani naombeni namba yake aje anifunde mie pls bona
@mwanabayadola5476
@mwanabayadola5476 Жыл бұрын
Tupeni no ya some bona TV hatari
@mariammariamsalim7189
@mariammariamsalim7189 Жыл бұрын
Mashallah 🤗♥️
@rukiaomar1091
@rukiaomar1091 Жыл бұрын
Hata mm nimependa uingiaji wke
@amoremimik5270
@amoremimik5270 Жыл бұрын
Some hoyeeee🎉 Hana mbambamba, Pambe tu❤
@mwanaidathuman78
@mwanaidathuman78 Жыл бұрын
Tenaaaaaaa 🥰🥰👏👏
@aminamussahmsumuka6558
@aminamussahmsumuka6558 Жыл бұрын
Somo nimempenda bure
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Kapendeza
@hamischatumwa3668
@hamischatumwa3668 Жыл бұрын
Penda Sana somo ake mwali
@hhlkll9160
@hhlkll9160 Жыл бұрын
Kama atakivile🥰🥰
@fatmahamesa2449
@fatmahamesa2449 Жыл бұрын
Moto kiboko
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
SINGO YAKO DADA NOOMA NIMEIPENDA UPO VZR
@shamilajuma8718
@shamilajuma8718 Жыл бұрын
Yaan nakuangalia kila dk somo ake hasa ukicheza uwiii
@khanniebaraka6047
@khanniebaraka6047 Жыл бұрын
Anaitwa Nani huyu somo namtaka
@saudaabdallah8468
@saudaabdallah8468 Жыл бұрын
Somo shikamooo somo mdhungu
@fatumamakwaia1126
@fatumamakwaia1126 Жыл бұрын
Somo uo musondo tabora ndani siyo wa kuchezea kushinizya
@shamsakiobia6421
@shamsakiobia6421 Жыл бұрын
Somo hatari jamani😄😄😄
@chulitolove6648
@chulitolove6648 Жыл бұрын
Jina la huu wimbo jaman naombeni
@masharife9520
@masharife9520 Жыл бұрын
Hamniwezi by Afua Suleiman
@sabrakiswanya769
@sabrakiswanya769 Жыл бұрын
Hii nyimbo kaimba nan na inaitwajee
@Welcomehere
@Welcomehere Жыл бұрын
Hamniwezi fisadi kiwembe
@Jennifer-qb7wp
@Jennifer-qb7wp Жыл бұрын
Meaning ya somo ni ??
@missindependent1893
@missindependent1893 Жыл бұрын
Kungwi,,,,ni mtu anaempa bi harusi mafundisho kuhusu ndoa vile atakavyokwenda ishi na mumewe
@clarissidi1437
@clarissidi1437 Жыл бұрын
Wewe vyenye n Jennifer bas Jennifer mwengne n somo yako
@khadijakinyala9407
@khadijakinyala9407 Жыл бұрын
Somo pambeeeee
@latiffasaid7653
@latiffasaid7653 Жыл бұрын
Hii taarab yaitwaje mweee
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 Жыл бұрын
Heeee hiili DUME limefata nini mtangazaji wa kiume wa nini
@mjunicharles1198
@mjunicharles1198 Жыл бұрын
SoMo anaijua mizungu ya bara na pwan
@babyhamisi1437
@babyhamisi1437 Жыл бұрын
Somo hatumii nguvu
@tatumlowe5741
@tatumlowe5741 Жыл бұрын
Somo
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Жыл бұрын
KUGWI YUPO VZR
@leilaabdallah9786
@leilaabdallah9786 Жыл бұрын
Somo hatari na nusu
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Maimatha kama mchawi ragia ya peke yake utasema singo ya kwakeq
@nidaquincy5669
@nidaquincy5669 Жыл бұрын
Yuko wapi sijamuona hahaha 🤣
@salomeraymond2051
@salomeraymond2051 Жыл бұрын
@@nidaquincy5669 🤣🤣🤣apo krb n mc wa kiume kavaa kihindi🤣🤣🤣
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@nidaquincy5669 si hy alie vaa km kihindi hk kwa mc
@florencegideon8362
@florencegideon8362 Жыл бұрын
Somo pambeee tuuuuu
@lucresiahamad1717
@lucresiahamad1717 Жыл бұрын
Somo kiuno kizito
@fatmaally9357
@fatmaally9357 Жыл бұрын
Ulitaka ajiachie kama masha love..alafu maana ya somo itakua wap ama huelewi somo n nan
@Koki-xd2co
@Koki-xd2co Жыл бұрын
Somo kacacuka bala
@rehemamwinyi1909
@rehemamwinyi1909 Жыл бұрын
Pambe tuuu
@mwanahamisbwanga1184
@mwanahamisbwanga1184 Жыл бұрын
SoMo kiuno kigumuuuu awapiii
@janemahenge2625
@janemahenge2625 Жыл бұрын
Siyo wanahitaji viuno vya bendi wengine vya kitandani taratibu anaelewa mechi
@latiffasaid7653
@latiffasaid7653 Жыл бұрын
Taarab haitak kiuno mumy alivocheza ndio penyewe kama hataki
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Жыл бұрын
huyo maimatha mbona ajavaa sale
@nidaquincy5669
@nidaquincy5669 Жыл бұрын
iyo ni special Kwa umbea
@clarissidi1437
@clarissidi1437 Жыл бұрын
@@nidaquincy5669 😂😂😂
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 31 МЛН
Help Me Celebrate! 😍🙏
00:35
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 83 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,7 МЛН
Isha Mashauzi - Hirizi Mzigo (Offical Music Video)
9:23
Isha Mashauzi
Рет қаралды 657 М.
MANENO YA MAMA MZAZI WA NANDY KWENYE USIKU WA KITCHEN PARTY YAKE
8:39
ALIKIBA AFANYA TOUR, YAJUE HAYA KUHUSU USAFIRI WA BOTI
23:21
Crown Media
Рет қаралды 19 М.
Harmonize na Jackline Wolper mapenzi motomoto
6:07
Millard Ayo
Рет қаралды 4,6 МЛН