Ni Laana! Kitabu cha Marehemu Kim Porter, aliyezaa watoto 3 na Diddy chaanika mazito

  Рет қаралды 25,898

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 72
@matendoa.online803
@matendoa.online803 18 сағат бұрын
Everyone will come with something, they are taking advantage of the situation. The future will tell…D ana makosa yake ila wana taka sasa kumu angusha. Music industry ina giza nyingi .
@storytime1204
@storytime1204 12 сағат бұрын
Hayo makosa yake ndio yatamuangusha na sio watu, ingekua anayoyafanya uwongo basi justine biber asingeimba kuhusu party za diddy, alafu kuna ile video ilisambaa anampiga girlfriend wake dada wa watu nusu afe,
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 7 сағат бұрын
​@@storytime1204Ile nyimbo ya beiber ni AI techonology na si nyimbo halisi...Mengine kuhusu Diddy basi nikusubiri mahakama tu ndo je itamtia hatiani au haitomtia hatiani, mengine haya yataendelea kuwa speculation tu ngoja tuone mwsho wake ila hofu yangu ni moja tu je hawezi kuuwawa huyu maana anaonekana alikuwa na wakubwa zake ndo walikuwa wanamtumia.
@fatmaabeid9668
@fatmaabeid9668 16 сағат бұрын
Umejitahidi Bahati unataka marekebisho kidogo keep it up 👏👏
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 6 сағат бұрын
Hongera Sky Walker kampuni inazidi kukua... ajira zinaongezeka. Big up Big boss
@zahararamadhanisalmu395
@zahararamadhanisalmu395 9 сағат бұрын
Kama pdd angekuwwa masikini usingesikiya k2 chochote wa2 wanatumiya furusa
@evelynemugeni2369
@evelynemugeni2369 8 сағат бұрын
Wazungu wametenda mangapi 😢mbona hawasemi 😢mzungu anapenda kumchafua mweusi
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 7 сағат бұрын
Kweli kabisa wewe umesama sana
@BuhetySharia
@BuhetySharia 14 сағат бұрын
Hii Sasa ndio saf ...saut inaskika sio yule mtafuna mihogo
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 18 сағат бұрын
Kuna mambo ma 2,,,kwanza promo za machoko ziwe ni habari za kawaida na tunapokea bila kujua,,pili uyo didi akitoka ndo ntaamini kweli freemasons wapo dunian
@sundawnsmedia6659
@sundawnsmedia6659 17 сағат бұрын
Hii ya kwanza hata mimi naamini hivyo, kwa sababu yeye mwenyewe alishawahi kutabiri kukamatwa kwake. Hapa utaona walikuwa wamemwandaa kwa kazi hiyo kwa muda mrefu.
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 17 сағат бұрын
Kweli yaan dunia inashughulika na huyu mtu ila sns nae kazidi na hizi habari za huyu mtu
@Useri-bn6ye
@Useri-bn6ye 17 сағат бұрын
Ndy maana ya wana habari​@@melanialeonard4031
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 12 сағат бұрын
​@@melanialeonard4031 Na ww pia umezidi kufuatilia hili tukio
@TrinaRoman345
@TrinaRoman345 10 сағат бұрын
Kuwa freemason hakuzuii kufa wala kukamatwa ht hukumu ya kifo ikibidi, kwenye ushoga apo nakubaliana na wewe 💯
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 6 сағат бұрын
KAMA ALIWEZA KUMUUA MKEWE ALOMZALIA WATOTO WAZURI BASI HYU NI ZAID YA IBILISI.AULIWE TU.AFU BONGE LA HB PDIDDY JAMAN😂
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 8 сағат бұрын
Unaona mtu ana treind kumbe kuna siri nzito nyuma na wengine tutawajua polple😂 hao wahuni
@Adeen.1
@Adeen.1 18 сағат бұрын
Kim alifariki kwa stress za mahusiano ya Diddy sasa hapo kwenye stress ndo HATUJUI ni zipi
@nightwishisthegreatestband6355
@nightwishisthegreatestband6355 9 сағат бұрын
Aliuawa na Diddy kwasababu ya hiki kitabu. Kuna watu wengine watatu waliokuwa wanafanya kazi na Diddy. Mmoja alikuwa rafiki yake Kim Porter. Wote watatu waliuawa
@OfficialA83640
@OfficialA83640 8 сағат бұрын
​@nightwishisthegreatestband6355 Watu mnajua kuropoka duh aisee
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 7 сағат бұрын
​@@nightwishisthegreatestband6355Ushahidi wa hawa unayoyasema je?
@MishoniMishoni-l1g
@MishoniMishoni-l1g 5 сағат бұрын
Aseeee!​@@nightwishisthegreatestband6355
@ForexDollar-k9i
@ForexDollar-k9i 18 сағат бұрын
P ddy kachafua hali ya hewa dunia nzima inanuka 😅😅😅😅
@zumemooha6504
@zumemooha6504 10 сағат бұрын
WAKALA WA SHETANI LAZIMA AFANYE ALIOAGIZWA NA SHETAANI LIWATI
@chikusangalala7759
@chikusangalala7759 7 сағат бұрын
Yani wazungu wanataka kumfikisi mali zake na sisi wafrica tunaunga mkono
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 6 сағат бұрын
Watamfirisi vip wakati mali zake zipo chin ya mamaake? Kwahiyo asikamatwe akikosea? Na ulisikia hayo mageleza Yana weusi TU?? SI wapo ata wazungu
@hummymgaza6915
@hummymgaza6915 2 сағат бұрын
Wee unadhani pdd angekusuport wewe km muafrica 😂, hao wamarekani weusi ndo wabaguzi hasa wa waafrica km ulikua hujui
@mbezzoprince9462
@mbezzoprince9462 51 минут бұрын
Hapa ssi wa Africa ndo tunafeli ivi kuna habari yoyote ya tanzania iliowahi kuangaziwa hivi America?
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 18 сағат бұрын
Alafu huyu mtoto wa kiume kafanana sana na baba yake
@Nuru9568
@Nuru9568 18 сағат бұрын
Copy and paste yaan
@HusnaMuhammed-yx8nl
@HusnaMuhammed-yx8nl 3 сағат бұрын
Mmh Diddy wanakuchafua utashinda
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 2 сағат бұрын
Mali yake yapo chini ya mamake yapo safe🎉🎉🎉
@daviddeus6437
@daviddeus6437 17 сағат бұрын
Kwo diamond,babu tale na lukamba walifirwa na huyu jamaa
@rashidingole1588
@rashidingole1588 18 сағат бұрын
Acha umaskini, tafuta hela
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 6 сағат бұрын
Mbon hyu dada anafanana na MPENZI WA JUX WA SASA PRISCILA
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 5 сағат бұрын
Ndugu hao Kama Suzi bae na Tiwa 😂😂😂😂😂😂
@JamesWisdomtz
@JamesWisdomtz 17 сағат бұрын
Duh mwana mke hapaswi kutangaza hizi mambo za hidi tunakuwa hatuelewi😢😢
@TeophilBuilding
@TeophilBuilding 11 сағат бұрын
Nimekuelew mm tuuuu
@GABRIELGEORGE-qq1nj
@GABRIELGEORGE-qq1nj 18 сағат бұрын
Dah!😢
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 19 сағат бұрын
😂😂😂msisau p Diddy alim follow mondi 😂😂 kashinda tuzo
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 8 сағат бұрын
😂😂
@BryanNassary
@BryanNassary 19 сағат бұрын
Ehhh
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 6 сағат бұрын
Duh
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 14 сағат бұрын
Ni madai ya uongo, watoto wake wameshakanusha hizo habari za uzushi
@storytime1204
@storytime1204 12 сағат бұрын
Unadhani kama mtoto utasema kweli?
@emmanuelmanga25
@emmanuelmanga25 12 сағат бұрын
@@storytime1204 hicho kitabu ushawahi kukiona au kukisoma?
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 8 сағат бұрын
Ulitaka waseme ukweli😂
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 18 сағат бұрын
😂😂😂 DIDDY amekamata trending ya dunia mjuwe, Diamond akifirwa huko anakuja kulipiza na akina RAYVANNY, MBOSSO na HARMONIZE maana kawazidi cheo kwenye himaya hiyo
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 17 сағат бұрын
Watajua wenyewe cha muhim nj mtu usilale njaa: hii dunia ina mengi kwanza haina usawa
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 17 сағат бұрын
@@melanialeonard4031 😂😂mimi nina hamaki na vyama hivi vilininyima haki kama chipukizi ila yote sawa sikuwa natafuta hela kwenye muziki
@Gersah
@Gersah 17 сағат бұрын
​@@Abby_Shawn_KE😂😂😂uckate tamaa jaribu wakt ujao
@Abby_Shawn_KE
@Abby_Shawn_KE 17 сағат бұрын
@@Gersah 😁acha tuone kama wasanii wa ibilisi watashuka waishe na MEDIA zao tuanzishe zetu sie watu wa mwenyezimungu
@storytime1204
@storytime1204 12 сағат бұрын
​@@Abby_Shawn_KEuna uhakika gani diamond kafanyiwa hvo? au na wewe choko so unajua hayo mambo? na ukisubir mtu ashuke ndio upande aisee utakufa maskini, we pambana nenda ata kauze mkaa usisubir maisha rahisi
@RonaldoKenya
@RonaldoKenya 19 сағат бұрын
N swala la muda 2. Mondy kama kashiriki bora aseme haraka 2jue . Yan jamaa diddy akisomewa 2 mashtaka bas vizibiti vote ataweka kwenye mwanga. Ila didi,kamuua 2pac kafanya mazambi mengi sio bure ana Pelekwa mputa mputa
@elishaobadia8829
@elishaobadia8829 18 сағат бұрын
Ujue ili ikusaidie nini!?Acha umbea
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 9 сағат бұрын
​@@elishaobadia8829😂😂😂😂
@AngelmackieCharity
@AngelmackieCharity 6 сағат бұрын
​@@elishaobadia8829hakuna cha umbea mbona ya wengine maarufu tumejua na huo ndo umaarufu...
@JujuGurugu04
@JujuGurugu04 5 сағат бұрын
Do you have have another brain or only this 😢 we know the list who got helped by Diddy and their achievements so please live Daimbond platinum anole u think he is stupid just like u that he will no such without anything in return they went and meet him but dose not mean everyone he did those dirty stuff with him we all see burn boy, wiz kid, black coffee achievements after meet Diddy u can judge those onces yes but as for D noo live him alone he remains with the same he couldn't get even just other awards awards when he was nominated pls stop using ur ass to think😂
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 3,6 МЛН
Как мы играем в игры 😂
00:20
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 3,2 МЛН
小丑妹妹插队被妈妈教训!#小丑#路飞#家庭#搞笑
00:12
家庭搞笑日记
Рет қаралды 38 МЛН
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 11 МЛН
Liban/Israël : le Hezbollah contre-attaque
10:24
LCI
Рет қаралды 291 М.
Mary Trump: “Cruelty Was a Currency” in Trump Family | Amanpour and Company
18:24
Top U.S. & World Headlines - September 24, 2024
10:47
Democracy Now!
Рет қаралды 389 М.
Reportage au procès de Dominique Pelicot et de 50 autres hommes - En Société du 22 septembre 2024
10:40
Стойкость Фёдора поразила всех!
00:58
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 3,6 МЛН