Kazi nzuri sana, maelezo dhabiti ambayo hayana ubabaishaji
@nemitv78502 ай бұрын
Hahahaa thanks
@IbrahimMukiya2 ай бұрын
Nimefuri sana Kwa Somo zuri
@nemitv78502 ай бұрын
Asante karibu sana
@barakaedward37682 ай бұрын
Notes ✍️
@hassanlubola4142 ай бұрын
Hapo sijaelewa kabisa kwamba inatangulia mbolea ya CAN then NPK
@nemitv78502 ай бұрын
Pole lakini sikiliza kwa makini nimesema ukikosa can unaweza weka npk au mojawapo nadhani matumizi ya can hayana utofauti sana na npk sema npk ina virutubisho vitatu kwa uwiano sawa. Kama kuna kitu unaelewa pia karibu tushare elimu ni pana. Karibu sana.