Alidhani anatania: 50 Cent amshtaki Sonara maarufu akitaka fidia ya TZS Bilioni 13.6, kosa ni hili

  Рет қаралды 24,597

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

Пікірлер: 41
@KelvinJoseph-ix9wd
@KelvinJoseph-ix9wd 2 күн бұрын
Wote mnaosema 50 cent n hamjui kuhusu swala la brand... 50 cent n mfanyabiashar mkubwa knomah na Ana fan base kubwa marekan huku bongo si mnajua nyimbo ya like tu hamjui mziki wa rap unaingiza hela huko mambele ... Na Yuko sahihi kabsa kumshtak
@alibinali_
@alibinali_ 2 күн бұрын
50 cent is a businessman ataki mchezo
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 2 күн бұрын
50 cent Ana tamaa tu mshenz
@shaibukhamis863
@shaibukhamis863 2 күн бұрын
Hiz pesa ndog 2 kwa sonar lakin ni huy msanii anaa vibe lakin natamani siku moja nyinyi waandishi muje kwenye comenti tunazo comenti muwe japo munatka like maan watu maaru huw wanawajibu mashabiki zao na nyinyi mufikirie hilo swal tujuw kwel munasoma hiz coment zetu 😅
@AloycceSospeter
@AloycceSospeter 2 күн бұрын
Ila huyu Jamaa anaye jiita @AFRICA kwanini comment zake huwa zinazuwaga gumzo :et enzi za uhai wake:😂😂
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
Mimi au 😷
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo 2 күн бұрын
50 cent siku hizi sijui amekuaje na hata ngoma zake niliacha kuziskliza.
@asukulubashilwango1907
@asukulubashilwango1907 2 күн бұрын
Tupostiye abari ya Grammy mwamba katuwakilisha Uko na wakina mwijaku kuzarau comasava.
@hamisaally968
@hamisaally968 Күн бұрын
Ameandika mda tu angalia posti zilizopita
@benjo_brighter
@benjo_brighter Күн бұрын
Jamaa kakutanishwa na kausha damu 😳🤔 Ila 50 Cent 🤣🤣🤣🙌
@vibetz9991
@vibetz9991 2 күн бұрын
Not fair
@YED-B
@YED-B 2 күн бұрын
😂😂😂 Imma need my money by Monday 😅
@KesslyTravelZanzibar
@KesslyTravelZanzibar Күн бұрын
Amaesha mpa umarufu sana
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 2 күн бұрын
hatariiiii
@hitngwasutv971
@hitngwasutv971 2 күн бұрын
Sasa ubayawake niupi sasa 😅😅😅awawasani wa usa minaona wemeshakuwa kama hamorapa wabongotu hawanajipyatena
@mburatech8402
@mburatech8402 2 күн бұрын
Biashara hio Kafanya Tangazo kupitia Jina lake
@mwalitv4555
@mwalitv4555 Күн бұрын
Atalipa tuu huyu sonara ni tajiri pia....
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 күн бұрын
Huyu jamaa ni mwijaku wa marekani
@alibinali_
@alibinali_ 2 күн бұрын
Ata hujielewi unacho kiongea 😂😂😂😂😂
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 2 күн бұрын
@@alibinali_ ukijielewa ww inatosha mke wa p Diddy
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 2 күн бұрын
Cent maskini huna jipya unatafuta kujidhalilisha sonara atalipa
@AdamMohamed-u4p
@AdamMohamed-u4p 2 күн бұрын
Hujui ulisemalo ndo shida ya wabongo hamjui brand za watu
@mtulivu-ir1nq
@mtulivu-ir1nq 2 күн бұрын
Uyo 50 sijui hata likoje😂😂
@ip_header
@ip_header 2 күн бұрын
Kila mtu anaangalia maokoto😂, ngoja tuone lkn kama ndio kesi kwa maneno hayo tu, hapo kushunda ni ngumu.
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 2 күн бұрын
Pesa ningumu sana kuipata
@timetravellor5367
@timetravellor5367 2 күн бұрын
Uyo 50cent inaonekana njaa inamsumbua
@hitngwasutv971
@hitngwasutv971 2 күн бұрын
Njatu ndo zinawasumbuwatu
@shubebunyesi542
@shubebunyesi542 2 күн бұрын
😂😂we bwege kweli njaa kwa 50 h😂😂😂 chukua ukowako wa kikeni na kiumeni changanyesi utajiri wenu yaani ata robo amuingii kwa 50 ni kosa kisheria kumwita mtu ananjaa wakati ata punje amumpati 😂😂
@dulakibali
@dulakibali 2 күн бұрын
Doh 😂
@PozzTonny-in8vy
@PozzTonny-in8vy 2 күн бұрын
50 cent nae
@TefleKoja-p9c
@TefleKoja-p9c 2 күн бұрын
Acha roho mby
@annndunda3953
@annndunda3953 2 күн бұрын
Ila 50 cent
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 Күн бұрын
Mshamb tu 50 nae
@papamukulu1045
@papamukulu1045 2 күн бұрын
Chezea brand za watu
@CKMO
@CKMO 2 күн бұрын
Mwizi tena mpumbavu hana utuu mshenzi
@official_mr_bery
@official_mr_bery 2 күн бұрын
Ataki masihara
@BakarBakar-md1rp
@BakarBakar-md1rp Күн бұрын
50 cent njaa itamponza
@ZiyandaMhlana
@ZiyandaMhlana 2 күн бұрын
Kaka kiki hizoo wao narafiki sana
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 17 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 32 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
NAMNA YA KUINGIA JESHI LA MAREKANI | NINI KILINIPELEKEA KUAMUA KUA MWANAJESHI
1:00:05
Official Dating Assistance
Рет қаралды 32 М.
Mkasi - S02E01 with Dida Wa G
26:13
MkasiTV
Рет қаралды 370 М.
Mtanzania Daktari Bingwa USA 🇺🇸 aliyesoma Harvard University
12:55
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН