Dad and mum its been 24yrs and 23yrs since you both left..you left us even before we knew what life is ...been thru alot but we thank God...May your souls continue resting in perfect peace....till we meet again to part no more😢😢
@GidionNgala2 ай бұрын
always take heart know that they are happy you are happy❤❤
@ValeVale-p9dАй бұрын
God is in control just have faith in Jesus 🙏🙏🙏
@RaelNdwaleАй бұрын
Hakika ni salama rohoni mwangu kristo nisaidie kuhepukana na majaribu na mateso,Amina
@WinneElick18 күн бұрын
Ni Salam rohon mwangu hakika bwana naamini nitaakuwa Salam mwaka 2025
@HENRYONKANGI-td4wx3 ай бұрын
I finnally believe in God.. am broken what i only want is christ in my life.. be blessed my fellow brothers and sisters.😢😢
@EliasJohn-lc8nu10 ай бұрын
Kal sanaaa hakika inafariji sanaaa kama upo hapa 2024 tujuane
@priscaseverin496710 ай бұрын
Hakika hii nyimbo inafariji
@LeahPetersalamalohoni8 ай бұрын
Nihunzuni nikimkumbuka kaka yangu na maishi ninayopitia mungu anisaidie amina ubalikiwe mtumishi 😮wa mungu
@UmmySilayo7 ай бұрын
Nipo hapa
@BredanNjagi-qx4lg7 ай бұрын
Mjl@@LeahPetersalamalohoni
@mercyosoro59787 ай бұрын
Nipo wimbo Huu wanigusa Moyo🙏
@angelnyange34035 ай бұрын
😢😢😢Eeh mungu you salama rohoni mwangu🙏🙏🙏bila wew siwezi 😢
@joylinda21202 ай бұрын
Nimebaki na Mungu tu it's been very very hard but I have God. 🙏🏾🙏🏾
@andrwjhn6 ай бұрын
mungu ni mwema katika maisha yangu niyeye anafanya napumua kila siku aja apewe sifa siku zote
@RaelKemunto-uq4wl7 ай бұрын
Ni salama rohoni mwangu yesu ukiwa na mimi nikumbuke na mimi bwana nimelia vyia kutosha nikumbuke bwana
@frankoiputa81815 ай бұрын
Atakukumbuka yye ndo anaponya na kupanguza machosi ya waja wake
@UnesKenya-rc5xl5 ай бұрын
Amen bwana anasikia kilio Cha mwenye haki atakupangusa machozi🙏🙏
@SherrylKoech4 ай бұрын
Lavegod
@beatricekileo71392 ай бұрын
Amesikia kilio chsko kipenzi amin
@AnnMwaniki-o7c2 ай бұрын
Pole sana dear pia mm nimelia sana
@Mwikalihappiness3 ай бұрын
25th September 2024,..ni salama rohoni mwangu.. remember me oh Lord I need you......
@valentinewanga87109 ай бұрын
Mungu ni salama rohoni mwangu,kwa yale umenitendea mwanzo mwa mwaka huu😢😢😢😢😢,, najua mwaka utakapo iisha ,, utakuwa umenitendea mengi🙏🙏🙏,, ule amefika mwisho mwa maisha anakaa kukataa tamaa,, nungu yupo nanii ,, mutumainie 2 kwa imanii,, vicheko n majina ya wanadamu isikuvunje roho
@MercyKemboi-vu1jf5 ай бұрын
❤❤here 2024, song keeps me strong in gulf .team strong pita na like
@RosalineThai6 ай бұрын
For us who listen to it every morning as our daily prayer let's gather here
@WangariHellen-b8h10 күн бұрын
Amen kwayote ninayopitia nisalama rohoni mwangu
@princethuo71383 ай бұрын
Huo wimbo naupenda Sana ,so good i love it so lit❤
@sheilahmusimbi3235 ай бұрын
Napia shida nyingi 😢😢sana lakini najua kwa yesu yanawezekana
@UwezoketiaFurahe-h1f4 ай бұрын
Nikwei
@SusankwobamachumaKwobasusan5 ай бұрын
Mungu nikumbuke usiniache baba yangu ❤
@whitneymboya7 ай бұрын
Ingawa shetani ananitesa najipa moyo najua mungu atanipigania bora niko mzima kuna wenzangu wameangamia mwezi uluopita wengine huu mwezi wa tano lakini mimi mungu....umenipa uwezo wa kuona mwaka mpya na mwezi mpya ni salama moyoni mwangu m...🙏🙏🙏🙏
@TeresiahNgugi-n2u27 күн бұрын
Waow ❤❤my girl keep it up more grace n favour❤❤❤girl
@AyubuRamadhani-wz4gk6 ай бұрын
Salama rohoni mwangu'kama mpaka sasa unatazama hii gonga like
@RachelKabuwo4 ай бұрын
D
@MercyWangai2 ай бұрын
Its well with my soul,,,
@QuinterPrincess110 ай бұрын
Nko salama rohoni kupitia kwa huu wimbo ,thnku lord
@wabebegamer268710 ай бұрын
hi is mumo
@millicentwakaliche6385 ай бұрын
Ingawa shetani atanitesa nitajipa moyo kwani, kristo ameona unyonge wangu Amekufa kwa roho yangu, ni salama rohoni mwangu🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼
@jackysonnia26775 ай бұрын
Amen! Ni salama rohoni
@danielmasha62272 ай бұрын
Kwa mungu shida zote zinapokelewa na kusafisha na kuweka huru. Pokea shida zangu mungu wangu nisafishe mwanao ni huru.
@MaureenZawadi-jh8qjАй бұрын
Amen
@geoffreymoranga522Ай бұрын
Amen
@MarthaAchochi-s2c4 ай бұрын
Ni salama rohoni mwangu o God nikumbuke unisafishe dhambi zangu nakuhitaji milele🙏🙏🙏🙏🙏
@NaomiNjeri-o2k2 ай бұрын
Powerful message,when my enemies try to make me fall,I really fall in the hands of Jehovah,he put,s shame on them.
@edsonsimon1030Ай бұрын
Ni salama Rohoni Mwangu nikiwa upande wa YESU KRISTO MILELE 🙏🏾
@ClaireMakotswi5 ай бұрын
Naomba musamahaa 🤲🤲😭😭😭 Yesu Christo nimetenda dhambi okoa nafusi yangu Yesu nisikose katika ufalume wa mbinguni barikiwa Sana mtumishi wa mungu akutie nguvu unapoendelea 🙏🙏🙏
@orphanyanchera-h1k15 күн бұрын
😢😢😢waaaaa!!!😭😭😭 nothing more to say but this song is absolutely amazing😢It has Rekindled so much memories that always lingers in our minds and what we've been going through since we lost our dad😢Ipo siku!!!
@frankoiputa81815 ай бұрын
Hiii wimbo imekua since nikiwa mdgo na mbka wa sasa sijaichoka kuiskiza so inspiring its ablesiing to listen and to watch
@FridaAmina17 күн бұрын
Wimbo huu unanibariki sana ❤
@kelvinmurithi-f6y4 ай бұрын
Asante baba ,,kwa uhai na afya njema ni salama rohoni mwangu💋🌹🌹🌹
@alexcolman48063 ай бұрын
Mungu uwape pumziko la milele ,mama yangu, ndugu, marafiki na wengine waliotangulia mbele za haki🙏🙏
@LOMAMEAPOLINE10 ай бұрын
Nimebarikiwa sana kwa kuwa ni Salama Rohoni Mwangu❤
@neemadamian-x8k9 ай бұрын
25march 2024 yesu salama rohoni mwangu
@HappyBoat-eg8qn9 ай бұрын
Hello there mee here 4:21
@LeahPetersalamalohoni8 ай бұрын
Nafarijik na huu wimbo 😂🎉ubalikiwe mtumishi wa mungu
@gracewalter369611 ай бұрын
AMEN AMEN, MUNGU AKIWA MBELE YOTE NI SALAMA
@LeahPetersalamalohoni8 ай бұрын
Hakunana 🎉 kisichowezeka kwa mungu hakika 😊😊 kama utamtanguliza mungu kwenye maisha yako 😅 kila kitu kitakuwa sawa kwenye life yako
@DorisKaranja3 ай бұрын
Love this song since was with my parents together until now may God come through 😭🙏🙏😭🙏🙏 and spirits flow on my life ❤❤❤
@TumainiAyubu-o5p2 ай бұрын
Amina kaka nimefalijika maana Niko katika kipindi kigumu sana
@LucasGara-r5x4 ай бұрын
Na mshukululu sana MUNGU alilipa deni langu msalabani yote yalikwisha ❤❤❤
@FabianoJumanee4 ай бұрын
kweli ni salama rohoni mwangu tangia nimjue mungu kuwa ni BWANA na mwokozi wangu
@violetAchieng-vq5hj4 ай бұрын
Sometimes I feel like giving up but I remember there's God.
@mauricemusau71563 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@DorikasObunyindeMasanga-wz8fv8 ай бұрын
Asante sana nikiwa,na mawazo nackia huu wimbo inajenga sana❤❤❤❤
@techknowgroup11738 ай бұрын
sana
@Stephenmugambi8817-x7h3 ай бұрын
Wow that's amazing songs.. congratulations my lovely wife..may God bless you with more massage to all Kenyans.nyce tyme
@GGggg-od1mf6 ай бұрын
Amen Amen Amen mutumishi, ni salama Roho , unifaliji kila no zamapo🙌
@christophermwanji53188 ай бұрын
All the way from Tanzania now I live in zimbabwe God bless them for good song Dah !! I mic home ni salama rohoni mwangu .
@MadlineOkumu3 ай бұрын
Ni salama indeed....Mungu asante🤲🙏
@JohnSifuna-z6b8 ай бұрын
A quaker man likes. Amen
@flavianmathew61072 ай бұрын
This song blesses me whenever i listen to it, Dear Lord remember me..Ni salama rohoni mwangu🙏
@jastinmfugale336610 ай бұрын
Amina nimebalikw san mtumixhi wa mungu
@karungowaititushangwe29394 ай бұрын
Safii kama usalama wa robo 🎉
@StivenTuyishime8 ай бұрын
Asanteni Mungu aweze kua na nyii
@FelsterMatonange5 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana wapendwa tunabarikiwa bwana awabariki sana❤❤❤
@JosephineAdoyo-g2i5 ай бұрын
Very very nice album my God bless blessed you all
@SaraAdhiambo-m4p3 ай бұрын
Huu wi.mbo unanikumbusha pastor wangu aliyekufa
@BelisaToto6 ай бұрын
Kristo ameona unyonge wangu😢
@TheresiaAREX4 ай бұрын
Amina katika jina layesu Niko huru Sasa mim nafamilia yangu 🙏🙏🙏
@KennedyMusyoka-og8yx5 ай бұрын
Nionapo amani kama shwari mambo yote ni salama qwa mungu wangu 🙏🙏
@NeemaLupagalo-m8s5 ай бұрын
Mungu anaokoa watu wake kupitia kunywa cha mtu wa Mungu Daniel
@dolfinekerubo3 ай бұрын
I used to listen to this song when I was miserable ,indeed God helped me ,thanks sana
@melisazwale222611 ай бұрын
Amen may God bless you keep up by grace..... Ni salama rohoni mwangu
@clintonmutuku-s8w3 ай бұрын
🎉🎉Imeweza sana💪💪
@kemmykem38092 ай бұрын
Mungu ni mwema
@JaneRaphael-ez5do11 ай бұрын
Hakika wewe ni salama rohoni mwangu Mungu wangu
@ChebetAngie2 ай бұрын
Thank you rose for this powerful and touching song ,it really blessing in our life's may God bless your work so that you may touch others with this inspiring word of God.
@bettynjane16363 ай бұрын
Wow unajua mototo wangu waliitishwa hii wimbo
@Elizaclemess11 ай бұрын
Hooo haleluya nabarikiwa nisalam rohon mwang❤❤❤
@RosemaryPius-k8i2 ай бұрын
Mungu bila wew siwez usiponisaidia🙏🙏
@DorcasJames-zx5ci6 ай бұрын
Lord I can't without you 😭😭😭😭😭😭 siweziii
@NeemaBahati-i8v6 күн бұрын
Wow, God is great
@josephinemiriti81467 ай бұрын
Asifiwe bwana, huu mwaka wa shukrani ❤️, 2024
@florencemwikali69094 ай бұрын
Bwana nikumbuke kwa kila kitu❤❤❤
@EveNdungu-t7r2 ай бұрын
Salama rohoni mwangu ,Nakwabia mungu nikumbuke jamani🙏🏿
@MagangaMasunga11 ай бұрын
Haleluya nabarikiwa nisalama rohon
@SharonWinnie-z4t7 күн бұрын
Here comes 2025 🎉nataka roho yangu iwe salama
@marrielsarah54758 ай бұрын
3 april ni salama rohoni mwangu.
@VictoriaMokobi-v2y4 ай бұрын
Thank you Lord for healing my sister Zuri😊.
@williamsmwillombe42959 ай бұрын
Amina nyimbo inafariji moyoni kuna vidonda naishia kulia tu ninapo sikiliza hii nyimbo yote kwa yote mungu anitie nguvu na haya yapite,Amina
@LeahPetersalamalohoni8 ай бұрын
Nyimbo nzuri sana 😂inanifariji kulingana maisha ninayopitia mungu anitie nguvu mtumishi wa mungu kupitia wimbaji wako 😊rojo yangu ipo salama sasa mungu akubaliki
@LilianOmondi-x1q5 ай бұрын
Naipenda sana hii wimbo❤
@JosephNyangane9 ай бұрын
Nisalama kwakweli loonimwangu❤❤❤❤❤😂
@EverlyneKerubo-ei7jmАй бұрын
Maisa yangu unajua maumifu ya moyo wangu wajua yesu nisaidie nimelia juu ya kupingwa fita kazi nimejoka
@EvadearMwita2 ай бұрын
Ni Salam rohoni mwangu , Mungu amenilind nkiwa mdog had hap nlipofkia jina lake lihimidiwe
@reaganochieng3005 ай бұрын
The song was sung before I was born,i studied in SDA sponsored school,GOD BER HIGH SCHOOL, OYUGIS,i trained my fellow school members that song. It became the sweetest in school,we sung it every week either at the assembly or in the church. I left the school ma y years ago. I was glad to learn that the song has been passed to the generations behind me and is still being sung and the sweetest. Am proud for the legacy i left.
@emilykwamboka72815 ай бұрын
Mimi hapa❤
@Everlyne0indi5 ай бұрын
Yiyi wimbo inanitiya Imani
@ElizabethVuko-rw6vx4 ай бұрын
Congratulations my dear babygirl. Bwana azidhi kukwanula
@lindamatine77296 ай бұрын
Ni salama rohoni ndani ya kristo🙏🙏🙏
@florencemuriithi256111 ай бұрын
Ni salama rohoni mwangu, Amen Amen
@margaretwamboi69304 ай бұрын
Salama despite the difficulties am thankful
@rosesesala9131 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️♥️♥️🥰🥰🙏🏼🙏🏼🙏🏼 ubarikiwe sanaa
@SamuelKimani-vf5fq Жыл бұрын
Amen
@KiptooXavier8 ай бұрын
it has lifted me spiritually
@derickmurithi67032 ай бұрын
Proud of my dear God bless u to shine and prosper ❤🎉❤🎉❤
@zablonshedrack72316 ай бұрын
Bay samwel mohamed kutoka singida mungu akuinue
@Leviscaptain3 ай бұрын
27th Sept 2024 ni salama rohoni mwangu niko mgonjwa lakini bando naamini mungu ataniponya
@linamuyuka72386 ай бұрын
God bless you man of God 🙏🙏. Your songs makes me strong in Faith
@bensonmazongolo11 ай бұрын
Nabariki sana akika ni salama
@BelindahBelindah5 ай бұрын
Kazi njema dugu❤❤❤
@EveMwakha3 ай бұрын
Thats what i believe in God i know i will make it in jesus name