NI ZAIDI YA UNYAMA MTOTO ACHOMWA MOTO KISA 70,000 ARUSHA MWENYEKITI ATAJWA KUNYAMAZIA

  Рет қаралды 6,550

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 60
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 ай бұрын
Katoto mashallah kanajua kujieleza Hapo hakuna cha kumalizana kindugu lazma jambo liende kisheria mtoto apate haki zake
@jaredayiera3279
@jaredayiera3279 2 ай бұрын
Hawa watu wote wahusika,na wao pia wachomwe Hadi kiwango cha azilimia 100 kw 100
@verdianabanabi2205
@verdianabanabi2205 2 ай бұрын
Aliyemchoma na yeye achomwe asikie raha yake.
@UpendoLembris
@UpendoLembris 2 ай бұрын
Mwenyekiti na mjomba washughulikiwe kwakweli inauma Sana 😭😭😭😭
@aderanderwa7623
@aderanderwa7623 2 ай бұрын
Yaani Mama unamuacha mwanao achomwe hivi jamani YESU KRISTO UTUREHEMU SISI
@FekiHappy
@FekiHappy 2 ай бұрын
Kuna wizi ambao wanangoja.mgeni aje waited ionekane kuwa mgeni ameiba hii ilitukuta kwa mdogo wetu kila mgeni akienda kunatokea uwizi watu wanagombana kila mara kila kumbe ni kijana wa kazi wanashirilkiana bint wa kazi cku moja ikagundulika kuliibiwa computer akaambiwa kaka mtu ndio wakaashangaa hee kufatilia wanaiba sana vitu wanauza kwa.majirani nk ikajulikana Bana hivyo kuna mwizi smart hapo
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 ай бұрын
Asant shangaxi mungu akulindee
@donathamwangobe2776
@donathamwangobe2776 2 ай бұрын
Aisee nimeumia sana
@MohamedyOmary-cv6gk
@MohamedyOmary-cv6gk 2 ай бұрын
Shangazi uko vizuri
@nesielias9493
@nesielias9493 2 ай бұрын
Hata kama mtoto ameiba kweli, Lakini huu ukatili haukubariki hatua Kali zichukuliwe kwa muhusika
@Pixxmoleli
@Pixxmoleli 2 ай бұрын
Pole sana mrembo.Mungu atakutetea
@infodigtechforcommunityemp4103
@infodigtechforcommunityemp4103 2 ай бұрын
Mungu wangu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 2 ай бұрын
Itakuwa ni hao wanaoishi hapo kwa mjomba ili ionekane ni mtoto.
@PendoMatemba
@PendoMatemba 2 ай бұрын
Mashangazi hoyeeeee
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 2 ай бұрын
Ukatili wa hali ya juu,mjomba ni mama sasa tunaenda wapi 😢😢.
@DeboraChediely
@DeboraChediely 2 ай бұрын
Jmn bibi hana makosa mdogo wangu polee sanaa
@evamlay8997
@evamlay8997 2 ай бұрын
Haki atakua ameiba kusingiziwa kunauma hata halii kweli
@KuruthumKikuyu
@KuruthumKikuyu 2 ай бұрын
huyo mjomba afungwe maisha unamtia mtoto ulemavu wa maisha
@victamacha5526
@victamacha5526 2 ай бұрын
Dah pole sana achukuliwa hatua haki za binadam msaidiyeni huyo mtoto
@consomatogaudence136
@consomatogaudence136 2 ай бұрын
Mjomba dah ninavyojua wajomba wana huruma sana sasa huyu ni mjomba au jinamiz kah hapo ni 70 tu ikiwa milion sasa c angenyonga
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 ай бұрын
Sijui hata mjomba wa aina gan huyu mimi kaka zangu wananilelea watoto wangu vizur hadi nafurah
@AnithaThadeo-n2i
@AnithaThadeo-n2i 2 ай бұрын
Arusha n kama walitupiwa roho ya kikatli
@salewajudic197
@salewajudic197 2 ай бұрын
Afugwe maisha
@jacquelineeliasmollel5260
@jacquelineeliasmollel5260 2 ай бұрын
Maumivu ya Moto jamani Uwiii Mtoto asaidiwe apate haki zake msingi jamani
@PendoMatemba
@PendoMatemba 2 ай бұрын
Huyu mwenyekiti, na mjomba wore moto, kwanini mwenyekiti anyamaze.
@fatihiyadossa375
@fatihiyadossa375 2 ай бұрын
Huko kuna wa meru na wamasai dah niatar wallah
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 2 ай бұрын
Huyo aliyemchoma mtoto naye achukuluwe hatua za kisheria
@PendoMatemba
@PendoMatemba 2 ай бұрын
Mjomba ni jinamizi, ni pepo, mjomba ni nyangau
@RoseKaiza-g2j
@RoseKaiza-g2j 2 ай бұрын
Adhabu muliyompa ni kubwa sana japo huyu mtoto anaonekana dogo janja sana na inawezekana aliiba kweli ila hakutakiwa kupewa adhabu kama hii najua mjomba atakua alikua na hasra na hali ya uchumi ilivyo kwa sasa ukitumia hasra waweza kuuwa buree!
@NaomiNakhumicha4636
@NaomiNakhumicha4636 2 ай бұрын
Serikali ya Tanzania tafadhali chukulieni hao wauaji sheria nikiwa mzazi pia moyo waumia 😭😭😭😭
@LinaSwai
@LinaSwai 2 ай бұрын
Na ugomvi wa wazazi usimtese mtt , mam usimkandamize mwanao kisa ugomvi wenu
@christaoman8890
@christaoman8890 2 ай бұрын
Daah jamani mbona unyama uliopitiliza hivi hakuna cha kumsamehe nayeye apewe adhabu kali looh
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 ай бұрын
Huyo mama kifo kinamnyemelea pia huko kwa mumewe
@IsanjaRose-tk4nn
@IsanjaRose-tk4nn 2 ай бұрын
Kweli inauma sana
@lellovenance5702
@lellovenance5702 Ай бұрын
Huyu mtoto wamfundishe heshima, mjomba akichukia atataga mjini, alafu mjnamjanja Sana mtoto, 11:39 ,na mjomba kaa nae mbali huyo atakusingizia umebambaka, huyu mtoto wamfundishe heshima kweli kabisa atakuja kujuta mjini kimalaya Sana hiko nakujua kinaliwa hovyo na watu wa boda
@ElietiSilausi
@ElietiSilausi 2 ай бұрын
Huyo mbaba nae akafie gerezani au yeye sio mzazi.maana kama ni mzazi hawezi kufanya ujinga kama huo.nahuyo mama alishindwa je kulala na mwanae? Mbona sisi wamama tunajali sana watoto ye huyo mama alishindwa je kulala na mwanae.aise kosa mali pata akili.pole mtot ukikuwa huyo mjomba wako utamsongesha tena kwaliba.
@angonzamujunangoma8775
@angonzamujunangoma8775 2 ай бұрын
😢😢😢
@AndreahPaul
@AndreahPaul 2 ай бұрын
Daaah😢
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 2 ай бұрын
Kaka mwambie asiufunge kitambaa utazidi ili ukauke halaka
@PendoMatemba
@PendoMatemba 2 ай бұрын
Huyo mjomba ni pepo
@MaryamKhawar-h3j
@MaryamKhawar-h3j 2 ай бұрын
Maskini shangazi anaumia kuliko mzazi anakubali mtoto wke afanyiwe hivo kwakweli hii dunia mwisho wapewe adhabu
@BARACKAPAUL
@BARACKAPAUL 2 ай бұрын
Mjomba umezingua sana.. inatakiwa ule adhabu Kali sana ...ACHA ujinga wakoo mjomba
@RosemaryMalya
@RosemaryMalya 2 ай бұрын
Tena akome pumbafu sana mjomba
@RosemaryMalya
@RosemaryMalya 2 ай бұрын
😂😂😂
@modestamodesta3940
@modestamodesta3940 2 ай бұрын
Daaah jmn 😭😭😭
@TomassBenson
@TomassBenson 2 ай бұрын
Huyo sio mjomba wake labda huyo nishatani hakuna mjomba hana uchungu na mtoto wa dada yake
@LinaSwai
@LinaSwai 2 ай бұрын
Je mbona hakuwauliza hao wengine huenda hao wengine watakuwa waliichukuwa
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 2 ай бұрын
Haki itendekee kwa mtoto kwa wotee walioshuhudia tukio
@RoseDaniel-od1oo
@RoseDaniel-od1oo 2 ай бұрын
ShikamoonArushaaaa😢
@marryjumanne5971
@marryjumanne5971 2 ай бұрын
Marahaba
@StellahLivogah
@StellahLivogah 2 ай бұрын
Duh ila mtt anaongea vizur hadi raha uyo mjomba achukuliwe hatue aisee
@bintmrisho3526
@bintmrisho3526 2 ай бұрын
Yan nimempenda mtoto anajua kujieleza haswaaa
@RoseMrio
@RoseMrio 2 ай бұрын
jmn eb nipewe t nkae nae
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 2 ай бұрын
😭😭😭
@TomassBenson
@TomassBenson 2 ай бұрын
Makonda tunaomba ulichukuwe kama mtoto wako
@BARACKAPAUL
@BARACKAPAUL 2 ай бұрын
Mjomba afungwe
@TumainiAkyoo
@TumainiAkyoo 2 ай бұрын
Mtoto mjanja huyu
@christaoman8890
@christaoman8890 2 ай бұрын
Kuna baadhi ya watu wa Arusha wanavuta bangi vibaya sana wanafanya km dozi ya dawa kutwa mara 3 huu ni unyama mkubwa sana
@josephineheriel5271
@josephineheriel5271 2 ай бұрын
Ukatili unafanyika sana Tanzania, ila Arusha Kamati zinazofuatilia maswala ya ukatili wako vizuri kwenye kuota taarifa ndiyo maana matokeo ya ukatili anaripotiwa sana
How to whistle ?? 😱😱
00:31
Tibo InShape
Рет қаралды 14 МЛН
"كان عليّ أكل بقايا الطعام قبل هذا اليوم 🥹"
00:40
Holly Wolly Bow Arabic
Рет қаралды 7 МЛН
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН