No video

Niffer Aweka Wazi Mahusiano Yake Na Alikiba | Mimi Sio Chanzo Cha Ndoa Ya Alikiba Kuvunjika

  Рет қаралды 45,450

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@frankrefresh6850
@frankrefresh6850 Жыл бұрын
Huyo dada ndo anampenda ndo maana anaogopa kusema kama wapo kwenye mahusiano seriously maana sidhani kama kiba yupo kwenye mahusiano naye ila mdada anatengeneza atention tu
@user-qh8kl9mu5w
@user-qh8kl9mu5w Жыл бұрын
Huo ni ujinga....angekuwa yy ni mke yupo ndani af mwanamke mwngn anajisifia kw mume wake angejisikiaje, na yy ataft mume aolewe sio adandie waume za watu😏
@zakariamachibula1776
@zakariamachibula1776 Жыл бұрын
Nakupenda ww na kiba wako
@hamzayusuph6052
@hamzayusuph6052 Жыл бұрын
Baadhi ya wahaya ni wa hovyo sana kama huyu
@mozamagaya8618
@mozamagaya8618 Жыл бұрын
Kama wewe ulivo wa ovyo
@babap-dn7wq
@babap-dn7wq Жыл бұрын
Anachokifanya Niffer kwa Kiba ni kile Hamisa alifanya kwa Mondi Matokeo yake sasa 😂😂😂
@raheematanzania3543
@raheematanzania3543 Жыл бұрын
Kwa muonekano wa kiba mwacheni ajidatishe malaya huyo au huyu muhaya?
@angelkirigini
@angelkirigini Жыл бұрын
Yatapitaaaaa alafuu sjui atahamia wap mim Niko hapa nasubili mtu atakae miliki hii kitu 😁😁😁😁
@Am-vo5cu
@Am-vo5cu 11 ай бұрын
Kudanga ndio source ya mtaji wa biashara
@KingGeoffreyMoviesReview
@KingGeoffreyMoviesReview Жыл бұрын
She's beautiful ❤️ ila naona swali limemuhemea sana she's tired ila kwa Wana marketing hii ni growth ila namna ya kui manage iyo ndio shida
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Жыл бұрын
I love you Niffer❤
@muharamimwalie9753
@muharamimwalie9753 Жыл бұрын
King kibaaaaa
@paskalinapa6177
@paskalinapa6177 Жыл бұрын
Mimi sikuelewi niffer mara patrick kanumba mara King kiba
@user-uc8ei8kn3l
@user-uc8ei8kn3l Жыл бұрын
Mala kipa wa YANGA
@lupankeshimana2046
@lupankeshimana2046 Жыл бұрын
Hi nawakubali ali nanifam mependeza
@FatumaShabani-mp9vt
@FatumaShabani-mp9vt Жыл бұрын
Muuni uyo mara patriki wake mara kiba wake
@aquinoowour6067
@aquinoowour6067 Жыл бұрын
Don't be celebrating breaking another woman's family Karma will definitely come back to you
@akaieve
@akaieve Жыл бұрын
She can't understand that my dear.. she's so naive
@helenkambi3918
@helenkambi3918 Жыл бұрын
True
@leejems142
@leejems142 10 ай бұрын
Ach ubuuz ongea kiswahil ww
@jacksonabbas3933
@jacksonabbas3933 Жыл бұрын
Kiba bhna sukar ya warembo
@8pistons194
@8pistons194 Жыл бұрын
Nenda na ww ukalambe
@joycemageta4876
@joycemageta4876 Жыл бұрын
nifa nae kwaiy na patrik je
@alkadihorts8977
@alkadihorts8977 Жыл бұрын
Naomba jina la huo wimbo unaopigwa hapo studio pls
@abedomar5183
@abedomar5183 Жыл бұрын
Bobby Valentino, Slow down
@risperladee5718
@risperladee5718 Жыл бұрын
No
@beatricefredilick1646
@beatricefredilick1646 Жыл бұрын
Unamanisha.nini
@user-yn7mt4mh8n
@user-yn7mt4mh8n Жыл бұрын
Huyu Demu tuko tayari kiba amekwisha pinga kitambo
@jacksonabbas3933
@jacksonabbas3933 Жыл бұрын
🤣🤣🤣👊 chuma kimeshaliwa na kutu
@AnnKalunda
@AnnKalunda Жыл бұрын
Huyu achakuliwa kitambo atahajwa ,,alikiba n mtu akona familia yake na watoto ,huyu c alikuwa na Patrick kanumba pia yy akamukula hakamuwacha ivo,pia huyo alikiba atamtomba na amuwache kojeeni mtaona
@stn4873
@stn4873 Жыл бұрын
Kiba amuoe huyu.
@lupankeshimana2046
@lupankeshimana2046 Жыл бұрын
Kingi kiba tunakukubali kwakazi zako
@farahanafarer7588
@farahanafarer7588 Жыл бұрын
Niffer acha ujinga Kiba kama anaakili angeacha kabisa kuwa karibu na wewe naona unatamani kuvunja ndoa ya watu huna maana kabisaa
@AnnKalunda
@AnnKalunda Жыл бұрын
Kweli anapenda kuarinu dowa za watu na zura baya ivo huyu n Malaya kumbwa xana
@azorindege2556
@azorindege2556 Жыл бұрын
Sasa Ndoa ya Ally imevunjika leo?? Miaka sasa acheni kumsingizia Niffer WANGU
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 17 МЛН
Underwater Challenge 😱
00:37
Topper Guild
Рет қаралды 46 МЛН
小丑和白天使的比试。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:51
超人不会飞
Рет қаралды 32 МЛН
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 39 МЛН
OMMY DIMPOZ AMTANIA DIAMOND PLATNUMZ  #diamondplatnumz
0:38
Paul Production
Рет қаралды 242
ALIKIBA weds Aminah Rikesh, The Reception in Mombasa Kenya
13:16
Alikiba
Рет қаралды 2,2 МЛН
白天使选错惹黑天使生气。#天使 #小丑女
00:31
天使夫妇
Рет қаралды 17 МЛН