Lyrics: Kama natokea Bogota ama El Salvador, Mirabaha ka" COSOTA na-hustle nasaka doe, Niite Gustavo nipe kush Cado Tunasakwa na ma-five O survivor na-suffer more, Underground King mzee wa njia za panya, Sioni slay queen wa kunipikia Lasagna, Jali muda waiter lete hizo bia na nyama, Usikonde kuhusu malipo n'ta-clear Mañana, Na-terminate terms terminator, Akijichanganya Tems man I rape her, No friends kwenye papers, Naweka Fence no neighbours, I tense more Haters, Speaking nonsense you can't fade us, Do me a favour jikate kivyako, Kama JCVD wa Goms niwape kichapo, Hali tete ni bora tu ujipange kinabo, Jichange kimango nimewafanya msande kitambo, You tryna be true to yourself, Kama we una utu basi prove through your wealth, No vaseline boy No Diddy nigga, Napasua tu miamba cuz I'm digging deeper, Mamacita sexy mama, I'll Kill you soft serial killer Jeffrey Dahmer, El Chapombe waulize wa Mexicana, La Cavela I rock a fella with no flexing dramas, Mta-copy na ku-paste sana, Mkirudi mtaani mtanikuta na-blaze kiRasta, Kama kubaniwa basi nisha-face disaster, Haina wa kulaumiwa kula miwa case ni after, Kumbe ni stress ni afya kaka usiogope madeni, Jah bless Me hustler japo niokote lateni, Ninywe Pepsi Fanta ghetto nijipoze na feni, I like Solitude kitu inafanya nikose wageni, Ka" mnabwaga bwageni kama wanga wangeni, Hewani nachana anga hizo ngwamba famba vaeni, Anakujua nani wewe mwamba wa Bonyokwa, Supplier kama Pablo natamba ndani Bogota, You got me crazy you're my addiction, Kitu amazing it feels like a fiction, Nakuwaza daily kwangu no restriction, So just don't play me n'tapoteza vision, Bogota Bogota, Ni mzigo wa kutoka Bogota,
@abdulmohd68803 ай бұрын
Oya Unju weka namba zko apa tuntaka iyo album
@PanAfricanistmawesa3 ай бұрын
Appreciate much bro
@Tellaaxis3 ай бұрын
Piteni na kwangu kzbin.info/www/bejne/onqnp3SJpLCcqqMsi=TKHYDmwOeEL3B7TD
@wycliffhezron73783 ай бұрын
Unju Bin Unuke 🙌🙌
@wycliffhezron73783 ай бұрын
Mali safi kutoka Colombia 😅
@ChembaBoy3 ай бұрын
This is the meaning of MC I appreciate you broo since day one your by best Hip hop artist from nyumbani Bongo CHINTANGA from all the way south Africa skupingi broo
@davidmwango93883 ай бұрын
Kama umeikubali kama mimi gonga like hapa
@ALBATWA5-zh4zk3 ай бұрын
Team unju unju nawakubali wahun,
@patricknewguy81893 ай бұрын
Lupe fiasco of bongo hiphop
@francisfelix7283 ай бұрын
Bogota mji mkuu wa Colombia.
@chachasagara19852 күн бұрын
Tupate kichupa chake Unju 👊 Umepiga kwenye mshono kaka. " Kumbe Stress ni Afya kaka usiogope madeni....."🙏🤝
@Dickcheney-b1h3 ай бұрын
Unjuu umetisha kinoma 🙌🔥💥
@emmanuelnkwabi86103 ай бұрын
Unjuu kama bogota mzee baba
@mwakanyekenyiki92413 ай бұрын
Mdogo wangu unachana sana
@kilagane1832 ай бұрын
🔥🔥 bonge la ngomaaaa
@nyundotv3 ай бұрын
MASTER..❤❤❤❤
@jossporahmsw84203 ай бұрын
Boooooo gotaaaaa🎉🎉
@popular_as_vyper2 ай бұрын
unjuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
@EmmanuelKabigi17 күн бұрын
Mzee wa content namsema ukweli
@ludotheplanet74753 ай бұрын
Safii hii ngoma ni 🔥
@richmontanna79343 ай бұрын
Unju the realest rapper
@ErickElibarick2 ай бұрын
Hahahaha p the mc kawa data unju p asubir sheria za baba mwenye tenz zake umjui unju 🎉🎉🎉 tuko pale uwez mlinganisha baba na mtoto tuulize sisi tunae mjua unju toka way back uyo kwangu ni baba R.I P God zila .A .K A .Y Zizi🎉🎉🎉 mashabiki masnch siwa fagiliii
@jerrylmamba2 ай бұрын
Mc wa Bogota ngoma zake zina fukuza wageni ......mob love
@Jabali_Media2 ай бұрын
Bogota unju 🔥
@G-meJames3 ай бұрын
Nikki Nikki Nikki...hakunaga lyricist wakumfikia Nikki hapa East Afrika...hakuna. Ukweli ndio huo hata kama hawataki
@Owgmarlen3 ай бұрын
Spana🔥🔥🔥🔥🔥
@StevRnb3 ай бұрын
Una baya kaka tuna enjoi tyuuu
@BabaNasritz3 ай бұрын
Nakubali
@Super-Casanova2 ай бұрын
Nikki Mbishi ❤❤❤❤
@YusuphMabene2 ай бұрын
Moola wa muda wote
@MaxnEngineer3 ай бұрын
Goma linaanza tuu Whatttttttttyy a beat nyie eehee 🤗🤗🤗Mziki huu tuliumiss nyiee🤲🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🫵
@hajimaster76243 ай бұрын
Uyu sasa ndio unju ninaemjua mimi what a master piece punch