Beat by: @goncherbeats Mixing and Mastering: Mboks Directed by H Assistated : Hope Syvester & Vin Balavad
Пікірлер: 643
@josephmengi29784 жыл бұрын
Gonga like kama unamkubali Nick✍️
@felixrumisha51324 жыл бұрын
Tusiishie kucoment na kulike tu.. Tufungue pochi tununue kazi zake, mwana anastahili kulipwa... twendeni na #tumpeunjumpungawake
@sameeradam91334 жыл бұрын
Kweli Mzee Wa kazz...
@mugadimon35634 жыл бұрын
SURE MWAMBA MIMI NI MDAU MZURI NA KAZI ZAKE NINAYO MOJA YA SAMMAGOAL NASUBIRI IJAYO NINUNUE .NA NAENJOY SANA KUONA SESSION YAKE IMEPATA WATAZAMAJI WENGI KULIKO WASANII AMBAO WAPO MAINSTREAM
@oldskuladimuzabongo88734 жыл бұрын
Hakika
@kalimazegeli93394 жыл бұрын
Mimi nahitaji album yake
@felixrumisha51324 жыл бұрын
@@kalimazegeli9339 mchek insta au youtube page yake kuna maelekezo
@abelbest49844 жыл бұрын
Kama umesikia "BOSS MKUU MAMAKE" Gonga like kwa dongo hili
@qadinacci4 жыл бұрын
DAH HA HA HA
@Jack-bx6go4 жыл бұрын
Nilicheka sana😂😂😂
@bamztvonline99054 жыл бұрын
😂
@LeeUfudu4 жыл бұрын
Shout out from são Paulo Brasil
@bittersweet16837 ай бұрын
Subliminal shots in hip hop
@Georgevasco-ld8be5 ай бұрын
Naomben like 5 tyu zinanitosha mana nimekuja itazama 2024
@kibibson4 жыл бұрын
ukitaka ujue maana ya BEST MC mfuatilie huyu jamaa, he is Gifted and Talented Rapper. Tz hakuna kichwa kama huyu msela ukimsikiliza wkt anachana lazima utokwe na goosebumps. ZOHAN
@coachkente10012 жыл бұрын
There's a bigger difference between talent and gift this is GIFT not talent
@dallerbwoyniglo86754 жыл бұрын
Nahisi wasichokijua juu ya huyu jamaa ana sauti ya mamraka anaafaa madaraka
@kastorymalila11094 жыл бұрын
We msenge mbona noma sana!!, na lazima wakukimbie mwaka huu, sasa tunasublia albam ya welcome to GAMBOSHI
@dottodavid19354 жыл бұрын
Anasikika sana redioni BOSS MKUU MAMA AKE 🙌🏼🙌🏼
@mo_zillaa54284 жыл бұрын
Nimesoma koment za watu hapa nimelike kibao lakini nikaona sijatenda haki kutokomenti. Kichwa ya unju ni ma terabyte aisee, hatar mnoo. 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@migstranger81424 жыл бұрын
Nikki mbishi muacheni niko speechless huyu jamaa ni hatari 🔥🔥
@officer12084 жыл бұрын
Daah huyu jamaa
@noelphilipo79944 жыл бұрын
Nakubali mnyama simba amakamanda nkimbishi
@maselashassankubanda994 жыл бұрын
We gotta admit,,Nikki mbishi is the Realest in the Game🙆 he's so intellectual that some can't even digest his lyrics 😁😁you gotta have a certain level of knowledge understand him
@selemanathuman6767 Жыл бұрын
Nomaaaaaa Kaka ludiwe BC ata Kwa beat nyine br
@wakudatamjanja4 жыл бұрын
Sijawahii kuwa wa kwanza kwa comment ndo leo kweli ni balaa 👍👍👍
@tikonjoka50904 жыл бұрын
2na itaji mwendelezo iwe ngoma
@abdullahhamed21974 жыл бұрын
Kumbuka kila kiumbe ameshushwa na future yake 🔑
@vinrocky86144 жыл бұрын
Anasikika sana redio boss mkuu mama yake
@abdullahhamed21974 жыл бұрын
Kumekucha Na makucha yake kumbuka kila kiumbe ameshushwa na future yake
@nurdin.mndeme34474 жыл бұрын
@@vinrocky8614 future ni ya kila mmoja wake ' akili iwe yako uelewe :)
@musamgulila5774 жыл бұрын
Hiki kichwa hatar sana
@aaronjohn95184 жыл бұрын
Kuna melody flani tamu kwenye rap yako unayo na rappers wengi hawana, pia kichwa cha uandishi mzuri na maneno catch ya ku make headlines mtu akisikia 🔥🔥🔥big up Nikki mbishi
@youngmillar41104 жыл бұрын
Unju ndo icon ya hiphop bongo!! BOSS MKUU MAMAKE🔥🔥🔥
@angelomakaveli27904 жыл бұрын
Anasikika sana redioni Boss mkuu mama yake 🔥🔥🔥🔥🔥Qmmke unju ni kisanga
@abelbest49844 жыл бұрын
Umeckia iyo boss mkumamake
@mosamossile91134 жыл бұрын
Sister wew ni hip hop nakubar Sanaa one lv hapa Chuma juu ya chuma
@hkmeme54374 жыл бұрын
Diamond kwenye wasafi radio
@Bomayee0074 жыл бұрын
Amini kwamba
@kayitareksteven15433 жыл бұрын
Kabisa Nikki kaua kAbisa kuliko wote marehemu zizi angekuwepo ndo angewez kumusimamisha
@sofieldkalima68414 жыл бұрын
Chawa nawaingiza Chaka kwenye kwapa la Suzy Mbishi Nikki Baba Malcolm Dr unju We ni bonge la ndonga km la mfala moses
@brahmsbabaa64114 жыл бұрын
Usanii ni talent Sio kusoma kamusi This dude is talented 💯
@francissikazwe83304 жыл бұрын
Upeo wenu mdogo is not is easy to convince me 💥💣💣💥💥💥
@saidbogoyo14844 жыл бұрын
Huyu ndo king wa hip hop kwangu
@abdulmohd68804 жыл бұрын
Hhh after fid q mm nd anafata yy
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
Niki ndo best MC haina ubishi, fid zamani sio sasa
@desmondplanets35504 жыл бұрын
Amin broh
@sethmunisi80692 жыл бұрын
Dr unjuu,,,,, chawa nawaingiza chaka kwenye kwapa la suzi
@fanleck29224 жыл бұрын
Hakuna kuoneana huruma, Biashara ni ubepari
@steamnature4 жыл бұрын
Unju anatumia jina JOHN kuunda mstari 2:05 "JEMBE zaidi ya JOHN DEERE pia niko strong CENA fear" JEMBE zaidi ya JOHN = Hapa kacheza na jina la John P. Magufuli anayefahamika pia kama "Jembe" JEMBE zaidi ya JOHN DEERE = "John Deere" ni kampuni ya Marekani inayouza pembejeo za kilimo yakiwemo majembe "... pia niko strong CENA (sina) fear" = Hapa kacheza na jina JOHN CENA, mwanamieleka wa kulipwa kutokea Marekani. Nikki anahusisha sehemu hii ya mstari na uwezo wa "ubavu" wa John Cena. Tafsiri ya mstari: Nikki anajigamba kuwa yeye ni mwenye misimamo, yuko imara, ana nguvu, na hana woga. #Unju
@hashimabdallah85234 жыл бұрын
✊
@faucynkrctian66074 жыл бұрын
Apo Magufuli hausiki Ni hiyo kampuni ya Matrekta ya John Deere na John cena tuu
@faucynkrctian66074 жыл бұрын
Mwamba anajua mambo mengi
@winfridamsumule50844 жыл бұрын
@@faucynkrctian6607 Anahusika
@desekepi4 жыл бұрын
@@faucynkrctian6607 sanaa haijawahi kukamilika na kila tafsiri inaweza kuja 😅
@yaedlifemedia32034 жыл бұрын
sasa uyu mchiz mnamfananisha na p uyu mchiz ni level nyingine
@anthonymgogo26513 жыл бұрын
Wasioelewa wababisha
@gabrielwilliam23402 жыл бұрын
Best Tanzania Mcee Unjuuuuu
@arafatinfo16813 жыл бұрын
Uwezo wa huyu creature ni beyond imagination zawatu wengi sana achilia mbali wasiomuelewa, hata wale tunaoona tumeelewa nakufurah nakucoment, hapo utasem inafaa tumsome huyu mtu vzr wakubwa wadogo wakike wakiume ukimuelewa hutaona kazi kununua cd yake ata angeuza elf 50 kisha utaona fraha utayopata ukiskia katoa ngoma au interview, huyu ndo true defntion ya star, kama uko real lets enjoy the music through surpoting
@TheAm21st4 жыл бұрын
One of the Ghost Rapper in Tanzania
@maneshipaycash47294 жыл бұрын
u killer it bro fire chawa nawaficha kwenye kwapa la suzi
@emmanuelbrassy40002 жыл бұрын
Chawa nawaingiza chaka kwenye kwapa la suzi, babu talent wee mnoma sana
@divamrembo87884 жыл бұрын
Anasikika sana redioni bosi MKUU MAMAAKE. ahaha #savage
@chidytalent51044 жыл бұрын
Miaka Tisa sasa namsikiliza Nikki he never disappointment me
@nelsonmasolwa83434 жыл бұрын
Disappoint not disappointment
@mosamossile91134 жыл бұрын
Brother Unju Mimi mdogo wako nanyosha mikono juu, Wakilsha Tz kwq Upande wangu Tz hip hop ni wew wengine Kerere nyingi Sanaa hawawezi Kupita Kwenye Line zako, From Cape Town South Africa
@hilmaxengineering49224 жыл бұрын
Wapenzi watazamaji wanataka beef na player , mpenzi mtazamaji ni Wakazi📌📌😀😆
@leonardkahaya90064 жыл бұрын
km uliwai kusikia nikki mbishi anamashabik diehard mm n mmoja wao🔥
Cjawhi kwama kukubali kazi zako mkuu🙌🙌🙌 wakuache na ligi zao za mbuzi
@exaverymnyanyi90514 жыл бұрын
Unajua braza mung yupo utapepea sana
@Rimoynicky4 жыл бұрын
BOSS MKUUMAMAKE..
@jamerude37533 жыл бұрын
Wabongo ndo akili zinaishia hapo
@andrewbryankibua1003 жыл бұрын
Hakuna wa kumrith baba Malcolm,Nikki mbishi daktari unju bin unuk, ni kipawa Cha kipekee duniani Mungu akupe Long life,na amani bro..
@shompizorajabu66544 жыл бұрын
dah dah dah dah hakuna mwana km nikki mbishi
@tonnygraphy77574 жыл бұрын
Boss mkuu mkumamake
@SampleKiller994 жыл бұрын
Natoa shomba kama papa kwa mchuzi. Chawa nawaingiza chaka kwenye kwapa la Suzi. Hatariiiiiii!
@bonifacemeela52474 жыл бұрын
Kama unajua unajua tu unju bhana "//Muumba tutakase aliyetufumba tumshangaze/"
@sabongetz46764 жыл бұрын
Mm ni moja yashabiki kumi bora huyu jamaa anajua adi anaboa
@hkmeme54374 жыл бұрын
Yani hao kumi Niko hapo ndani
@joegitonga98214 жыл бұрын
This dude never dissapoint.
@francissikazwe83304 жыл бұрын
For sure
@officer12084 жыл бұрын
For sure mzee
@nassorgaramatatu83424 жыл бұрын
Daaaaaaah!!!!speechless zohan mtu mbaya sana
@officer12084 жыл бұрын
Unju atabaki kuwa Legend tu,Dada wa Kazi atabaki kuwa beki tatu wa Tema Yai Nation
@kaundasutikaunda77694 жыл бұрын
Kaka ww ni noma ...Unju big up
@mosessabugo36304 жыл бұрын
eeeeeeeeh bhana kumbuka kila kiumbe ameshushwa na future yake tusifatiliane
@salehlule77454 жыл бұрын
Lafudhi tamu mpaka wanauliza umekaa pemba👊
@dickzompaseven57142 жыл бұрын
Nikkimbish kibongo bongo hamna asee...pure meaning of MC
@iddymadega26624 жыл бұрын
Noumah sana
@izvibez68234 жыл бұрын
Upeo wenu mdogo it's not easy to convince me🎯
@sosterntulian4914 жыл бұрын
Itabidi nikukubali tuu kilazima haina jinsi ..wee msenge ninoma 🔥🔥🔥
@officer12084 жыл бұрын
Hahhahah kmamke nmecheka kisengeeeee hii Comment yako..Unju ni katiliii🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@thehoodmedia53324 жыл бұрын
Mzee wa kuleta inzii kmk wasikucompare na watoto
@bashirusalehenandoro31284 жыл бұрын
Hii energy ndio tulkuwa tunaimis toka kwa Nikki Mbishi
@stansynelson26404 жыл бұрын
Tamuuu mnooo hii kuliko zoteee
@inocentmbowe41604 жыл бұрын
Uyu jamaa ni htr 🙌
@emmanueldrawerhq75264 жыл бұрын
Sina historia ya kumsujudia presenter #Unju binadamu anaesadikika kuwa mrefu zaidi ya unavyodhani
@thelastsay74354 жыл бұрын
Ngoja nikifika home nimskilize Nikki Mbishi(Nikki Zohan)..., 😃😃
@bakari_njobela3714 жыл бұрын
Hata mimi nmesubiri nmalize kazi nisikilize vzuri a see😂😂
@rajabmwanansoga84304 жыл бұрын
Nishasikiliza kama mara 100 hivi......dah!hii noma sana
@salminmhando13164 жыл бұрын
Kumekucha na makucha yake😱😱
@sboykavu2284 жыл бұрын
Aaah brother we nizaidi ya rapper zao
@denismaige18334 жыл бұрын
mbishiii
@jeremiahmabula48374 жыл бұрын
Anasisikika Sana radioni Boss mkuu Mamaake
@francomwacha22624 жыл бұрын
Noma na nusu!
@changanataliforlife37604 жыл бұрын
Boss mkuumamakeee
@Sokomoko134 жыл бұрын
CHAWA NAWAINGIZA CHAKA KWENYE KWAPA LA SUZI😂😂.. Nasubiri One incredible Aje Afanye Yaaaake!!! Hii ndo viru tunataka!!! Unju bin unuki mjukuuu wa Zohan
@mugadimon35634 жыл бұрын
HUYU UNO NI WA MOTOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO TAMADUNI MUSIC HAKUNA RAPPER MBOVUUUUU
@saidakare81932 жыл бұрын
Never understood this guy till found out who Leonardo DA Vinci was😅😅😅you need an extra mind to understand this guy,he's a genius
@Kobe_254 Жыл бұрын
Hizi ni zile ngoma kumi nakubali tokea Bongo!!! Hapa Diamond hayuko… mpo number moja…, ya wale mc mafala I mean, real legends from Bongo Flava
@benaldooden95384 жыл бұрын
Nakuelewa sana niki mbishi
@amonijajila12184 жыл бұрын
Mbish wao rafuz tam paka wanauliza umekaa pemba
@allymnonji64847 ай бұрын
Oooy bro nimechelewa kukoment ila bro your still my favourite hip hop star Tz and then your onlnly star in this world like unjuuu no one can't in this world east cost and west cost in this world like your name unjuuuuuuuuu
@yascomdoe56864 жыл бұрын
Uyu jamaaa ni nyiko
@obagoabhiathan35653 жыл бұрын
Anasikiliza sana redioni Boss mkuu mama ake😂
@josephselemani89714 жыл бұрын
anasikika sana redioni boss mkuu mama ake @unju
@timothmwakakusyu45634 жыл бұрын
My best MC unjuuuuu, unajua sana bro mpaka umepitiliza
@charleschanai6014 жыл бұрын
Nmerudia zaidi ya mara 5...Unjuuuuuuuuuuuuuuu
@wazi77194 жыл бұрын
EL chaPOMBE killer... Jembe zaidi ya John😅 Like zake ziwe hapa #Unju💪