Mimi ni mkenya lakini Hawa ndugu zangu wabongo wanachana bwana.nawapenda sana
@buruanisaidi2411 Жыл бұрын
Mackdizo inanimate sana ni habari nyingine
@deniskg310 Жыл бұрын
Mshkaji mwenye vest nyekundu mkali sana, na sauti ni ka' Jadakiss
@saeedmassoud25610 ай бұрын
Ni kabinova
@bennomlelwa9202 Жыл бұрын
Mbish unakula kaya Kama mm ,wambie wahuni mi Sina kaya mjin ,ntakuja kwakua gem Bado inanihitaj mimi
@SHINANASTAR6 ай бұрын
Labab iyooo🎉
@inclyrics4384 Жыл бұрын
Noma sanaaaa sema huyo jamaa flan kama 2pac
@ramarmularr4677 Жыл бұрын
Tuondokee 🔥🔥 atupangiwi cha kufanya... Verse ya Nikki na Mwana wa vest nyekundu lawama Tupu wazee wang
@kaJEMBEvip Жыл бұрын
Shashow mbona katulia sanaa
@Thobiaslucaskipara Жыл бұрын
Jamaa wa vest ya nyekundu wamoto sana
@harunayussuf6866 Жыл бұрын
Anangoma zake anaitwa kabinova jolikesh
@harunayussuf6866 Жыл бұрын
Kabinova see you broo💥💥💣 ukonga hood✌🏿✌🏿✊🏿
@kabinova Жыл бұрын
Oooiii
@harunayussuf6866 Жыл бұрын
@@kabinova i see you broo.✌🏿
@aslaysizo6509 Жыл бұрын
Unazingua broo kua makini
@fydelisalphonce1064 Жыл бұрын
😂😂😂
@nyotamy3678 Жыл бұрын
Bana eeee 👏🏾💪🏽🔥
@obbymajitv4627 Жыл бұрын
Naona next level ya kuimbia bafuni
@fydelisalphonce1064 Жыл бұрын
😆😆😆
@Invisible-n4n Жыл бұрын
naomba jina ya iyo ngoma ya kwanza kabisa kma q chila ndo anaimba. ngoma gani iyo
@JREMPIRE-jd1ms Жыл бұрын
Watu wanaishi maisha yao pambana kijana
@slimmtani8236 Жыл бұрын
Mwanetu g5🔥
@attainer-jr7494 Жыл бұрын
Kweli kitaa aisee namuona G5 na wana kibao
@honestkiwia2264 Жыл бұрын
Kaka unikumbusha ngoma yako ya kichaa Cha mbwa nikama chapanya buku
@eddiebilly3475 Жыл бұрын
Mmekula kwanza
@juliushamady1541 Жыл бұрын
Nomaaaaaa
@HalfanmundoMundo10 ай бұрын
Msalimie G 5 wa pale reln karbu na baa ya uwanja mpana na shasho
@rasvegas8991 Жыл бұрын
Wanakulaaa pombe kalii tuuu
@AjePicturez Жыл бұрын
Mbishi Zoani 🔥🔥
@chazjerome9999 Жыл бұрын
Msenge Anavuta Mibange Hadharani,Mvuta Bange Wewe Fala
@ernestkatyega5781 Жыл бұрын
Nikki pombe kali kibao mziki mdogo hela huna wenzako wanatafuta hela weusi we taarabu kibao
@alphonceboniphace6813 Жыл бұрын
Unyama sana🔐
@AbubackarRamadhan Жыл бұрын
Exactly
@richardmahamba1803 Жыл бұрын
Unjuuuu
@stapinuswilliam860 Жыл бұрын
Wanyama watupu
@buruanisaidi2411 Жыл бұрын
HALI YANGU
@matupamoses6398 Жыл бұрын
Katiba mpya unyama Sana
@xhamzy Жыл бұрын
the real life street unju
@darhustler Жыл бұрын
Au nikutusi kwa kispanish..
@azorindege2556 Жыл бұрын
Mtaishia kuvuta bangi hivyo hivyo nan atawekeza hela zake kwa wapuuzi
@shaurimtanda82855 ай бұрын
kitulize sisi tunawaelewa sana na tuko kwenye serikali
@nehemiahmguluka1996 Жыл бұрын
Baba Malcolm
@mussamboto-qc4gn Жыл бұрын
👊👊
@juliushamady1541 Жыл бұрын
Real life
@mkolekulwa3090 Жыл бұрын
Hip hop
@echagwhy4442 Жыл бұрын
UNJU 🔥💯
@hashimtitho5860 Жыл бұрын
NOMAAA
@Bongovlogs Жыл бұрын
Kwani lazima wasanii wa Hiphop muonekane kama majambazi au wezi? Jipendeni
@ngwalesma3681 Жыл бұрын
Acha uoga mtoto jambazi yupo wapi hapo?!
@delekalxon7221 Жыл бұрын
Usenge
@jumazinga941 Жыл бұрын
Noumh sn
@allymwilu8089 Жыл бұрын
Usenge mtupu mfyuu
@pitbullfamily4499 Жыл бұрын
😈🔥🔥💯💯💯
@papushkamedia3277 Жыл бұрын
🔥🔥
@sassboy9360 Жыл бұрын
Unju umefeli
@kennedysomi4295 Жыл бұрын
MINUNO 97
@martinmbata7035 Жыл бұрын
Wanyama mtupu wafanya yao
@ikokijuma-zv7wd Жыл бұрын
Nikk we ni model wangu sana kwenye different philosophies ila una show up personal life so poa ka mkubwa umenifelisha pombe mibange so swala hide it brodah its yaah life do not show to yaah fans ni usenge, mkubwa avoid it
@emmanuel5413 Жыл бұрын
sanaaaaaaa
@sahirstimajr4394 Жыл бұрын
13/06/2023==08:28 AM
@plastaog1150 Жыл бұрын
Acheni Kupotosha New Generation na kuiaminisha Ujinga kama huu ndio life style Wanayotakiwa kuishi ma Mc,! Hatukai kuvuta kunywa sio Kesi lkn lazima mkumbuke kua kuna Vijana Wengi Waliwatazama nyinyi kama Mifano.. Nikki na Wenzako Acheni Usenge..
@theeminent547 Жыл бұрын
Huku unafata nini Wewe New generation?
@mugadimon3563 Жыл бұрын
@@theeminent547 Huyu nayeye mshamba yeye kafuata nini hapo.Mtu akiwa rolemodel wako sio lazima uchukue kila kitu.PIA HAPO HAMNA KITU CHA AJABU KIMEFANYIKA
@Thobiaslucaskipara Жыл бұрын
Huyu kuma katokea kuma gani
@MickeEdward Жыл бұрын
Msema kweli hapendwi
@rostaduccibilly9046 Жыл бұрын
Wewe ukienda dukani uwaga unanunua Duka zima au unanunua ulichokifata dukani! So far hawa washikaji si tunawakubaligi vyovyote wakikosea tunakosea Nao na wakipatia tunapatia nao