*PRICELESS LYRICS* *NIKKI MBISHI FT WAKAZI* *NIKKI MBISHI* *INTRO* *UNJU,BLACK BEATS,YOU KNOW WHAT TIME IT IS,CITY OCEAN MUSIC KALUMINATICS STUFF YOU KNOW WHAT I'M SAYING DR UNJU YEAH! ANH!* BEFORE BARACK OBAMA OSAMA BIN LADEN YESU ALIBEBA MSALABA NA BABA NDO CARPENTER MAISHA NI SAFARI WAPE LADHA MAPASSENGER KAA KIJANJA KA CESAR DANJA ANAVAA NINJA UNAEZA SEMA ANAJISTIRI KIWANJA KUJA MAPEMA KUONDOKA ALFAJIRI JUZI MOKA JANA KAONDOKA NA KANDA MBILI SHEHE WANGU NIMECHOKA LEO NAFOKA ALBADIRI KALIGONGA KALIKUNYA HABARI HUNA I'M COMING SOONER I'M RUNNING TO YA KAA MBALI JUNIOR AH CHECKING MIC CHECK NNAPO RIDE LEFT KIREFUGEE KA WYCLEF AM THE NICEST PRICELESS KAMA DEVIL KUKUPA MEDAL UKIWA NA BALOZI NI VITUKO VYA GHETO ANANAS DO NYATI BILA MIFUKO YA GHETO SKOSI SHOW KALI KESHO MIYEYUSHO ITAKUWEPO HMM MNALIAMSHA DUDE HAMNIPI FIESTA MNAMUWANGUSHA RUGE MNAMPANGUSA KUPE MIMI NI CHAWA UFALME WAKO UJE ULONIFANYA MI NI KAWA HIVI POWER AKA OSCAR KAMBONA SAM MAGOLI KWENYE CROSS AMA CORNER HAWANIGUSI WANA BLOW NA MANGOMA UTU NA MOYO UNAEZA SEMA SHOW ZA MAKOMA CHOSA NA MBOTA NA FAKE CHAINS UNG'AE UNAE MUOGOPA NDIYO KWA SECTION UNAE NI YULE MENTOR WA STEREO KWENYE UBORA WAKE THE EMPERIOR NATEMA VITU TERRIBLE *WAKAZI* WANAMEZWA NA PAPA KA YONA MI NAMEZA PAPA PAKA ZNAZOTOKA MAJI SA YONA HEAD BANGER UKISHUSHIA NYAGI TAPONA HUWEZI MANZESE TIPTOP CONNECTION KULA KONA WANAONA AIBU NDO MAANA WANAFICHA MACHO HAWAAMINI WANACHO KIONA WANAFIKICHA MACHO BASI NDO UNGEWAFIKISHA MACHO WANAPANDA BODA BODA HARAKA KUMFIKISHA MKE WAKO OH SHIT NAKULA BATA YOSHI SIO NZURI HATA YO SHIT MAN EXPLOSIVE FLOW IS SO SICK KA MSOSI SOME ALL NEED PROCEED KWA HII HIGH STEAM YA WEED INDEED LAST MAN STANDING NI STIMU YA JIJI HARD AS A ROCK MWANZA NI HIGHER ESTEEM YA FIDI DARESALAM VITAMU WANA FAIDI MAGWIJI WATOTO CHEZA MBALI MNAUA BENDI MARQUIZI MARQUIZI YEAH MACHIZI YEAH MNASEMAJE LIFE NI HUSTLE NJOONI TUHANYE AM DROPPING ILL SHIT ACHA WANYE MI NA UNJU TUWATAWANYE ALL BOYS TO MEN KAMA WANYE SORRY I'MEAN WANYA MORRIS NO ONE BETTER COZ THIS IS DELTA FORCE CHUCK NORRIS MWENDA WAZIM SAY VITU ADIM THEY WANT MORE OF THIS WANAOKWENDA KUZIM SAY THIS SHIT IS FIRE NO OFFENCE WE PUTTING DEVIL TO SHAME LYRICAL CONTRA BAND THE BASE OF THE GAME NAWASHA MOTO HII NI LEVEL YA POPAINE YOU SHOOTING FOR STARS NIGGER AM SHOOTING STARS FROM MABEGA WAJEDA HIGH ON BARS COCAINE *NIKKI MBISHI* ANH! HATUNYWI SUMU HATUJINYONGI MEZANI KUNA SUPU YA KUKU NA TUNGI NYOMI KULIKONI ULINGONI WAMEJAA WACHOVU GAME HATULISOMI SABABU YA CHAWA MOBU WAZEE WAMEFUA CHECK WANAVYOMWAGA POVU WANAPIGA MAGOTI KWA DOZEN NA ADAMU MCHOMVU I SAY STAKI SHARI SWAGA BOVU NAACHA KIFO NA ULEMAVU HAMTOBAKI NA MAKOVU KWENYE BATTLE RAP UNJU BAKORA NACHANA KINYAMWEZI YANI MWADE LAMPOLA MWOLA DUHU STRICT HARDCORE NGOMA NGUMU NA WASOMI WENU NDO HAO WANABONGA SHUDU AMANI KWA MJOMBA ZUZU CHIZI BILLNAS AMEMGEUZA BUBU ZIZI CHILL BAS KAMA IMEKUWA NGUMU SIZI THROUGH YOUR OWN DESTINY KA BUJU NI EASY YEAH NIKIZAMA JUWA KINA HAKIPIMIKI HII NI SAUTI YANGU NA SINA HAKI MILIKI NAPIGA KAZI SILIPWI NAVIKWA TAJI KISNITCHI KUNA SAA NAJISKIA KA SIHITAJI MARAFIKI WAKALI WENU WANANI HOFIA TO THE MAXIMUM HISIA HUWA INA PUFF SOME NA FEAR RAP SON NI PART ONE MWENDELEZO UNAKUJA UKIPENDA DEZO UTARUKWA UKUTA UNGUJA USIFANYE MCHEZO MUDA NI YUDA NA UKIKUSALITI UTAVUTA MA UNGA NANDY ANAUZA WAMEMTUPA MAUNDA KULE MIMI MARS ANARUKA NA SHUGA BUSINESS AS USUAL TUPIGE MADISCO SHOUT OUT KWA ARIPINDIGILE MAN YUSTO *WAKAZI* NIMESIMAMA AKILI INANITUMA KUSEMA KICHWA SUGU KA PROFESSOR MI MADINI NATEMA WANASEMA YOU ARE WHAT YOU EAT NIGGER I EAT PUSSY BUT AM FAR FROM A BITCH ON A LYRICAL TREAT CHAPA BAKORA FIMBO ON A LYRICAL WIZ MISTARI YA WIMBO HATARI FOR YOUR PHYSICAL SHIT ZAIDI YA INSHA ZA NECTOR JUMLISHA NA VECTOR ABACUS CALCULUS HESABU ZA CENSOR ANH AM AFTER GOLD & THEN AM AFTER PLATNUM I'M TRYNA WIN THE STREET FIRST SO FORGET THE PLAQUE SON GLADLY I SWALLOW PRIDE AND VOMIT EGO BUT REALLY SICK ON YOU RAPPERS WHO THINKING YOU MY EQUALS I REASON WITH TWO SENSES ON MY MIND I'M BI-LINGUAL AND SHIT DON'T BE HAPPENING ALL THE TIME THIS IS CLASS YALL CAN START RAPPING 101 REMEDIAL COMMENT I CAN CHEW OUTTA YOUR RHYME IN SWAHILI PELEKA SHULE WATOTO WA VIDUDU WE LYRICAL WIZARDRY CASTING THE SPELLS LIKE VOODOO BABA LAO FLOW & THIS IS THAT JUJU ON POINT LIKE MAGIC YOU GOT THE KIDS AS TO LOSE TO I GREW UP ON UGALI & FUFU SO PIZZA & BURGER IS THE SHIT THAT AM NEW TO BUT NOW I EAT RAPPERS AND YES I DRINK BEEFS TOO FORGET A FAIR ONE LYRICAL BUSTING JIU JITSU AM BETTER THAN TOP FIVE OF WHOEVER AKILI NI NYWELE BEING BOLD NEVER BEEN THIS CLEVER CALLING A GENIUS AIN'T FAIR AUTOMATIC AFFAIR WAKAZI UNJU NA RHYMES KUNTU ZILIZO BOBEA ANH!!!
@mchambuzi90893 жыл бұрын
Respect
@camillomakongwa83085 жыл бұрын
Asante kwa Zawadi hii DR. UNJU #HAPPY BIRTHDAY AGAIN #KILLED EERTHANG
@d-manb-free34785 жыл бұрын
Hata marekani hawafikii hip hop hii,wanafanya biashara tu
@dastonamichaels18545 жыл бұрын
Good vibez ..Nikki am from jamaica mi dont know swahili but niko mahali navuta bangi
@richardbosco97395 жыл бұрын
Hahahahaaaaa
@jumamlanzi82004 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@nakalikyumile32345 ай бұрын
Acha uduanzi
@eliaslusana19085 жыл бұрын
Daaah king wa hiphop AFRICA NIKKI MBISH Unju bin UnuQ
@jamesmgallah95445 жыл бұрын
Kuuuuuuubaaaaaaah wakaziiiiiiiiiiiiiiii una balaaaaaa, shda n kwamba mnajua mpaka mnakeraaaaa. Eyoooooo unjuuuuu
@josephselemani89715 жыл бұрын
Unaemuogopa ndo kwa section unae🔫👍👍
@SaidKweli5 жыл бұрын
Hatubongibongi tu ili mradi tunabonga!
@officialdon19222 ай бұрын
Dawa kabisa waambieni wajukuu zao babu zao walikuwa na Yao tofaut nawao kwenye Miaka Yao
@jerryandrew99895 жыл бұрын
Still Hip Hop track of the year...gonga like kama unakubali..
@kassimmbarak76215 жыл бұрын
Sina haja ya kusubiri nyingine.. Hii imetoka kuwa ya mwaka
@poisontz92985 жыл бұрын
Wanapanda bodaboda fasita kumfikisha mkewako kama unamkubali Niki wakazi gonga like hapo chini
@jozefuedmund21264 жыл бұрын
Wakazi amekaza sana kwenye ngoma Mistari imesimama balaa na flow nzuri. Mbishi kawaida yake kunyoosha ngoma zake vzr
@masungwajr1us6045 жыл бұрын
Kali sana hii bin unuki straight from texas
@MsinjiliFiTnEsS27925 жыл бұрын
Mwadila mpola duhu unju umetisha
@raphaelmartins84835 жыл бұрын
Mashabiki wa unju.wakazi. incredible. Ni watu wenye akili timamu. Hao wanaoimba mamigos ata akili zao am sure elimu darasa la pili..
@brahmsbabaa64115 жыл бұрын
From kenya with love 🇰🇪🇰🇪🔥🔥 If you don't relate then this is not you field...you don't belong here 🚫🚫🚫
@mwalungesso12345 жыл бұрын
Daaah ngoma Kali sana ,,amekosekana kamanda UNO ingekua kubwa zaidi
@kiswahilitv Жыл бұрын
Nakubali Mistari
@Doshoboy3 ай бұрын
Wa Tanzania kwenye comments ni priceless sio priceress
@daniikirunda71135 жыл бұрын
Happy Born Day Doctor Unju bin Unuki
@sekundemaster4605 жыл бұрын
wakaz alikuwa ankutia nuksi tu no snitch wakaz pigs kaz mzeee baba HP hop na maisha🙅🙅🙅🙅🙅😂🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅
@HidayaSwai7 ай бұрын
Wakanda sasa tupo mara tena kiagata asante
@Barrydauda5 жыл бұрын
Wote wakurya,wote wanatoka ukonga wote ni wanahiphop na wote ni wakali....dope
@bakarininga41005 жыл бұрын
Unjuuu jamaa mwenye akili nyingi adi unakera 🙌🙌🙌
@idiokoth64585 жыл бұрын
Unjuuu hardcore ngoma ngumu.
@magotimtani21805 жыл бұрын
Hahhaaha,,,, Hizi ndo Ngoma ukisikiliza unaenda Fanya Paper la ELECTROMAGNETISM
@hoodinparadisetv86645 жыл бұрын
Hahaha i feel you bruh
@samsonaristarick43845 жыл бұрын
Hahahaha
@josephmathayo89485 жыл бұрын
Verses Maxwell's Equations
@anastaziuscyriacus54155 жыл бұрын
Kwahyo ngoma hii iko na flux density kiasi gani mzee baba?😵
@issaadam8675 жыл бұрын
magoti mtani heeeehee apo sawa
@petersimon21155 жыл бұрын
Nachana kinyamwezi "yani Mwadela mhola, mhola Doho" Unju ni Noma jaman
@erickmnyalu5535 жыл бұрын
Big up saaana BOOOONGI LA NYIMBO endelea na ngumu mzaz tupo zinaotukonga...
@edwardloppa1805 жыл бұрын
chakula yaubogo aisee Mzee BABa Naitaji nikupatie haki yako Nime shiba wajeda
@ahmedaziz78535 жыл бұрын
Ngoma ni ya unju but wakazi kamtia makonzi na kasema uache utundu, mistari imeshiba kama tumbo la mpoto kama hujadondosha like we ni wakucheza mdako
@fix7995 жыл бұрын
Hawa wakulya wawili wakikutana inakuwaga ni hatar sana
@abuuabdulbasitalngahara19995 жыл бұрын
One of the illest mceeee ever in bongo ....#Nikki mbishi good job man
@stephanojofrey67575 жыл бұрын
Hii bonge la Nyimbo mzee umetisha sana we ndo Hi hop ninja nae kuaminia
@sembojwamaterial84095 жыл бұрын
mtaani tnafam baada ya fid niweeewe"rhymes 2 mamake mpka waseme yesu nibeèeeebeeeeeeeeeeeeeeeeee💪💪💪💪
@sebastianegnas51365 жыл бұрын
King of hip hop tanzania nikimbishi ila wakazi sijawahi kukuelewa vzr nimeanza kukuelewa humu priceress
@lofytodo8755 жыл бұрын
mamae.... replayed 4 times already
@patrickmgaza5445 жыл бұрын
Jamaa hatari sana sema media zinazingua sana
@lofytodo8755 жыл бұрын
@@patrickmgaza544 media c ndo hv.... saiv mzik haufichiki labd kma huna mafans
@rafathealfa22372 жыл бұрын
“Ulingoni wamejaa wachomvu” kama umemuelewa nikii gonga like twende sawa
@faisalshaban39482 жыл бұрын
Mbishi kaua 🤛
@hamzadau10255 жыл бұрын
duuuuh umefunikwa Nikki wakazi nishida km unaamini mbishi kwa mala yakwnza kawekwa chini gongs like yko hapa
@heggajunior26062 жыл бұрын
Hatunywi sumu hatujinyongi mezani kuna supu ya kuku na tungi nyomi
@evanceurio79265 жыл бұрын
Ngoma Kubw Xna Ila Nikkimbish Panch Umeipunguza Uzito Bhna Yan Imekua Nyepes Kiain Ck Nyingne Fany Iwe Nzito. Nakukubal! 💪💪
@abdulkarim82285 жыл бұрын
Salute Unju,Mc mkali kuwahi kutokea
@iamatanax48835 жыл бұрын
Unju bin Unuki moto sana hii ngoma
@CoachHafidh4 жыл бұрын
Hii ndo tofaut ya ma MC na ma Rapper ...wachache wataelewa
@boyjopar87175 жыл бұрын
Kiukweli, kiukweli kiukweli! Huyu ndio alio baki baada ya Zilla kutangulia mbele za haki ! Mwenyezi Mungu muache huyu kijana aendelee kutufunza Amen!!!
@michaelkalib8915 Жыл бұрын
Banger of the year no compromise u know im sayn⚓⚓⚓
@hxggughdgijg33954 жыл бұрын
Nakukubali sana jembe fanya ureplay ile diss ya p mawenge, u nasikika mpaka burundi +257
@tipagwejr35055 жыл бұрын
Daaah sijui kwanini hawaelewi kuhusu hiphop mmenifanya nisikilize kila wakat hii kitu (hatunywi sumu hatujinyongo) ( wanapanda bodaboda kummwaisha mkeo)😎
@utdforever92365 жыл бұрын
WAKAZI UMETESA SANA!!!! ILA MIMI SHABIKI WA BABA MALCOLM TOKEA KITAMBO
@stephanojofrey67575 жыл бұрын
Wanamezwa na papa mpaka zinatoka maji sayona Gonga like hapa
@BomccTechnical5 жыл бұрын
bro unajuw sn gud kazi sna
@mtetezipcool5555 жыл бұрын
Niko buja duuuh mbishi hadi umembishi nkurunziza mia
@mudymilanzi85495 жыл бұрын
Hii ngoma unaweza ukajionaupo pepon kabsaaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fabolousnarey91365 жыл бұрын
Hii nimeseji kwa wale waliosema haiuzi Hip Hop #unjuu bin unuki hunaga kazi mbovu
@davidmarick42575 жыл бұрын
Wewe ndo tunaweza tukasema upo bongo bahati mbaya ungekuwa ulaya bro ungekuta ni msani mkubwa sana mwenye mafanikio
@SamuelCharles-1115 жыл бұрын
Ukipenda dezo utalukwa ukuta unguja...!!! Wangapi wamesikia hii
@laizerbishafu5933 Жыл бұрын
Tunaoskiliza 2023 tujuanee hip-hop
@bombomah62475 жыл бұрын
Unjuh bin Unuk, c hatubongi bongi tu, apa ni mwendo wa vina kwa stanza na sio vina vyepes ka wale macharii ya R, Respect Tamaduni Bombomah62 I'm talking!!!!
@stephanojofrey67575 жыл бұрын
Nikki Mbishi hii ni ngoma kali ya hip hop Tanzania
@eliascharles54145 жыл бұрын
Ngoma kali sana hongera sana jombaa
@innocentjackson81565 жыл бұрын
Mmekutana wote wa kutoka kanda maalum Mara, mmeua mbaya. Hip hop icons
@edwardcharles10665 жыл бұрын
nikickia ngoma inatoka tamaduni na uhakika ni kali 100%
@sembojwamaterial84095 жыл бұрын
mhola doh😆😆✌ niki genious..thanks for delicious lyrics.
@silvapatrick22465 жыл бұрын
💯👊👊💪
@KevoMazziwa Жыл бұрын
Can tell. Someone has been listening to john vigeti .. greatest ripper alive
@asserymmary26965 жыл бұрын
Wakali wenu wananiogopA to the Maximum
@eddechriss26645 жыл бұрын
Nyie watu hamahakika mmchana sana kwenye ngoma hii, hususa ile verse ya Mwisho mlioipiga mande
@kedyjohn18485 жыл бұрын
Doooh... uzito wa juu huu. Kina kirefu mnooo
@hashimabdallah85235 жыл бұрын
Kazi mzuli
@jamalshaha45125 жыл бұрын
App gani nitapata nyimbo zako za zamani maana mdundo hazipo
@drmubarakhassan80105 жыл бұрын
Waoooh.. great music great combination .. one of historical joint ever in tanzania.. Nikki n wakazi both did well on this 🔥🔥🔥🔥🔥
@allyndimh39855 жыл бұрын
Daaahhh kudadadeki hii ngoma sichoki kuview..
@mtaalamwamambo20995 жыл бұрын
Hii song imejaa dis tuu🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@michaelmazinge84313 жыл бұрын
Yesu alibeba msalaba na baba ndo kapenta
@joramkuboja47945 жыл бұрын
Nilichogundua #mbish na #wakazi wana chemistry nzuri. Maana nakumbuka #kandamaalumu walivyoua nao wameongeza hili dude
@godfreymbwanga77505 жыл бұрын
unju na wakazi kazi ipo
@Kutas_tz.11 ай бұрын
Humu unju uliua sanaa😮
@LolitaOketch10 ай бұрын
Ati nyati bila mifuko ya ghetto,,,,,that was one insane bar🙌
@bakari_njobela3715 жыл бұрын
Mzuka sana unju,,baada ya hii usisahau kutuletea 2 kings na chidbenz
@shallyakida8195 жыл бұрын
Unjuuu
@hafidhissa14995 жыл бұрын
Olaaa Unju hauna mbaya .. your best
@ludaboykaleku8755 жыл бұрын
Daaaaaaaaa asee kwann watanzania wanachuki sana hawa jamaa mbna hawapew nafasi areeeef hiphop ndo hii sasa hiphop imezaliwa upya nikk respect bro
@mccocokenya13712 жыл бұрын
Kali sana tembea kenya
@hamsoshupavu5 жыл бұрын
wazee wamefua cheki wanavyomwaga povu wanapiga magoti kwa dozen na adam mchomvu
@Issamuemede7 ай бұрын
Kaa kijanja kaa sinza danga hanavaaa ninja
@hamisisaidi8945 жыл бұрын
nakuelewa unju mia sana bab huja wahi kukosea soja
@mangesani5 жыл бұрын
Unju bin Unuku na Wakazi ahsanteni pamoja na aliegonga beat, video na wote mliofanikisha hii project. Shukran
@noelmtewele71625 жыл бұрын
Unjuu hatareee mwaka huu watatukoma
@sabrinamohamed84504 жыл бұрын
Imebidi nirudi kuangalia tena baada wakazi kusema kamkalisha Nikki humu, ila wakazi ni kiazi kwa kweli.😂