Kutoka Johannesburg Westdene SA..Naombeni like zangu jaman❤😂😂
@hamismohamed35416 ай бұрын
Unju mwanangu we ni bonge la nyau sema nchi hii vichwa panzi ndio wanaongoza nchi ila ingekua mtoni mwanangu wewe ni levo za kina Eminem mzee
@bobolino19516 ай бұрын
UNJU is the Greatest of Tz dairly una hamu ya kumsikiliza hachoshi verse zake Za kibabe Sana hachoshi.
@issackmusalika1213 ай бұрын
Hii ni zaidi ya Ngoma Kali hii ngwengwe Mbishi umeua
@meshackphilemon6 ай бұрын
Hii ngoma ilitakiwa ikashootiwe kipande cha timberland unit
@Kushnade6 ай бұрын
Atari Sana verse zimetulia mbaya chorus becka kaua mbaya
@Charles-ru3zs6 ай бұрын
Nikki huku kapiga bonge moja ya flow... keep it up boy
@gwamakajohn71226 ай бұрын
Unjuu hizi verse unacholaaaa mpka noma
@d.i.o2 ай бұрын
Verse ya Unju unaweza ukaombea mkopo benki bila riba Wala dhamana! CLASSIC!! 🔥
@babagwamaka11056 ай бұрын
Unju Captain 🔥🔥💯💯
@aidaninkhoma78936 ай бұрын
Mm aidani hapa Malawi nakuona boss wangu duke
@Dokta_kuku6 ай бұрын
More love to the good music 🎶 Keeping rap alive ❤
@kaJEMBEvip6 ай бұрын
Moro town ..sarut kamanda duke imekaa
@stapinuswilliam8606 ай бұрын
Mbona meza chache oya mwamba ongeza circle Dr unju
@Onkwoflows6 ай бұрын
Giiah 😎 😎 😎 Roho mbaya nimekutana na mwenye ubaya.
@kastorymalila11096 ай бұрын
Unjuuuuu👹👹
@erickmoses74306 ай бұрын
Hicho kibao Cha ooooi usivute fegi Kuna jamaa humo humo hajakiona...
@SANYSTAR-f8l6 ай бұрын
Umetisha Kaka beka siwapingi wanyamwezi
@AmaniNiyonsaba5 ай бұрын
Bugalee
@anuarguni84926 ай бұрын
Unju unatuacha na kiu sana fans wako
@charlesabeli99146 ай бұрын
wakilisha kibishi ✊🏿
@RayouSembe6 ай бұрын
🔥🔥🔥❤️
@meshackphilemon6 ай бұрын
Sema big up@ chief
@kassimcheche58346 ай бұрын
Hizi vacal cheaf jaji nahukumu wapambe
@sadanjosh60756 ай бұрын
Hii beat akikaa myama Central Zone {Moni} itakua unyama sana
@pisanotz53486 ай бұрын
Chief duke
@Barakah25905 ай бұрын
Freshi mziki ❤
@Joe-29046 ай бұрын
Combination ya unju na becka Title inakuwaga 🔥🔥🔥
@jumajuma66126 ай бұрын
Bonge la ngoma
@daswizetv6 ай бұрын
Noumaaa
@KwaremaTV2546 ай бұрын
Kali mzee
@Izzeyg6 ай бұрын
Unju Bin Unuki
@farijjmohammed77236 ай бұрын
hii kazi inafaa kuwa jamani
@lemeboyofficial6 ай бұрын
Home boy Chief duke
@masongatz6 ай бұрын
Legends in the moveeee #beckatitle we ni mkali asee
@kingbryno9166 ай бұрын
Hii ndio maana halisi ya hip hop ina wenyewe ujue mwanangu ujue ki afrika mistar yako kuanzia saut na uandishi sioni mpinzani hujawahg kupwaya kwenye bit miaka yoote tangu nikujue
@dullahsimbaulanga64726 ай бұрын
>>>Unju 🔥🔥
@kondelamasatu78526 ай бұрын
Saruti Kwako chief Duke 🎉🎉🎉
@anwarntarru9996 ай бұрын
Bin UPUPU🔥
@jumamofu95736 ай бұрын
We unju ww dah sema huyo jamaa chief Nan sijui mwambie time nyingine azingatie matamshi Ila anaandika vizuri.. (Kwenye R na L) vizuri mtu anasema vizuli
@hajisalehe1276 ай бұрын
Big up kaz imenyooooooka
@nicksoncharles-kx3gr6 ай бұрын
Chief duke hii Ngoma kubwa sana tembeza kwenye madeia piga interview sana Kaz kubwa kuanzia audio paka Chupa lime simama
@atenionesmo_A106 ай бұрын
uunjuu
@TariqTV-p5e6 ай бұрын
Unjuu captain
@bigarmara84956 ай бұрын
Ata uwe kidume naweza kutia mimba
@pitbullfamily44996 ай бұрын
😈Gang gang 🔥🔥💯💯
@TariqTV-p5e6 ай бұрын
Unjuuu
@mpatisezekiel71346 ай бұрын
🎉🎉
@EmmanuelLekasango-rt1qx6 ай бұрын
❤❤❤❤❤ from U.S.A
@Thadei_kameta54586 ай бұрын
Unjuneering
@josephrichard2416 ай бұрын
ngoma kali sana flows na kunata na beat
@mohamedyhassany14166 ай бұрын
DUke respect brooooooo
@bigarmara84956 ай бұрын
Tema ugoro uache kutumia asprin
@FrankSamson-r6s6 ай бұрын
Roho mbaya🔥
@pademwanaharakati89806 ай бұрын
Mkali wa vitikio tz nzma Becka tittle
@dannyasavela6 ай бұрын
beka title ni mnyama san
@EvaIcon6 ай бұрын
Kazii kazii
@dannyasavela6 ай бұрын
chorus kali
@kikotinationtv486 ай бұрын
Hata ukija na Tanasha ghetoni atakula Dona
@wizzoally83546 ай бұрын
Unju
@abumuhammad96156 ай бұрын
Jiweeeeeeeeee
@YusuphKayanda6 ай бұрын
Kesi nane 😅😅
@Loismo6 ай бұрын
Oi oi 🔥🔥🔥🔥✊🏿
@onesmomwakasege52156 ай бұрын
Unju kauwa kinoma Sana
@Simulizitulivuu2 ай бұрын
Vent skills de killer
@Tellaaxis6 ай бұрын
Noma sana
@nyotamy36786 ай бұрын
🔥💪🏾
@cass_black_kioson6 ай бұрын
Brothers Roho Mbaya 🔥🔥🔥
@chibodee4476 ай бұрын
Msafara wa kondoo
@Simulizitulivuu2 ай бұрын
❤❤❤fayaaaa
@mkwavinyikanguyu9236 ай бұрын
Giaaa
@The_Mad_Philosopher6 ай бұрын
Unju,🔥🔥🔥
@yojoruta33792 ай бұрын
UNJU THE GOAT
@joselynelema6 ай бұрын
mpewe maua yenu
@sportshighlight6936 ай бұрын
sema unju noma sana
@rebsonkatana86836 ай бұрын
UNJU 🙌🙌🙌
@dankhany33856 ай бұрын
kesi nane za unyangaji na mbili murder zohan shark topaz babu bomba
@mzalendo_mwenye_mapendo6 ай бұрын
💥
@RachaelMangale-w2q6 ай бұрын
UNJU 🙌
@raynellyaugustino32376 ай бұрын
Unju B unukii ✌️✌️
@shughulipevu46976 ай бұрын
Giiiah
@EliahReuben6 ай бұрын
Cc ROHO MBAYA Kweli wewe sio propaganda-Unju😂 Mwilini nina ngeu na minyuzi kama gita kipi utakachonitisha-Chief Duke😅
@khamis_zimbwe6 ай бұрын
Mkali wa choras beca title
@digalo373silentkiller76 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Loismo5 ай бұрын
🔥🔥🔥👑✊🏿
@bonifacemeela52476 ай бұрын
"Kazi kazi bila filter, ubavu Adolf Hitler "😊
@jamesobelly41986 ай бұрын
Becka Title hajawai fail 😅😅
@jbsilulatv45136 ай бұрын
Yani unju ukimshirikisha bado michano yake ni heavy tu...