ROMA ANAIMBA NGONJERA/ TUMEMFUNDISHA SISI HIP HOP/ NI MUONGO - NIKKI MBISHI

  Рет қаралды 45,726

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Пікірлер: 241
@ShaqueeBlackrapper
@ShaqueeBlackrapper 2 жыл бұрын
Kwa tunaoijua HIPHOP vizuri tumeelewa alichokisema Nikki Kwa wasiojua hawawezi kuelewa Heshima sana Unju ✊
@elisantemsumanje1381
@elisantemsumanje1381 3 жыл бұрын
Mtu ambaye sio smart hawezi kuelewa hi extremely important session
@djalminhagamari4642
@djalminhagamari4642 3 жыл бұрын
Nikki mbishi watoto wengi wamekujua miaka ya 2019
@ayubdax3977
@ayubdax3977 3 жыл бұрын
Nikk mbish, Aminia sana Unju, Kichwa Makini.
@mklarazaa719
@mklarazaa719 3 жыл бұрын
Tunamsikiliza roma sana kwa maana tuna mwelewe...na kuna kurap na kuna hip hop.Hip Hop ni maisha ya kila siku yenye kila aina ya changamoto hivyo
@gospelvibestv3914
@gospelvibestv3914 3 жыл бұрын
agiza pepsi popote nitalipaa
@realnine..
@realnine.. 3 жыл бұрын
Umenena naaam umesema na ukaeleweka
@daudishabani1587
@daudishabani1587 3 жыл бұрын
Dah umewaza kk
@yasirimavere7729
@yasirimavere7729 3 жыл бұрын
Unju for ever
@Junilito
@Junilito 3 жыл бұрын
Rhymes Of Magic Attraction yuko juu
@hamisiizadini3938
@hamisiizadini3938 3 жыл бұрын
Anaesema Nikki hana ngoma kali... Atafute kitu inaitwa jogoo atamjua Nikki ni nani?
@daviezaghalinho2480
@daviezaghalinho2480 3 жыл бұрын
Roma kabla ajatekwa alikua na ngoma Kali nyingi kapata tuzo kibao Ngoma kama mathematics all the best
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Kwel bob
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Huyu nikki saivi ana kinyongo sjui ana shda gan
@SIMULIZIZONE
@SIMULIZIZONE 3 жыл бұрын
Nikki taarabu nyingi sana, umezeeka Sasa, jitahidi uwe na busara
@johnnabie5445
@johnnabie5445 3 жыл бұрын
Mimi nilishamkubali Roma mkatoliki 🇰🇪🤜🤛🙏🔥
@denicemwitakabwere7726
@denicemwitakabwere7726 3 жыл бұрын
Mm huyu ndo namskia leo.... Roma,,, Zimbabwe for life
@kombobomayee1745
@kombobomayee1745 3 жыл бұрын
Utakua chizi we Kama humjui unju
@OFFICIALMABY
@OFFICIALMABY 3 жыл бұрын
Sema jamaa anaongeaga fact sana
@alexmwalim9714
@alexmwalim9714 3 жыл бұрын
Roma yupo juu kwenye hip hop so ili ufkie level alofika Roma jitaidi ju saii bado sana Roma yupo juu mzee
@impeccable6974
@impeccable6974 3 жыл бұрын
Hivi unamjua Niki mbishi WEWE?
@sifatiiman
@sifatiiman 3 жыл бұрын
@@impeccable6974 kwwnda huko hajui ku paform jukwaani anashushwa aende uko 😏😏😏
@tonianosoprano117
@tonianosoprano117 3 жыл бұрын
Utakuwa umjui nikki mbishi ki mziki
@hkmeme5437
@hkmeme5437 3 жыл бұрын
@@tonianosoprano117 nikki na roma ni wana hip hop wawili tofauti, roma rap style yake ni kama Eminem Nikk mbishi ni kama nas
@khojarobebebebebebebebe9329
@khojarobebebebebebebebe9329 3 жыл бұрын
@@sifatiiman pamoja mwana mtell huyo twampenda natwamkubari saaaana Roma tangu natangu
@bizbiz5023
@bizbiz5023 3 жыл бұрын
Niki maku wew tena siyo kidogo sanaaaaa yaan maku kwel kweliiii
@emmympangala2411
@emmympangala2411 3 жыл бұрын
Big up Dr. Unju ukweli unauma siku zte
@jihadjiha1017
@jihadjiha1017 3 жыл бұрын
Umesahau brand ya 26 life ndio iko juu than any brand
@danielkenedy4357
@danielkenedy4357 3 жыл бұрын
Tunakubali nikki lakini ukiendelea kwa Roma tunakuacha kweli make roma ni fire
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Kweli asee
@cosmoantonio5682
@cosmoantonio5682 3 жыл бұрын
Unju!!!! 🔥🔥
@jasminyiddysulaiman9807
@jasminyiddysulaiman9807 3 жыл бұрын
I love yu nikki
@taizmigo2649
@taizmigo2649 3 жыл бұрын
Wengi hawajui industry ya hip hop ndo maana hawaelew anachoongelea Unju , Nikk kazungumza fact sn
@kombobomayee1745
@kombobomayee1745 3 жыл бұрын
Wengi mziki makelele ndomana
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Ata kama ila kwa roma anakaa angalia ata shoo za roma af ulinganishe na mbish ,,
@lughanojohn4211
@lughanojohn4211 3 жыл бұрын
@@arinestaanton9895 sisi atutaki show ambazo zinawatetea wapuuzi eti ndio dili ila sisi tunataka ujumbe wakutuelimisha kutoka studio tu inatosha sio lazima mpaka show, hiphop ni reality tunayoishi na sio Kiki na maigizo ya stage kuwa na akili
@saidymo8307
@saidymo8307 3 жыл бұрын
Niki nakukubali lakin kumsema roma daah sijapenda 🥺
@footballclips1617
@footballclips1617 3 жыл бұрын
Ukitaja marapa wanaoelimisha huwezi kumuacha roma
@sidemiela3597
@sidemiela3597 3 жыл бұрын
Sawa sawa nakubali nashkuru kusikia hiyo mchane tu muimba taarifa za habari
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 3 жыл бұрын
Huyu jamaa mbishi sana ndicho kitu kinachofanya hasikiki kimuziki
@jorgettemwajuma5428
@jorgettemwajuma5428 3 жыл бұрын
Mashallah
@salumjumah5648
@salumjumah5648 3 жыл бұрын
Nikki mbishi jina la pili linamwarbu roma mkali zaidi yako roma alikuwa noma kabla ajatekwa
@mosesshelukindo6478
@mosesshelukindo6478 3 жыл бұрын
Nikki mbishi ni msanii mzuri sana wa hiphop TZ na ni kati ya wasanii bora sana wa hiphop... Ila kumdiss roma amezingua tena sanaaa, yani nikki anadiss wasanii wengi mara kawa diss weusi, mara p the mc sasa hv roma.. hawezi fika mbali kwa hiyo attitude japo kuwa anajua.
@allykiukala3693
@allykiukala3693 3 жыл бұрын
Aja mdisi kajibu alichoulizw na ukweli upo apoo
@titus_maridhia
@titus_maridhia 3 жыл бұрын
The Last Man Stand
@idrisahussein6654
@idrisahussein6654 3 жыл бұрын
Unakomaa mwanangu Wewe kweli mbish
@maxcharles5436
@maxcharles5436 3 жыл бұрын
Roma ni bora kuliko Nick kwa hip hop Roma ni namba moja
@warith..
@warith.. 3 жыл бұрын
Hujuwi HIP HOP kaa pembeni
@kilayogeyejakobo6688
@kilayogeyejakobo6688 3 жыл бұрын
Hujui hip hop kaa kwa Kutulia
@changanataliforlife3760
@changanataliforlife3760 3 жыл бұрын
Ujui ki2 kuhsu Hip Hop bro
@Burner_Acc
@Burner_Acc 3 жыл бұрын
#7 Nikki Mbishi chuki inammaliza, watu mtaani hawajui ngoma yake hata moja anaishia kuchukia wenzake ambao wanasikilizwa na kila rika.
@simonlukiko2850
@simonlukiko2850 3 жыл бұрын
WEWE USIE JUA MZIKI WA RAP NDO UMJUI
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Nikki n zaman za freestyle now n wivu amezdsha
@davidmbwilo4954
@davidmbwilo4954 Жыл бұрын
Jamaa anaongea ukweli ndio maana anaonekana mkorofi
@geofreyukason
@geofreyukason 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni very genius... Salute kwako mbishi
@pawizo5006
@pawizo5006 3 жыл бұрын
Sema wasanii wa hip hop wanaaminigi wao miamba😂😂😂😂😂
@frankchamba8894
@frankchamba8894 3 жыл бұрын
hii list ya uongo
@djumadjumbe6907
@djumadjumbe6907 3 жыл бұрын
Acha kihere here ,roma kakushinda sana kaka
@kessykadema180
@kessykadema180 3 жыл бұрын
Nilichogundua kwa huyu jamaa hamna kitu kabisa.. huwezi shindana na roma bro acha chuki
@samkitwima7933
@samkitwima7933 3 жыл бұрын
Humjui Nikki wewe mjomba. Bora unyamaze.......kujimwambafai kwa wasanii ni kawaida ila Niki Mbishi ni level zingine. Sema umaarufu ishu nyingine.
@Michael_Msanzya
@Michael_Msanzya 3 жыл бұрын
Kwani bro Nikki umeimba nyimbo gani Mana za roma tunazijua
@shaurimtanda8285
@shaurimtanda8285 3 ай бұрын
huwezi kuzijua kama unakaa Banda la uani Kwa mama kimbo
@daviezaghalinho2480
@daviezaghalinho2480 3 жыл бұрын
Roma anakuzidi kila kitu broo so toa hit song hata moja af ndio uongee
@chingychingy2066
@chingychingy2066 3 жыл бұрын
ila we nikki unajikuta mgumu lkn mchumba tu huna lolote.....hiphop sio mziki kama unavofikiria ww kwa apa bongo hiphop ni maisha tu ambayo tunayaishi kitaa
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Uko sahihi
@richshayo4924
@richshayo4924 3 жыл бұрын
Hate won't make you succeed bruh umezingua kinoma
@ibrahimmsham1099
@ibrahimmsham1099 3 жыл бұрын
Nikki mbishi kumuongelea Roma ni HIP HOP...ila kwa wasioelewa industry ya music wanaweza wakamchukulia doctor UNJU miyeyusho...kawaongelea CHIDY na Q-CHILA yani anawakumbusha watu wawasikilize vizuri hao watu i mean wawafatilie vizuri hao watu..sema kama IQ yako ndogo...uwezi kung'amua kitu huyu mtu ni wa pekee
@kombobomayee1745
@kombobomayee1745 3 жыл бұрын
Sahh
@johnamos2050
@johnamos2050 3 жыл бұрын
Saaaan bro hauko makin q na chid wamezungumziwa kwenye swala la kuji brand naamepitisha kama kautam kuwa qchila alipo sema nipo geto naj brand ,,ndo nik akasema huwez kujibrand ukiwa geto toka kitaaa,, ss ww unachangany bro
@kisabihamadi7555
@kisabihamadi7555 3 жыл бұрын
true 100 ujuaji unamponza
@benmbuya1814
@benmbuya1814 3 жыл бұрын
Nikki acha wivu
@francomwacha2262
@francomwacha2262 3 жыл бұрын
Kwa roma apo umezngua brother.. ata kabla ya tukio mbona mwamba ni mkali tuu..
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 3 жыл бұрын
Nikki Mbishi umenena kweli ..Roma ni kuhelehele sana yule.
@stephanomosses3743
@stephanomosses3743 3 жыл бұрын
Boya ww
@erikimethod6246
@erikimethod6246 3 жыл бұрын
# mbali na kutekwa
@mabaazizitigermnyama5254
@mabaazizitigermnyama5254 3 жыл бұрын
Unjuu....!!!!🙌
@makangeofficialmediatz6715
@makangeofficialmediatz6715 3 жыл бұрын
Nikki anavuta sana bangi ndo mana,,bangi ni mbaya mno
@simonmlisa4311
@simonmlisa4311 3 жыл бұрын
Niki alikua yule wa Play boy na Friday feat Belle 9& Godzilla Kwa sasa kajaa chuki
@Dee_76
@Dee_76 3 жыл бұрын
tatizo anaona yeye ndo anajua kila kitu
@makangeofficialmediatz6715
@makangeofficialmediatz6715 3 жыл бұрын
Yes,,zile nyimbo me mwenyew nnazo...zile sasa ndo kaimba!ila hzi blaa blaa za siku hizi Nikki naona ni bangi tu ndo zinamchanganya
@nikodemuschacha
@nikodemuschacha 3 жыл бұрын
Na izo alibahatisha tu ndio maana hawezi kufanya kama vile tena.we unafikiri hapendi kufanya kama vile arudi mtaani 😀😀😀😀😀.
@arkamhamad5072
@arkamhamad5072 3 жыл бұрын
Kwani we umeimba nyimbo gani mana za Roma tunazijuwa
@stephanomosses3743
@stephanomosses3743 3 жыл бұрын
Hapo sasa
@omary3238
@omary3238 3 жыл бұрын
Mfatirie then Utajua unjuu nani..
@khojarobebebebebebebebe9329
@khojarobebebebebebebebe9329 3 жыл бұрын
HahHahahahahahah nimecheka sana mwana kumbe tuko wengi harijulikani hilooooooh si twamtambua ROMA natwamkubari saaaana
@Balogetv
@Balogetv 3 жыл бұрын
Nikki Watafta kiki Kwa Roma Eh Tatizo Bangi zakuchanganya Sana Kaka
@gospelvibestv3914
@gospelvibestv3914 3 жыл бұрын
Kitu watu wanashindwa kuelewa ni kuwa KUNA SOFT HIP HOP NA HARDCORE HIP HOP.Nikki Mbishi anaimba Hardcore Hiphop Ndo maana hata audience inayomfuatilia ni chachee
@mimisir5717
@mimisir5717 2 жыл бұрын
Umeongea pumba
@fredysanura5412
@fredysanura5412 3 жыл бұрын
Ila mbona nikki kaongea ukweli tu Mimi sioni kama ni ubaya Unju yupo real sana I respect him
@allykiukala3693
@allykiukala3693 3 жыл бұрын
Roma mshamba anazinguwa 2.
@ibrahimkanuto3514
@ibrahimkanuto3514 3 жыл бұрын
Umezingua
@lutusigaza2148
@lutusigaza2148 3 жыл бұрын
Wasio jua music wa hip hop hawawezi kumuelewa Nikki mbishi, mimi nawasikiliza wote roma na nikki mbishi ila nikki mbishi ni TANZANIAN MASHINE
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Ni kweli ila kwa roma anakaa
@lutusigaza2148
@lutusigaza2148 3 жыл бұрын
@@arinestaanton9895 sawa ila naheshimu sana mtazamo wako ila kila mtu anamtazamo wake
@stephanomosses3743
@stephanomosses3743 3 жыл бұрын
Mkatoliki kitambonino ANA WATU.
@mubaraqkhalid205
@mubaraqkhalid205 3 жыл бұрын
Uyu jamaa smart sana mshamb aelew tunamtaka tena 😂😂😂
@ibrahimmakame5304
@ibrahimmakame5304 3 жыл бұрын
Unjuu lile disi ulopigwa p mc ni ukweli mipasho sana m mshabik wko unjuu sana ila ushindane na roma .
@salumuissa8501
@salumuissa8501 3 жыл бұрын
Huwezi kua mkali kwa ku-strugle tu...eti kaptia BSS...ogopa sana mwanafunzi ambae hajaptia nursery na anafanya vizuri kuliko waliopitia...
@samwelikimati5863
@samwelikimati5863 2 жыл бұрын
we roma ni mkali tena mkali kwelikweli
@mathewdyzymaleyafrica9128
@mathewdyzymaleyafrica9128 3 жыл бұрын
maneno mengi kimziki hata ngambo hujavuka unatabia za wanawake wakizamani 80s
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Ana kinyongo sana
@jenifersamwel8990
@jenifersamwel8990 3 жыл бұрын
Af tatzoo la nikii n wivu na roho mbayaa
@nacebamr4722
@nacebamr4722 2 жыл бұрын
Wajanja ndo tunaelewa hii interview ya nikky ila maakanyaboya yatamsapoti Roma
@realnine..
@realnine.. 3 жыл бұрын
Huyuuu jamaaa n mnafiki sana......eti mashabiki wa watu wa Hip Hop hawana smartphone 😀😀😀😀😂😂😂
@Kobe_254
@Kobe_254 3 жыл бұрын
Mbaya sana.. ni fala wa WASAFI tunamwelewa!!
@freddylucas1132
@freddylucas1132 3 жыл бұрын
Nikk Mbish ni GOAT,,don’t and never compare him with Roma...let we be serious
@cathbertkilingo4472
@cathbertkilingo4472 3 жыл бұрын
Nilimkubali Niki mbishi kwenye Playboy Fanya blayboy2 bro
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 жыл бұрын
Nakubali bro fanya weweeee fanya wewe la-la-la-la-la-laaah Nouma sana kikosi kazi kazini
@emmympangala2411
@emmympangala2411 3 жыл бұрын
😀😀😀😀😀😁😁😁😀😀😀😀 #acha #kiherehere #roma 😀😁😀😀😀
@aramamisamatime3183
@aramamisamatime3183 3 жыл бұрын
Unju arakati kweli..achana nae uyo Mtoto Roma's.. habari zake tunazo... fanya hip hop unasomeka sana
@dullahbatuf9223
@dullahbatuf9223 3 жыл бұрын
Unaweza sema ana chuki. lkn ukweli hua haupendezi masikioni mwa watu. Good nikki
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Amna ukwel wowote apo roma yuko juu ww wivu tu umezid ndo maana anachukia wasanii wenzake kila siku bifu yaani ameachana na weusi anakuja kwa roma wakati roma sio levo yake,, anataka kujulikana kwa beef kama anaona kutekwa kwa roma ni kiki atekwe nayeye
@lughanojohn4211
@lughanojohn4211 3 жыл бұрын
@@arinestaanton9895 tupe mfano kamchukia nani sisi tu kujibu sasa maana naona kama wewe ndio hujitambui
@krazywizzy4736
@krazywizzy4736 3 жыл бұрын
Jamaa yupo ndumu yupo stimu nomaaa
@unclepwechnov1381
@unclepwechnov1381 3 жыл бұрын
Ganja on fleek.
@krazywizzy4736
@krazywizzy4736 3 жыл бұрын
@@unclepwechnov1381 nomaaa
@davieed1427
@davieed1427 3 жыл бұрын
yuko Dawai
@eliaminishembazi6804
@eliaminishembazi6804 3 жыл бұрын
Achakumsema mwana kwa ubaya mzee .wewe jitahidi ili uweze kumfikia mzee.
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Nikki ndipo napomzaraugi anakuwa na kinyongo cha kijinga
@georgeludakulo6848
@georgeludakulo6848 3 жыл бұрын
Kumbe unachuki bro
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Sasa hujui huyu n baba wa kinyongo.hamna msanii aliewah kumsifu labda kwa unafki..nikki fala tu
@zainabmbarak1043
@zainabmbarak1043 2 жыл бұрын
Lazima tuendeleze hippop tz
@calvinmaimu3366
@calvinmaimu3366 3 жыл бұрын
Huna maajabu Nikki acha kumdis Roma aisee
@dinyoabeli9028
@dinyoabeli9028 3 жыл бұрын
Achen majungu Roma Ni Bora kulko ww ndio Mana vtu vngi kakupta
@tonytrustworth5014
@tonytrustworth5014 3 жыл бұрын
Ni aibu Sana kwa mwana hip hop kulingia subscribers tf ..romas going soft tbh
@zainabmbarak1043
@zainabmbarak1043 2 жыл бұрын
Roma teacher wacha awesome she wenye chuki
@asantesangawe1366
@asantesangawe1366 3 жыл бұрын
Kwel roma ilikua nikiki yakutekwa
@petroladslaus563
@petroladslaus563 3 жыл бұрын
Nilijuaga huyu jamaa AMEKUFA kumbe bado yupo?, duh! ni kufulia tu😁😁😁😁😁😁achana na Roma
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Mshamba anaangaika na roma bdala awaze life yake
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 3 жыл бұрын
>>>Mbishi 🙌
@emmanuelmasemba7612
@emmanuelmasemba7612 3 жыл бұрын
Nataka bidhaa za unju napataje
@mhogomchungu7882
@mhogomchungu7882 3 жыл бұрын
Huyu nikki mbishi ndo vitu gani??😂😂😂 embu atuachie bongo hiphop yetu ...ye bado sana
@anytime5685
@anytime5685 3 жыл бұрын
Bado sema hujafatilia hip hop wakina roma wanaijua hip hop kweli au mazingila ya siasa yanawabeba
@giverment5771
@giverment5771 3 жыл бұрын
Kiherehere kiherehere, acha kiwe kiherehere!
@shekhally5741
@shekhally5741 3 жыл бұрын
Niki umezingua roma yupo juu na huwezi mshusha kwa maneno coz watu ndio washamuelewa
@captaindunga.5849
@captaindunga.5849 3 жыл бұрын
Chuki inakutafuna broo wee pambana na muziki wako naamini utafanikiwa... ila ukumbuke roma ni mkali kuliko wewe na roma tunamjua kitambo usituambie alijulikana baada ya kutekwa acha wivu niga
@arinestaanton9895
@arinestaanton9895 3 жыл бұрын
Kweli roma tunamjuatangia kitambo na yuko juu chuki na wivu sio ishu
@shingwahemed5290
@shingwahemed5290 3 жыл бұрын
Yaani huyu jamaa n bogus sijapata kuona 😁😁
@denismvula6713
@denismvula6713 3 жыл бұрын
Was Kwanzaa😂😂😂
@zackypapla5511
@zackypapla5511 3 жыл бұрын
Upupuuu
@antonychristian1369
@antonychristian1369 3 жыл бұрын
Na wewe katekweee😂😂😂
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Kweli kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣
@cassianclement34
@cassianclement34 3 жыл бұрын
Uyu jamaa anafaa kuimba tarabu bwege sana
@alfoncemalamsha455
@alfoncemalamsha455 3 жыл бұрын
Limekuwa la ajabu sana kaz majungu tu bdal liwaze yake
@joebanda5475
@joebanda5475 3 жыл бұрын
Akili nyingi
@averynusrwebangila4119
@averynusrwebangila4119 3 жыл бұрын
Huu mda wa kuja kuongea ukovid si bora ukae studio
@josephdonald6199
@josephdonald6199 3 жыл бұрын
Jux na Jackline wolper hawajuani na Nash emcee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@sefoo8084
@sefoo8084 3 жыл бұрын
Niki ujuaji mwingi utabaki na ubishi wako km jina lako
@babaluxe8626
@babaluxe8626 3 жыл бұрын
Hhhhh
@frankmichael1307
@frankmichael1307 3 жыл бұрын
Bingo116
@d1w4n1dmoko9
@d1w4n1dmoko9 3 жыл бұрын
1
@pierlomakavel4169
@pierlomakavel4169 3 жыл бұрын
Mbinu hazifi
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН
Миллионер | 2 - серия
16:04
Million Show
Рет қаралды 1,8 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
Friends make memories together part 2  | Trà Đặng #short #bestfriend #bff #tiktok
00:18
Mkasi - SO7E02 With Chidi Beenz
29:55
MkasiTV
Рет қаралды 265 М.
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
HOOOTDOGS
Рет қаралды 2,9 МЛН