From Sam Magoli Album,Nikki Mbishi X Wakazi - Priceless
Пікірлер: 781
@youtube_tz96515 жыл бұрын
mbishi ndo Best hip hop artist In TZ anae kubali like haap
@ChanceYeo11 ай бұрын
True
@mwafrikabarz45075 жыл бұрын
Mh! hhh Naliamsha dude, Hamnipi show fiesta, 😎 mnamuangusha #RUGE Gonga like kama unaamini unju analaana ya michano
@godfreybryson60395 жыл бұрын
Dah!! Huo mstari unamaana kubwa sana ukianza kuuchambua
@kisstv69215 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/Z5fCpZyKicyqhJY
@jumahumphrey36565 жыл бұрын
Kama unaamini hiphop imetendewa haki na huyu mchizi gonga like apa
@potipotina46755 жыл бұрын
Juma Humphrey good job
@yjoo98075 жыл бұрын
Nikki ana balaa sana humu
@jerrykaye11395 жыл бұрын
Before Barack Obama osama bin Laden yesu alibeba msalaba na baba ndo carpenter 🔥🔥i like that one NIKKI MBISHI..kama umemkubali pia gonga like
@josephjohn83635 жыл бұрын
Na baba ndo carpenter
@yohanabaraka81925 ай бұрын
Unju bin Unuki + Billingual Beast .... Deadly combo....HIP HOP...we still here (July 09, 2024), .....
@djmsambamose2665 Жыл бұрын
+254 good misitari iko line big goma Victor Kenya lab hop
@d-manb-free34785 жыл бұрын
Hata marekani hawafikii hip hop hii,wanafanya biashara tu
@frankgaspar6725 жыл бұрын
muziki mkubwa huu, dah hip hop bado ipo alive mamaee,guys wekeni like zenyuu chini hapo
@frankanold98035 жыл бұрын
Sijawahi kumkubali Sana wakazi,Leo nimekukubali wakazi
@eliaswilson36235 жыл бұрын
Frank Anold huyu wakazi hatar sana
@jamesmgallah95445 жыл бұрын
Kuuuuuuubaaaaaaah wakaziiiiiiiiiiiiiiii una balaaaaaa, shda n kwamba mnajua mpaka mnakeraaaaa. Eyoooooo unjuuuuu
@bluesportstvtz40335 жыл бұрын
Haya ndo mambo sasa, the real hiphop shit, mtu anaimba eti wapolo hhhhaaahhhhhh
@officialmrdeo81165 жыл бұрын
Yan nawachukia wanao promot mziki wa weusi wana acha promot mziki kama huu dadeq zao hizi ndio hiphop co wapolo
@swaashgang59435 жыл бұрын
unju, a.k.a Oscar Kambona, sam magoli kwenye cross ama kona,.... kali sanaaa
@sheriffshatterz5 жыл бұрын
*PRICELESS LYRICS* *NIKKI MBISHI FT WAKAZI* *NIKKI MBISHI* *INTRO* *UNJU,BLACK BEATS,YOU KNOW WHAT TIME IT IS,CITY OCEAN MUSIC KALUMINATICS STUFF YOU KNOW WHAT I'M SAYING DR UNJU YEAH! ANH!* BEFORE BARACK OBAMA OSAMA BIN LADEN YESU ALIBEBA MSALABA NA BABA NDO CARPENTER MAISHA NI SAFARI WAPE LADHA MAPASSENGER KAA KIJANJA KA CESAR DANJA ANAVAA NINJA UNAEZA SEMA ANAJISTIRI KIWANJA KUJA MAPEMA KUONDOKA ALFAJIRI JUZI MOKA JANA KAONDOKA NA KANDA MBILI SHEHE WANGU NIMECHOKA LEO NAFOKA ALBADIRI KALIGONGA KALIKUNYA HABARI HUNA I'M COMING SOONER I'M RUNNING TO YA KAA MBALI JUNIOR AH CHECKING MIC CHECK NNAPO RIDE LEFT KIREFUGEE KA WYCLEF AM THE NICEST PRICELESS KAMA DEVIL KUKUPA MEDAL UKIWA NA BALOZI NI VITUKO VYA GHETO ANANAS DO NYATI BILA MIFUKO YA GHETO SKOSI SHOW KALI KESHO MIYEYUSHO ITAKUWEPO HMM MNALIAMSHA DUDE HAMNIPI FIESTA MNAMUWANGUSHA RUGE MNAMPANGUSA KUPE MIMI NI CHAWA UFALME WAKO UJE ULONIFANYA MI NI KAWA HIVI POWER AKA OSCAR KAMBONA SAM MAGOLI KWENYE CROSS AMA CORNER HAWANIGUSI WANA BLOW NA MANGOMA UTU NA MOYO UNAEZA SEMA SHOW ZA MAKOMA CHOSA NA MBOTA NA FAKE CHAINS UNG'AE UNAE MUOGOPA NDIYO KWA SECTION UNAE NI YULE MENTOR WA STEREO KWENYE UBORA WAKE THE EMPERIOR NATEMA VITU TERRIBLE *WAKAZI* WANAMEZWA NA PAPA KA YONA MI NAMEZA PAPA PAKA ZNAZOTOKA MAJI SA YONA HEAD BANGER UKISHUSHIA NYAGI TAPONA HUWEZI MANZESE TIPTOP CONNECTION KULA KONA WANAONA AIBU NDO MAANA WANAFICHA MACHO HAWAAMINI WANACHO KIONA WANAFIKICHA MACHO BASI NDO UNGEWAFIKISHA MACHO WANAPANDA BODA BODA HARAKA KUMFIKISHA MKE WAKO OH SHIT NAKULA BATA YOSHI SIO NZURI HATA YO SHIT MAN EXPLOSIVE FLOW IS SO SICK KA MSOSI SOME ALL NEED PROCEED KWA HII HIGH STEAM YA WEED INDEED LAST MAN STANDING NI STIMU YA JIJI HARD AS A ROCK MWANZA NI HIGHER ESTEEM YA FIDI DARESALAM VITAMU WANA FAIDI MAGWIJI WATOTO CHEZA MBALI MNAUA BENDI MARQUIZI MARQUIZI YEAH MACHIZI YEAH MNASEMAJE LIFE NI HUSTLE NJOONI TUHANYE AM DROPPING ILL SHIT ACHA WANYE MI NA UNJU TUWATAWANYE ALL BOYS TO MEN KAMA WANYE SORRY I'MEAN WANYA MORRIS NO ONE BETTER COZ THIS IS DELTA FORCE CHUCK NORRIS MWENDA WAZIM SAY VITU ADIM THEY WANT MORE OF THIS WANAOKWENDA KUZIM SAY THIS SHIT IS FIRE NO OFFENCE WE PUTTING DEVIL TO SHAME LYRICAL CONTRA BAND THE BASE OF THE GAME NAWASHA MOTO HII NI LEVEL YA POPAINE YOU SHOOTING FOR STARS NIGGER AM SHOOTING STARS FROM MABEGA WAJEDA HIGH ON BARS COCAINE *NIKKI MBISHI* ANH! HATUNYWI SUMU HATUJINYONGI MEZANI KUNA SUPU YA KUKU NA TUNGI NYOMI KULIKONI ULINGONI WAMEJAA WACHOVU GAME HATULISOMI SABABU YA CHAWA MOBU WAZEE WAMEFUA CHECK WANAVYOMWAGA POVU WANAPIGA MAGOTI KWA DOZEN NA ADAMU MCHOMVU I SAY STAKI SHARI SWAGA BOVU NAACHA KIFO NA ULEMAVU HAMTOBAKI NA MAKOVU KWENYE BATTLE RAP UNJU BAKORA NACHANA KINYAMWEZI YANI MWADE LAMPOLA MWOLA DUHU STRICT HARDCORE NGOMA NGUMU NA WASOMI WENU NDO HAO WANABONGA SHUDU AMANI KWA MJOMBA ZUZU CHIZI BILLNAS AMEMGEUZA BUBU ZIZI CHILL BAS KAMA IMEKUWA NGUMU SIZI THROUGH YOUR OWN DESTINY KA BUJU NI EASY YEAH NIKIZAMA JUWA KINA HAKIPIMIKI HII NI SAUTI YANGU NA SINA HAKI MILIKI NAPIGA KAZI SILIPWI NAVIKWA TAJI KISNITCHI KUNA SAA NAJISKIA KA SIHITAJI MARAFIKI WAKALI WENU WANANI HOFIA TO THE MAXIMUM HISIA HUWA INA PUFF SOME NA FEAR RAP SON NI PART ONE MWENDELEZO UNAKUJA UKIPENDA DEZO UTARUKWA UKUTA UNGUJA USIFANYE MCHEZO MUDA NI YUDA NA UKIKUSALITI UTAVUTA MA UNGA NANDY ANAUZA WAMEMTUPA MAUNDA KULE MIMI MARS ANARUKA NA SHUGA BUSINESS AS USUAL TUPIGE MADISCO SHOUT OUT KWA ARIPINDIGILE MAN YUSTO *WAKAZI* NIMESIMAMA AKILI INANITUMA KUSEMA KICHWA SUGU KA PROFESSOR MI MADINI NATEMA WANASEMA YOU ARE WHAT YOU EAT NIGGER I EAT PUSSY BUT AM FAR FROM A BITCH ON A LYRICAL TREAT CHAPA BAKORA FIMBO ON A LYRICAL WIZ MISTARI YA WIMBO HATARI FOR YOUR PHYSICAL SHIT ZAIDI YA INSHA ZA NECTOR JUMLISHA NA VECTOR ABACUS CALCULUS HESABU ZA CENSOR ANH AM AFTER GOLD & THEN AM AFTER PLATNUM I'M TRYNA WIN THE STREET FIRST SO FORGET THE PLAQUE SON GLADLY I SWALLOW PRIDE AND VOMIT EGO BUT REALLY SICK ON YOU RAPPERS WHO THINKING YOU MY EQUALS I REASON WITH TWO SENSES ON MY MIND I'M BI-LINGUAL AND SHIT DON'T BE HAPPENING ALL THE TIME THIS IS CLASS YALL CAN START RAPPING 101 REMEDIAL COMMENT I CAN CHEW OUTTA YOUR RHYME IN SWAHILI PELEKA SHULE WATOTO WA VIDUDU WE LYRICAL WIZARDRY CASTING THE SPELLS LIKE VOODOO BABA LAO FLOW & THIS IS THAT JUJU ON POINT LIKE MAGIC YOU GOT THE KIDS AS TO LOSE TO I GREW UP ON UGALI & FUFU SO PIZZA & BURGER IS THE SHIT THAT AM NEW TO BUT NOW I EAT RAPPERS AND YES I DRINK BEEFS TOO FORGET A FAIR ONE LYRICAL BUSTING JIU JITSU AM BETTER THAN TOP FIVE OF WHOEVER AKILI NI NYWELE BEING BOLD NEVER BEEN THIS CLEVER CALLING A GENIUS AIN'T FAIR AUTOMATIC AFFAIR WAKAZI UNJU NA RHYMES KUNTU ZILIZO BOBEA ANH!!!
@mchambuzi90893 жыл бұрын
Respect
@eliaslusana19085 жыл бұрын
Daaah king wa hiphop AFRICA NIKKI MBISH Unju bin UnuQ
@camillomakongwa83085 жыл бұрын
Asante kwa Zawadi hii DR. UNJU #HAPPY BIRTHDAY AGAIN #KILLED EERTHANG
Good vibez ..Nikki am from jamaica mi dont know swahili but niko mahali navuta bangi
@richardbosco97395 жыл бұрын
Hahahahaaaaa
@jumamlanzi82004 жыл бұрын
😆😆😆😆😆
@nakalikyumile32345 ай бұрын
Acha uduanzi
@MsinjiliFiTnEsS27925 жыл бұрын
Mwadila mpola duhu unju umetisha
@officialdon19222 ай бұрын
Dawa kabisa waambieni wajukuu zao babu zao walikuwa na Yao tofaut nawao kwenye Miaka Yao
@jozefuedmund21264 жыл бұрын
Wakazi amekaza sana kwenye ngoma Mistari imesimama balaa na flow nzuri. Mbishi kawaida yake kunyoosha ngoma zake vzr
@SaidKweli5 жыл бұрын
Hatubongibongi tu ili mradi tunabonga!
@hxggughdgijg33954 жыл бұрын
Nakukubali sana jembe fanya ureplay ile diss ya p mawenge, u nasikika mpaka burundi +257
@sekundemaster4605 жыл бұрын
wakaz alikuwa ankutia nuksi tu no snitch wakaz pigs kaz mzeee baba HP hop na maisha🙅🙅🙅🙅🙅😂🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅🙅
@poisontz92985 жыл бұрын
Wanapanda bodaboda fasita kumfikisha mkewako kama unamkubali Niki wakazi gonga like hapo chini
@CoachHafidh4 жыл бұрын
Hii ndo tofaut ya ma MC na ma Rapper ...wachache wataelewa
@jerryandrew99895 жыл бұрын
Still Hip Hop track of the year...gonga like kama unakubali..
@josephselemani89715 жыл бұрын
Unaemuogopa ndo kwa section unae🔫👍👍
@raphaelmartins84835 жыл бұрын
Mashabiki wa unju.wakazi. incredible. Ni watu wenye akili timamu. Hao wanaoimba mamigos ata akili zao am sure elimu darasa la pili..
@faisalshaban39482 жыл бұрын
Mbishi kaua 🤛
@michaelkalib8915 Жыл бұрын
Banger of the year no compromise u know im sayn⚓⚓⚓
@brahmsbabaa64115 жыл бұрын
From kenya with love 🇰🇪🇰🇪🔥🔥 If you don't relate then this is not you field...you don't belong here 🚫🚫🚫
@macmax77675 жыл бұрын
Aisee Sitaki shari swaga bovu/ Naacha kifo na ulemavu hamtobaki na makovu/ Hii sio Ngoma Hili ni Somo linalopaswa fundishwa mashuleni. Mbishi tafadhali usikimbilie madawa hatutaki maumivu mioyoni mwetu
@kassimmbarak76215 жыл бұрын
Sina haja ya kusubiri nyingine.. Hii imetoka kuwa ya mwaka
@sebastianegnas51365 жыл бұрын
King of hip hop tanzania nikimbishi ila wakazi sijawahi kukuelewa vzr nimeanza kukuelewa humu priceress
@edwardloppa1805 жыл бұрын
chakula yaubogo aisee Mzee BABa Naitaji nikupatie haki yako Nime shiba wajeda
@Doshoboy2 ай бұрын
Wa Tanzania kwenye comments ni priceless sio priceress
@masungwajr1us6045 жыл бұрын
Kali sana hii bin unuki straight from texas
@hashimabdallah85235 жыл бұрын
Kazi mzuli
@HidayaSwai7 ай бұрын
Wakanda sasa tupo mara tena kiagata asante
@stephanojofrey67575 жыл бұрын
Hii bonge la Nyimbo mzee umetisha sana we ndo Hi hop ninja nae kuaminia
@bakarininga41005 жыл бұрын
Unjuuu jamaa mwenye akili nyingi adi unakera 🙌🙌🙌
@erickmnyalu5535 жыл бұрын
Big up saaana BOOOONGI LA NYIMBO endelea na ngumu mzaz tupo zinaotukonga...
@iamatanax48835 жыл бұрын
Unju bin Unuki moto sana hii ngoma
@idiokoth64585 жыл бұрын
Unjuuu hardcore ngoma ngumu.
@mwalungesso12345 жыл бұрын
Daaah ngoma Kali sana ,,amekosekana kamanda UNO ingekua kubwa zaidi
@evanceurio79265 жыл бұрын
Ngoma Kubw Xna Ila Nikkimbish Panch Umeipunguza Uzito Bhna Yan Imekua Nyepes Kiain Ck Nyingne Fany Iwe Nzito. Nakukubal! 💪💪
@heggajunior26062 жыл бұрын
Hatunywi sumu hatujinyongi mezani kuna supu ya kuku na tungi nyomi
@shallyakida8195 жыл бұрын
Unjuuu
@kiswahilitv Жыл бұрын
Nakubali Mistari
@ahmedaziz78535 жыл бұрын
Ngoma ni ya unju but wakazi kamtia makonzi na kasema uache utundu, mistari imeshiba kama tumbo la mpoto kama hujadondosha like we ni wakucheza mdako
@Barrydauda5 жыл бұрын
Wote wakurya,wote wanatoka ukonga wote ni wanahiphop na wote ni wakali....dope
@petersimon21155 жыл бұрын
Nachana kinyamwezi "yani Mwadela mhola, mhola Doho" Unju ni Noma jaman
@godfreymbwanga77505 жыл бұрын
unju na wakazi kazi ipo
@KevoMazziwa Жыл бұрын
Can tell. Someone has been listening to john vigeti .. greatest ripper alive
@davidmarick42575 жыл бұрын
Wewe ndo tunaweza tukasema upo bongo bahati mbaya ungekuwa ulaya bro ungekuta ni msani mkubwa sana mwenye mafanikio
@boyjopar87175 жыл бұрын
Kiukweli, kiukweli kiukweli! Huyu ndio alio baki baada ya Zilla kutangulia mbele za haki ! Mwenyezi Mungu muache huyu kijana aendelee kutufunza Amen!!!
@sembojwamaterial84095 жыл бұрын
mtaani tnafam baada ya fid niweeewe"rhymes 2 mamake mpka waseme yesu nibeèeeebeeeeeeeeeeeeeeeeee💪💪💪💪
@hamzadau10255 жыл бұрын
duuuuh umefunikwa Nikki wakazi nishida km unaamini mbishi kwa mala yakwnza kawekwa chini gongs like yko hapa
@rafathealfa22372 жыл бұрын
“Ulingoni wamejaa wachomvu” kama umemuelewa nikii gonga like twende sawa
@bakari_njobela3715 жыл бұрын
Mzuka sana unju,,baada ya hii usisahau kutuletea 2 kings na chidbenz
@fix7995 жыл бұрын
Hawa wakulya wawili wakikutana inakuwaga ni hatar sana
@michaelmazinge84313 жыл бұрын
Yesu alibeba msalaba na baba ndo kapenta
@daniikirunda71135 жыл бұрын
Happy Born Day Doctor Unju bin Unuki
@joramkuboja47945 жыл бұрын
Nilichogundua #mbish na #wakazi wana chemistry nzuri. Maana nakumbuka #kandamaalumu walivyoua nao wameongeza hili dude
@tipagwejr35055 жыл бұрын
Daaah sijui kwanini hawaelewi kuhusu hiphop mmenifanya nisikilize kila wakat hii kitu (hatunywi sumu hatujinyongo) ( wanapanda bodaboda kummwaisha mkeo)😎
@dycevalomike6805 жыл бұрын
Malamamamamake mtaniuwa kaka Unju mweeeee
@abdulkarim82285 жыл бұрын
Salute Unju,Mc mkali kuwahi kutokea
@erickzephania10305 жыл бұрын
Nyie sio binadamu wa kawaida, ndio maana binadamu wa kawaida hawezi kuwaelewa.. WATOTO WA UKONGA HAWAFAI
@innocentjackson81565 жыл бұрын
Mmekutana wote wa kutoka kanda maalum Mara, mmeua mbaya. Hip hop icons
@asserymmary26965 жыл бұрын
Wakali wenu wananiogopA to the Maximum
@hamisisaidi8945 жыл бұрын
nakuelewa unju mia sana bab huja wahi kukosea soja
@laizerbishafu5933 Жыл бұрын
Tunaoskiliza 2023 tujuanee hip-hop
@mtetezipcool5555 жыл бұрын
Niko buja duuuh mbishi hadi umembishi nkurunziza mia
@jamespeter90734 жыл бұрын
Big fan of this emcee 👟👟niachieni like hip-hop fans
@frankmanga37215 жыл бұрын
Wanangu sana
@stephanojofrey67575 жыл бұрын
Nikki Mbishi hii ni ngoma kali ya hip hop Tanzania
@mtaalamwamambo20995 жыл бұрын
Hii song imejaa dis tuu🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃
@sabrinamohamed84504 жыл бұрын
Imebidi nirudi kuangalia tena baada wakazi kusema kamkalisha Nikki humu, ila wakazi ni kiazi kwa kweli.😂
@raynellyaugustino32375 жыл бұрын
Ngoma kali sana, Sema WAKAZI MUONGO sana kwenye Rymes zakee
@frankanold98035 жыл бұрын
Thibitisha
@eliascharles54145 жыл бұрын
Ngoma kali sana hongera sana jombaa
@bombomah62475 жыл бұрын
Unjuh bin Unuk, c hatubongi bongi tu, apa ni mwendo wa vina kwa stanza na sio vina vyepes ka wale macharii ya R, Respect Tamaduni Bombomah62 I'm talking!!!!
@africangirls4825 жыл бұрын
Michano makini sana brother's
@kedyjohn18485 жыл бұрын
Doooh... uzito wa juu huu. Kina kirefu mnooo
@maticsleokas17855 жыл бұрын
Ngumu kumeza.........
@edwardcharles10665 жыл бұрын
nikickia ngoma inatoka tamaduni na uhakika ni kali 100%
@utdforever92365 жыл бұрын
WAKAZI UMETESA SANA!!!! ILA MIMI SHABIKI WA BABA MALCOLM TOKEA KITAMBO
@hassanmpwepwe38265 жыл бұрын
nakubar sana ngama zako Nikki mbishi
@abuuabdulbasitalngahara19995 жыл бұрын
One of the illest mceeee ever in bongo ....#Nikki mbishi good job man
@SamuelCharles-1115 жыл бұрын
Ukipenda dezo utalukwa ukuta unguja...!!! Wangapi wamesikia hii
@brightvatta2845 жыл бұрын
hii kazi noma sana kwenye album... kuna ile 2 Kings pia umeua sana
@montestz70945 жыл бұрын
Yaan nikki, nyimbo ambazo unakuwa ume rap vizur na style tam kama hiz, ndo unakuwa umediss media. Afu zile ambazo unakuwa umrap kawaida ndo znakuwa na mashairi ya kistaarabu.. Utalaum sana media
@sembojwamaterial84095 жыл бұрын
mhola doh😆😆✌ niki genious..thanks for delicious lyrics.
@silvapatrick22465 жыл бұрын
💯👊👊💪
@noelmtewele71625 жыл бұрын
Unjuu hatareee mwaka huu watatukoma
@emmanuelbrassy40003 жыл бұрын
NIKKI MBISHI UMEUA KAKA UNANIKOSHA KWA MISTARI YAKO MITAMU CHAKULA CHA UBONGO .HIP HOP YA KWELI TANZANIA UNAIFANYA BABUBOMBA.
@twahakhamis65205 жыл бұрын
Wataelewa tu
@bluewatu5 жыл бұрын
Namskia Vigetii...Nikki uko juu..Dr unju
@lofytodo8755 жыл бұрын
mamae.... replayed 4 times already
@patrickmgaza5445 жыл бұрын
Jamaa hatari sana sema media zinazingua sana
@lofytodo8755 жыл бұрын
@@patrickmgaza544 media c ndo hv.... saiv mzik haufichiki labd kma huna mafans
@hamsoshupavu5 жыл бұрын
wazee wamefua cheki wanavyomwaga povu wanapiga magoti kwa dozen na adam mchomvu
@omaryjitu76845 жыл бұрын
Wakazi kweny rap ya lugha mbili hashikiki...ngeli anaimeza kama chai yenye hiriki. Hizo flow fid q mwenyew huko alipo anatikisa kichwa. Alafu mjinga aje aseme ati joh makini ni mkali kuliko nikki mbishi...atakuwa kalewa banana
@jamalshaha45125 жыл бұрын
App gani nitapata nyimbo zako za zamani maana mdundo hazipo