Ngoma kalii Sana'a gonga like hapa kama umeikubali hii ngoma wakazi ft Nikki mbishi kanda maalum
@salehmbeju1826 жыл бұрын
Wakazii Nikki wanabalaaaa
@abdulmohd68804 жыл бұрын
Baada ya kumckia wakazi anavyomchambua Unju uko Wasafi, nmekuja tena kupima uzito wa flows zake jeeee ataweza kuvumilia punch za Unju naenda na ktk prisless ss🏃
@moneythemes Жыл бұрын
Wakifanya wote kazi huwa inakuwa nzuri. Wakazi analazimika ku Go Hard. Wangekuwa wanafanya duo project wangepiga hela. Tatizo mmoja anakuwa anajua sana biashara,mwingine kibri hataki kuonewa kuwa fala kwa muda ili wafukie lengo😅😅😅
@adenlusekelo27396 жыл бұрын
"KANDA MAALUM TUPO IMARA, BEBERU NA UNJU DOUBLE IMPACT TOKA MARA". uuuhh... uuhh... uhh Big up kwa wote mliofanikisha hii project #Wakazi #Nikki Mbishi #Cjamoker #Mecky Kaloka #Insticts Music #Chimbo Inc
@selemanimwita32566 жыл бұрын
ambaye amerudia mara mbili kama mimi ile aelewe ujumbe kamil gonga like
@jacklinmasawe26972 жыл бұрын
Wakazi anajua kama Marekani vile kumbe mbongo hip hop ❤❤❤❤❤❤❤
@theliquidator87706 жыл бұрын
Wakazi na Nikki pamoja sana gurudumu la hiphop liendeleee
@suhailsodeh50633 жыл бұрын
Ngoma kali kwa wakazi all day na yy anajua hilo....Unju mkubwa sanaaaa....Da Realest Unjuu best colabo....ya Wakazi Ever💯🎤🔥🇰🇪🎧
@abuunyalioto17523 жыл бұрын
Tarime ndani ndani kwenye mapanga nje nje
@ferouzmasoud47414 жыл бұрын
Ngoma kalii Sanaa 👊👊👊
@jumakisongo6709 Жыл бұрын
It's 2023 and I'm still here for these heads. Unju aliua sana humu af Wakazi akazika.
@rantojasiri6 жыл бұрын
Cjamoker ni moja kat ya ma producer wenye uwezo mkubwa sana, dah lakin si kwann bongo hawa watu hawatazamw...kaz nzur big up unju na beberu
@mugadimon35635 жыл бұрын
BBM mpaka ujipendekeze kwa wakubwa ukiwa na misimamo watakwambia wewe sio mkali
@patisawesome59294 жыл бұрын
hiyo beat ya DJ Khalid feat Kendrick Lamar
@ronaldissack3338 Жыл бұрын
Bonge la goma beberu
@MiaTheLathini6 жыл бұрын
MY INSPIRATION MY MENTORS.. 🔥🔥🔥👏👏
@denismakweba38706 жыл бұрын
😁😁😁akuna story nzuri kma kumnyima spy info👏👏🔥🔥🔥🎧🎤🎤🎤🎧 Men from Mara,kiabakari💓💕💕
@Cyper2556 жыл бұрын
Kwa mara ya kwanza nimependa flow za Wakazi. Nilikuwa simuelewi kabisa anavyochana.
@kelvinmaisa87636 жыл бұрын
Tata tuta wauwa,walegezeen,bonge la ngoma
@suhailsodeh50634 жыл бұрын
Nikki kachafua Flow...swaga bov...watamani kufanya kazi na Unju...pamoja tz mutatetemesha...lkn mukimaliza tafauti zenu...Unju..die hard fun....best tz after fid q...🤞💯🇰🇪🎧🎧🎤
@arafatinfo16814 жыл бұрын
Nikki mbishi anachana real situation with more straightforward messages with extremely high technical lyricism, kwenye cypher kama castlelite unluck usitegemee atakuja tu kuchanachana vimistari mistari navipunch always heaviest punches ukiskia ukiskia kuzuliana nongwa, nikki mbishi daima sitobadili# Salam zimfikie aliesema jina lapili# fuatilia kisha utaelewa nlichomanisha. The most dangerous in africa
@jadovadoofficial25836 жыл бұрын
Hip Hop ndyo kila kitu amanini mazeeee... GoNGa like hapa kama unawaelewa hawa maninja ///wakazi oiiiii
@saeedmassoud2566 жыл бұрын
Tushaingia jikoni watu mbish tupe flevaaa.... Nikki wakazi hip hop icon balaa Sana nyie watu
@nellymurphy85536 жыл бұрын
Siku zote this kind of music hunifanya niwe na reasons za kupenda hiphop... Thumbs up my niggas
@zabongchannelemmanuel26156 жыл бұрын
Nouma sana# hakuna kitu poa kama kumnyima spy info# mbishi tisha kinomanoma sana
@osmondyfate65995 жыл бұрын
Kweli n kanda maalumu.....Mr beberu na unju nakubaliiiiiii
@fittyblack25496 жыл бұрын
Asanteni kwa kuirudisha hiphop ya ukweli kwa maana wasanii wengi WA hiphop skuizi hawaelewi wanachofanya,,,, hiii track iko #miakwamia
@drigolismIT6 жыл бұрын
Wakazi haujawah piga flow kal kama hiz..appriciated brother yaan mdundo umefit..hatar lakin salama kama dar..
@makiwasuleyman92336 жыл бұрын
Sasa wakazi upo vizuri na una kila sababu ya kufika mbali... Unju ni balaa
@mdouharuna68496 жыл бұрын
Tamaduni music for life
@selestinahnyaghah2 жыл бұрын
Nikki & Wakazi don't get the respect they deserve,their chemistry is one of kind.🐐🐐
@brunokimaro1053 Жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iGibcqmVqs51rsk
@frankanold98036 жыл бұрын
Mecky kaloka kiwango kimepungua siku hizi,video zinakuwa za kawaida, video nzima Location moja
@cornelbalthazal80586 жыл бұрын
#WAKAZI Salote brooo...!! We mkali sana asee
@muthegreat36676 жыл бұрын
Kazi nzuli mzee baba mziki ndio huu sio kila siku tuna wasikiliza kweny audio t muda mwengine tunaitaji tuwa one km hivi mzeeE noma sana mmetisha wazeeee .
@emmanuelelius43875 жыл бұрын
Ngoma kali sema beat imeibwa ka ilivo yaan😂😂😂😂 #holy keys by dj khaled , ft kendrick, big sean
@michanomichano49316 жыл бұрын
Nawakubali sana hawa watu walah ningekua nagawa tuzo hiphop mngebeba nyinyi dahhhhh #wakazi#mbishi
@thomasisdory51256 жыл бұрын
Kanda maluum.. Nice song by Wakazi ft Nikki mbishi... tudumishe Mziki wa Hip-hop...
@ismaelcypher69356 жыл бұрын
Ngoma kali sana the real Hip Hop is back tulimiss izi flow shida inakuja kwenye airtime maredioni
@fahimibrahim47586 жыл бұрын
kazi juu ya kazi ngoma noma kabisa
@amourhamada97996 жыл бұрын
KANDA MAALUM... UKONGA STAND UP 💪
@kingsika8138 Жыл бұрын
Huyu choko nd anasema nyimbo yaroma haielewek alf nd nyimbo zake iz zakimatako matako#wakazi. Choko t kumbe
@bargashyaboody43086 жыл бұрын
bonge moja la ngomaaaaa .mmetishaaa wanyama ila unjuuu dahh huyu mwambaa dunia nynginee aseeee
@kennethmasha55076 жыл бұрын
Uko good wakuu,,kazi nzuri
@showboymlowa13576 жыл бұрын
Huu mzigo mtamu mazee zaidi ya Sugar za kilombero. WakaziXUnju.
@medsonallenjr99206 жыл бұрын
Mistari iko sawa kaz safi gud job bro
@mbondokambi80536 жыл бұрын
Ngoma Kali wakuu
@jadovadoofficial25836 жыл бұрын
ni 🔥 🔥 🔥 oiiiiii nimekubal maninja
@kastorymalila11096 жыл бұрын
Noma sana nyie maninja
@erickzephania10306 жыл бұрын
Safii!! Mziki Dume huo.. Ukongo wapo vizuri sna
@selemanimwita32566 жыл бұрын
wakaz umeonyesha uwezo wako halali. big up bro.
@ernestjulius19716 жыл бұрын
yeah kazi nzuri .. ukonga stakishari
@yohanakebacho39906 жыл бұрын
big up saaana wana kanda maalum wenzangu. Nyamongo Moja hii 🔥🔥
@barakasaimon1762 жыл бұрын
ngoma zur sana mwambaa
@yasserkhalfan23753 жыл бұрын
Nice shot nikki. Big up pia kwa wakazi. God bless you brothers.
@philljombs11516 жыл бұрын
Dope sana...ngumu tam mabruder
@hybrid_ngoli6 жыл бұрын
brother this shit needs to be heard and seen in every platform of hiphop recognition.... THIS IS A MASTER PIECE PROJECT. I BOW TO YOU AND UNJU. SALUTE..
@darviswantana76696 жыл бұрын
Moja wapo ya ngoma nilio isubiria video yakee
@kibokongurai44886 жыл бұрын
MA CITY,home bwoy they did it,ahahahaha MUZE YEKA TULYE KICHURI TURABHAGEGA SANA HANO TEMA LIKE KAMA WEZE KENO NEKOGAMBA MURAAAAAA
@82thetruf2 жыл бұрын
🙌🏽🙌🏽
@michaeloroo36166 жыл бұрын
KAZI DOPE AISAY ..imeshaitikia HEWA
@izzykarim71816 жыл бұрын
Noma sana!!!!#OG kichwa box hapa unju
@dinahafaikabiskuitwmamajai72216 жыл бұрын
kanda maalum mmetisha Wakaz na Nikk mbishi
@methodngosha18146 жыл бұрын
Wakali wa hizi kazii One love wanangu #Mtoto wa Wasira + #Unju = Kanda Maalum
@azamjohn52436 жыл бұрын
Leta madharau uchinjwe watu wale kichuri......hahaha noma san unju&wakazi
I think this represents all elements of hip hop within it ... i can see Flicker/strobe = Scratch = Dejay | Graffiti | Emcee | Ujasiriamali++ ... mmetisha sana #watunzamisingi #kudos... Big shout out to @MeckyKaloka ... you did it my brother ...
@josiahkimani76076 жыл бұрын
nikkki mbishi moto sana aliweza kinoma
@kendrickmarwa5386 жыл бұрын
Ovvvverrrrrrrr...gaidi fella
@denisimarteen15096 жыл бұрын
Kaz ipo saf
@floradavid7835 Жыл бұрын
Wooow❤❤
@mtani916 жыл бұрын
I like it, straight fire heavy bars
@mbwanabakary46686 жыл бұрын
kazi nzuri wakubwa wa kazi wang
@vancgga4104 жыл бұрын
ngoma bora ya beberu
@imaali75486 жыл бұрын
Kaz nzur sana kama umeikubali kama Mimi gonga like twende
@makantaafrika4 ай бұрын
Still here 2024 🔥🔥🔥
@nassorosalumu33926 жыл бұрын
Ngoma nzur sana aiseee
@suhailsaad63346 жыл бұрын
Best in Tz Unju best IN Tz ukimtoa fidq na professor jay
@suhailsaad63346 жыл бұрын
Staki shari big u sanaa
@rehemaahmed81206 жыл бұрын
Unju & Moko ndo best MCs ukiwatoa fid & prf j na hasheem dogo
@obby25596 жыл бұрын
Hii bit ya dj Khalid mmeitendea haki. #Hollykey
@juliusngowi9526 жыл бұрын
Nice Jam,Hip Hop flani hivi ya hisia
@nickherman46 жыл бұрын
Murrrrrah Kanda Maarrrum Toka Ukonga to Marra hood
@fanleck29224 жыл бұрын
Ndoto yangu kuonana na Nikk mbishi.
@raimajimoto11226 жыл бұрын
Safiiiiiii Sasa wewe Unafanya Hip Hop tuiyelewe unajua wakaz nakueleewa
@dastanjohn48336 жыл бұрын
Bonge la Ngomaaa
@ashamwembele87926 жыл бұрын
Nikki mbishi we mbishi maneno ya shabiki
@husseinhamza1986 жыл бұрын
it's really hard kumamake
@mabujr47466 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wakazi ft Nikki wa 2
@mwansasu Жыл бұрын
Jamaa anachambua nyimbo za wenzake mbona yeye amnazo
@musamgodoi37166 жыл бұрын
aisee Nikki mbishi umeua
@koja_266 жыл бұрын
Ki ukwel Nili Miss Sixteen like This #Wowowo
@yusufmgandi39163 жыл бұрын
Sheeesshh this shit fire🔥🔥these niggas should be get more credit ni tanzanian hiphop
@gastocelestine55256 жыл бұрын
Ngoma ya moto
@Dr.zaidi46 жыл бұрын
"1992 sivai kito" cld this guy be talking of the open shoes we used to like as boys? I was wondering why their flow is somewhat way above what we commonly hear from various T.Z rap artistes
@norbertpeter36666 жыл бұрын
Niliisubir sana hii video duu baba malcom uwa sina wakukufananisha nae bongo na nje
@darviswantana76696 жыл бұрын
norbert peter ,hahaaa kama mimi vilee
@morisjohn78046 жыл бұрын
hip hop video. been a minute 👊👊👊
@yeasrmsafi71526 жыл бұрын
Ukonga mikonoo juuuuu
@mohabtvonline81156 жыл бұрын
Mmetisha Kinoma noma
@u-jayafrica22726 жыл бұрын
Following from 254... I respect #Bakora pia sana. I believe someday ntazika track na wewe bro. This my favorite tune.
@christophersendi86406 жыл бұрын
"Nimegundua leo kuwa snitch kumbe neighbour,Dogo anakana deile kuwa asniff kumbe Teja"
@jumahaji24545 жыл бұрын
Jiwe iloo 😀😁☝✌
@shadrackbuzenganwa80076 жыл бұрын
Usije dar bila kaz maalum
@januarymasao93316 жыл бұрын
Mhmh wakazi naw kumb UK njem bro Liv bro unju snich kumbe naiba
@ogdollarsign81666 жыл бұрын
Ol way up WAKAZI×NIKKI MBISHI #Utamudini #RealHipHop