Huwa naogopa kusema uongo, niliahidi kutoa mrejesho. Mpaka sasa nimeshatembelea ofisi mbili zote nimepata majibu chanya. Nimepata mtu wa kwenda kuangalia na kutupimia eneo letu kule Mkuranga kwa ajili ya kufuga Nyuki. Kasema pia ataweza kutusaidia kuandaa andiko la kupata pesa za kuendesha Mradi wa ufugaji wa Nyuki. Tutawashirikisha Vijana watakaokuwa na nia kama za kwetu. Jana nilikwenda kuwaona Wataalamu wa Kilimo, tuna shamba letu sehemu nyingine, changamoto ilikuwa ukosefu wa maji, tumepata tumaini la kupata msaada wa kuchimbiwa visima virefu. Tukifanikiwa tutawashirikisha vijana wapende kilimo. Sisi kwa upande wetu, Kilimo ni chanzo kikubwa cha chakula na Mapato.
@Witnessvlog Жыл бұрын
Asante sana mumy kwa mrejesho wako. Keep us update
@zafaranimrisho21116 ай бұрын
Among of the best interview
@Witnessvlog6 ай бұрын
Thank you so much brother for the positive feedback
@salomemkilima57327 ай бұрын
Nimemuona hapa ana nyimbo nyingi. MUNGU akulinde Emmanuel unajina kama la baba yangu.
@ImeldaIsdory Жыл бұрын
Nimependa sana hii interview. Imejaa Fursa! Nimeshapata mambo kibao ya kuongeza kwenye Programmes zetu!
@dn.n4983 Жыл бұрын
Happy birthday be bless
@vansoham930 Жыл бұрын
Keep it up Mr Emmanuel.. your goal comes important and lesson to us
@CatherineNyange-ku7yk Жыл бұрын
Interview nzuri mno na Emanuel ana hekima mno nimepata kitu
@Witnessvlog Жыл бұрын
Kabisa yuko vizuri sana
@aledesiomushi875 Жыл бұрын
Huyu kaka ni mwanaume na nusu ❤ may favour of God up on him ameongea vizuri sana na ana kitu atafika mbali Mungu ampe mke mzuri mwenye hekima na maarifa ili afike mbali asikutane na makulumbembe😂 sema winnie unanafasi yako mbinguni kupitia wewe watu wanapata mwaka jinsi gani mtu afike ughaibuni Mungu akutunze binafsi nakupenda❤
@Witnessvlog Жыл бұрын
🙌🏾🙌🏾🙌🏾Very focused
@aledesiomushi875 Жыл бұрын
@@Witnessvlog kabisa sema ameongeza vizuri kwakweli apewe maua yake❤️
@emmanuelmashauri4040 Жыл бұрын
Amen
@mackjr5291 Жыл бұрын
Dada tunaweza kupata contacts za hao agencies?
@aledesiomushi875 Жыл бұрын
Yani hapo kwenye kusali online ni muhimu sana maana unaweza kujikuta unakua mpagani kabisa hii ni muhimu sana kwa watu waughaibuni binafsi namiss sana kanisani ❤
@Witnessvlog Жыл бұрын
Kabisa yani ina tuconnect na Mungu. Maana huku hakuna motivesheni na Mungu
@frankruhamvya2202 Жыл бұрын
I wish also one day namimi tuongee nawew niongeze fursa kwa watakohitaji. Nipo marekani chambu
Eeee! tujifunze kwenda straight to the point! Sio mbaya
@Witnessvlog Жыл бұрын
Sana yani
@olympiamtenga8761 Жыл бұрын
Nice interview Emmanuel hongera sana mm na pambana na Lugha kaiii utuuzima dawa😅
@Witnessvlog Жыл бұрын
😀😀Hongera sana
@swaijames Жыл бұрын
Nice video
@salomemkilima57327 ай бұрын
nimempenda amekuwa muwazi zaidi
@Witnessvlog7 ай бұрын
Yuko vizuri mnoo
@ImeldaIsdory Жыл бұрын
Nashangaa kuona Wajerumani walikuja kututawala lakini hawakuweka mtaala wa kufundisha lugha yao! Waingereza walifanya hivyo hadi sasa tunajifunza English hata ya "Stand up" kwa kila Mtoto! Mtu akiwa na juhudi anafahamu English bila kusoma nje mtaala wa shule. Nawashauri vijana waanze kujifunza lugha tofauti! Angalau wapate start up!
@BenedictorMwalugaja Жыл бұрын
Emmanuel Tunamshukuru kwa kuwa muwazi na kushare mawazo yake chaya kama vijana tusiache kuwa positive na kushare vitu vizuri tunavyo vifaham
@Witnessvlog Жыл бұрын
Hakika yani 🙏🏾👏🏾
@blandinamrusha-pj2ro Жыл бұрын
Mpaka moyo unaenda mbio eti usikate ticket mi ningeliaa😂😂😂da Wit maake passport tu nilipiga goti wakati naifatilia nikakutana na wakabila langu kila nikiitwa jina moyo unalipukaa😂.
@Witnessvlog Жыл бұрын
🤣🤣🤣hata mimi aisee na roho ndogo sana kwa hizi mambo
@blandinamrusha-pj2ro Жыл бұрын
@@Witnessvlog tupo wengi huo mlipuko sijui unatokea wapi account yako inanifundisha mengi ,siku unarudi zako kwako kitu nilichojifunza ni kusoma ndege yako inaondoka saa ngapi na ukae wapi nisiwe na mizigo mingi I love you my sister tupe Tipps 🥰🥰🥰🙏 we love you sister Witty.
@Witnessvlog Жыл бұрын
Thank you dear. Kabisa kukaa karibu kuachwa na ndege ni stress maana unaingia gharama nyingi
@MichaelSimba-nk7mu Жыл бұрын
Africa is the land of opportunities where people's dreams changed to be true!
@Witnessvlog Жыл бұрын
I couldn't agree more
@MichaelSimba-nk7mu Жыл бұрын
@@Witnessvlog I was just joking, since when Africa to be a land of hope or opportunities? Even the word democracy is mystery if not vocabulary!
@PureSoul-rf4xd Жыл бұрын
Ila niulize ivi kweli Tanzania 🇹🇿 itawezekana kweli kufanya kazi kwa masaa
@Witnessvlog Жыл бұрын
Kwakweli sio leo. Bado tuko mbali
@paulchando7158 Жыл бұрын
NA MIMI NAJIULIZA THE SAME QST
@elianicholaus7199 Жыл бұрын
💪💪
@Witnessvlog Жыл бұрын
💪🏾💪🏾
@mackjr5291 Жыл бұрын
Hawa agency nawapataje??
@ImeldaIsdory Жыл бұрын
Kuna haja ya kuanza kuwapandisha ndege hawa vijana japo Domestic Flights! Inakuwaje wengi wao wanasema walikuwa hawajawahi kupanda ndege? Hii siyo ya kifumbia macho! Nimepata kazi ya kufanya!
@Witnessvlog Жыл бұрын
Maisha yetu kibongo bongo ndege ni luxury. Uchumi kifamilia many can't afford. It is expensive
@MdYeasin-xx1gm11 ай бұрын
baada ya stress ndio inakuja depretion ni mbaya sana
@Witnessvlog11 ай бұрын
Asante kwa nyongeza. Mbaya mnoo
@mjumbemwanda9666 Жыл бұрын
Hahah madam sisi tunakula dona
@Witnessvlog Жыл бұрын
🙌🏾🙌🏾
@bbs10072002 Жыл бұрын
Sio kwamba hawajui kingereza labda kama wazee sana. Sema hawapendi kuongea kwa kuwa wengi ni Perfektionists. Hawataki kujaribu. Na wengine wabaguzi tu. Haimati kuhusu lugha. Mana hata sisi tumekaa na tunajua lugha lakini kuna mahali unataka kuuliza kwa lugha yao lakini they are just like that.
@Witnessvlog Жыл бұрын
Oh thanks for sharing
@blandinamrusha-pj2ro Жыл бұрын
Nachoshukuru da wit ki Deutsch kinapandaa ich gehe recht oder links 😂😂😂😂 .
@Witnessvlog Жыл бұрын
Alooo👌. Hongera sana dear
@olympiamtenga8761 Жыл бұрын
😂😂😂😂recht bitte
@blandinamrusha-pj2ro Жыл бұрын
Danke meine Schwester 🤣🤣Ich besuche nach Berlin.
@blandinamrusha-pj2ro Жыл бұрын
@@olympiamtenga8761 Danke wir treffen uns mit dem Bahnihof 😃😃
@ImeldaIsdory Жыл бұрын
Ndiyo. Hao watu nao kuna vitu hawajui! Sisi tunasoma Geography tunafahamu nchi nyingine hata kama hatujaenda! Wao kuna wengine hawajui hata Africa iko wapi!
@Witnessvlog Жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@olympiamtenga8761 Жыл бұрын
😅😅😅😂😂kwel kabisa mm nilikuwa napeleka group la wanafunzi kutoka hapa Münster University wa bachelor na masters Tz haki walinishangaza hawajui chochote about Africa labda kama ameeenda huko .😂😂😂
@Witnessvlog Жыл бұрын
Wazungu hawawafundishi kuhusu sisi yani hata wanayoyanyesha kuhusu Africa ni njaa, vita na nyumba za vijijini huko.
@mimiinvestments8406 Жыл бұрын
Duh! Si kwa kuchelewa huku! Zilikuwa heka heka za Kanisani na maandalizi ya Mkesha wa Noel! Japo nimeambulia recorded!
@janefridajumbe9668 Жыл бұрын
Watu ni wachoyo..
@SamwelJoseph-yk3cw Жыл бұрын
Kiaje aje yaani
@buhanzaiddi7359 Жыл бұрын
Agency kwa hapa Tanzania ntwapataje hyo company inaitwaje na ofisi zao ziko wapi kwa Dar? Namba zao za ofisi
@Witnessvlog Жыл бұрын
Watafute instagram @Ucdp tanzania
@PureSoul-rf4xd Жыл бұрын
Hicho chakula cha ng'ombe cha mahindi kinaitwa (sailage) tulipata elimu huku moshi,ng'ombe anawekewa mziki
@Witnessvlog Жыл бұрын
Alaa🙌🏾🙌🏾 . Asante kutujulisha
@emmanuelmashauri4040 Жыл бұрын
Silage ni chakula chochote na mfugo (majani ya kijani) yanayohifadhiwa pasipo uwepo wa oxygen
@ImeldaIsdory Жыл бұрын
Nimeforward hii video kwa Mtaalamu wa Kilimo hapa nyumbani ili aweze kuunganisha utaalamu wake na Vijana. Nitawapa mrejesho.
@Witnessvlog Жыл бұрын
Tutafurahi kupata mrejesho
@ImeldaIsdory Жыл бұрын
Huyo Mtaalamu kanambia tukutane tarehe 03 January. Nadhani yuko kwa likizo ya mwisho wa mwaka.
@ImeldaIsdory Жыл бұрын
Mimi kuna Kijana Alisoma SUA niliamua kumuongeza kwa Asasi yetu ili aweze kuwa anachangia kuhusu Elimu aliyoipata, tuweze kupata Program ya kusaidia Vijana! Loh! Sijawahi kuona! Nadhani anaona tutatimia elimi yake! Sasa mimi nitakachofanya, nitakwenda Wizara husika niwaeleze ninachoomba kusaidiwa maana naamini Wizarani kuna Wataalamu wengi. Tuna nia ya kusaidia vijana ila vijana wengine wanatuangusha!