NILIFURAHI NILIPOKATWA MGUU

  Рет қаралды 14,083

Nitetee TV

Nitetee TV

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@luckydubebello1131
@luckydubebello1131 3 жыл бұрын
Dada flora im from Kenya i love ur work may God bless u and ur family u hv a good heart ❤
@marymwanisawa8200
@marymwanisawa8200 3 жыл бұрын
Dada hakika Mungu wa mbinguni akubariki mnooo akulinde akutunze sikuezote dada ubarikuwe mnooo🙏🙏🙏🙏kazi yako ni njema mnoo mbele za Mungu 👏👏
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ni mwingi warehemaa hatimae wamepata matibabu sifaa nashukuran zimwendee Mwenyezi Mungu na dada flora pia Mungu akuongezee maishaa miaka Mia ilikusaidia watz walioathirikaa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@baharainbh5468
@baharainbh5468 3 жыл бұрын
Niko na hofu na mtoto sana sababu anahitaji uangalifu wa hali ya juu na sasa mamake hawezi, dada flora u've done much but plz consinder this
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Dada Frora unafungulako kwa ALLAH 🤲🤲 napia wachangiajiwoote ALLAH awape mwisho mwema napalewalipotoa awazidishie
@agiasaidi5294
@agiasaidi5294 3 жыл бұрын
Amin
@tracyfaith4013
@tracyfaith4013 3 жыл бұрын
Nimelia machozi ya furaha kama linda amefurai Aki Mummy Flora na team Mungu awabarikitu sana Baraka zake ziwafuate popote muendako na kwakazi munazo zifanyia jammi ambazo zinaitaji Msaada? Na Mungu aishie Mbinguni na Awepia msaada katika Jammi Zenyu Mbarikiwe Tu Sana,
@zainayunusu5396
@zainayunusu5396 3 жыл бұрын
Mwenywz Mungu azidi kukubrk dadaang kwa wema wako
@marthaelius3136
@marthaelius3136 3 жыл бұрын
Mungu akuongozee uingiapo nautokapo,akupemaixha marefu
@mkogasalum3742
@mkogasalum3742 3 жыл бұрын
Mungu akubariki dada flora
@mozahpretty2631
@mozahpretty2631 3 жыл бұрын
Masha allah ubarikiw wallah🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@rumininsiarichard7045
@rumininsiarichard7045 3 жыл бұрын
Mungu akutunze da Florah
@salomedavid331
@salomedavid331 3 жыл бұрын
Sister flora may God protect u through every place u reach ,wewe⭐⭐⭐⭐⭐
@seifmuhudi33
@seifmuhudi33 3 жыл бұрын
Mungu azid kukutangulia dada frola
@frdausmwawughanga9047
@frdausmwawughanga9047 3 жыл бұрын
M mungu nimkubwa mola ampe shifa insha'Allah
@fariarizaq7528
@fariarizaq7528 3 жыл бұрын
Dada flora Allah akubariki sana inshaallah na huyu mama na mwanae Allah akupe shifah inshaallah tunakuwombea sana
@fedhumafundikila2100
@fedhumafundikila2100 3 жыл бұрын
Dada Flora mungu akuzidishie kila lililo jema
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Ni kweli mtt bora mngewavumilia adi mtt atolewe nyuzi jamani hapo home dah nani atawatuza jamani
@dornekayanza3483
@dornekayanza3483 3 жыл бұрын
Mi akami ngikwako my mamy frola
@sadasalum8778
@sadasalum8778 3 жыл бұрын
Allah is the bast,hongera sana da frola mungu akucmamie
@fauzianelly4405
@fauzianelly4405 3 жыл бұрын
MashaAllah,,hakuna lisilo wezekana Kwa Allah mungu ni mwema
@abcmnbb2610
@abcmnbb2610 3 жыл бұрын
Alhamdulillah
@veronicazacharia1316
@veronicazacharia1316 3 жыл бұрын
dada frola ni mda sasa nimekuwa nikikufatilia hongera sana.
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 3 жыл бұрын
Subhanaallah alhamdulilah rabillamin hujafa hujaumbika mtihani mungu amjalile inshallah apone aangalie watoto wake yaarabi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mzeeniwewe136
@mzeeniwewe136 3 жыл бұрын
Jamani dada flora kazi ngumu Ila mungu akubariki kwa kazi unazi zifanya
@aishajuma260
@aishajuma260 3 жыл бұрын
Dada🤲🤲💋💋💋dada😭😭😭👌🏻👌🏻
@gaudensiayustini8669
@gaudensiayustini8669 3 жыл бұрын
Dada mungu akubariki Tunaomba umsaidie japo chumba kimoja na ukumbi ajihifadhi na familia yake kuliko Kupanga hapo itamgarimu
@rehemarehema1445
@rehemarehema1445 3 жыл бұрын
Pole Sana mama na hongera pia umepatia huduma nzr mungu atasimama nawe utapona tu na mtoto
@swaumujuma6333
@swaumujuma6333 3 жыл бұрын
Mungu akubaliki sana sana dada flora kweli wewe uli letwa duniani kwa sababu ongela sana🤲🤲🤲
@ednacelemon5950
@ednacelemon5950 3 жыл бұрын
Hakika huyu mama amefurahi hakika haya ndio maisha kumfanya aliekuwa akilia akacheka Dada Frola Mungu akubariki.
@arnesyaurio6346
@arnesyaurio6346 3 жыл бұрын
Asante Mungu,Dada Flora Mungu azidi kukulinda una Roho ya kipekee
@Ashu-ed2tb
@Ashu-ed2tb 3 жыл бұрын
😍😍😍kafrahi masha Allah
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana dr flora nakupenda sana
@aminaamiri7684
@aminaamiri7684 3 жыл бұрын
Daaah nimelia kwa furaha kwa kwel Allah akubarik kipenz dd flora
@azmedmtwana8135
@azmedmtwana8135 3 жыл бұрын
Jamani nifo miracle chai sio ipo kibiashara ni nzur inakupunguza
@مريمحمد-و5م
@مريمحمد-و5م 3 жыл бұрын
Alhamdulilah
@taturajabukhalfani7953
@taturajabukhalfani7953 3 жыл бұрын
Mbarikiwe Sana !!!
@rahabchep5318
@rahabchep5318 3 жыл бұрын
Dada flora i love you so much God bless you na huzidi kua n hiyo roho ya kuwasaidia wengine hunanipa moyo sana love u
@florancebearling1862
@florancebearling1862 3 жыл бұрын
Hakika da Flora ubarikiwe sana
@mathammary7609
@mathammary7609 3 жыл бұрын
Bless you sister florah wa nitetee
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 3 жыл бұрын
Flora Mungu akubarik.🙏💕
@rehemaathuman232
@rehemaathuman232 3 жыл бұрын
May god protect you flora 🙏🙏 good job be blessings
@odilliahfaustas2932
@odilliahfaustas2932 3 жыл бұрын
Hongera sana Dada Flora
@asmarajabu5786
@asmarajabu5786 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Rinda si anashi peke yake masikini daah mungu amsimamie apone haraka na mwanae
@salhaomary2681
@salhaomary2681 3 жыл бұрын
Natman mama samiha cku moja akuone dada yng frola na akushike mkono eeh mung abalk hii dua yang jaman!!
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 3 жыл бұрын
Anamuona sana siunajua viongozi wetu wanajifanya Mambo mengi.
@nasrahassanmasesa3745
@nasrahassanmasesa3745 3 жыл бұрын
Pole linda utapona tu mungu yu nao ww na mtt eliza
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Ubarikiwesana Frora
@olphamoraa6683
@olphamoraa6683 3 жыл бұрын
Kweli mungu hawabariki sana na watapona kwa jina la yesu
@arafamussa840
@arafamussa840 3 жыл бұрын
Mwendelee na moy huoo
@fatemaligalawa1918
@fatemaligalawa1918 3 жыл бұрын
Allah kareem 🤲🤲🤲
@khadijaissa1734
@khadijaissa1734 3 жыл бұрын
Allah kareem
@arafamussa840
@arafamussa840 3 жыл бұрын
Allah awabariki nyote
@sharonwakesho4976
@sharonwakesho4976 3 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 3 жыл бұрын
Sada vp dafrola tumuone
@QwQw-tr7gy
@QwQw-tr7gy 3 жыл бұрын
Nmejikuta nalia
@kiehbhzh7044
@kiehbhzh7044 3 жыл бұрын
Allah azidi kukubariki dada frora na pia waliochangia Allah azidi kuwazidishia pale walipopunguza na wagonjwa waliopata opereshen Allah azidi.kuwa nafuu mama na mtt wake Amin
@aloycekasonso245
@aloycekasonso245 3 жыл бұрын
Mae jamani
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Mungu ni mkubwa
@reginasawe3356
@reginasawe3356 3 жыл бұрын
Mungu Ni mkubwa
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 39 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 5 МЛН
路飞做的坏事被拆穿了 #路飞#海贼王
00:41
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 26 МЛН
Arabic vs Turkish vs Persian: which is the hardest?
20:14
Zoe.languages
Рет қаралды 613 М.
MOUNT MERU HOSPITALI YAWAWEKA MAELFU HURU KIAFYA MIAKA 63 YA UHURU WA TANZANIA BARA
3:25
Mount Meru Hospital Youtube - Channel
Рет қаралды 18
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 39 МЛН