Huwa napenda vpindi kama hivi, asante sky , pole kaka kwa uliyopitia mitihani tumeumbiwa binadamu mungu ni mwema umenyanyuka tena ❤🇨🇭🇹🇿
@aminakupila30793 жыл бұрын
Shoga!.
@eunicerobi57013 жыл бұрын
I remember listening to those stories “sitosahau” on Radio Free Africa.I never wanted to miss any episode. I am so glad I have lived to see who was in charge of it all. Keep on 🏆 , keep climbing 🧗.
@Winstonfying3 жыл бұрын
Naam! Hii sasa Skywalker, utapata wafuatiliaji wengi sana, greetings from Ontario
@wolfgangkichai85773 жыл бұрын
Stori nzuri and I learned something, your aggressiveness in life is dope. ila kumloga your sibling 4 material stuff is beneath you 😎..😳😳jamani SnS weka hapa bottle of water mezani. Guests watapaliwa siku ya siku,.. 😆😂😂😂
@theceefamily77643 жыл бұрын
Kwa Mungu yote yawezekana👏👏👏🔥🔥🔥❤️🌞🙏🇰🇪.
@damari_Auntrasta3 жыл бұрын
Story nzuri Bro pole sana na matatizo, wana SNS - imagine HEADING Ingekuwa Nilimfumania mke wangu Nyumbani kwangu,nikamloga akawa chizi..
@SimuliziNaSauti3 жыл бұрын
ha ha ha, heading kali sana
@ramadhangona90853 жыл бұрын
Kusema kweli ukiangalia mda kabla unaonekana mrefu lakini ukianza kutazama unaona mda unaenda kasi. big up guys.......wale wakenya vidole juuuuuuuuu
@xbdbdgdgsbdbbxx42543 жыл бұрын
Hii ndio kipindi babu kubwa. Big up Bro SKY na team nzima ya SnS🙏🏾🙌🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
@ernestbiseko16083 жыл бұрын
Huu Ni mpango mzuri Sana. Tumekuwa wote tangu SITASAHAU. unazijuwa kazi yako. HONGERA SANA BROTHER
@geturdablatch97063 жыл бұрын
This is wonderful hii story inahuzunisha na kufundisha sana pongezi sana kutoka 🇺🇸
@saidimkopi3 жыл бұрын
Duh kweli nimeamini maisha ni safari na kila msafiri anajua alipokanyaga/kukanyagwa, kibaya na kizuri hata ufanye vipi #kovu/kumbukumbu lazima zitasafiri na wewe mpaka mwiaho, na ili uwe umeishi/umesafir safari ya maisha mpaka upitie/upande milima na mabonde. #Pole na hongera kwa uliopitia kaka.
@lindaabraham53653 жыл бұрын
Hongera sana umejitahidi kujikwamua na maisha ila jitahidi kumtafutia tiba kaka yako. Mali umezipata tena ulikosea sana.
@ناصرالشقري3 жыл бұрын
Kaka hongera sana na kipndi hii maaana makovu yapo mengi sana na kila mtu anahistoy ya kipekee
@najatramadhani63006 ай бұрын
Mungu azidi kukufungulia kila hatua dua
@aminaomary55673 жыл бұрын
Mtangazaji safi sana,lakini weka na kikaribisho cha maji hivi kwa sababu ni kipindi chako ni kirefu.
@sistersade90393 жыл бұрын
Wonderful shōw! Dah kijana kapitia mengi maskini, still very positive Watching from Oman.
@zakayomrangu34053 жыл бұрын
NAITWA ZAKAYO HUYU JAMAA NAMFAHAMU KITAMBO SANA,KIPINDI NIPO BUNGONI KULINGANA NIMUDA MREFU, NILISUBIRI ASEME KAMA ALISHAWAHI FUNGUA KIJIWE BUNGONI STENDI CHA KUUZA PIPI SIGARA N.K,JAMAA ALIKUWA MCHESHI NA MCHANGAMFU SANA NIMEMKUMBUKA SANA.
@tynahstanley27663 жыл бұрын
Jamani nikweli unayosema alikuwa na kijiwe bungoni mpaka usiku pipi na sigara
@Hfarahani52 Жыл бұрын
Amoor umepambana well done
@MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын
Hongera shemela vile nawapenda
@SHIKUKINYA3 жыл бұрын
Wow from Kenya I love that may God continue to bless you always 🙏❤️
Binadamu Bwana, Yani unamroga nduguyo na unajisifia. Daaah. Wewe unaweza mtoa mwanao kafara kwa ajili ya Mali. Wewe si mtu mzuri.
@alfredyfredrick89553 жыл бұрын
Wooooow Ahsante Kaka sky kiukweli kipindi cha sitosahau kilikua kizuri sana story za wale vijana walio zamia South Africa, na simulizi zingine za vijana ambao tunakumbuka ilikua very hot RFA(Radio free Africa) ilikua Hatari sana enzi hizo
@kalungikingalu96943 жыл бұрын
Du!! Pole sana na hongera sana
@debbiethomas53283 жыл бұрын
Yeeeeeeh🙌🙌🙌🙌Duh🤔🤔Kumbe was you....!!!!!! BRAVO Br./Wana SnS... Good PRODUCT..
@rosemofuga63133 жыл бұрын
Bonge la show brother Fred hongera na KOVU
@OmanOman-dd5qk Жыл бұрын
Polesana mtanga mwenzangu kwamajanga nakunakitunimejifunza kusamehe ni jambokubwa n'a kwamungu kunamalipo makubwa
@immanuelmwaipopo16053 жыл бұрын
You're my favorite fredric bundala nakuelewa sana bro
@pesangwasalim52583 жыл бұрын
Hayo ndio maisha lazima ukutane na changamoto
@McheshiOnlineTv3 жыл бұрын
Safi hata mimi ni mdau sna wa hizi story aiseee hongereni sns kwa kuturudishia hii rahaaa tutawasapoti mpaka kufa we love you
@efrahfarahahmed89603 жыл бұрын
Sky wape hata kikombe cha maji hapo maana simulizi refu mpk koo linakauka
@lightnessmungaya32803 жыл бұрын
Duuuh kumfanya mtu awe chizi ,hapa nako syo , Ila mtu akikufanyia Jambo lazima uwaze Jambo hilii , Ila mungu endelea kunipooza moyo wangu bado unavitu vingi 💉💉ninauchungu sanaaaaaa
@zakayojoseph13393 жыл бұрын
Safi Sana brother sky since when I was young
@sein.2083 жыл бұрын
SUBHANA ALLAH😭 WANAWAKE TUACHE TAMAA JAMANI . ALLAH ATUONGOZE VYEMA🤲🏻
@stellahmushi8433 жыл бұрын
Big up Kaka nakujua unavyopambana Mungu atazidi kuinua
@YusoufMjr3 жыл бұрын
Naipenda san sns na nna shaur kitu kwenye jina la kipindi! Nashaur ungeangalia jina linalosisimua ili mtu akiskia atake tension na awe na feeling flan iv mfano "sito sahau" "njia panda" ushaur tu kama mwanafamilia Tupo pamoja na mungu akutangulie #foreversns
@sallyommy26623 жыл бұрын
Sitosahau alikua anatumia kpnd yupo radio free njia panda pia kuna radio wanaitumia but kovu pia sio mbaya
@nyendochamwela30313 жыл бұрын
Hakika Mungu wetu anajua zaidi. Toka Kwa Zabron Hadi SnS. Be blessed.
@perpetuamhanje80063 жыл бұрын
Nakupendaga sana fredrick bundala
@elibaricksadock95623 жыл бұрын
Yaaap tulikua tunakuelewa sanaa kaka na mpaka hapa bado tunakuelewa toka kule kwenye zile story za Gambushi kk
@ashuuuaisha91223 жыл бұрын
Ngugu akikudhurumu roho inauma sana. Waraah ngumu kupoa. Mimi mwenyewe mdogo wangu kanidhurumu kiwanja changu. Waraah kila nikikumbuka moyo wangu unawaka moyo sana. Na nikikumbuka nilikotokea nilikopita mpaka nikapata waraaah inauma. Usiposema na moyo wako waweza muendea huko ujiji
@fatmamajdiddy4153 жыл бұрын
Pole my pia usiamini sanaa watu kwenye pesa au vitu wanakosa uaminifu kabisa...
@kassimrajabu78053 жыл бұрын
#Diamond Platnumz muajiri brother huyu SkyWalker aisee kuanzia mida ya saa mbili pale wasafi hakuna kipindi muda huo.....Itakuwa poa sana boss.
@ginnimoreno62393 жыл бұрын
Mtu anatengeza media yake unataka akaajiriwe tena
@tutiwatuti3 жыл бұрын
Unachekesha badala amuuzie kipindi unasema amuajiri unajua hela anayoingiza hapo
@kassimrajabu78053 жыл бұрын
@@tutiwatuti ww ndo msemaji wake???
@kassimrajabu78053 жыл бұрын
@@ginnimoreno6239 ww ndo msemaji wake???
@aminaibrahim41483 жыл бұрын
Pole sana kwa mtihani ya kidunia
@msafirikalinga69383 жыл бұрын
Daaah naikumbuka sana sito sahau ya RFA, , asante sana kutuletea Kovu
JaAman khairat njoo Kwa Baba ako ukimaliza Masomo alau kumsalimia t
@upendomtambo51033 жыл бұрын
Mdudu longtime kakaaa ......baba mamuu
@Emedroadtocanada3 жыл бұрын
mwanalushoto mwenzetu huyu like nyingi kwake
@nasserhinai30193 жыл бұрын
Mimi ni mshabiki wako sana bro kipindi kizuri sana tena sana. Na the business Allah akubariki sana. Ukusema lini tutapata Kovu nyingine. Kutoka Muscat Oman
@hildaafia83153 жыл бұрын
Frm nimependa... ww ni mchapa kazi endelea hivyo hivyo
@hellendiana6253 жыл бұрын
Waaau!!! What a hardworking guy! ,keep it up.
@keifatuke993 жыл бұрын
Alhamudullah kwa kila jambo
@backyardboy20203 жыл бұрын
To be honest we need Jesus.very shocking story watching from Canada
@ameenaameena12243 жыл бұрын
98uwiiii kitambo
@BigZhumbe2 жыл бұрын
Jesus couldn't save his own self akapigwa hadi kafa ndio atasev other people?
@selinalukwembe73633 жыл бұрын
Safi sn na mm nayangu sito sahau
@asifiwekitunga46553 жыл бұрын
Kaka uko vizuri ila pamoja na mabaya alokufanyia naumia ulivomfanya chizi tafta namna ya kumrudisha kwa Mungu hakuna linaloshindikana
@amosmahona4333 жыл бұрын
Nashauri jambo moja muwe mnaweka HATA vinywaji au Maji Maana MPK wanakauka makoo.
@malikramadhani31363 жыл бұрын
Stori inafundisha Sana.. Never give up
@aishahemedi78693 жыл бұрын
Kizuri sana🙏👏👏
@jikeycleverboy44333 жыл бұрын
Nakukubali sana brother
@frankboniface19883 жыл бұрын
Kaka hii ni kubwa sana!! This is the sky walker i know!!
@joezeno83 жыл бұрын
For sure
@hildamahende46873 жыл бұрын
Number yake ya sim kwa ajili ya matangazo
@thelonewolf44293 жыл бұрын
Ningekuwa na fedha kaziyangu ingekuwa ku promote hizi mikasa zaukweli kuanzisha kukundi cha movie nakuanza kucheza movies kuusu hizi mikasa zaukweli nahisi ningekuwa napiga mkwanja mrefu
@henrykihongo97953 жыл бұрын
Dahh mm pia nilikua nafikiria hilo maana unaweza tengeneza bonge la muvi
@frederickkimweri18993 жыл бұрын
Excellent thinking
@zamdakimaro29733 жыл бұрын
Sanaaa
@tanzaniaoman64233 жыл бұрын
Hongera sana bro tupo pamoja endelea kutufurahisha kipindi ni 🔥🔥🔥
@sofiasofia75573 жыл бұрын
Atakutafuta tu mwanao in shaa Allah
@FainessiMateasi6 ай бұрын
Mtoto mdogo watoto 8 😁😁😁😁😁😁hongera brooo
@rahmasalum86423 жыл бұрын
Hatujaelewa mtt maryam ulikutana nae vipi baada ya kupoteana kipindi kirefu yy na mama ake wakati ww uko gerezani
@samsonezekiel92323 жыл бұрын
Nakukubali sana sheikh
@dullydully5503 жыл бұрын
Sky Kuna story moja ulituacha hewani sitosahau rfa... Yule jamaa jambazi wa kigoma
@dggxxxxfgff38763 жыл бұрын
Kutoka burundi🇧🇮nafatilia sana habari zako kupita kiasi
@jubajoseph88083 жыл бұрын
❤️❤️ from Bujumbura 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@bish_daddiyao3 жыл бұрын
Mr Frederick Keep On GoodWork..💜🙌
@suleimansalim71943 жыл бұрын
A alaiykumm warahmatullah Kaka samahani Sana naomba msaada wako tafadhali na mm unitafute Kaka na mm Nina Kovu kubwa Sana Wallah,
@carolinenjiro413 жыл бұрын
Baba Mariam umenichekesha Sana
@dosianasimon3123 жыл бұрын
Machozi yako hayakudundoka bure mungu analipa kwa wakati na yapo kwa wengi
@liboriusbabile11973 жыл бұрын
jamaaa nimegundua wewe siompambanaji maana kila unacho pambania wanawake ndo unategemea wakunyanyue nda ndamana unawatoto wengi na wote wana mamazao , yani umelelewa na wanawake maisha yako yote . ww sio mfano wakuigwa. mwanaume unatakiwa kupambana sio kulelewlelewa na wanawake. but tumshukuru mungu pia kwakua unaonekana mtulivu pia.
@msalikemedia3 жыл бұрын
Big up kwako brother Fredrick bundala bonge la kipindi
@shubebunyesi5423 жыл бұрын
Brother kipindi kizuri Ila weka ata juice au maji wageni wachambe Koo Mana kuongea muda mrafe Koo linakauka kikubwa dua milango iendelee kufunguka
@royalmbwana3 жыл бұрын
Mwana SnS Tawi La 🇰🇪 Tupo Sambamba Na Kovu 💯
@asmaaomarimakoti93743 жыл бұрын
Pole maumivu na changamoto ndio hufanya mtu aijue zaidi dunia na kumkuza kiakili na pia kujua aina za watu walio sahihi kwake
@angelpella27093 жыл бұрын
Hongera sana Kaka..... “Am the #SNS’s Best #MVS” SIMULIZI NA SAUTI
@antonyedward14783 жыл бұрын
ongela mungu akupe kufikia malengo yako
@elizabethkamala91763 жыл бұрын
Daaaaah Maisha yanachangamoto
@chantalbarasokoroza67253 жыл бұрын
Love from 🇺🇸
@hancymachibbula43553 жыл бұрын
Watu wa Tanga huwez watenganisha na mapete mkonon
@frederickkimweri18993 жыл бұрын
Ila jamaa ana ndere, kila hatua anapata mwanamke tena mwenye umri wa kumzidi
@peterdaniel90503 жыл бұрын
Dere ni nn?
@zuually-b1b Жыл бұрын
Ndere ndo nyota au
@kingkendrickk Жыл бұрын
Pamoja sns
@ericklaura75113 жыл бұрын
His story is too touching , keep it up sky
@khalidjimmy57743 жыл бұрын
Bro Rama madilu ashafariki bwana jamaa kasaidia Sana watu tajiri wa makabichi na dalali wa makabichi
@elizabethkamala91763 жыл бұрын
Bro sky Barikiwa unatuletea vitu vya kutujenga
@ziadaomeri60583 жыл бұрын
Pole sana kaka angu
@jonaisjacob56573 жыл бұрын
msamehe tuu ndugu yako kwa sasa..
@salmaluhombero84663 жыл бұрын
Duh kitu na box uchizi safi sana
@angeljasson43763 жыл бұрын
Asante bro sky
@suleimansalim71943 жыл бұрын
BRO NA MM NAOMBA NITAFUTE NAKUOMBA SANA ,
@asiamerey9081 Жыл бұрын
Kaka umeuliza maswali yote mazuri lakini nilitaka kujua baada ya mama Maryam kuondoka akamtafuta sana je? Alikuja kumuona vipi? Mpaka leo yupo na Maryam
@ilynpayne74913 жыл бұрын
Daah aisee watanzania wengi tuna pitia changamoto maishani
@anahna67883 жыл бұрын
MIMI MWENYEWE NINA MAKOVU KAMA YOTE NATAMANI KUSHEA NA WATZ NA DUNIA KWA UJUMLA
@valcomangapie45203 жыл бұрын
Duuuuuu maisha bwana!!!!!!!
@damariszuckschwert94893 жыл бұрын
Mcheki SNS
@halimahussein47523 жыл бұрын
Dahh maisha ni safari kweli nimeamini
@lilianurio97813 жыл бұрын
I learn from the guy, ukiwa na pesa usimnyanyase mwanaume muheshimu sana kwasababu ikitokea ukateleza sababu itakuwa kwasababu una Mali.
@hajielmi75183 жыл бұрын
Sky mwambie mdudu Yule aliyekua mama yake wa kufikia pale sharif shamba pia alifariki
@fighterm77083 жыл бұрын
Oooh
@lucyjeremia13813 жыл бұрын
Daah story tamu balaaa
@justinjoshua10593 жыл бұрын
Noma sn,Pole sana bro
@lutfiarashid87703 жыл бұрын
Young father
@SophieSpira3 жыл бұрын
Amri the Business ni balaa... ukishikamana nae ni aitha ufe au chizi.
@leylaiddy58153 жыл бұрын
😃 uko unamfahamu
@zuually-b1b Жыл бұрын
😢😢😢 mim ndo nishakua mpenz wake
@zuhuranadahhinda13663 жыл бұрын
Nimeipenda saaana diamond muajiri huyu kaka
@shubebunyesi5423 жыл бұрын
Aujawaona utamu wa kujiajiri wewe aswa ukiwa unapiga hela achana na frikra za kuajiriwa jamaa Sasa ivi anapiga mpunga mawazo duni kwamba ili ufanikiwe lazima uende kwa flani