Kama unamkubali raisi wa Yanga like zake tafadhali
@pacomezouzoua91753 ай бұрын
Intelligent man We proud of you la president 💚💛💚💛
@Chwabu1703 ай бұрын
Injinia 💚💛♥️ Young Africans Unafany Vtendo Tyu
@salymgaimale23529 күн бұрын
Eng.huwezi ongea pumba namna hiyo dogo ,wahandisi huongea fact
@PacchaYassin3 ай бұрын
Aisee kumbe uongozi sio jina kunavigezo vingi nimezidi kumkubali rais anaelim na akili na anajua kuongea, kama mmeyafatilia maneno yake tangu anaanza kuongea hadi anamaliza, kunavitu huwez kuvipata kwa wengine ila kwake ukavikuta💪🏻👏🏻🤝🤷🏻♂️
@SadamSarita-t7z3 ай бұрын
Acha ushamba hata bubu anaongea matako wewe
@alwaziirahmad26823 ай бұрын
An incredible president,but I'm Simba THE GOAT
@witnesskagirigiri37633 ай бұрын
Kwa Mwamnyeto hapo Injinia katupiga .Hata Gamond pale hakuna kocha sema ni wachezaji wazuri kutokana na fitnee coach tulienae .Baleke hamumupi nafasi lkn ni bonge la straika mzuri sana
@fabievents61253 ай бұрын
hahaha🤣
@lshayo16583 ай бұрын
Baleke atapata nafasi tu Mzee msimu hata haujaamza mshaanza haya maswali! Kuna zaidi ya mechi nyingi sana Kwa msimu mzima hivyo naamini atacheza! Wacha technical benchi ifanye kazi!
@Ayubuchonya3 ай бұрын
Kwan simba ndoimefanyeje na chama
@LucianaJoachim3 ай бұрын
Injinia anaharibu mpira ni muhuni anachofanya na gsm ni uharibifu kwa maana gsm kaiweka michezo mfukoni kuweni makini ma gsm
@GeorgeAkasha-zx2rj3 ай бұрын
Baba Ako angetumia tu kondomu.
@LucianaJoachim3 ай бұрын
Huyo injinia mnafiki hakuna chochote hizo nipoplopaganda wanazoendesha ktk timu yao mashabiki wao tambua huyo ni mkimbizi anafunika mambo anayoyafanya yatapogundulika mtashangaa
@EzekielNgitu3 ай бұрын
Wewe unamatatizo na ukweli anaousema jamaa anayejua mpira
@Nuru95683 ай бұрын
Chama asingefika hapo alipo leo bila simba tukiacha ushabiki huo ndo ukweli
@kunsule92613 ай бұрын
Pia asingefika simba bila kutokea huko alikokuwa.
@Nuru95683 ай бұрын
@@kunsule9261 pia asingefika yanga kutoka uko alipokua
@NyamongoLife3 ай бұрын
Hakuna aliyekataa ila kwa ubora wake anastahili kucheza timu Bora kwa sasa
@muhamedjaffar56533 ай бұрын
Hhhhh mlikua wapi amjamchukua wakati uo.mda ushapita @@NyamongoLife
@FloraChami-o7s3 ай бұрын
Ni kwel hamuoti tumemnyakua
@SultanMkima3 ай бұрын
Sultan mkima
@paulgoliama43633 ай бұрын
Tunashukuru matusi yake tumeyapokea . ...siku zake za kujigamba tunaziesabu,na tunajua nini kinamsukuma kusema hivyo
Jamaa yuko very fixious but confident!😊 Who made chama to where he are now?? Just be frank!!
@AbdulmanafiSaidimtnda3 ай бұрын
Uyo nimwamba rais 🎉🎉🎉
@happymwanyelele85763 ай бұрын
😂😂😂😂
@IsabelaConstantino-ns7kx3 ай бұрын
Respect
@anithawidambe75433 ай бұрын
MLISEMA NI MZEE LEO MNATAMBA KUWA NI MCHEZAJI BORA SANA. NYIE NDY MNAHARIBU WACHEZAJI WA TIMU NYINGINE MNAWAPONDA KISHA WAKIACHWA MNAWACHUKUA. MNAKOSEA SANA KIMPIRA. MSIWATUKANE WACHEZAJI WA TIMU YOYOTE ILE MNAWAKATISHA TAMAA
@juliusmwiburi81173 ай бұрын
Ww unaropoka tu uwe unafuatilia anaeongea hayo maneno ya kishabiki na anaeongea mpra tuliza akil ndg
@MasanjaMasanja-mz3ll3 ай бұрын
Chomoa kama inauma!!
@kayuzabarnabas50023 ай бұрын
@anithawidambe7543 kama inakuuma chomoa
@lucianaligambasi3 ай бұрын
Unateseka ukiwa wapi😂
@Chigotwe3 ай бұрын
Nyinyi mashabiki ndie mlio sema chama Mzee ila sio hersi said 😂😂😂
@shaameshaame28373 ай бұрын
Magoli yanamuhusu mchezaji hayahusiani na timu na ndo maana akipiga 3 anapewa mpira yy hapewi captein😂😂😂
@karimjuma40193 ай бұрын
Chama hawezi kuibeba Simba Simba kubwa kuliko chama na mchezaji kufungwa au kua juu ya kiwango hayo ndio majukum ya kz yake
@jumas.sendekwa27883 ай бұрын
For his time there aliibeba na alipokuwa na viwango cha chini lawama zote zilikuwa juu yake.
@FloraChami-o7s3 ай бұрын
@@jumas.sendekwa2788ni kwel kabisa
@jumannemsengi21953 ай бұрын
@@jumas.sendekwa2788upo sawa brother!! Na kiukweli sasa hivi ana enjoy hafanyi kazi kubwa na YANGA waliwajaza Simba wakajaaa kuwa CHAMA kiwango kimeshuka na ni MZEEE kumbe Wanahesabu zao! Wao wakajua wanamtala KIBU kumbe yanawahadaaa yakaibuka na MALI CHAMA😂😂😂😂
@MunaMohammed-j3m3 ай бұрын
wakati yupo simba mlisema hafai
@KassimIssah-y2t3 ай бұрын
Atooo huyo k
@khamisikombo89603 ай бұрын
Msimu utaongea kama chama ilikua anaibeba simba au simba ilikua inambeba yey msimu utaongea
@lucianaligambasi3 ай бұрын
Inaumaaaa
@muddymuzungu43573 ай бұрын
@@lucianaligambasi😂😂😂😂😂😂😂
@mgendihdellicy62103 ай бұрын
kweli it's a matter of time
@clemencemkondya85613 ай бұрын
Hukuna lolote hapo Ogopa sana mchezaji msaliti namfuata pesa .hapo umepigika sana ukija kufungwa sijuwi utasema nini .wewe unawarubuni wachezaji kwa pesa zako
@nshaijatedy55123 ай бұрын
Ipo ziku maj atayaita mma et kuibeba tim mgongon
@MuhsinJuma-wo2bg3 ай бұрын
Dogo uko na madhau sana na ujue kuna siku na ww uta juta malipo ni hapa hapa
@velxempire89953 ай бұрын
LEO NDO NIMEGUNDUA HERSI MUHINI HUWEZ SEM MANEN KAM HAY NA UNAAKIL TIMAM
@bujashidaniel55373 ай бұрын
Bado hujasema
@stevenmilton25043 ай бұрын
Alikuwa anacheza peke yake maku kwel huyo
@dirhamsui78183 ай бұрын
Acha plomo za chama. Lipeni pesa za okra. Chama hakuna asie mjua apa bongo.
@EdwinAdAstra3 ай бұрын
Acheni usenge wenu. Chama kambeba nani. Labda kambeba bibi yenu
@IssaNyangasa-em9bt3 ай бұрын
Katika viongozi wa hovyo huyu nae yumo kumbe nae hajutambui kabisa huyu yaani hersi ni kiongizi mbumbumbu
@magadulamalagila2853 ай бұрын
Angalia raisi wa timu yako ana mchango gani, uje na utetezi uache wivu na roho mbaya
@Prince-rafael3 ай бұрын
Hersi akiwa na interview nchi inatulia kumsikiliza kuliko hata rais wa nchi maana Kuna madini anatema ambayo yanatusaidia wengi ambao ata sio mashabiki wa mpira sio kma yule anaetutambulishia dada zake🤣🤣
@Tee-King3 ай бұрын
Duh.
@FiniasBugobola3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@themasimbi23 ай бұрын
Uyu jamaa kwnza mnafiki pili anaharibu sna mpira wet kwa kutaka kujiona yy ni bora kuliko watu wote wa mpira bongo
@kimyachangu49583 ай бұрын
We unaonaje mtu Bora na anaejua lazima maneno kama yawatu wapumbavu kama wew utayasikia anajiona,anaribu,anajifanya yote hayo nikwawale waliofeli
@florencemeza65403 ай бұрын
Acha wivu
@abbassalum68243 ай бұрын
Uwo ni ushabiki Maandaz angekua upande wako usingethubutu kuongea maneno hay0 injinia hersi ni kiongoz bora san na hilo halipingoki ndiomaana Yanga sasaiv inafanya vzr africa nzima na tukiendeleanae tutakuja ona makubwa zaid haya kam unawiv wako we junyonge tu hy hao viongoz wenu wasioalibu mpila wako wap wanaiyogop yang kama ukoma kitimbua wew
@scollamwanisisi27393 ай бұрын
Na ndio ukweli mpuuzi sana huyu jamaa lakin mwsho tutaona
@Dashflavour3 ай бұрын
Toa facts za msingi, anaharibu vipi?
@fj83173 ай бұрын
Magoli kumi na tisa klabu bingwa hujasema kafunga akiwa timu gani
@muhamedjaffar56533 ай бұрын
Awezi sema kwa sabab chuki ipo moyon mwao kwanini mnyama nafasi 7 africa.waoo hata 10 bora awapo