No video

NABII:BADO VIGOGO WATATU (3)MSIBA. / prophet moses return again from Tanzania -2023

  Рет қаралды 112,978

UNYAKUO TV.

UNYAKUO TV.

Күн бұрын

GOD ACCEPTS YOU SO MUCH FOR RECEIVING THIS MESSAGE. KEEP SEARCHING MY BOOKS AND THERE IS A CONTINUING TESTIMONY FROM AWAY ABOUT THE KINGDOM OF GOD;
PROPHET BONIFACE VICTOR, IS A PROPHET FROM TANZANIA WHO RECEIVED THE GRACE OF GOD IN 2020. AND WAS TAKEN TO HEAVEN MORE THAN NINETY TIMES, AND STUDYED IN THE HEAVENLY BIBLE COLLEGE.
WHILE HE DOES DIFFERENT WORKS IN HEAVEN. INCLUDING CARRYING PEOPLE'S BLESSINGS AND BRINGING THEM TO THE WORLD. THEN HE WAS GIVEN A MESSAGE FROM THE LORD, REGARDING HIS RETURN. THE SECOND RETURN OF JESUS. IN THE YEAR 2666. AND THE END OF THE WORLD IN THE YEAR 2673.21
(DANIEL-12:6-7/11-12)
WITNESSING THE OPENING OF THE FOURTH SEAL IN 2021. {REVELATION-6:7-8} HE WAS GIVEN TO KNOW THE TIME OF THE END AND WARNINGS TO THE CHURCH.
THE PROPHET WHO ATE THE ROLL OF THE WORLD
THE PROPHET WHO FIGHTED THE SEVEN GODS OF THIS WORLD. IE THE DRAGON OF THE WORLD.
HE IS AN APOSTLE WHO SIT IN THE BELLY OF DEATH FOR FIVE DAYS AND OVERCOME DEATH AND HELL FOR TWO THOUSAND AND TWENTY TWO YEARS. AND GIVEN THE FLAG OF THE COUNTRY OF TANZANIA IN HEAVEN, AS A GIFT,
THE PROPHET WAS GIVEN A NEW NAME WHICH NO ONE KNEW,
THE PROPHET WAS GIVEN THE MORNING STAR. AFTER WINNING ALL. REVELATION-2; 17
THIS IS THE PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET, HE RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME. AND ESTABLISHING THE CHURCH OF RAPTURE SERVICE TANZANIA.
THIS BOOK IS BELIEVED AND TRUE, IN EVERYTHING YOU WILL HEAR AND READ IN THIS BOOK. BECAUSE IT CAME FROM HEAVEN BY THE HAND OF GOD AND WAS PLANNED FOR THE PROPHET BONIFACE. THE PROPHET BONIFACE WAS ALSO GIVEN THE BOOK OF REVELATION AS A GIFT FROM HEAVEN; JULY -2020
THE PROPHET BONIFACE GETS A REWARD IN HEAVEN, A VICTORY MEDAL, ON MAY 17, 2023 AFTER BEING THE WINNER OF ALL. amen
THIS IS PROPHET BONIFACE IS AN OLD PROPHET,
THE ONE WHO RETURNED TO THE WORLD FOR THE SECOND TIME WITH A SECRET NAME IS THE PROPHET MUSA. WHO CAME THE SECOND TIME AND YOU ARE READING HIS MESSAGE, THIS. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
DEUTELONOMY -34:10-12
10 Nor has a prophet risen in Israel like Moses, whom the Lord knew face to face;
11 in all the signs and all the wonders, which the LORD sent him to do in the land of Egypt, to Pharaoh, and to all his servants, and to all his land;
12 and in the hand of all power, again in all the great terror, which Moses did in the eyes of all Israel.
AND NOW PROPHET MOSES IS BACK AGAIN, TALKING TO GOD FACE TO FACE FROM TANZANIA.
MOSES IS THE PROPHET OF THE LAST TESTAMENT FROM TANZANIA 2666. HIS NAME IS BONIFACE VICTOR.
follow the book, get more information.
KZbin-Rapture TV
what's app +255686-44 88 80
Prophet of God - Boniface victor

Пікірлер: 505
@user-or2xh8ou9h
@user-or2xh8ou9h 5 ай бұрын
Mungu atubariki amchukue yule aliye mwua Rais wetu mpendwa Magufuli
@mariamalongo8803
@mariamalongo8803 15 күн бұрын
Wewe nabii ni muongo, sana Mimi binafsi siamini maneno yako mwenyezi Mungu alituumbs stor na kila mtu atao fokus duniani muda wake ukiisha
@AlfonceGwambiyeBilantanye
@AlfonceGwambiyeBilantanye 24 күн бұрын
Yupo Mungu anaehukumu dunia na viumbe vyote, Omba hekima Kwa Mungu utende ktk kweli Sawa na maandiko yake, nje na hapo jehanamu IPO.
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 5 ай бұрын
Wooote wanaozuia mpango wa Mungu kwenye nchi hii, MUNGU ataondoa wote na Mungu ataleta TANZANIA,KWA TUMAINI JIPYA.
@ibnkhaldoun9694
@ibnkhaldoun9694 5 ай бұрын
WATU MSIO STAARABIKA MNA SHIDA SANA. ANGALIENI TU MSIJE ISHIA JELA.
@annamushi5702
@annamushi5702 5 ай бұрын
Acheni uchawi madhabahuni, kwa kutumia jina la Yesu vibaya, hata unapotamka Bwana Yesu asifiwe, nimeona shaka sana, maana unatamka hivi,Bwa n Yes asfuwe!!! Mungu tunayemtumaini hayupo kwenye misiba, yupo kwenye uhai.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 5 ай бұрын
Kasome habari za Ezekia labda Kama biblia huwa ausomi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 4 ай бұрын
Umemjibu vizuri
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
Mh?
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 4 ай бұрын
@@AlphaxardMRusweka-jr1wi mh
@prophetwamburamagesa
@prophetwamburamagesa 4 ай бұрын
WEWE JAMAA SIJAWAHI KUELEWA KABISA. TUBU ACHA HUO UPUMBAVU.
@annamushi5702
@annamushi5702 5 ай бұрын
Wewe Mungu alikuambia utakufa lini mbona hilo husemi, au wewe ni wa milele, mwulize Mungu na uje na majibu hapa, acha kutumia Mungu kwa hayo mambo
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 22 күн бұрын
Umeonaaa!
@belovedflorence4109
@belovedflorence4109 5 ай бұрын
Huyo Mungu wako siye yule wa biblia, jichunguze vizuri, imeingiliwa na uchawi bila kujua 😢😢.
@eliezermpemungumaishayakoy4475
@eliezermpemungumaishayakoy4475 5 ай бұрын
HATA YESU ALISEMA HAJUI SIKU WALA SAA YAKURUDI,ILA BABA,MITUME NA MANABII WOTE HAWAKUWAHI JITABILIA MAISHA YAO,TUMWACHE ASEMEE ANAYOAGIZWA NA MOLA WAKE,HIYO NDIYO KAZI YA NABII ,AMINA
@godsonkyara4896
@godsonkyara4896 5 ай бұрын
Eliya alijitabiria atakavyo ondoka ndio maana alimwambia Elisha atakapo ona gari la moto likimtwaa basi Roho yake itakaa juu Elisha.
@raymondonyona.2736
@raymondonyona.2736 4 ай бұрын
Hubiri Neno la Mungu, SIYO utabiri wa viongozi wetu. Kifo ni Siri yake Mungu pekee.
@manfordmkinga4080
@manfordmkinga4080 18 күн бұрын
NABII WAUONGO ULISEMA MVUA DAR NA UKAHAMA UKISEMA DAR YOTE ITABEBWA NA MAFURIKO, ILA UOKOKE HUNA MUNGU
@lucasmwambene8266
@lucasmwambene8266 4 ай бұрын
Mimi naona hapo ni kukosa hekima ,wape watu elimu ya kimungu , tumaini,kuokoka au watu wamjue zaidi Mungu ila mambo mengine hayo nikutia watu hofu.ushauri wangu kwako bora kaa kimya tu
@user-kq5si5pv9n
@user-kq5si5pv9n 4 ай бұрын
Sema usiogope wanao kutukana na kukusema vibaya ni wahunitu wewe ni nabii semaaaa
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry Күн бұрын
Washirikina wenzio hao wanakutetea. Waambie basi wasifanye kazi wataletewq chakula na pesa kutoka mbinguni.
@user-hh7pz3ey1u
@user-hh7pz3ey1u 5 ай бұрын
ira ww nabii unabalaa Sana najua mungu atajilipizia kisasi juyakifo Cha mwenda zake ila wewe unabalaa uhakikishe nimungu amekutuma
@user-hq5ke1cc7j
@user-hq5ke1cc7j 5 күн бұрын
Wacha Uongo wewe ndugu .Mungu atakuadhibu wewe Kwa kudanganya watu. Nabii Wa Nani wewe !?Mungu akurehemu.
@user-dr8ft9ye1k
@user-dr8ft9ye1k 5 ай бұрын
Kweli, mungu ni mkuu sana wote wanaoleta kilio kwa watanzania mungu atawa fyeka wote
@sajienswebe5557
@sajienswebe5557 5 ай бұрын
Nabii hubiri watu wewe SI Mungu. Jitabirie nawe basi tuone unabii wako kuwa halisi. Au tabiria watoto na mkeo. ACHA kutudanganya SEMA neno la Mungu. Utahukumiwa na unabii wako Wala hatuhuitaji. Roho MTAKATIFU akupige upofu na unabii wako kutaka watu.
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 5 ай бұрын
Viongozi wameanza kufa kitambo acha fiksi una unabii woowote yani huu ukristo unashida sana kila mtu kawa nabii sasahivi hii nidini au biashara acheni kwenda na nawanawake makanisani muone kama kanisa halipotei et tusiwatenge wanawake bila wanawake kanisa halipo duniani mwenye kutafakari ataelewa tu
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 5 ай бұрын
Hata disco au baa ikiwa inahuzuria wanaume watupu hiyo baa inakufa au disco halipati watu sasa walichofanya wakristo ili ukristo wao usife wakaona wanawake na wanaume ote wanasli pamoja alafu unakuta wanawake wamevaa nusu uchi ili kuhamasisha wanaume wasikimbie bila wanawake kanisa lingekua limeshapotea mda mrefu sana waislamu hawajichanganyi na wanawake isitoshe wanafanya ibada kilasiku mara 5 bila wanawake namisikiti haikosi watu amaakweli mwenye macho haambiwi ona haki sikuzote ningumu sana isipokua huwa aijichanganyi na batil
@kevinechacha4599
@kevinechacha4599 5 ай бұрын
Acha matusi ivi wewe ni dini gani.Tanzania ni nchi huru na inauhuru wa kuabudu .Tena ukome eti ukristo katafute nchi yako tofauti basi
@pastashadrack8637
@pastashadrack8637 5 ай бұрын
Ukiristo hauna shida
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 5 ай бұрын
@@kevinechacha4599 tatizo sio wewe tatizo nikutokosoma dini kwaiyo unakubaliana kwamba hao wanaojiita manabii nikweli alafu nitafutie aya katka biblia inaosema ukristo ni dini ukiipata nakua mkristo someni acheni kuburuzwa na maslahi ya kidunia
@husseinkassimu2714
@husseinkassimu2714 5 ай бұрын
@@pastashadrack8637 nini maana ya ukristo?
@WILSONMBWAMBO-sz4zu
@WILSONMBWAMBO-sz4zu 5 ай бұрын
Hata usipotabiri vifo vipo tu, na vitaendelea kuwepo, ushauri wangu, waandaeni watu kuurithi ufalme wa Mungu
@joachimedifon9919
@joachimedifon9919 5 ай бұрын
Sijuivkama unafahamu usemacho wewe.
@jeremiahmalasusa3997
@jeremiahmalasusa3997 5 ай бұрын
Natamani sana uwaombee viongozi wastaafu maisha ya afya na fanaka kwani MUNGU humchukua yeyote amtakaye
@MabelKaaya-hl2je
@MabelKaaya-hl2je 5 ай бұрын
Nampenda sana JK, Mungu Amtetee. Aifikie Toba, Awe upande wa haki. Aokoke.
@getrudankole7445
@getrudankole7445 9 күн бұрын
Afe t
@saida5091
@saida5091 5 ай бұрын
Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu.....Prophet.....utuongoze kwa utukufu wa Bwana tuvuke.....Baharini, na Jangwani....na tufike Nyumbani kwa Baba kwenye makao mengi.....Alipo Yeye na Sisi tuwepo, na tuuone UTUKUFU WAKE.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 5 ай бұрын
Amina aminaaa
@Silay1034
@Silay1034 5 ай бұрын
Makafiri hawana akili Yan mashetani wanakutuma kutaja majina ya watu watakaokufa Sasa wewe ndoutakufa kabla yake mbwaaa ww kafirii shoga mkuba wew
@rithersospeterkati3355
@rithersospeterkati3355 5 ай бұрын
Amen Amen.
@greshommwakyanjala5933
@greshommwakyanjala5933 4 ай бұрын
A cha kupanga vifo vya watu ambao Bado wako hai
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 Ай бұрын
Wewe acha kupotosha watu kifo ni siri iliyopo kwa Mwenyezi Mungu tu hata malaika mtoa roho hajui mpaka apewe amri na Mungu, acha uzushi acha uongo wewe huna uwezo wa kujua kifo acha uongo tabu kwa Mwenyezi Mungu kwa kumkufuru Mwenyezi Mungu
@EzekielKaminyoge
@EzekielKaminyoge 23 күн бұрын
Hivi Hilo ni neno la Mungu au kupunga Pepo iweni wastaarabu juu ya maisha ya watu.acha kutajataja watu.
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 23 күн бұрын
@EzekielKaminyoge katajwa nani? Huyo aliyeongelea habari ya kutaja atakafuata kwa kufa hayupo sahihi ni mzushi, kifo ni siri ya Mwenyezi Mungu, sasa mapepo yanakujaje hapo? Kama hujui sema uelimishwe, jee huyo anayewatabiria watu vifo akikutabiria wewe kesho utakufa utamuamini au utamkana? Kifo sio jambo la mchezo wewe unafikiri kifo kinatabiriwa kama mechi ya simba na yanga, huyo anayetabiri kifo ni muongo na mzushi wewe ukubali au ukatae upende au uchukie ukweli ndio huo kifo hakitabiriki kama anavyotabiri mganga au manabii matapeli manabii waongo, tumia akili acha kuwa mjinga
@annabyekwaso-wt7oi
@annabyekwaso-wt7oi 22 күн бұрын
Kwenye bibilia sikuwahiona manabii wa vifo ,Mungu uturehemu.Badala umwambie mtu atengeneze mambo ya nyumbani mwake kama alivyotuma Isaya wewe unatoa hukumu mojamoja.Mungu ni wawote wenye mwili hapendi watu wafe ktk dhambi bali waifikie toba.
@brownmtofole
@brownmtofole 5 ай бұрын
Hubiri neno la Mungu lenye kuponya roho za watu, hayo ya vifo vya watu haya tubariki chochote bali yanajenga hofu.
@enochhemedi2444
@enochhemedi2444 5 ай бұрын
Hata angehubiri neno lenye kuponya bado ungetafuta neno la kuongea. Maana tangu uzaliwe si watu walikuwa wanahubiri Je, ulichukua hatua ya kumtafuta MUNGU Aliye Hai?
@madumamaduma8571
@madumamaduma8571 5 ай бұрын
Prophets are the servants of Jesus Christ, are chosen to EDIFY THE CHURCH. Kazi ya Nabii Ni kulijenga kanisa, kuwajenga/kuwaimarisha watakatifu, kuwajenga/kuwaimarisha wale walio mpokea Yesu kuwa Ni mwokozi wao. Kwa mantiki hiyo utachanganua mwenyewe. 😊
@user-tx1yb3my3m
@user-tx1yb3my3m 5 ай бұрын
Sasa afanyaje jamani maana sikuizi manabii niwengi siili unabii utimie silazima wafe ili tuamini
@user-ok8yk2ty9c
@user-ok8yk2ty9c 5 ай бұрын
​@@enochhemedi2444a 😊 as😅😊😅0
@elvinsanga-xs2rg
@elvinsanga-xs2rg 4 ай бұрын
Sahihi,, kifo anayejua n Mungu pekee yke,,, aminaa
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 5 ай бұрын
Hizi tabia za kuwachuria wenzenu muache. Hakuna sifa yoyote ktk hilo. Ni.kuumiza watu kisaikolojia.
@user-ei3iy5fu1i
@user-ei3iy5fu1i 4 ай бұрын
Kubukeni wanadam warijingeuza mungu Kwa sababu yashetani kumukata kwenye arinzi kwasaba wangaga wamekuwa wadanganyifu kitika wanadam tamaa za kiroho na uzizi wangono
@anectusmshahilizi6000
@anectusmshahilizi6000 4 ай бұрын
Huo ni usanii tu. Mungu akusamehe
@MlandaJoseph-z4f
@MlandaJoseph-z4f 18 күн бұрын
Si kweli, unasiasa ya kutunyonya MB zetu ili utajirike.
@godfreymwanga9955
@godfreymwanga9955 5 ай бұрын
Jamani msiwemnaongea vitu ambavyo Mungu hajawatuma ,ni hatari sana kwenu na Taifa kwa ujumla
@rosendanshau2674
@rosendanshau2674 5 ай бұрын
Unafurahia nini kutangaza misiba acha hiyo haikupi thawabu unazaraulika.nafuu ungesema watu wafuatao wameokoka acha haraka sana
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 13 күн бұрын
Acha ujuinga wewe utakufa wewe viongozi wetu mungu anawalinda
@RehemaNyota
@RehemaNyota 4 ай бұрын
Kama nikwer naomba mwenyezi Mungu atulipie nafsya maguful isiende bule waliofanya hicho kitu tuone nawaowanaondoka
@stevenmashishanga8791
@stevenmashishanga8791 4 ай бұрын
Hawa walala njaa
@gracemasele4167
@gracemasele4167 5 ай бұрын
Jamani mungu anayasikia na wewe jitanili utakufa lini
@JosephJohn-ok4ln
@JosephJohn-ok4ln 5 ай бұрын
Ubinadamu kazi sana.
@user-qf3py6nx5b
@user-qf3py6nx5b 16 күн бұрын
Wale wote walioondoa uhai wa JPM wafe vifo vibaya sana ntamshukulu sana mw MUNGU
@petrusmakupe2093
@petrusmakupe2093 5 ай бұрын
Hufai kuitwa mtu wa Mungu una pepo mchafu
@IsackBukulijoro
@IsackBukulijoro 5 ай бұрын
We jishikilie rafiki😢😢
@costivemloboka8897
@costivemloboka8897 5 ай бұрын
Mwishoe ujitabirie msiba wako mwenyewe,na ujitangaze siku ya kufa kwako!
@FelisterLigazio-mw3hh
@FelisterLigazio-mw3hh 5 ай бұрын
Kweli kabisa mtumish
@FelisterLigazio-mw3hh
@FelisterLigazio-mw3hh 5 ай бұрын
Na atatangulia kufa huyuhuyu
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 5 ай бұрын
Wew utaatangulia kabla ya hooo,
@user-be8mu6fm3t
@user-be8mu6fm3t 5 күн бұрын
Acha kujisifu mwenyewe. Unabii wa uongo tu ,nabii wa kweli anawambia watu tahadhari ili ikiwezekana watubu, si kutisha watu na vifo
@DeboraKisungura
@DeboraKisungura 5 ай бұрын
Mungu. anasema kuwa ukiwa mtumishi wa mungu. unatakiwa kumba. na toba uibebe kwa ajili ya Taifa. shetani ndo anachinja na kuuwa. mungu anafufua . 2Mambo ya nyakati 7:14-18.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 5 ай бұрын
Mda watoba ilisha Isha mlango wa rehema ulisha fungwa,hata kipindi Cha rutu waombaji walikuwepo lakini Mungu aliadhibu
@apostelgodwin
@apostelgodwin 5 ай бұрын
Omba ww ndio kaz yako sio mtumishi tena
@SalumShamsudin
@SalumShamsudin 4 ай бұрын
Mwamba hebu nitabirie kifo chako unakufa lini? Punguza uongo mungu anakuona!!
@DietrichOswald
@DietrichOswald 5 ай бұрын
Yesu ni mbeba habari njema. Mungu hatendi kazi hivyo. Unatumiwa na shetani bila kujijua. Unadhalilisha utumishi wa Mungu. Kama umeonyeshwa video vyao. Kazi yako ya kwanza ni : 1) kuwaombea ili wote wafikilie toba na kuokolewa. 2) kutafuta namba ungeweza kuwafikia wahusika na kuwashuhudia HABARI NJEMA YA UFALME WA MUNGU. Na sio kukimbilia media kutafuta umaarufu na ufuasi.
@thejordanband1516
@thejordanband1516 4 ай бұрын
Yani mm nimesikia tu sawa amen amen dah Yesu akirudi atashangaa sana..
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 5 ай бұрын
Ndugu acha uongo, kifo ni siri ya Mwenyezi Mungu, unaweza ukaondoka wewe hao uliowataja ukawaacha, siri ya kifo ipo kwa Mungu, acha uzushi
@DEBORAHMASANJA-yz3go
@DEBORAHMASANJA-yz3go 5 ай бұрын
Mungu huwapa siri zake manabii zake
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es 26 күн бұрын
Hakuna wewe ni mwongo ni mdogo sana kukalia Tanzania...una utumishi ila ni mtoto kiroho unajaribu kufanya mambo ambayo hujaambiwa kufanya.Nyenyekea Jifunze chini ya waalimu laa sivyo Mungu atakufanya sio kitu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 5 ай бұрын
Huyo alikuwa ana miaka mingi ni lazima afe tu na ni mwema sjsbu Mungu smlaze mahali pema peponi
@arnoldvictor8763
@arnoldvictor8763 5 ай бұрын
We una mapepo mabaya sana!
@christinamasanja8698
@christinamasanja8698 22 күн бұрын
Hovyo tu
@WiliamKabonda
@WiliamKabonda 6 күн бұрын
Hubiri injili watu wapone sio kutabiria watu vifo acha kuwatia viongozi wetu hofu
@OrestusMbawala-qk3qe
@OrestusMbawala-qk3qe 4 ай бұрын
Mungu tu anayejua na vilongozi ni wengi
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 5 ай бұрын
Wew sio mtu wa mungu, wew ni mvuta bangi
@musajoseph7896
@musajoseph7896 5 ай бұрын
Yeremia aliwambia taifa zima waende kumtumikia nebkadneza wakikataa watakufa hakika waliogoma walikufa waliokubali walibaki hai. Shida ya watanzania Macho yenu yamepofushwa na shetani hamwezi kuona ngojeni kikwete afe kwanza ndipo mpate akili.
@musajoseph7896
@musajoseph7896 5 ай бұрын
Kama ni mvuta bangi tutaona na kama sio tutaona mwezi wa tano sio mbali
@musajoseph7896
@musajoseph7896 5 ай бұрын
Dar isipoangamia atakuwa mvuta bangi lakini ikiangamia wewe uliyesema hayo maneno wewe utakuwa mvuta bangi hakika
@adamsonmwanjela1038
@adamsonmwanjela1038 5 ай бұрын
Utumishi gani huo wa kuwajengea hofu wengine na wewe kifo chako ni lini taja sijui kwanini serikali inruhusu watu kama hao
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 5 ай бұрын
@@musajoseph7896 Support Bangi na njaaaaaa na msongo wa mawazo,jitu linatia hofu,aisee
@kenandouglas
@kenandouglas 4 ай бұрын
Nabii wewe ndo yule wa nyakat za mwisho..hubir neno la Mungu acha uchawi kwa kivuli cha dini
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 4 ай бұрын
Wewe ni Nabii unayeongea ukiremba na kurudiarudia maneno km vile umecopy toka sehemu nyingine sasa unatupestia. JIAMINI basi.
@TwahiriyaHussein
@TwahiriyaHussein 20 күн бұрын
Kwani wewe mungu
@user-po1cq9so9h
@user-po1cq9so9h 5 ай бұрын
Watanganyika binadam anakudanganyeni na nyinyi mnakubali mulizeni yeye ataishi kwa mda wa miaka mingapi atoe jibu hukuna mtu hata mmoja katika hii dunia anaezungumza na Mungu uongo mtupi awe muislam awe mcristo hakuna unatafuta mitihan na Mungu lakini usibiri utaona Mungu gani anazungumza na Mtu mbona humwambii akakusaidia maisha yako ukawa na utajiri unatabiri vifo hujui kama katika dini kumtabiri mtu utakufa unapata dhambi mtu unamueka roho ya wasiwasi ndio unafundisha nini unatia fitna na watu wanakaa wanakuskiliza wewe Mh Rais mstaafu Mzee Jakaya Kikwete chukua msahafu fungua surat Yasin msomee huu mchungaji anaekutabiri kufa halafu tuone hayo maneno yake kweli
@LupimoclinicBlogspotsanitarium
@LupimoclinicBlogspotsanitarium 5 ай бұрын
Binafsi,sikuelewi,unapotoa tatizo bila kutoa suluhisho,mie naona ungekuwa na faida kama ungekuwa unafunuliwa tatizo na jinsi ya kutatua kwasasa utabiri wako hauna faida kwa taifa.
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 5 ай бұрын
Alianza kuongea toka mwaka juzi uenda Leo ndo una msikiliza na suruhisho uwa ana sema
@user-ji4ml2sk9n
@user-ji4ml2sk9n 5 ай бұрын
Acha uchawi wako wewe,hujatumwa kutangaza misiba ya watu,HUBIRI Neno lenye kuponya na siyo kuogopesha watu.na NENO YESU ASIFIWE ACHA SIYO MAHALI HAPO
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 5 ай бұрын
Mungu aliahidi tangu unabii wa tarehe 04/07/2018 kuwa anakwenda kuponya Tanzania na watu watapata tumaini kupitia Tanzania .
@hatiagk4447
@hatiagk4447 4 ай бұрын
Wote tutaondoka hakuna wakubaki tunatofautiana muda tu. Mungu pekee ndiye anayejua siku ya kuondoka kila mtu.
@safiaothman5175
@safiaothman5175 5 ай бұрын
Hiyo ni Shirki,Ajuae ni Mwenyezi Mungu pekee.
@myself4128
@myself4128 5 ай бұрын
Mbona Muhammad alikuwa akitabiri au yeye malaika??
@mamyomar1241
@mamyomar1241 4 ай бұрын
@@myself4128ukimsikia alipokuwa akitabiri au dhana, na hizo nimbaya sana zitakutia motoni. Nautakufa nacho kijiba cha moyo. Maana yeye ni mtu wa peponi . Kuna wewe na mimi tushajijua , acha kufuatilia ya Muhamed jali sana yako.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 5 ай бұрын
Aligawa.Hifadhi ya wamasai millions kuweka makao yao na wanatumia hiyo hifadhi kuiba wanyama wa Tanganyika kiasi kwamba siku moja hatutakuwa na Hifadhi.
@user-js9lm7tx5v
@user-js9lm7tx5v 5 ай бұрын
Amina mtumishi wa Mungu hata Mimi roho wa Mungu alinifunulia kiongozi mkubwa aneyefuata
@tinamwashilindi6807
@tinamwashilindi6807 5 ай бұрын
Mhhhh mambo yamekuwa mengi haswa
@dassustephen731
@dassustephen731 5 ай бұрын
Mafunuo yapi na Kwa muongozo upi WA kibiblia?
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 5 ай бұрын
@@dassustephen731 imeandikwa Roho mtakatifu atatupasha habari ya mambo yatakayo kuja mbele..kwa uliye amini haipasi iwe suprise kwako unatakiwa ujue yajayo kabla hayaja tukia
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 5 ай бұрын
@@dassustephen731 pia kama umemwamini Yesu kristo kwa jina lake unaweza muomba alithibitishe hili naye atafanya kwani ni mwaminifu sanaa
@sarahmwasyoge1830
@sarahmwasyoge1830 5 ай бұрын
Mungu hafurahii kifo cha mwenye dhambi, Mungu awape wote ambao hawaja mjua Bwana Yesu kama Bwana na mwokozi wao wamjue na walale katika Bwana...
@sabatomutobha923
@sabatomutobha923 5 ай бұрын
Huna hekima hata kidogo, acha kuogofya viongozi wetu
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 5 ай бұрын
Kweli bro viongozi wametumikia nchi sana
@alphonce2190
@alphonce2190 4 ай бұрын
Unazungusha sana maelezo. Hadi inachosha
@mwankenjatv9330
@mwankenjatv9330 5 ай бұрын
UTAPELI TU
@HosianaGodfrey-wo9nf
@HosianaGodfrey-wo9nf 5 ай бұрын
Ach kula mb zetu jamani
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 5 ай бұрын
Tunaomba utuombee mema mtumishi syo kama tunakupinga bali unakibali tunaomba utuonbee sana tunajua kifo lazima tufe lakini siyo kwa hila tufe kwa ajili ya mungu .
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 5 ай бұрын
Vifo vilipigwa muhuri na Mungu,na kaambiwa aseme iweje apindue alicho agizwa na Bwana wake
@maclaudismail6606
@maclaudismail6606 5 ай бұрын
Wakristo wengi wanavutika kirahisi na hawa manabii waongo
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 5 ай бұрын
@@maclaudismail6606 inaonekana sio muombaji ungekuwa muombaji una muuliza Mungu ange kujulisha
@EliasMoyo-g3p
@EliasMoyo-g3p 9 күн бұрын
Nyie manabii wa uwongo wacheni upuzi unajua vifo vya watu kwani ww umekua mungu wacheni bana
@kushcultureralph568
@kushcultureralph568 2 күн бұрын
Wafe tu sisi tufurahie maana wanatutesa,na watambue misiba yao si ya taifa letu ni ya familia zao
@revocatussebastian2427
@revocatussebastian2427 4 ай бұрын
Aliyetikisa nchi kwakifo chake ni Magufuli pekeake kipenzi chawatanzania wengine wakifa hatuumi maana utawala wao maisha yalikuwa magumu mafisadi yalinenepa
@TwahiriyaHussein
@TwahiriyaHussein 20 күн бұрын
Unawatabiriya wenzako utaishi milele
@user-pb1em7lk2v
@user-pb1em7lk2v 5 ай бұрын
Mbona sielewi ila naona watu Amina nyingi
@romanamassawe814
@romanamassawe814 5 ай бұрын
Usinichekeshe,
@fridamossony2821
@fridamossony2821 5 ай бұрын
Yaani wakristo wanasikitisha, hata kwa akili ndogo tuu unajua huyu ni mjumbe wa kuzimu
@Daudlaizer-q9l
@Daudlaizer-q9l 10 күн бұрын
Acha mambo ya ajabu nabii kuwatabiria watu kifo sio ishu hebu wafundishe watu neno la mungu achana na mambo ya kifo maana hata wewe utakufa tu
@user-zm7kk1tr5l
@user-zm7kk1tr5l 5 ай бұрын
Mwisho wa dunia umefika tuutafuteni kwanza ufalume wa mungu maana unapatikana
@ibrahimdotto5234
@ibrahimdotto5234 5 ай бұрын
Mungu namuomba akutangulize ww kwanza tuachie wazee wetu waliotufanyia mazuri hata kama Kuna sehemu waliteleza
@UledyCosmas
@UledyCosmas 4 ай бұрын
Wahubiri wa siku hizi siwaelewi watu tuna shida ya moyo tunahitaji kuponywa muachane na siasa mtuokoe wenye shida
@TeloAwor
@TeloAwor 4 ай бұрын
Ni makristo ya uongo.kutoa unabii na kutokea haikufanyi use mtumishi wa Mungu.kanisa limeingiliwa sana
@user-mn7zq7cd5t
@user-mn7zq7cd5t 5 ай бұрын
He Mungu wangu mbona nimeona picha ya kikwete hapo
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 5 ай бұрын
Kwa hiyo hiyo ndiyo Injili uliyo tumwa na Mungu kuhubiri. Mmejaa kiburi ninyi. Ninyi!
@joannekesa1835
@joannekesa1835 5 ай бұрын
Amen nabii
@savinosalamba9174
@savinosalamba9174 5 ай бұрын
Unasapport Bangi na njaa na msongo wa mawazo aiseeeee
@veronicajohn7645
@veronicajohn7645 5 ай бұрын
Tabirini mambo mazuri Sasa khaaa
@annamushi5702
@annamushi5702 5 ай бұрын
Acha hizo basi, Mwanadamu yeyote aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi sii nyingi, hapa hatuna mji udumuo, tunautazamia ule ujao.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 4 ай бұрын
Usiwatiye. Hofu viongozi tobowa kama alivyo tobowa lema
@erickcharles1605
@erickcharles1605 3 күн бұрын
We ni mganga mchawi
@drnow1528
@drnow1528 5 ай бұрын
Asante Musa wa Tongareni
@unyakuotv.1391
@unyakuotv.1391 5 ай бұрын
Bado wewe na mwaipopo
@Theironrod9373
@Theironrod9373 16 күн бұрын
😂😂😂😂
@SwaiSaid-ho1rs
@SwaiSaid-ho1rs 4 ай бұрын
Ww muongo huna chaunabii chochote
@user-jx7ot4ru7l
@user-jx7ot4ru7l 5 ай бұрын
UTAKUFA WEWE KWANZA ALAFU WATAKUFA WAZEE
@MohamedIbrahim-fz2dv
@MohamedIbrahim-fz2dv 11 күн бұрын
We msenge tu
@leonardchoma3765
@leonardchoma3765 5 ай бұрын
Hawa ndiyo wanao sababisha Waafrika tutaendelea kudharauliwa na kuonekana hatuna akili sawa sawa,waoga na wenye Uwezo mdogo Sana wa kufikiri.Wafundishe Waafrika namna ya kujikomboa kifikra na siyo kufundisha vitisho na taaruki.Kwa hiyo wakifa viongozi ndiyo ukuu wa Mungu unadhihirika au unabii unatimia?Mbona hamtabiri juu ya vifo vinavyotokana na ajali hapa nchini.Hata hao viongozi unaotaka wafe,itakuwa imetusaidia nini sisi kama Taifa?Huyo mungu unayemfikiria wewe ni Mungu feki.Siyo Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo.
@user-qc5bp6iu2b
@user-qc5bp6iu2b 16 күн бұрын
Kazi ya nabii ni kusema hivyo Sema Kama Mungu akuagizwapo usisite,na Mungu akutie nguvu
@user-og1is8fs6j
@user-og1is8fs6j 5 ай бұрын
Nyie ndio mnafanya ukristo uchukuliwe powa kwa watu waiman nyingine kwa vituko vyenu.Acheni kututukanisha jaman.
@user-bn4op1ml8g
@user-bn4op1ml8g 5 ай бұрын
Ameen
@martinemifuko71
@martinemifuko71 5 ай бұрын
Akili ni nywele, Mwanadamu naye anajua siku za kuishi za mwanadamu mwenzake hii ni hatari xana!
@leahenockmrina5381
@leahenockmrina5381 5 ай бұрын
Amen
@priscagama5838
@priscagama5838 5 ай бұрын
Usitaje mtumishi wa bwana
@lawileon8204
@lawileon8204 5 ай бұрын
Duuu Mungu atulehem
@myself4128
@myself4128 5 ай бұрын
Kama Ni Kikwete safi kabisa Tena Ingewezekana afe na Nape na Samia pia manaake hakuna analofanya zaidi ya kuuza Nchi tu,Naomba Mungu awachukue na watoto wao pia Riz na January Makamba manaake wanarithi Ufisadi tu😊
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 5 ай бұрын
Nakupa hai ndugu
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 5 ай бұрын
Nimefurahi Sana kusikia kikwete japo hata mimi nitakufa
@AreKiwango
@AreKiwango 4 ай бұрын
Wee mungu au
@user-bv1wt9ut8t
@user-bv1wt9ut8t 5 ай бұрын
Someni Biblia vizuri mtajua tunaishi nyakati Gani
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 5 ай бұрын
Kwenye Biblia tunaona jinsi Nabii Isaya alivyo mwambia Mfalme Hezekiah atengeneze nyumba yake. Akimaanisha ajiandae na kifo kwa kuweka mambo ya familia yake pamoja na kutengenezs na Mungu wake. Sina uhakika kama hawa manabii wa sasa ni wa kweli. Lakini kama wamefunuliwa na Mungu .........
@bonabonala5559
@bonabonala5559 5 ай бұрын
nitashukuru ikitokea kwa mpinga katiba mpya yuree
UVUMILIVU UMEMSHINDA CASIAN KAMFATA RAISI SAMIA KIBOKO YAWACHAWI MWAMPOSA  EV PASCHAL
1:01:02
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 48 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Challenge matching picture with Alfredo Larin family! 😁
00:21
BigSchool
Рет қаралды 42 МЛН
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 45 МЛН
KUNA SIRI GANI? HILI NI FUMBO
6:11
Haleluya Tv
Рет қаралды 190 М.
TUKIOMBEE CHAMA TAWALA  |  NABII SANGA
17:50
POG FAMILY TV
Рет қаралды 13 М.
Mbarikiwa ahoji. Je kikwete atakamatwa na simu yake...
20:02
Kikosi kazi cha injili🎖
Рет қаралды 384 М.
NABII ATOA UNABII PART TWO KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophetedmoundmystic
4:38
Prophet Edmound Mystic
Рет қаралды 39 М.
UCHAGUZI 2025 UMEANZA KUJADILIWA JESHI LA WANANCHI TZ.
27:34
huduma ya kristo
Рет қаралды 15 М.
UJIO WA YESU  Ep 01
33:44
steven perfect
Рет қаралды 4,4 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН