Mwanamke kujivua kwenye Ndoa ni Sheria, endapo anaona Ndoa haitaki tena. Anapaswa kurejesha Mahari tu bila riba. Kwanza Riba haikubaliki katika Uislam.
@AishaIddy-bt3rl2 күн бұрын
Jamani Nyie Mashekh Uchwara Mkasome Tokea Lini Mahari Inariba Na Hii Riba Kwenye Dini Yetu Ni Kharamu Allah Awaongoze Kwakweli
@princematumbo2 күн бұрын
Imenishangaza pia mimi hio riba
@Rose-ue2ho2 күн бұрын
Huyo atakuwa shekh wa machango wala hajuwi dini.. Kwenye Uislam riba ni haram..
@DM.22002 күн бұрын
@@Rose-ue2ho sema kwa sasa kila kitu mtu anajali maslai yake binafsi yaan biashara kila mahal
@AljabirMshihirКүн бұрын
Waallah huyo sheikh Daah!!
@fatumaabasi777Күн бұрын
Allah ndo anajua zaidi, ila nmehudhuria darsa nyingi zimezungumzia hili, ni hivi ikitokea mke ameshindwa kuendelea na mume wake kutokan na sababu yeyote ile na mume hayuko tayari kutoa talaka, ila mume akasema.kama unatak tuachane nipe kitu fulani labda iwe hela hta akataka bilioni moja unatakiw umpe ndo uwe huru ukishindwa kumpa kiasi hicho bado utatakiw kuwa nae, haijalishi mahar ilikuaje hta kama alikuoa kwa mahar ya laki moja ila ukitak ww mke muachane mume yuko huru kukuomba chochote atakacho kma fidia kwake.
@AminaTanzania2 күн бұрын
Wanawakebtunapitia mangumu sana kwa wanaume pore dada angu mungu akupganie
@@HanifaOman-oo4pl yanii kwanza huyu dada labia awe anandugu wenye hufu na mungu tofaut na hvyo awe anandugu kama wangu shiga angu pole lawama zote utazbebeba utaambiwa bila ww mama yetu angekuwepo hyo n lazma yatakuwepo msba ukiisha utaliliwa wewe kila kukicha pole nakupa pole nmeumia wanaume hawaachagwi wenyewe ndy wanataka kukuacha sasa ww umempa taraka bado unamfata akupe vyombo weee sio hawa kambale ilintokeaga namshukuru mungu sikurud nyuma nakumbuka nliachaga zahabu zangu helen pea 3 na chen alinbembeleza njoo uchukue vtu vyako weweee nkamwambia ww viuze tu pole mdg wangu
@gracemacha9357Күн бұрын
Pole dada ndoa imesababisha mama yako kupoteza maisha😭😭 kumwomba Mungu ni muhimu sana kwenye maisha ya ndoa
Wanawake kuweni makini msiingie kwenye mahusiano na machizi.
@Kabwela776Күн бұрын
Daah imeniuma sana huyu dada amepoteza mama yake halafu hajui , hivi mbona madada hawa wa kitanzania wa mikoani uwa ni wakarimu sana hawana matatizo Na mtu ukiwaowa utafurahia ndoa yako Na wanyenyekevu sana
@8pistons194Күн бұрын
Unaongea usenge huwajui ww
@nancyg8664Күн бұрын
@@8pistons194😂😂😂😂
@FunnyJumpingSpider-bz9drКүн бұрын
Kila ndoa inachamoto zake.usiseme hivo
@JustinaBaligeКүн бұрын
Pole sana MUNGU akutie nguvu..
@FatmasaidhamesaHamesa2 күн бұрын
Pole dada yashanikuta kuchapwa n mume mpaka nikaja arabuni kisa siwezi sahahu maisha yng
@betitympeleta96972 күн бұрын
Pole jamani ila huyu dada ameteseka sana anavyoeleza
@HafsaH-u9yКүн бұрын
😂wey mbna simulizi yako nayangu vinafanana
@FatmasaidhamesaHamesaКүн бұрын
@HafsaH-u9y nakukwa mpaka naelewa n vyenye alikuwa mwanajeshi mungu to
@RamadhaniKitala-gx6wc2 күн бұрын
Next mwananchi , pole sana dada wamekuficha kukuambia kama mama amefariki ila ni vizur ungepandisha presha
@joyceatupele88482 күн бұрын
Asii pole sana kwa yaliyokukuta mungu akusimamie kwa yote
@paulabelleghe4512 күн бұрын
inaumiza sana ushauri ukiachana na mtu hata akijifanya anataka kuonana na wewe usithubutu toa report mapema police nakwandugu huyo ni agent washetani
@lucychaula8850Күн бұрын
Pole sana dogo piga magot omba Mungu damu ya mtu haipotei hivi hivi atakamatwa tu Mungu akupe nanyosho mema ya kesi yako
@rosemugezi13152 сағат бұрын
🙏🙏🙏🙏sana
@AnnaMichaely-yn2vm14 сағат бұрын
Pole sana dada mungu akusimamie na kykutia nguvi
@emmanuelmmbaga52092 күн бұрын
JAMANI MATUKIO YAMEZIDI SIO SIRI ... TUFUNGE TUMWOMBE MUNGU , NCHI YETU IPO HATARINI....😢😭😥😭hali inatisha
@ZulfahMuhammad2 күн бұрын
Yaani masheikh na polisi wamechabgia hii hali kuwa mbaya kwa dada huyu na kupoteza Mama yake 🥲🥲 sana pole sana dada yetu
@paulmafuru728316 сағат бұрын
Ndoa ,ndoa,ndoa Mungu simama na ndoa zina shida nyumba zina siri kubwa sana juu ya ndoa😢
@Leylah-pz5sc2 күн бұрын
Uyo shehe hana adabu mshenzi mkubwa toka lini mahari inarudi na riba kwan yy hajamtumia au kumzalisha, na pesa yenyewe elf 40 tu inatoa watu roho Shehe una dhima kwa mungu
@d153552 күн бұрын
Alimtumia au walitumiana rekebisha kauli hata yeye alikuwa na haja ya mwanaume kutimiza haja na shida zake
@KhadijaMwenda2 күн бұрын
@@d15355mwanamke akishalala na mwanaume basi mahari hairudishwi tena
@Leylah-pz5sc2 күн бұрын
@d15355 Abdalla ee mm sitaki kubishana na wanaume cz hp lazima mtajitetea so tufunge mjadala
@FatumaWaziri-v2wКүн бұрын
pamoja na yote sheria ya dini haisemi hivyo @@Leylah-pz5sc
@FatumaWaziri-v2wКүн бұрын
hatakiwi kurudisha mahar
@BakariMalembekaКүн бұрын
Pole sana ila mda mwingine muwemnaangalia na wanaume wa kuwanao wengine mitihani
@chayogasperi97832 күн бұрын
Uzembe wa Polisi na kupokea Rushwa mmesababisha yote haya. .
@chuimnyama90742 күн бұрын
Ulitaka polisi wafanya mambo ya ndoaa unayajua weeewe
@LuluAquai2 күн бұрын
Maana yake hiyo kesi wangeipeleka Mahakamani,ndicho alichokuwa anakitaka dada@@chuimnyama9074
@chuimnyama90742 күн бұрын
Au ulisikiaaa polisi wakati hiyo mahalii inarudishwaa polisi walikuwepo msikitini
@chayogasperi97832 күн бұрын
Wewe Chuimnyama sikiza ; Ninapolaumu POLICCM ni kwanini walimwachia mtuhumiwa kirushwarushwa huyo Binti alipoenda kuripoti kumtishia maisha , akatolewa kwa dhamana , na wakaanza kumzungusha huyo Binti bila kupeleka jalada lake KITUO KIKUBWA Ili shauri liendelee , Karudia tena na kuhatarisha maisha .
@chuimnyama90742 күн бұрын
@@chayogasperi9783 sawa baba lakini wanasema dhamana ni haki baba ya kila mtu vipi hapo baba
@prettynainaramadhani53992 күн бұрын
msikiti gani wakishetani huo ndio nasikia leo kama mwanamke anauwezo wakumpa talak mum ktk qur an huyo si shekhe bali ni sheitwan kweli dunia imekwisha uislam umekwnd wap innallillahwaynailahrajiun . allah akufanyie wepesi kipenz
@Zakia-p2y2 күн бұрын
Kasome vizuri kuhusu talaka. Inaruhusiwa kabisa mwanamke kutoa talaka kisheria (dini)
@khalifasaid0047Күн бұрын
@@Zakia-p2yNa wewe hujaelewa yeye mwanamke hua anajivua katika ndoa na yy haruhusiwi kutoa talaka bali talaka atatoa mume
@Magreth-f2j2 күн бұрын
Pole sn mwanangu oh umepitia makubwa ulikuwa unavumiliamngi hawa wanaume wamekuwa wanyama.
@MwanahamisNyenzi2 күн бұрын
Pooole mdogo wangu wanaume wengi wa leo wamejaa roho za ukatili
@FatimaAli-of4gh2 күн бұрын
Sasa hivi kabla ya harusi tusipime ukimwi tu na akili pia
@HanifaOman-oo4pl2 күн бұрын
Huyu shehena. Anamatatizo huyo. Ona sasa kasababisha mauwaji. Nawe dada ungeenda na polic kuchukua vitu vyako.
@MwanahamisiBwanga2 күн бұрын
Yan ww umuache mwanaume alafu bado unaenda kwake hvyo vtu ungeachana navy mm mliondokaga mazimaa
@JamilaJumanne-u7qКүн бұрын
Ata mm mpka pichu zipo kwake nilihis Nikifata tu nimekwishaaaa
@abasmwika3432Күн бұрын
Kosa moja kubwa wanawake wengi wanafanya ni kutaka mali za mwanaume wagawane, hilo ndio humtia mwanaume hasira zaidi ni bora uondoke na usidai chochote, hata huyu nae alirudi tena kwa ajili ya kuchukua vitu vingine zaidi
@abasmwika3432Күн бұрын
@@JamilaJumanne-u7qmwanamke ukiamua kumuacha mwanaume usichukue chochote kutoka kwake ni hatari sana
@JamilaJumanne-u7qКүн бұрын
@ mm Niliacha jmn tena nimtu mwenye uchu wa Mali namjua nilisameee nikiamin nimejinusuru mm na nafsi yangu mbona nipo nasijafa!!! Naridhik napata wanangu nalea vzr
@JamilaJumanne-u7qКүн бұрын
@@abasmwika3432 sema nn mm nimeolewa hana kila kitu tumetafuta wote vingine nilitoa kwetu lkn Niliacha tu bwana mbona ninavingine Tyr nikuamua tu uzima nibora kuliko Mali
@RenaldaZeramula2 күн бұрын
KuMUacha mwanaume.mbona rahisi tuu, unahamia Mkoa wa Songwe au TUNDUMA AU RUNGWE. Wewe ndionumeyqtqka unafatikiq vitu vya nini
@kamarhelo2 күн бұрын
Nashangaa Tena kaenda mwenyew huyu nae kanichosha kweri
@magrethmbuma30452 күн бұрын
Sumu zipo ni bora kuliko kukimbia mji😢😢😢😢 aaaaiseee
@JamilaJumanne-u7qКүн бұрын
Mm nilitoka kigoma yuleee daa Nikamwachia kila kitu mwaka wapili huu tena akasema hana shida nawatoto anataka nyumba navilivyomo😂 nikamwachia yann mm afu sina kila kitu et jna anapiga cm kwetu anataka watoto waende likizo😢 kufanya nn ikiwa ata nguo tu aliwanyima hata Salam miaka miwili leo anakuja nakiswahili et likizo shenz stak shobo mm nakiboro dinda mxyuuu
@tegemeakyangenyenka6111Күн бұрын
Pole sana, kusuruhishwa na visu, askari gani hao
@Bilioneabichwa331Күн бұрын
Wakija watu wenye heshima kutaka kuwaoa hamtaki, wakija wavuta bangi ndo mnawakubali alafu mnaanza kulialia, yaani wanawake!! Poleni sana
@lucykanjanja623Күн бұрын
Na ninyi pia wanawake wazuri mnawakataa
@Bilioneabichwa331Күн бұрын
@lucykanjanja623 kweli! Me naona wanaume hatuna shida, ukimpenda mtu basi mpende alivyo
@KWEGESILAHA12 сағат бұрын
Una lolote
@SamiraameirSamira-qt9yn2 күн бұрын
Nimelia 😢
@williamkeita1519Күн бұрын
Mungu ailazepema roho ya mamaako, pole ila kwa mtizamo wangu huenda ww na mamaako mlishindwa kusuluhishwa so mngetumia wataalam wa nje ya family
@NyustaFrank5 сағат бұрын
Pole sana mmh
@annamussa1852 күн бұрын
Me ndo maana naogopa ndoa
@FatumaWaziri-v2wКүн бұрын
usiogope olewa n kk yangu n mkarimu
@CikeTanzaniaКүн бұрын
Usiogope utaishi vip uendelee kuzini haipendezi
@annamussa18514 сағат бұрын
@@FatumaWaziri-v2w mmmm
@MaryamAbbas-o1c13 сағат бұрын
Huyo shekhe arudishwe darasani akasome vizuri dini au alikuwa iyo 40 nyengine akiitaka yy pole sn dada kwa mtihani ulio pitia na kumpoteza mama bila kujua sijui utalipokeaje ukijua😢😢
@SalimKombo-xo4pq11 сағат бұрын
Pole sana dada agu
@CikeTanzaniaКүн бұрын
Aisee pole sana unamwanamke kumhudumia hutaki kuachana hutaki nini maana yake mitihan sana mama wawatu kauawa inauma sana 😢😢😢
@HafsaShekigendaКүн бұрын
Subhanallah ee yarabi mola wetu tunusuru NA haya mabalaa
@salomewandya7257Күн бұрын
Dah Pole sana
@ivyroses901914 сағат бұрын
Dada huyo mtu ilibidi umuhame kabisaa wala asijue unapoishi wala kukutana naye kwa Mambo ambayo alishakufanyia awali. Ila ndo yameshatokea Pole sana.
@saynabmohammed62632 күн бұрын
Hiyo talaka sio sawa fata masheikh wanao faa Huyo sheikh kahemka pengine ukiolewa utakuwa uzinif fayilia kwa madheikh wa uhakika
@MuemedeAlucoКүн бұрын
Pole sana dada ila kamahutojali njoo Mozambique tufanye maisha unaonyesha ni mpambanaji naomba mawasilianoyako
@MagesajohnNyamongeКүн бұрын
Wewe umepata ulichotaka kiwe umempoteza Mama kwa ujuaji wako
@monicamwita7865Күн бұрын
Toa faraja na si kejeli
@annamussa1852 күн бұрын
Kwanza wewe ni mkristo why ulibadili Dini kwa ajili ya mjinga muuaji😢
@magrethmbuma30452 күн бұрын
Haapo anajutiia na mengi
@emmadora7848Күн бұрын
Tena Kwa mahari ya 40,000 looooo 😂😂😂😂
@rachelsimon28767 сағат бұрын
Tatizo mahar ndogo sana jaman khaa 80 duh sikubali
@ZekaniS2 күн бұрын
Pole jaman kumbe awajakuambia mama amefariki😭😭😭😭😭pole kipenzi wanawake tunapitia changamoto nyingi
@KaramaHaji2 күн бұрын
Ina uma sana sana sana akitoka hapo tena akaanze msiba upya VERY SAD
@mwanas22 күн бұрын
so sad jmni
@SelemaniIssah-p2g2 күн бұрын
Nasema hv msiangalie upande mmoja tu japo jamaa kakosea sana kutokana na maamuzi yake mabaya ila kwa maono yangu kunavitu vipo ndani ya ndoa yao
@radhiamussa16292 күн бұрын
Ata kama ndio aue mama mkwe na mke chupuchupu afe unahisi huyo ni binadamu kweli haijalishi kafanyiwa Nini mwanamke sio wa kupigwa nakufanyiwa hivyo e@@SelemaniIssah-p2g
@kamarhelo2 күн бұрын
Ulete huo upande wa pili tukie bwana we usituchanganye
@CharlesAndamnyirenda2 күн бұрын
jamani pole Sana ila muandi naomba namba ya huyo Dada ili atusaidie kupatikana kwa shehe asante
@LuluAquai2 күн бұрын
Acha uchu,Sheikh wa nn na ww Charles,mambo ya waislam yanakuhusu nn,Acha ujinga
Duh inauma sana mama kuuliwa..jamani wanawake angalie waume wa kuwaowa tabia inajulikana hta kwa majirani chunguzeni..duh pole sana
@HannanSomaiyah-wp7nyКүн бұрын
Dah mtihani MKUBWA sitaki Mwanaume wa Hivyo ni Mtihani MKUBWA, Sasa kauwa mama aso na hatia,Wacha akafie jelaaaa
@SelemaniIssah-p2g2 күн бұрын
Pole mdada kwa yaliyo kukuta ila ninaamini huyo hakua chizi japo kakosea sana kwa aliyoyatenda ninamini yapo yaliyojificha ndani ya hili sakata mapenz yanauma hasa mdada akishajiona yeye mzur anamletea vituko mwanaume aliempambania sikieni tu msimbe yawakute huwenda jamaa kavumilia mengi sana ila ibirisi alimteka mpaka akafanya hayo
@richardyusuphmsongolomakat20492 күн бұрын
Unaongea kama mamako shoga wewe
@SelemaniIssah-p2g2 күн бұрын
@@richardyusuphmsongolomakat2049 shoga niwewe mzee hayajakukuta juu ya wanawake yakikukuta ndio utajua wanawake ni watu wa haina gani sitetei ukatiri alioufanya ila ninamini huyo jamaa sio chizi mpaka amefikia hapo we choko ukumbuke huyo mwanamke kainunua taraka ingekua mwanaume anamatatizo mashekh wangeivunja kafosi kuachika sasa msiangalie upande mmoja tu
@JamilaJumanne-u7qКүн бұрын
@@richardyusuphmsongolomakat2049mjinga mbwa huyu
@hilderandrew856512 сағат бұрын
Kadada❤ kazuri
@EmmamuzeКүн бұрын
Huyu kwa aliyoyapitia kupenda tena au kuwamini wanaume anahitj rehema za mungu mm niliyapitia haya kwa baba mtoto wangu nikahama mkoa tang 2019 hadi leo sijawah kuonana nae na nina amani ila kupenda kwangu imekuwa mtihani nipo tu nalea mtoto wangu
@margarethpolepole7438Күн бұрын
Kwanini umekwenda huko wakati unajua kuna kutokuelewana na ugomvi mtindo mmoja
@magrethmbuma30452 күн бұрын
Mahari 40k kweeeliii😢😢😢 hizi ndooa hiizii
@saidasaid5855Күн бұрын
Ukiangalia ayo mahari tu unajuwa kama sio mwanaume wa kutunza mke wala mtoto cjui kama cmvuta bangi
@anithawidambe75432 күн бұрын
ASKARI MSAIDIENI HUYO MAMA MME WAKE AKAMATWE AFUNGWE HUYO NI MUUAJI.
@lisawilliam2491Күн бұрын
jaman! afya ya akili is really! mungu atuhurumie
@hassankisuda1189Күн бұрын
Jamani binafsi natoa pole kwa changamoto, Lakini haya yanayozungumzwa hapa ni upande mmoja tu tusiongee sana maana huwezi juwa yalivyokuwa kabla ya kufikia hapa yalipo
@SuleimanKhdijaКүн бұрын
Subhanallah hapo kwenye riba ni haram na pia haijuzu mke kumpa mumwe talaka hua unajivua unamrudishia mahari yake basi ila pole saana kwa mitihani
@stellahmosha9517Күн бұрын
Nanyie mahari zenu rahisi Sana ata mtoto wa shule anailipa 40000 ndio iondoe uhai wa mzazi uyo kijana kheri akamatwe na polisi sio uchungu wa hawa wenye mzazi wao ukukute aisee
@MrkiswalaKiswalaКүн бұрын
Pole kwa kumpoteza mama Ako lakin tusisahau hata huyu ana mwanaume anaempa jeuri kwa mume wake hata hiyo nguvu ya taraka ameitoa kwa bwana ake mwingine wanaume tunapitia magumu Sana kwa Hawa viumbe lakin kuua au kufanya tukio baya ni makosa lakin huyu dada nae Kuna ulakini macho yake tu Hiki kichwa kibovu
@HidayaIbrahim-b4h2 күн бұрын
Waha tunavumilia mengi ila tukichoka tunachoka kweli natunaacha hatuludi nyuma tena
@MikidadiMughuna2 күн бұрын
Kabisa me mwenyewe mha navumilia mengi kwa ndoa yangu
@eunicegerminus193Күн бұрын
Waislamu tunaomba ufafanuzi juu ya hili la mahali
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج2 күн бұрын
Ivi marioo wakoje nilishan hili balaa n pekeangu 😢😢😢😢 sito sahau nmenusurika kufa ivi ivi.
@YasinOmary-m6n2 күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 Pole
@AthumaniJongo-j5dКүн бұрын
Pole sana tilka dunia
@allyndunda514Күн бұрын
Huyo shekhe nae ni miongoni mwa wauwaji. Na atakuja kukutana na zambi zake hukoo Akhra
@SalumMzee-cw8doКүн бұрын
Siku imefika mauti yatokusahau ila ss tutayasahau tuombe Allah atujaliye khatima njema vifo vyema
@SalumOthman-w8cКүн бұрын
Pole sana dada
@mauachilamula4927Күн бұрын
Pole xna
@shabaniguma86962 күн бұрын
Kina watu wanaoa kwa elf 40 tena na jeuri na mauwaji hatari
@issataslima9846Күн бұрын
halafu kibaya Zaid ni wa Jina wako
@joaquimmasengwa1283Күн бұрын
Pole kwa yaliyokukuta. Lakini, kwa maelezo ma mwonekano wako, yule bwana ulimwacha ungali bado unampenda. Kama ungekuwa umedhamiria......... NENDA HALAFU RUDI, ilikuwa ya nini !!??
@romwaldoamsi2783Күн бұрын
Angejua asingesimamisha boda😢😢😢😢
@HusnaMuhammed-yx8nl2 күн бұрын
We mwanaume laana itakutafuna kupokea mahari ilihali mkeo kakuzalia na utakufa masikini mbwa wewe njaa inakusumbua
@priscajustine68809 сағат бұрын
😢dah so sad,
@jacklinakinabo6479Күн бұрын
Mahari elfu 40 khaaa! Hiyo ela ya kununua pedi box moja la HC 😢😢 bora usitolewe kabisa mahar
@mudinhomeshack9041Күн бұрын
Binti mzur alhamdulillah ila mume aliempta mtihan
@JosephJackson-f1sКүн бұрын
Mtoto mzuri jamani kaolewa na pepo
@FunnyJumpingSpider-bz9drКүн бұрын
Ama kweli kuna wasomi wengi sana mtandaon
@FatmaHamad-g6sКүн бұрын
Ukipata ndoa Ina amani swali sana sio jambo rahisi
@OmanOman-t5pКүн бұрын
Huyo nimuuwaji wanaume wengi wanatuacha bado wanatupenda
@swahilitherapytv3846Күн бұрын
Masheikh wa mchongo, hakuna riba kwenye kurejesha mahari. Mahari ni ile ile inarejeshwa
@MaikoMasnjaКүн бұрын
Polen sana wanafamilia
@kitongaemmanuel242Күн бұрын
Mmawaendekeza sana waumezenu, haswa pale unapobeba majukumu yao. Utakapotaka kumuacha ndo hayo yanayotokea. Ndoa nikifungo muemnatafakali kabla. Anachokifanya huyo bwana n maumivu anayopata ndan yamepelekea kutokua na afya ya akili, kama mpepona mmusamehe coz huyo n mzaz mwezio watto watawakutanisha tu
@batulymsangi926Күн бұрын
Watu wanaolewa na mashetani kweli jmni😢😢
@AtuganileAsubisyeКүн бұрын
Mhmh inauma sana Mama ana kosa gani apo sasa
@naomicharles54442 күн бұрын
Mtu akikuambia una akili kama za bodaboda jitafakar😂😂
@nanaritho6850Күн бұрын
Kwa hiyo wamemficha Binti wa watu!! Daah
@healingsschool4630Күн бұрын
KUTOKA 22:18 Usimwache mwanamke mchawi aishi. Uwa kila mwanamke mchawi kwa Jina la YESU Kristo
@ViolethMazengo-nd8cyКүн бұрын
Kweli huyu dada hakutendewa haki ila kama mm nilishampa talaka hapo kwake sirudi tena hapo ndo alijichanganya kwan vitu ni nn siangenunua
@ndimimaskati3641Күн бұрын
Huyo jamaa ni mshenzi, hafai katika ndoa.
@JosephJackson-f1sКүн бұрын
Huyo shehe ni mjinga tangu lini mahari ikarudi tena na riba isitoshe wana mtoto unazambi mbele ya mungu
@dignakanje4508Күн бұрын
Wanawake Htuko slma jmn.Kwann wanaume. Mmekuwa hivyo jmn.
@lightnessseifu5983Күн бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭sina cha kusema namwachia mungu
@ChausikuAli2 күн бұрын
Pole ndugu yangu
@gracemacha9357Күн бұрын
Pole dada ndoa imesababisha mama yako kupoteza maisha😭😭 kumwomba Mungu ni muhimu sana kwenye maisha ya ndoa