No video

"NILITEGEMEA WAZIRI MKUU ATAJIUZULU, HUWEZI KUWA WAZIRI MKUU HALAFU UNAPUUZWA" MPINA BUNGENI

  Рет қаралды 95,666

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Mhe. Luhaga Mpina leo april 19,2024 amesimama Bungeni Jijini Dodoma kuchangia hoja kwenye bajeti ya makadirio ya mapato ya mwaka wa Fedha 2024/2025 ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ambapo Katika mchango wake amegusia suala la baadhi ya watumishi ambao hawafuati maelekezo ya Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
/ @wasafi_media
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 223
@luganomwaigomole7441
@luganomwaigomole7441 4 ай бұрын
AKILI KUBWA ILIYOBAKIA NDANI YA CCM❤
@Henricovicent
@Henricovicent 4 ай бұрын
Akisha teuliwa tu kuwa Waziri hiyo Akili kubwa unayoiyona sasa hivi hapo. Utaiyona tena! 😂😂😂😂😅😅😅😅
@MrTop-wj7no
@MrTop-wj7no 4 ай бұрын
​@@Henricovicentkabisa😂😂😂😂
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 3 ай бұрын
Yahni​@@Henricovicent
@unclesammykaniki1184
@unclesammykaniki1184 4 ай бұрын
Mungu akulinde sana Mheshimu Mbunge MPINA.
@johnmwanyika
@johnmwanyika 4 ай бұрын
MH. MPINA WEWE UKO NA UWEZO MKUBWA.
@user-zc2ms4wl6r
@user-zc2ms4wl6r 4 ай бұрын
Wewe nichuma kweli unafaa ukweli unauma sema kweli huo ndio uongozi naniukweli mtupu
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 4 ай бұрын
Safi sana mpina,..anaongea kwa machungu na hasra kutokana na anavyoona mambo ya hovyo yakiendelea lazma asiwe mpole kwan anaona waz nchi inaelekea kubaya
@richiewinner4079
@richiewinner4079 4 ай бұрын
Mtu wa kwanza kumsikia akitoa hoja na kuacha kusifia mama Samia kinafki. Hongera kwake
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 4 ай бұрын
Apewe maua yake asubuhi na mapema
@deoluma1706
@deoluma1706 4 ай бұрын
Hii ndo machine ilobaki ccm tu.
@ladislausmoris9638
@ladislausmoris9638 4 ай бұрын
Mzee mpina mungu akupe maisha marefuuuuu
@uredmwasembo8579
@uredmwasembo8579 4 ай бұрын
Makonda na uyu jamaa akika mungu awape maisha malefu ni azina kubwa saba
@eliasakhamisi7947
@eliasakhamisi7947 4 ай бұрын
Eti makonda we umerogwa
@mwanache
@mwanache 4 ай бұрын
Haya ndio maneno ya watu ambao akili zao ziMekonda… huwezi fananisha akili kubwa na akili ndogo🤷🏿‍♂️ Akili inayoongelea mawazo makubwa na kutatua matatizo ya wananchi SIO Sawa na akili ya kupiga majungu 🤷🏿‍♂️😡
@mussamussa8181
@mussamussa8181 4 ай бұрын
Makonda wa nn sa apo
@victorjames3730
@victorjames3730 4 ай бұрын
Badala ya kushugulikia hoja zake watamshugulikia Yeye
@hosseasimon3887
@hosseasimon3887 4 ай бұрын
😂😂😂
@AinekishaNyakato
@AinekishaNyakato 4 ай бұрын
Yaan ni kweli kabisa
@mkamamoris9415
@mkamamoris9415 4 ай бұрын
Umeongea fact
@user-wd2bc7bf5x
@user-wd2bc7bf5x 4 ай бұрын
yaan
@vailetheanyambilile9749
@vailetheanyambilile9749 4 ай бұрын
😢😢😢😢😢 So sad haki daaah
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p 4 ай бұрын
Tatizo hao wezako awaupendi ukweli kabisa 🎉🎉🎉
@awadhally1052
@awadhally1052 4 ай бұрын
Kwel kabisaa tuna maviongozi majizi makubwa sanaaaaa.
@mkamamoris9415
@mkamamoris9415 4 ай бұрын
Ubaya Kuna wanao jua uongoz na Kuna wanao jua Zaid maan ya uongoz huy jamaa anajua Zaid maan ya uongoz
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 4 ай бұрын
mungu ampe ulinzi huyu jamaa
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 4 ай бұрын
Ulinzi ni lazima kwa huyu mpina huyu ni lissu wa pili lazima alindwe
@user-dr1su7pf7w
@user-dr1su7pf7w 4 ай бұрын
wasukuma mnaakili sana cjui manakula sana vichwa vya samaki ? mungu awainue tuje tupate tena raisi wa kutoka kanda ya ziwa , mh mpina mungu akuweke
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 ай бұрын
Sasa hapo wanaongea wasukuma au anaongea Mpina ? wewe kweli mweu
@paulclementmakune3661
@paulclementmakune3661 4 ай бұрын
Jamaa anahoja sana
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 4 ай бұрын
Kwel kabsa,.,wanachaguana kwa kujuana!..wabadilike
@KhadijakassimMwaipaya
@KhadijakassimMwaipaya 4 ай бұрын
Spina iyooo
@simonhussein4848
@simonhussein4848 4 ай бұрын
AKILI KUBWA SANA, HUYU NDIYO MEAMBA. CHAKUSHANGAZA, BUNGE LIJALO ANAWEZA ASIRUDI MJENGONI
@mkamamoris9415
@mkamamoris9415 4 ай бұрын
Kabsa mwamba anajua sana
@user-qx5mq6un7e
@user-qx5mq6un7e 4 ай бұрын
Big brain 🤯🤯 Mpina
@ramadhani-khamisi134
@ramadhani-khamisi134 4 ай бұрын
Uzalendo ni pamoja na kutoa mawazo positive kama hayo Hongera sana mh.mpina.
@MasoudyMichael-ox7xl
@MasoudyMichael-ox7xl 4 ай бұрын
Huyu ndiyo tukipost tuweke hashtag😅
@nsajigwamwakyambiki5361
@nsajigwamwakyambiki5361 4 ай бұрын
Kweli Taifa ili liende mbele zaidi lazima liwe na watu wanaokubali kuongelea ukweli sio kusifiana tu na unafiki watu wanakula fedha za umma alafu vyombo usika vipo tu ,uchumi wetu utakuwa unakuwa kwa kasi ndogo coz pesa hazifiki maeneo yanayo lengwa
@SanziNzige
@SanziNzige 2 ай бұрын
Wabunge wa Tanzania muombeni Sana Sana mungu msifike sehemu mkaona Kama mhu.
@johnmwanyika
@johnmwanyika 4 ай бұрын
Hata, Prof. Hakuweza kukutoa kwenye mstari. Wewe ni mfano wa kuigwa. Umejipambanua vyema na umeeleweka vzr
@BrayJuma-lo1rd
@BrayJuma-lo1rd 4 ай бұрын
Jamaangu yupo vizuri sana tatizo wahusika wahusika nae badala ata jina lisirudu
@oscarkallinga8343
@oscarkallinga8343 4 ай бұрын
Big up Luhaga mpina.Chuma sana huyu jamaa.na kwavile sisemu hawapendagi mwana sisiem kupinga serikali, huyu jamaa mwakani wanaweza kumuengua asigombee ubunge.maana walishamuita kamati ya nidhamu wilaya.
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 4 ай бұрын
TANZANIA inaweza kupoteza heshima yake soon kama ni kweli mambo yako hivo
@johnmwanyika
@johnmwanyika 4 ай бұрын
MH. MPINA HONGERA MNO, UWEZO WAKO WA KUCHAMBUA HOJA NA UFAHAMU WA MAMBO SIO WA KAWAIDA. WATAKUELEWA TU WALE AMBOA NAO NI WATU WENYE UWEZO WA KUFIKIRI MAKUBWA KAMA WEWE
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 4 ай бұрын
Umeongea point Mh.
@stewartmdebe4314
@stewartmdebe4314 4 ай бұрын
Jembe la ukweli tanzania ni wachache sana MUNGU ampe ulinzi
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 4 ай бұрын
Huyu mpina mi namuelewa sana hongera mh.mpina
@rashidingole1588
@rashidingole1588 4 ай бұрын
Hii nchi ngumu San, Kuna watu wanakula San hela za nchi, wakat raia huku wanateseka
@mapoluchalya280
@mapoluchalya280 4 ай бұрын
safi Sana,Moja ya mbunge anaepaswa kuwa ata waziri kisa tu ni msukuma cjui mmmh,kisesa tunakuhitaj tena
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 4 ай бұрын
Daaah huyu mwamba ni hatariiii 😢😢😢
@LUBAINAMOHDRAJAB
@LUBAINAMOHDRAJAB 4 ай бұрын
Hizo taarifa zinakuwa ni kero hatuzitaki akiwa anazungumza Mpina mwacheni amwage madini tusikie ukweli.
@JacksonLendoye
@JacksonLendoye 4 ай бұрын
🎉 well done mpina
@sillahnjau9205
@sillahnjau9205 4 ай бұрын
katika wabunge wote wa ccm yu ndio mwenye uchungu na hii nchi n watanzania wanyonge mungu kabubariki mkuu
@makoyejohn3930
@makoyejohn3930 4 ай бұрын
Huyu kiongozi apatiwe ulinzi
@user-rg7se7qj5v
@user-rg7se7qj5v 4 ай бұрын
Kitila mkumbo na naibu spika kila wakati taarifa ht kwenye mambo ya muhimu ama tabia hizo ni kero kwa watz kumbuka mnalipwa kodi zetu.
@user-eo4bl3do8k
@user-eo4bl3do8k 4 ай бұрын
Mkumbo ni kumbo kama Jina lake lilivyo ni CHAWA DUME LIMESALITI CHAMA CHAKE CHA CHADEMA
@user-fm2ly8gj6u
@user-fm2ly8gj6u 4 ай бұрын
ni machawa
@mcdonaldmujuni9603
@mcdonaldmujuni9603 26 күн бұрын
Mpina for life❤
@EliaKaspaly
@EliaKaspaly 4 ай бұрын
Huyu mzee anaongea kweli na anauchungu na nchi yake
@KulwaSamson
@KulwaSamson 4 ай бұрын
Mimi binafisi naomba viongozi wanao pewa dhamana yakuongoza wawe wakali mahana watu wanajisaau sana nandomaana mama anawabadilisha sana anataka aone watu wanafanya kazi kiukweli raisi wetu anaitaji viongozi wenye kauli nakujiamin nakutendea aki wadhifa walio pewa wasikae maofisin bari wapote kwenye sekita walio pewa Mungu awajalie viongozi wangu muwe namisimamo watu huwa wanavitisho sana msiviogope
@user-de2rg9kk7u
@user-de2rg9kk7u 4 ай бұрын
HAPO NAMUONA my friend Shigongo Eric Shigongo
@ELIAMbise-sy5ue
@ELIAMbise-sy5ue 2 ай бұрын
Mpina ulikuwa wapi mkuu???. Safi sana
@user-rn9og1rk3l
@user-rn9og1rk3l 4 ай бұрын
Hata kama mimi siyo mwanasisiemu ila huyu jamaa ni saluti
@samuelmuthui4699
@samuelmuthui4699 4 ай бұрын
Mpina ni mpumbavu mwenye njaa. Anasubiri aitwe ikulu apewe pesa😂😂😂😂
@jamesmhangwa9672
@jamesmhangwa9672 3 ай бұрын
Kua makini tafadhari
@danielamosi6871
@danielamosi6871 4 ай бұрын
Akili kubwa
@user-ci5ux1jd6n
@user-ci5ux1jd6n 4 ай бұрын
Mtoto wa kimaskini aliebaki kutetea wenzake ndani ya ccm 🔥
@salimmwabundu958
@salimmwabundu958 4 ай бұрын
So powerfull
@katapaj2336
@katapaj2336 4 ай бұрын
Mpina nenda chadema uwafundishe ww noma❤❤❤❤❤❤
@najmamussa
@najmamussa 3 ай бұрын
Nafasi ya ubunge anaitumia vizuri lakini akipata nafasi ya kuwa waziri atakuwa kama si mpina uliye aliye kuwa wa moto enzi ya ubunge
@PascalMbwilo-vh5rn
@PascalMbwilo-vh5rn 4 ай бұрын
Hawa ndo watu tunawahtaj Tz apa
@bogoheidaso2628
@bogoheidaso2628 3 ай бұрын
Hongera sana mpina
@user-mi3bi3fj3s
@user-mi3bi3fj3s 4 ай бұрын
Nakuelewa sanaa Mpina piga kazi
@KudraJKabwali
@KudraJKabwali 4 ай бұрын
Mh sawa hongera sana mbuge kuchangia mawazo mazur
@mussamuna900
@mussamuna900 4 ай бұрын
Huyu jamaa wangekua wanamsikiliza bunge lingekua mbali sana
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k 4 ай бұрын
Mpina hadi kwenye buu kapiga.Waziri mkuu anatakiwa.awe mkali.Ndiyo mtendaji mkuu.wa serilali.Hayuko makini,kilw siku ni kuvaa na kupendeza tu.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 3 ай бұрын
Pole sana ni kwasababu hamfahamu systems ya waliondani ya serikali kwakupitia vyama , hivyo raia wengi uwatatiza kwakuwa vipofu , ukishindwa kung'amua utawala wa mataifa na taifa ni bora unyamaze kishaujitafutia chakula cha siku ili usukume siku li wazi wewe ni resources tu ya watawala
@TwahaMpakani-pn4ov
@TwahaMpakani-pn4ov 4 ай бұрын
Kwenye hii nchi mtu akiwa anasema ukweli anakua anachekesha wabunge wanamcheka ndiyo nchi yetu hiyo
@user-nt4mw7zm7d
@user-nt4mw7zm7d 4 ай бұрын
Yaani huyu amewaza vyema
@user-lr1sd3wq4d
@user-lr1sd3wq4d 4 ай бұрын
Hizo taarifa hazinaga hata maana wanatukoseshea muendelezo mzuri wa maada halafu pia wanamkosesha msemaji muelekeo
@dicksonlusinde2830
@dicksonlusinde2830 4 ай бұрын
watanzania hatutaki mambo yavyama ila tunataka watu kama mpina mm ccm sijawahi kuielewa ila akitokea mt ndan ya ccm kama mpina ❤❤
@user-hj4bc5uh2x
@user-hj4bc5uh2x 4 ай бұрын
Mi nilijua tuh na nnamuimba mungu wajekina makufuri zaidiyahawa mungu awapemaisha malefu
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 4 ай бұрын
Wee cjaona akijikomba kwa mama sio mingne mama mama mda wote big brain
@kalebphilip3426
@kalebphilip3426 4 ай бұрын
Huyu jamaa Ni mkwel yaan hii serikal Ni pasua kichwa hawana jpya Zaid ya kilindana tu
@josephmallya5525
@josephmallya5525 4 ай бұрын
Karibu chadema kaka ccm ni sikio la kufa
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 4 ай бұрын
Nenda chadema uwe huru mpina😊
@AntonyDova
@AntonyDova 4 ай бұрын
Unaakili sana kaka
@michaelboniface7003
@michaelboniface7003 4 ай бұрын
Fact
@dr.johnsonnyamohanga6147
@dr.johnsonnyamohanga6147 3 ай бұрын
akagombee tu "URAIS " maana alishapata pa kuanzia kusgughulika na hii Nchi.
@annarisetarzan6509
@annarisetarzan6509 4 ай бұрын
Mpina wwe ni noma nakukubali sana 🎉
@sambulugu9988
@sambulugu9988 4 ай бұрын
Kitila hovyo sana! Anajitiaga mjuaji kumbe debe tupu!
@athumanmbelako4317
@athumanmbelako4317 3 ай бұрын
Uko vzr mzee
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 4 ай бұрын
Akili kubwa mbunge pekee wa ccm anayejielewa
@user-wg3yu5uy4w
@user-wg3yu5uy4w Ай бұрын
Mpnnnnnn🙏🙏🙏🙏🙏💯
@AntonyDova
@AntonyDova 4 ай бұрын
MUNGU akulinde sana
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 4 ай бұрын
Hakuna leadership...
@anosiata8242
@anosiata8242 4 ай бұрын
Mpina yuko vizuri.
@peterdaud5669
@peterdaud5669 4 ай бұрын
Nakupenda mpina unaweza
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 4 ай бұрын
Leadership.. HAKUNA!
@yourboysil_star2883
@yourboysil_star2883 Ай бұрын
Daah yan kaongea point tu mwanzo mwsho daah nakuongeza ktk watu wenye point ata uyo alotoa taarifa sjamuelewa ujue kaongea nn mtu kasema sawa ktba ina mazaifu maana yake irekebshwe mbona amendment znafanyka sasa kwamba imetajwa kwenye katba jins ya kuwaapoint watumish ndo isfanyiwe maboresho ila apa ndo unajua kwel awam hii inachangamoto sana itoke tu waingie wengne
@nickitajili1003
@nickitajili1003 4 ай бұрын
😂uko sahihi. Katiba ya warioba
@abdulikilala5902
@abdulikilala5902 4 ай бұрын
Sawa
@alluminiumexperttz.12mview13
@alluminiumexperttz.12mview13 4 ай бұрын
Huyu bwana alotoa taarifa kwamba teuzi zipo kwa mujibu wa sheria anadhani kwamba Mpina hajui??
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 4 ай бұрын
Mpina yuko sawa kabisa
@bahatimtatah5680
@bahatimtatah5680 4 ай бұрын
Jamaa anapiga kwenye mshono hongera sana msukuma
@shabanimataka8418
@shabanimataka8418 Ай бұрын
Kazi Yao kubwa kulindana2 wezi ao
@jamesnyibe5656
@jamesnyibe5656 4 ай бұрын
Huwezi kuwa waziri mkuu Halaf maagizo yako yanapuuzwa Mpina mungu akutangulie kiongozi wetu
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 4 ай бұрын
Mpina tumpe uwaziri mkuu
@eliakanyika4921
@eliakanyika4921 4 ай бұрын
Mpina🎉🎉🎉
@NoelKiwike-wc8wh
@NoelKiwike-wc8wh 4 ай бұрын
Namuona chadema msimu ujao luhaga mpina
@CharlesSimkoma
@CharlesSimkoma 4 ай бұрын
Madhara ya bunge la chama kimoja
@barakaephraim5481
@barakaephraim5481 4 ай бұрын
Strong man
@johniejohnas4690
@johniejohnas4690 4 ай бұрын
One and only
@user-fw8wm2xd8x
@user-fw8wm2xd8x 3 ай бұрын
Asant mpina hyo serikali ya ccm imekosa mwelekeo rais anapelekewa watu wanaokunywa nao bia
@reginas1832
@reginas1832 4 ай бұрын
Pokea maua yako 🎉
@emmasonanjawe9042
@emmasonanjawe9042 4 ай бұрын
Ila zungu anazingua sana
@user-ij6eo6pq6z
@user-ij6eo6pq6z 4 ай бұрын
Tundu lissu aliongea hilo lakini naona leo zimewaingia akilini
@dr.johnsonnyamohanga6147
@dr.johnsonnyamohanga6147 3 ай бұрын
Moja kati ya wasomi ambao haya ni matokeo ya wasomi ambao walikuwa hawaingii na vibomu kwenye mitihani yao!!#
@saidomary8796
@saidomary8796 4 ай бұрын
Sijui kama litaludi labda
@user-fl7xf5ti8z
@user-fl7xf5ti8z 3 ай бұрын
Hao waliopuuza maagizo ya waziri mkuu,wako nyuma ya nani
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 4 ай бұрын
Nchi inakoelekea tuo❤mbe mabsdiliko ndani ya CCM mpya
@RobertPaul-cg3rl
@RobertPaul-cg3rl 2 ай бұрын
Manjala Liberation of African Association legacy LAAL 2024 inayo lenga kukemea maovu, kutetea maslahi ya wananchi na Haki za wananchi na Taifa Zima na kiafrika kiujumla
@georgemtewele7656
@georgemtewele7656 4 ай бұрын
Kula Chuma hiyo 😂😂 mpina
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 88 МЛН
Before VS during the CONCERT 🔥 "Aliby" | Andra Gogan
00:13
Andra Gogan
Рет қаралды 7 МЛН
Идеально повторил? Хотите вторую часть?
00:13
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 18 МЛН
Вы чего бл….🤣🤣🙏🏽🙏🏽🙏🏽
00:18
MABISHANO YA LUHAGA MPINA NA BASHE BUNGENI / JIBUNI MASWALI SIO MNALAUMU WATU
6:03
7 Days Stranded In A Cave
17:59
MrBeast
Рет қаралды 88 МЛН