No video

"Waziri amepewa mamlaka na nani?" Mpina afunguka MAZITO kuhusu hoja kuongeza MAKALIO

  Рет қаралды 10,364

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mbunge wa Kisesa (CCM) , Luhaga Mpina akizungumza nnje ya Bunge kuhusu hoja yake aliyokuwa akiichangia kwenye Taarifa ya Shughuli za Kamati ya kudumu ya Bunge masuala ya Afya na Ukimwi kwa mwaka 2023.

Пікірлер: 40
@venancemwanya4212
@venancemwanya4212 4 ай бұрын
Mpina wewe ni mbunge wa kweli,upo bungeni kiukwelikweli. Wewe unawakilisha wananchi wa Tanzania nzima,wala sio kisesa peke yake. Bando yangu inatumika kihalali kabisaa. Big up mpina
@mengialfred6518
@mengialfred6518 6 ай бұрын
Hakika unaona mbali sana hongera mkuu
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 6 ай бұрын
Hiyoo ni kweli hata nchi zilizoendelea Hakuna bali wa clinic zao Za binafsi SIO hospital Za serikali au jamii Kwanza wengi wanahathirika,pia ni hatari sana.
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 6 ай бұрын
Tunashidwa kuwasaidia kusafishwa Figo Bure mnaleta ujinga Huo na mweyezi mtungi katupa shepu Za makalio jmn wasiposikia unachoongea Wacha wake waoze. Na yapasuke ujinga mtupuu
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 6 ай бұрын
Tunashidwa kuwasaidia kusafishwa Figo Bure mnaleta ujinga Huo na mweyezi mtungi katupa shepu Za makalio jmn wasiposikia unachoongea Wacha wake waoze. Na yapasuke ujinga mtupuu
@annamariajackson4842
@annamariajackson4842 6 ай бұрын
Mheshimiwa Mpina. Unayosena ni sahihi kabisa. Madhara ni makubwa saana. Hata huku ughaibuni tunaona watu wanavyoteseka na huo upasuaji. Wengine wana bleed sana . Kuna effects zaidi ya 15. Inasikitisha sana majibu ya waziri wa afya kwa kauli yake. Yaani Bunge zima ni Mh.Mpina pekee anayeliona jambo zito namna hii kweli? Tanzania Tanzania yangu unaelekea wapi huko. Mbona mnaharibu hata uumbaji wa Mungu.
@user-to5jr2io6c
@user-to5jr2io6c 4 ай бұрын
Tuheshimu uumbaji wa mungu,maana kufanya hivi ni kumkufuru mungu.
@user-ec9ej9yw4t
@user-ec9ej9yw4t 4 ай бұрын
Mkuu ongera sana, mbunge pekee, anejipambanua kujenga hoja na kukosoa mambo ya hovyo
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 6 ай бұрын
Mpina uko sawa kabisa wanakufuru 👍🤝🤝🎉🎉🎉
@cosmasmilanzi7117
@cosmasmilanzi7117 6 ай бұрын
Duuuh! Neno la Mungu linahitajika sana kwa viongozi wetu wa juu na wasomi wetu ili tuwe salama!
@zachariajustine873
@zachariajustine873 6 ай бұрын
Congratulations mpina😮😮
@BenjaminJambo-op9cs
@BenjaminJambo-op9cs Ай бұрын
Tema madin mbunge wngu.❤
@aminieljohn5475
@aminieljohn5475 6 ай бұрын
Mr. Mpina, your argument is a moral argument...this is a demonstration of total mediocrity and immorality....mawaziri wa afya...God is watching!!
@user-vg4ph5zx8h
@user-vg4ph5zx8h 6 ай бұрын
Hoja ya mheshimiwa mpina iko sawa kama ukichukua mda kufikiria na ukirejea kwa mujibu wa sheria zetu lakini ukiwa mvivu wa kufikiri utabaki na majibu yako ya kienyeji
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 6 ай бұрын
Hongera sana Mpina, hao wenzako wapo bungeni kupiga makofi tu, kulinda maslahi yao, tatizo kwa waliopewa madaraka huwa hawana ujasiri wa kuhoji kazi yao ni kukurupuka kama kwenye mikataba, sasa ikitokea tatizo wala hawajali ni watu hatari sana
@narcissusmakenge4710
@narcissusmakenge4710 6 ай бұрын
Shabibi nae kahonga watu kwenda bungeni kulinda maslahi yake. Hivi kuna mgogo au mwafrika ataende uarabuni apewe ubunge? Hata angekuwa na fedha kuliko mfalme wa saudia? Hii nchi bwana inatawaliwa na watoto na vijukuu ya watumwa na watwana. Tunatakiwa tuirudishe kwa wenye nchi.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 6 ай бұрын
Barrack Obama alikuwa Rais wa USA na asili yake ni Kenya. Hivyo physical appearance na uraia ni vitu tofauti. Mhe. Shabibi ni Mtanzania ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa kama Mtanzania yoyote mwenye sifa.
@gaspermatovu2899
@gaspermatovu2899 6 ай бұрын
Mama yake ni Mkaguru pure. Achanana nae
@user-on6im4oi5q
@user-on6im4oi5q 5 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤
@williamsenkoro2210
@williamsenkoro2210 6 ай бұрын
Mpina yuko sahihi. Watu watawekeana vitu vya ajabu mwilini. Kama hamna sheria. Ulaji hui wa watu.
@EmmanuelLupoja
@EmmanuelLupoja 3 ай бұрын
🙏🙏
@emmanuelisarria6321
@emmanuelisarria6321 2 ай бұрын
Wambie mkuu
@sundayyohana-qx3ys
@sundayyohana-qx3ys 6 ай бұрын
Uko sahihi mh,mpina vibuli vimewajaa serikali kama nb waziri yule hamna kitu mle
@karimmunis8302
@karimmunis8302 6 ай бұрын
Ummi akaongeze ya kwake ili awe wa mfano kwa mama na dada zetu
@nyerere1259
@nyerere1259 6 ай бұрын
Waziri mkuu wa moyo wangu
@erastuskajuna812
@erastuskajuna812 6 ай бұрын
Na vilevile Sasa hata kama makalio na matiti yake ni ya kuzaliwa nayo atakejeliwA kwamba kaongeza makalio! Kina mama hawatakuwa na heshima Tena.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 6 ай бұрын
Mpina mimi nakukubali lakini hili ni baya lakini sio muhimu. Matabaka yapo tayari na yanasababishwa na wezi wa mali za Uma kuanzia juu mpaka chini. Pigania kumaliza wizi na ubadhirifu wa mali za utapunguza matabaka, pigania wananchi watibiwe bure wenye hela za makario na matiti waache waweke.
@gaspermatovu2899
@gaspermatovu2899 6 ай бұрын
Mheshimiwa Mpina, sasa hapo ujue ni bunge la namna gani tulilo nalo🤔
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 6 ай бұрын
Hii nchi bhaaana Ina mambo mazito sometimes Aaaah!
@izamahmasaki4795
@izamahmasaki4795 6 ай бұрын
Hivi mawaziri wengine wanafanya Nini ? Nadhani huyu anastahili kuwa waziri mkuu pia Rais mtarajiwa. ni mengi tumemsikia. Haya yote ni hujuma za kimataifa kupitia vibaraka mawaziri na wabunge
@fredgonga
@fredgonga 6 ай бұрын
😂inchi inategemea mapato ya makalio na matiti.
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 6 ай бұрын
Laana inaitambaa nchi hii
@mh9251
@mh9251 6 ай бұрын
Unasema ukweli. Mantiki kabisa.
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 6 ай бұрын
Wamelewa madaraka,
@jacksonmwakatika2372
@jacksonmwakatika2372 4 ай бұрын
😂
@queenpiscator6117
@queenpiscator6117 6 ай бұрын
Aliye toa ruhusa mwenyezi mzungu amulaani kumkufulu mwenyezi mungu aliye tuomba hiyoo Waziri moreli bungeni alitaka kukufanyasisi wajinjinga hivyo ninataka kutuletea magonjwa.mapato ndio tutor utu wetu ndo mwaziri wa vyeti feki
@goduwinsalum8562
@goduwinsalum8562 6 ай бұрын
Aiseee kweli wasiri kweli una akili sana
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 6 ай бұрын
Kaka mpina komaa na mambo ya msingi, hivi vingine vinatupotezea mda. Watu wanaangaikia miswada ya uchaguzi na katiba mpya. Engine wanaomboleza msiba wa Mzee Lowasa wewe bado unaangaika na matiti na makalio.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН
Parenting hacks and gadgets against mosquitoes 🦟👶
00:21
Let's GLOW!
Рет қаралды 13 МЛН
SPILLED CHOCKY MILK PRANK ON BROTHER 😂 #shorts
00:12
Savage Vlogs
Рет қаралды 48 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 40 МЛН
Mpina ajibu wanaosema anaipinga Serikali
38:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 46 М.
UNO!
00:18
БРУНО
Рет қаралды 5 МЛН