Mpina alisimamisha Bunge kwa Dakika 25 "Atoa tuhuma NZITO maelekezo ya Waziri Mkuu, Mawaziri wakwama

  Рет қаралды 56,337

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Пікірлер: 159
@jacksonfulano6015
@jacksonfulano6015 Жыл бұрын
Nakupenda mnoo Dr Tulia Ackson ,napenda weledi wako wa kazi Wewe ni Mentor wangu Uko smart mnoo
@paulthomas2748
@paulthomas2748 Жыл бұрын
Mbunge anachangia vitu vya msingi eti Wabunge wenzie wanamfanyia fujo 😢😢😢,,,,, inaumiza sana 😢😢,,,, hongera sana Mh.Spika
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Жыл бұрын
Hiyo ni mbinu za kumpunguzia muda wake wa kupanga hoja za kweli, kwani hawaupendi, hivyo, taarifa, na miongozo, itakuwa kwa wingi sana!
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 Жыл бұрын
Mpina wewe ni Legendary inaonyesha Bunge letu lilivyojaa unafik na kujipendekeza hii NI hatar Sana huwezi kushangilia ujinga wakati Mbunge anaongea hoja nzuri inayowahusu watanzania masikini
@dostovan5142
@dostovan5142 Жыл бұрын
Well-done Speaker 100 %,very brave contribution
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 Жыл бұрын
MPINA ni ASSET sana nawaomba msimnyime nafasi ya Ubunge awamu ijayo, maana wasema ukweli ni wachache na wengi ni machawa tuu
@salummhina7378
@salummhina7378 Жыл бұрын
First time to comment kwenye Bunge.Kweli Tulia upo fit sana.Maua yako nakupa Leo.
@JosephJasson-fx6rq
@JosephJasson-fx6rq 4 ай бұрын
Mpina oyeeeeeeeeeeeeee
@simonkipondo1453
@simonkipondo1453 Жыл бұрын
Hongera sana mh mpina wewe ndio shujaa Mungu atakubariki sana achana na hao wanaoshangilia bila utaratibu
@leganmichael6148
@leganmichael6148 Жыл бұрын
Mh, Dr. Tulia Spika wa Bunge na Mh,Mpina Hongera sana. Kazi nzuri sana.
@anosiata8242
@anosiata8242 Жыл бұрын
Safi sana dr tulia. Umenena.
@MohamedMohamed-fz5qh
@MohamedMohamed-fz5qh Жыл бұрын
Mh. Spika, thanks for standing firm as a speaker. You were not biased on Mh. Mpina stand and this is very good to see.
@selemsigala4771
@selemsigala4771 Жыл бұрын
Asante sana Dr Tulia kwa kusimamia haki ao wengine wanapiga makofi ukweli wabunge wengi wanashida huwezi piga makofi ili wananchi waendelee kuteseka inauma sana.
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 Жыл бұрын
Speaker uko vizuri sana, asante sana na Mungu akuzidishie hekima. Mpina anatoa facts ambazo wengi wanakwepakwepa! Inakuwaje watumishi wadharau maagizo ya Waziri Mkuu na bado hamna uwajibikaji wowote.
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Mpina piga kazi sie tunakuamini asilimia nia, kwanza kanda ya ziwa wabunge Wote mnaahakili Sana,
@hijazhija316
@hijazhija316 Жыл бұрын
Ukabila
@ngomaagustino5826
@ngomaagustino5826 Жыл бұрын
Wafugaji na wakulima wanaumia sana msimtoe mpina kwenye Reli
@victoriamazula5592
@victoriamazula5592 Жыл бұрын
Mh speaker nakupa mkono👋👌you are fair. No uchawa
@edsonpetro3754
@edsonpetro3754 Жыл бұрын
akili tunazo
@DevothaMsaki-ld7nh
@DevothaMsaki-ld7nh Жыл бұрын
nakupenda sana mh mpina unajua sana
@winstonmwalukasa831
@winstonmwalukasa831 Жыл бұрын
Hongera sana Mr mpina waambie hao waimba mapambio wanakera mno.
@abrahamsamweli-wg8ck
@abrahamsamweli-wg8ck Жыл бұрын
Ww ndiwe mbunge wangu maisha
@sanaanimaisha4072
@sanaanimaisha4072 Жыл бұрын
Mh. Mpina, Mh. Tulia : ninyi mmeelimika. Mnasikilizana, mnaelewana. Bunge ni zuri . Hakika ipo haja ya kuigwa uungwana wenu. Kwenu, unafiki hauna nafasi. Tunajivunia kuwa nanyi katika zama hizi zilizotawaliwa na uchawa ambapo watu hubadilika kwa haraka sana na kuegemea kwenye madili.
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 Жыл бұрын
Mkuu umemaliza kla k2 mbunge getele anasimama kumpinga mpina huku serengeti kla siku wafugaji wanakamatiwa mifugo daaa!!!!
@GodfreyKiyeyeu
@GodfreyKiyeyeu 4 ай бұрын
Mpina ❤❤❤❤❤❤
@GaspaMfoi-ni2le
@GaspaMfoi-ni2le Жыл бұрын
Asante kaka
@ngomaagustino5826
@ngomaagustino5826 Жыл бұрын
Wabunge acheni mpina aseme ukweli
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Mpina amekula pesa za wafugaji zitamtokea puani, wanaharibu mazingira Kilombero wamefukuzwa anataka kuwapamba Bungeni, umeniangusha kabisa
@oscarluvanda4589
@oscarluvanda4589 Жыл бұрын
Well done Speaker respect
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Жыл бұрын
Tulia ungekuwa rais unafaa sana shoga yangu
@LaurentMangapi-hc5ft
@LaurentMangapi-hc5ft Жыл бұрын
Daaah! Su,,,,,,a gang,,,,,are so brights
@jamessoke4454
@jamessoke4454 6 ай бұрын
Safi Sana Dr. Tulia
@jumamsechu
@jumamsechu 4 ай бұрын
Bora kifo kuliko ccm
@NeemaShilinde
@NeemaShilinde 5 ай бұрын
Namuona mbali sana
@amanisewando529
@amanisewando529 Жыл бұрын
Jenista unapoteza muda kaa chini
@deogratiusdominick8882
@deogratiusdominick8882 Жыл бұрын
Mpina hoyeeeeeee,,,, mm namwelewa sana mpina
@mohammedmohamed9969
@mohammedmohamed9969 Жыл бұрын
Hongera Dr. Tulia Ackson
@meshackmadema781
@meshackmadema781 Жыл бұрын
Tulia Leo umenionyesha wewe ni speaker makini Sana mwenye uwezo kubwa
@RamazaniMulongeca
@RamazaniMulongeca Жыл бұрын
Waliompinga Mpina wanapiga makofi, alivoongea Spika akiwa upande wa Mpina tena wana piga makofi.. WALE-WALE😂😂😂😂😂
@deodatustemu
@deodatustemu Жыл бұрын
😂
@philjonez3324
@philjonez3324 Жыл бұрын
😁😁😁😁 wabunge wanafki sanaa
@salummichael87
@salummichael87 Жыл бұрын
Nimemwelewa mbunge Ana mawazo chanya Tumekaliwa na wenye akili Wanapinga kile chenye thamani ili tukose uchumi Pia Bangi ni uchumi kwani dunia nzima inategemea bangi arthi yetu inafaa kwa kilimo iithinishwe dunia inunue kwetu.. Hongera sana mbunge.
@heliudjulias7748
@heliudjulias7748 Жыл бұрын
Apana mpina yupo sahihi
@pastorb.alaurent1006
@pastorb.alaurent1006 Жыл бұрын
Apeaker hongera sana kwa kusimamia bunge vinzr
@silasponeka1773
@silasponeka1773 Жыл бұрын
Spika uko sawa
@kabhikachambala3392
@kabhikachambala3392 Жыл бұрын
Ahahaha. Mpina Yuko sahihi
@HappyseverineHappyseverine
@HappyseverineHappyseverine Жыл бұрын
Wewe jenista punguza uchama sana kwenye ukweli wananchi wanaumia sana mnapenda sana madalaka kuliko ukweli muwe mnamuogopa mungu vyeo hamtaenda navyo mbinguni
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 Жыл бұрын
Huyu spika yupo vzr sana
@JosephJasson-fx6rq
@JosephJasson-fx6rq 4 ай бұрын
Duuu!!! Mh.sipik ekima yako iko juu na ni ya Kimungu
@BahatiBoniphace-nw4vd
@BahatiBoniphace-nw4vd Жыл бұрын
Tupo Pamoja Mpina na Dkt Tulia
@mashimbazephania3511
@mashimbazephania3511 Жыл бұрын
Huyu ndo spicer Tulia nakupenda wewe syo mtu wa kuburuzwa tulia mungu akulinde mpina Juu.
@heavenlymusicproduction4360
@heavenlymusicproduction4360 Жыл бұрын
Safi sana speaker 🔊🔊
@membeomkaya6767
@membeomkaya6767 4 ай бұрын
Duuuh wafugaji jaman mnawaona wabunge wenu lakin mnaeaelewa
@SilvesterRaphael-xb6it
@SilvesterRaphael-xb6it Жыл бұрын
Bunge la ndiyo mzee akitokea mtu akawa kinyume chake utasikia mandiyo mzee yakipiga makofi kwa mbunge anayekosoa serikali hii inadhihilisha undio mzee wao na kuendekeza uchawa tu pole mpina kwa magumu unayopitia hapo bungeni lakini pia sinabudi kukupongeza kwa jitihada unazozifanya kutupigania wananchi nampongeza pia spika tulia kwa kutokuunga uchawa bungeni
@kikongajoel5172
@kikongajoel5172 Жыл бұрын
Watetezi wa matumbo yao vs mtetezi wa watanzania
@davidmziray2048
@davidmziray2048 Жыл бұрын
Wezi watupu
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Жыл бұрын
Hizo ndio sheria na taratibu za mfumo,kuumiza wananchi na kuwanyang'anya mali. Pigeni meza tu lkn mtakuja majimboni,safari hii sijui labda mnyang'anye. Taarifa, na Utaratibu tu ndio vimetawala kuwadhibiti wawakilishi wa wananchi wanaowasemea ukweli
@edimundrevelian1246
@edimundrevelian1246 Жыл бұрын
Mpina Mwenyezi Mungu azidi kumpigania.
@amanisewando529
@amanisewando529 Жыл бұрын
Tulia ulichelewa wap kuvaa joho mama
@juniversal.onlinetv4163
@juniversal.onlinetv4163 Жыл бұрын
Wewee spika hongera Sana sanaaaa sana
@lutindiOthumani-ph5kz
@lutindiOthumani-ph5kz Жыл бұрын
Duh kwelii hii nchi hatari wote anaewakumbuka mpina hakuna muislamu hata mmojaa
@matesosamwel6685
@matesosamwel6685 Жыл бұрын
Huyu mpinga ni mzr
@Brama_A37
@Brama_A37 Жыл бұрын
Duuh! Kwa hali hii Mpina ajichunge wanaweza mmaliza kabisa
@umojamedia4167
@umojamedia4167 Жыл бұрын
Yuko poa sana sema watu kama Hawa wanawapaga cheo ili wawa tulize kama ilivokuwa kwa polepole
@christopherkanyalakc8941
@christopherkanyalakc8941 Жыл бұрын
Mpina kama mpina jembe rawa tanzania 🇹🇿
@ngomaagustino5826
@ngomaagustino5826 Жыл бұрын
Wannanchi wanaumia acheni kumyamazisha mpina
@emmanuelsaria7975
@emmanuelsaria7975 Жыл бұрын
Ongera dkt Tulia atckson kwa kuweka mizani katika majadiliano hii ndio siasa ulistahili dada na mama yetu
@amanabdallah2823
@amanabdallah2823 Жыл бұрын
Huyu kweli ni speaker nmekubali na sijaona ktk wote waliopita.
@kunyaobelela4062
@kunyaobelela4062 Жыл бұрын
Cheki wabunge walivyovigeugeu, wanampigia kelele luhaga, wakamshangilia mhagama wakamshangilia tulia,,, mm siwaelewi. Tulia hapo nimekuelewa, ulivyomwelewa mpina na mm nilielewa hivyohivyo sasa nashangaa wabunge wanapigapiga makofi kumzuia luhaga asiendelee, mnanikera sana
@johnvitalis4242
@johnvitalis4242 Жыл бұрын
Ukweli wanakamata kweli
@davidmziray2048
@davidmziray2048 Жыл бұрын
Hao wabunge wa hovyo sana kweli hawatarudi
@godfreymwamaso2424
@godfreymwamaso2424 Жыл бұрын
Mpina hoyeeeeee uko sahihi hao wanaopongezana na kusifiana na kuabudiwa ni wanadamu wewe simama ktk msimamo wa kutetea wananchi umesimama na Mungu
@membeomkaya6767
@membeomkaya6767 4 ай бұрын
Duuh hatuna bunge hapa nkkundi tu
@ibrahimuchando6748
@ibrahimuchando6748 Жыл бұрын
Waziri Mkuu ni mtu na nikiongozi bora ushauri wangu kwake awe mkweli kwa ajili ya Tanzania asijiunge na unafikiri unao endelea nchini mpina yupo sahihi kama Waziri Mkuu ametoa maelekezo na watu wanapuuza ujue yupo anae wapa jeuri nchi ya vituko acheni wizi
@ludovickanael3426
@ludovickanael3426 Жыл бұрын
Haya ndio matatizo ya bunge la chama kimoja.
@kelvinnhungo5771
@kelvinnhungo5771 Жыл бұрын
Hivi huyu Muhagama alichaguliwa na nani maana yeye ni mtetea tumbo lake sio mtetezi wa wananchi
@davidsilwamba2465
@davidsilwamba2465 Жыл бұрын
Hongera sana mpina historia inaandikwa hata kama hao wabunge wamchongo wanashangilia ujinga waziri mkuu naye lazima asemwe nahuo ndiyo ukweli there is no one above the law naona spika mwenyewe hamna kitu nezero tu analeta hasira Kwa kuruhusu wabunge wamchongo kuvuruga hoja ya mpina yenye mashiko nayenye mantic shame on you MPs and speaker.
@veraisaria
@veraisaria Жыл бұрын
Mbunge sober aliyebakia bungeni
@emmanuelmchaki7744
@emmanuelmchaki7744 Жыл бұрын
Jenister kaa chini
@mohdmood9726
@mohdmood9726 Жыл бұрын
Spika kwa kweli ameonyesha weledi na kujali matatizo ya wanyonge.
@benedictchagula8739
@benedictchagula8739 Жыл бұрын
Speaker amemuelewa mpina!
@HappyseverineHappyseverine
@HappyseverineHappyseverine Жыл бұрын
Mkiambiwa wabunge niwamchongo mnaumia nyie mnatafuna Kodi zawananchi kwenye viyoyozi ila kutumia kama anavyo umia mpina mzalendo hakuna mi nazani lalana namaumivu yawananchi ipo siku hamta zikwepa hongela sana tulia hapo umeondoa uccm umesimamia ukweli wampina
@sharifuhusseinally542
@sharifuhusseinally542 Жыл бұрын
Spika wewe unaakili sana hawa wengine nimachawa, na uchawa unaliangamiza taifa
@thomsonmwakyanjala7536
@thomsonmwakyanjala7536 Жыл бұрын
Katika maelezo ya Mheshimiwa Mpina na ufafanuzi wa Mheshimiwa Spika ni 100% sahihi. Nakupa kongole Mheshimiwa Spika kwa hilo.
@azizmwalongo5516
@azizmwalongo5516 Жыл бұрын
Upo sawa muheshimiwa spika wa bunge letu watumishi hawatekelezi huo ndio ukweli
@jumamsechu
@jumamsechu 4 ай бұрын
Ccm nikikundi cha wezi
@gagarinhodemwandu1530
@gagarinhodemwandu1530 Жыл бұрын
😂 Mpina karogwa wabunge wote hawamtaki
@allyfaraji4200
@allyfaraji4200 Жыл бұрын
Wabunge wengine ata kukumbkumbu awana kazi yao kupiga meza tu kama mipoyoyo
@magdalenatommy-sr9zk
@magdalenatommy-sr9zk Жыл бұрын
Tulia kweli umetulia
@gilbertmathias7594
@gilbertmathias7594 Жыл бұрын
Tulia Akson una akili nyingi sana. Na pia hauendeshi bunge kwa ushabiki. Safi sana
@pascalkingu9570
@pascalkingu9570 Жыл бұрын
Hili bunge sijui likoje ushabiki usiona na faida kwetu wananchi
@nyemombogoni3755
@nyemombogoni3755 Жыл бұрын
Sijawahi waelewa wangoni
@onelovetz7935
@onelovetz7935 Жыл бұрын
Kuna mawaziri maboya
@deodatustemu
@deodatustemu Жыл бұрын
Daa, jenista kapuyanga sana😅
@elizabethaugustine8190
@elizabethaugustine8190 Жыл бұрын
Hii Nchi hii. Hivi tunawabunge au viazi?!! Inakuaje mbunge anazungumza mambo ya msingi kabisa, halafu mnamfanyia fujo?! Kwani waziri mkuu hajui Kama kunakamata kamata holela ya mifugo ya wananchi?!! HONGERA SANA MH. SPIKA TULIA UNAKAZI KUBWA KULA KUMALIZA KUNDI FUNGU LA VIAZI
@GodfreyKiyeyeu
@GodfreyKiyeyeu 4 ай бұрын
Tanzania tusifumbie macho ubaya
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Wewe Mpina umetumwa na wafugaji kuja kusema upupu wao, wameingia kibabe Wilaya ya Kilombero na mifugo yao bila kufata sheria na wametolewa kibabe vile vile, hao ngombe za marafiki zako wakazipeleke Dodoma, fateni sheria za mifugo msiharibu mazingira na mifugo yenu, nimekudharau sana Mpina, Amekula pesa za wafugaji
@jumanesaidi7635
@jumanesaidi7635 Жыл бұрын
Hili Bunge, kweli ni la kupiga makofi ! Hayo makofi, hayatusaidii wananchi.
@bertinkimati2674
@bertinkimati2674 Жыл бұрын
Mpina anaposema waziri mkuu ndie anaruhusu anajenga hoja kwamba kama alitupa maelekezo kwa watumishi walioko chini yake kuwa wasiendelee kukamata mifugo na wanawndelea na waziri mkuu hachukui hatua basi yeye anahusika na kila kitendo kiovu kinachoendelea
@rahimsadru-ct4ot
@rahimsadru-ct4ot Жыл бұрын
Mpina ndo mbunge bora
@guyasidotto1198
@guyasidotto1198 Жыл бұрын
Jamani Jenista anapoteza mda tu hapo Spika msimamishe
@stanfordjeremiah8943
@stanfordjeremiah8943 Жыл бұрын
Mifugo zaid ya 282😂😂😂😂
@ngomaagustino5826
@ngomaagustino5826 Жыл бұрын
Wanapiga mskofi wakati watu wanaumia
@georgemassebu2083
@georgemassebu2083 Жыл бұрын
Huyu ndugu msukuma mwenzangu, akae tu kimya maana ni mpambanaji na mzarendo, kati ya watu wasiopendwa ktk nchi hii ni wazarendo kama Mpina NB: Mhagama amebumba bumba maneno
@sekishafii3896
@sekishafii3896 Жыл бұрын
Mpina ukovizuri sana ukiongea ukweli unaonekana hutendi haki
@SilvesterRaphael-xb6it
@SilvesterRaphael-xb6it Жыл бұрын
Huyo mama mngoni anajiona nchi ya babu yake ipo cku utatoka tu utake usitake nchi ni ya wananchi acha uchawa
@evansdecaprio8196
@evansdecaprio8196 Жыл бұрын
Mnakula pesa zetu bule tu maisha yanapanda nyie mnatetea ujinga unazani leo ukichukuliwa ngombe mbili si nihasara kubwa
@salmanmagwe2612
@salmanmagwe2612 Жыл бұрын
Huu ufugaji huko mbele utakuwa ni janga la Taifa,kwa nini tuharibu hifadhi zetu,mazingira yetu na kuleta migogoro isiyokuwa na tija. Hawa Wanasisa ndio wataenda kutuharibia nchi
@darajalakidatukilomgi2362
@darajalakidatukilomgi2362 Жыл бұрын
Mifugo mingi ni ya viongozi wenyewe, Spika mstaafu ana makundi ya ngombe Morogoro yanaharibu vyanzo vya Maji, wakifukuzwa wanasema wanaonewa, wekeni Akili hamuwezi kuharibu vyanzo vya Maji kwa kumfaidisha tajiri mmoja
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
DID A VAMPIRE BECOME A DOG FOR A HUMAN? 😳😳😳
00:56
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 1,2 МЛН
'Matokeo ya Uchunguzi kuhusu kupigwa kwangu risasi bado mpaka leo'
51:24
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
Mwigulu amvaa Mpina asema alifanya sherehe kwa kuchoma nyavu
11:24
Mwananchi Digital
Рет қаралды 6 М.
AJABU!! BARAFU ZATANDA MJI WA MAFINGA, MVUA KUBWA YA MAWE YATAJWA CHANZO
2:08
Anayedaiwa kuchukuliwa na Polisi kwa mahojiano akutwa ameuawa Zanzibar
6:55
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Newsthink
Рет қаралды 1,9 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,1 МЛН