Рет қаралды 64,557
Safari ya Dr. Beatrice kuanzia maisha yake kutoka Musoma mpaka kufika Dar e salaam
Hakupata matokeo mazuri kidato cha nne lakini aliweza kujifikisha UK kwaajili ya masomo na sasa ana PHD.
Nia yake ya kuanzisha NGO kwa lengo la kusaidia watoto Tanzania iligeuka kua kizungumkuti kilichompa maumivu mengi na kushtakiwa mahakamani.
Kesi iliunguruma takribani miaka 2 ambapo aliowaamini kufanya nao kazi walikua wanawaza kupiga pesa tu.
Mahusiano yake na mtanzania mwenzie aliewachanganya na kufikia kupata msongo wa mawazo na kuharibu afya yake na kupelekea kuishia kwenye coma nusura apoteze maisha.
Bill Gates alimuandikia email wafanye wote kazi na mpaka sasa anafanya kazi na Bill Gates foundation
Instagram yake angelstwinstz
Thank you Beatrice for allowing this to be online
www.oda.international