Niliwekwa MSUKULE dukani kwa muda wa miaka 12

  Рет қаралды 62,778

NGOME YA YESU KRISTO

NGOME YA YESU KRISTO

Күн бұрын

Пікірлер: 147
@jonisshayo5334
@jonisshayo5334 2 жыл бұрын
Aminaaaaa kubwaaaaaa ni yesu ngomeni matendo makuu ya yesu wa kuhani mussa richard mwacha
@titinmbega4128
@titinmbega4128 2 жыл бұрын
Amen MUNGU ni mwaminifu Ubarikiwe Kuhani Musa. watching from saudi Arabia
@genevevamarco
@genevevamarco Ай бұрын
Bwana Yesu atukuzwe,nami naomba maombi dada yangu alipotea kwenye mazingira yasiyoeleweka ni Zaid ya miaka 18
@OgenKandie
@OgenKandie Ай бұрын
🎉 lb😮
@FrancisMukojkatangal-pm5hr
@FrancisMukojkatangal-pm5hr Жыл бұрын
Na pikiya mungu assante sana kwa kazi ya mungu kohani MUSA RICHARD mwacha ana tenda .nasema AMINA
@sherwinassociates3030
@sherwinassociates3030 2 жыл бұрын
naomba nami maombi nko na inlaw wangu kutoka mkoo wa marangu mwika, kaka huyu niwazimu tulipata tarifa kwamba alipotea mwizi sita sasa na ajulikani alipo jina lake ni Jeradi kImaro ( I m from Kenya pls help us with ur prayers)
@kabwefrancine99
@kabwefrancine99 2 жыл бұрын
Himani yangu hina nifanya niamini miujiza unayo hitenda ,baba kuhani mungu wako ani kumbuke kweli na mimi🇧🇮🇧🇮 😭
@adisabetty2173
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Nachukuru kuona Niko KZbin. Amiiiina 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@TekraAllan
@TekraAllan 3 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@antoniashoo746
@antoniashoo746 2 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa mungu kuhani Musa,, naomba yesu afichue na kwangu
@atamediatz1139
@atamediatz1139 2 жыл бұрын
Hivi mbona yule binti aliyepita hotelini ambaye alisema amemefufuka mbona sijaona habari zake huku?, Video ninazo tulimrikodi na mbona yule kijana aliyesema kuwa ni baba yake mbona na yeye nimemuona kwenye mitandao kuwaalishakufa? Nizipost hizi video hapa....nipo nazo kwenye simu zisije kupotea
@maglenakessy2146
@maglenakessy2146 2 жыл бұрын
Jamani yesu wa ngomeni anatenda miujiza. Ubarikiwe sana kuhani musa
@AdediPharmacy
@AdediPharmacy 2 ай бұрын
Nitakutafuta popote pale
@ZawadiMeshack
@ZawadiMeshack 23 сағат бұрын
Fichua na familia yetu watesi wote mtumishi wa mungu
@PriscaPatrick-kk9dd
@PriscaPatrick-kk9dd Жыл бұрын
Naomba na mm mungu wa kuhan musa akanionekanie na mm maana mama angu akamfijue
@MaselinaJoni
@MaselinaJoni Ай бұрын
Mungu ni mkubwa sana tumwabudu mungu cku zote👏🙏 munguu Amina.
@iddyhamis6869
@iddyhamis6869 2 жыл бұрын
Mungu nitendeee yes wakwakohani msa najua upo na utatutendea mungu aendelee kumutumia huyu baba anatuokoa sanaaaa
@TekraAllan
@TekraAllan 3 ай бұрын
Amina kubwa kbs
@GraceSambula
@GraceSambula 2 ай бұрын
Mungu wetu ubaki kua Mungu
@HusnaSharifu
@HusnaSharifu 4 ай бұрын
Muuguzi anakwepa maelezo jamani usifiche ukuu wa mungu hata uwe raisi
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 жыл бұрын
Praise Lord hakika Bwana anaweza na kutenda hakika tunashuhudia matendo ya Mungu🙏🏼🙏🏼
@miriamannamakhanu7592
@miriamannamakhanu7592 2 жыл бұрын
Hi ushuhunda umenipa moyo jamani Mungu anatenda mambo makuu Jina la Yesu liinuliwe Mtumishi kuhani Musa nabii wa Mungu nikumbuke kwa maombi sina ndoa
@yustermathias3856
@yustermathias3856 Жыл бұрын
Barikiwa sana Baba mwenyezi mungu azidi kukubariki sana
@fridahmbusa-g5x
@fridahmbusa-g5x 7 ай бұрын
Amina baba ni wewe tuu baba
@peridamtweve1882
@peridamtweve1882 2 жыл бұрын
Wewe yesu nissidie na mm matatizo yangu
@salmaali3675
@salmaali3675 2 жыл бұрын
Acheni mungu aitwe mungu hakuna wakulinganishwa nae 🙏🙏🙏
@SmilingJellyFish-vf6xy
@SmilingJellyFish-vf6xy 9 ай бұрын
Mungu Anatenda Natunamichukuru Amiiina Balikiwa yesu.
@muzungunamalwalinet324
@muzungunamalwalinet324 2 жыл бұрын
Amen atukuswe yesu wa gomeni
@bahatiagape7121
@bahatiagape7121 2 жыл бұрын
Jaman Mungu wa mbingun nirudishie na mama angu jaman...Dahha Mungu tenda miujuza kwa Mama angu.🥺
@adisabetty2173
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Amiiiina & Amiiiina 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@rhodamagembe5535
@rhodamagembe5535 2 жыл бұрын
Uyo anaemuhoji anatakiwa amuhoji vizuri maana atuelewi chanzo Nini adikuonekana na Nani alimuweka msukule
@adisabetty2173
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Mungu wewe!!!??????? Amiiiina munguu Baba Musa lichard nachukuru saana Balikiwa Nuru ya mbinguni iwongeze iguchukiye Amiiiiina baba
@adisabetty2173
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Na wanafanana na Mutoto wako 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@princemozes9923
@princemozes9923 2 ай бұрын
Emeni 👍👍👍👍
@edwinmsunza1246
@edwinmsunza1246 2 жыл бұрын
Yesu wa ngomeni anaweza
@estareliasmagesa8791
@estareliasmagesa8791 2 жыл бұрын
Yesu akuweke milele love dady mwacha
@marylovemakiria7771
@marylovemakiria7771 2 жыл бұрын
Asante sana mungu WA ngomeni na nabii Richard musa hakika mungu anatenda
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 жыл бұрын
SHETANI NI MWONGOOOOOO. YESU NI NGUVU.
@brigmtafutanjia4561
@brigmtafutanjia4561 Жыл бұрын
Mungu nasema ni asante naamini siku nikifika ngomeni nitapokea uponyaji wangu na wachawi wote wanaofuatilia familia yangu watateketea
@KhadijaMhenangu
@KhadijaMhenangu 8 ай бұрын
Amina baba tusaidie tu kwa nguvu za yesu wa ngomen ninaamin.
@astelliaadrea5478
@astelliaadrea5478 2 жыл бұрын
Ngome ya kuhan musa ifunguwe milango na vifungo vyoote vilivyofunga maisha yangu
@samwelkirui286
@samwelkirui286 11 ай бұрын
Amina mungu wa kuhani musa naomba usitupite katika majaribu amen
@SmilingJellyFish-vf6xy
@SmilingJellyFish-vf6xy 9 ай бұрын
Yesu Atukuzae Tunachukure. Amiiina
@merrymussa2833
@merrymussa2833 2 жыл бұрын
Daah wew ni mungu mfalume unae tawala milele🙏
@ciciliamusyoka6268
@ciciliamusyoka6268 2 жыл бұрын
Watanzania mungu awabariki ingekuwa Kenya ,huyu mtumishi angekuwa ametusiwa
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 Жыл бұрын
Amen nimimi namini mama yang tomuona amen🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🙏🙏🙏🙏
@BettyGeorge-sn2nn
@BettyGeorge-sn2nn Жыл бұрын
Jaman huyu mungu mwacheni tu
@joycewafula935
@joycewafula935 2 жыл бұрын
Amiiina yesu wa ngomeni ya ..nabii Musa anaweza, mungu asidi kumpa kohani Musa miaka mingi am watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇸🇦🇰🇪🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇰🇪 🙏
@SmilingJellyFish-vf6xy
@SmilingJellyFish-vf6xy 9 ай бұрын
Nasisi tuliicha juwa Akwani. Musa Lichard Mwacha. 🖐️🖐️🖐️🖐️
@bernadetakadyi3955
@bernadetakadyi3955 Жыл бұрын
Wachaw wote wapigwe kwajina la yesu
@emmanuelmollel818
@emmanuelmollel818 Жыл бұрын
Amen amen mtumshi wa mungu akupee maisha marefu
@fabiolaboniphas192
@fabiolaboniphas192 2 жыл бұрын
Amen ,yesu kritu wa ngomeni ananguvu.
@pamelaachieng6968
@pamelaachieng6968 2 жыл бұрын
Bwana asifiwe na,shukuru,manofgod,Musa kwa,kazi,mzuri,anayofanya,kwa,kufuguawatu nauendelee,kuaribu,kazi,zawachawi,sana
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
Jamani kila aneandika humu Yesu anaandika kwa herufi ndogo hata majina ya watu Mungu awasaidie mbadilike maana mnapoandika yesu haipendezi wala haina utukufu kwa Mungu
@RodahDiwege-gt9pk
@RodahDiwege-gt9pk Жыл бұрын
Ni kweli MUNGU syo Mungu
@AnitaKaogo-vh2gm
@AnitaKaogo-vh2gm Жыл бұрын
Bwana yesu asifiw mtumishi wabwana naomba uisaidie familia yangu na ndoa yangu na watto wetu
@victoriajulius5072
@victoriajulius5072 2 жыл бұрын
Mungu Asante kwaajil ya maish yangu na familia yangu nakupenda mungu wangu 🙏🙏
@bahatirichard8423
@bahatirichard8423 Жыл бұрын
Mungu wangu na mimi umkumbuke mdg wangu samson Richard mosha uko alikowekwa arudishwe jamani Mungu wew unaweza sana Mungu wa Kuhani Musa naomba ukumbke familia yangu
@estareliasmagesa8791
@estareliasmagesa8791 2 жыл бұрын
Aminaa yesu wa ngomeni anaweza yote
@AgripinaNdubulaRaphael
@AgripinaNdubulaRaphael 2 ай бұрын
Mtumishi tajanasisitulihoko hulaya
@GodfreyFrola
@GodfreyFrola 4 ай бұрын
Baba mfufue mwanangu na mimi jaman
@philomenetakubungo3180
@philomenetakubungo3180 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana naataendelea kutenda tunajua kama kupitia iyi maombi nasi Mungu atatenda
@KakaKirikalaizer-ph8ts
@KakaKirikalaizer-ph8ts Жыл бұрын
dunia kuna maajabu
@djumazuena52
@djumazuena52 2 жыл бұрын
Bwana yesu kristo wa ngomeni na mimi unikumbuke kama unavyokumbuka wengine
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 2 жыл бұрын
Hii kwangu siielewi iweje mtu apoteee miaka 12 eti ndugu wasifuatilie hata kidogo na hata polisi hawakutoa taarifa, na hiyo serikali ya Kijiji pia haikuweza kufuatilia
@frankkessy1260
@frankkessy1260 2 жыл бұрын
walitoa taarifa na polisi walikuja ila ufahamu wa ndugu ulikamatwa na hata hawakukumbuka kumfuatilia
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 2 жыл бұрын
@@frankkessy1260 Basi mpaka serikali ya Kijiji pia ufahamu ulioamatwa, na iweje miaka 12 bila mawasiliano na bado wakakaa kimyaa
@zahormohammed4476
@zahormohammed4476 2 жыл бұрын
Pia kwa nini me miaka yote hiyo hawakuwahi hata kufungua hapo dukani kwake
@uchebechebe8653
@uchebechebe8653 2 жыл бұрын
Mwenye akili anaweza akapita juu Ya vichwa vya watu bila kuwatia maumivu🤣🤣🤣
@fatmaomary3981
@fatmaomary3981 2 жыл бұрын
Yesu wa ngomeni nitendee na mimi kwenye Familia yangu watu wanakufatu hapo kwetu yesu nitendee na mm Kuna mtoto wa kaka yangu kapotea tangu 2018, Mwezi 8 akiwa na Miaka 6 a naitwa Tedi yesu wangomeni nitendee nipo Omani 😭😭😭natamani ningekuwa tanzania na mm Familia yangu inateketea yesu wa ngomeni nisaidie
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Kwa akili zako we unajua hao misukule kweli ? Kuwa na akili sisi hapa tunae dogo ambae alipewa laki Moja ajifanye msukule Kwa kuhan Musa na tunae hapa na ukitaka nikupe hata namba yake utampigia atakwambia Kila kitu
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@husseingabo5497 mmm mkakubali laki moja??
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
@@husseingabo5497 ungesema alipewa milion 10,laki uigize kufa??
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
@@husseingabo5497 Ajabu tena mtoto wa kiislamu eti yesu wangu msiba mkubwa huu ndugu zangu tusome dini yetu kwa hakika dada angu umekufuru hio ni shrki kwa sababu yesu hawezi lolote bila ya idhini ya ALLAH
@winfridagama5832
@winfridagama5832 2 жыл бұрын
Kila MTU na Imani yake
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 2 жыл бұрын
Ruwa nawainenge pfinya lanye.na mtumishi wa Mungu Kuhani Musa Mungu akulinde na kukubariki dadyyy
@djumazuena52
@djumazuena52 2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN
@fahauesau3667
@fahauesau3667 Жыл бұрын
Asante bwanay
@RodahDiwege-gt9pk
@RodahDiwege-gt9pk Жыл бұрын
Nilizan alizikwa
@atamediatz1139
@atamediatz1139 2 жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni aishiye Milele uso wake ukaende nanyi..
@FaridahMouhamed
@FaridahMouhamed Жыл бұрын
Mungu Mkubwa
@giftpamelagiftpamela4494
@giftpamelagiftpamela4494 2 жыл бұрын
Waaaah watu wanadhambi sana sio wote wana roho nzuri jamani
@magrethmollel1078
@magrethmollel1078 2 жыл бұрын
Wamejuaje kama kama alikuwa humo bandani
@kilonzokallage6159
@kilonzokallage6159 2 жыл бұрын
Kweli maajabu ,aliekuwa anamnyoa msukule ndevu ni nani
@uchebechebe8653
@uchebechebe8653 2 жыл бұрын
Hawa wanaleta mzaha na Mungu,yani me mpk roho inaniuma jinsi unvyoona watu wakichinjwa Kwa Kisu butu😂😂😂alafu mwanahabari anajifanya Kama hajui kitu yaniii
@uchebechebe8653
@uchebechebe8653 2 жыл бұрын
Ipo siku Ukweli utajitenga na Uongo,... Daima hviambatani kati ya Maji na mafuta ya taa.... Yaani kweli kabisa mtu awekwe msukule then akule matunda....aaah ...hakika Msukule hali matunda
@annastanciaakoth2588
@annastanciaakoth2588 2 жыл бұрын
Mimi niko Kenya,ni sehemu gani kanisa lilipo natamani kufika huko nikutane na Mtumishi wa Mungu jamani
@neemawidisony5903
@neemawidisony5903 2 жыл бұрын
Daresalam karibu
@annastanciaakoth2588
@annastanciaakoth2588 2 жыл бұрын
@@neemawidisony5903 nikifika Dar nachukua daladala ya kwenda sehemu gani na nauli sh.ngapi za Tanzania?
@allymwakibinga442
@allymwakibinga442 2 жыл бұрын
Dare salaam ,kimara temboni
@annaakwilini2446
@annaakwilini2446 Жыл бұрын
Dar es Salaam eneo linaloitwa Kimara Temboni karibuni sana
@margarethsaramaki3966
@margarethsaramaki3966 2 жыл бұрын
Amen Amen mama🙏🏼🙏🏼
@babievicta3149
@babievicta3149 2 жыл бұрын
Mungu nimwema
@RodahDiwege-gt9pk
@RodahDiwege-gt9pk Жыл бұрын
Ila MUNGU anamtumia huyu baba
@agathemilulu6573
@agathemilulu6573 Жыл бұрын
Mungu nimwema kilasiku
@veronicamillinga
@veronicamillinga Жыл бұрын
Amina Baba fichua nakaa familia yetu
@officialglorymichael7782
@officialglorymichael7782 Жыл бұрын
Amen kweli mungu mwema
@afamefunaokeke6966
@afamefunaokeke6966 2 жыл бұрын
wapigweeee
@ev.walterkalenga9783
@ev.walterkalenga9783 2 жыл бұрын
What is a msukule,,?
@uchebechebe8653
@uchebechebe8653 2 жыл бұрын
Msukule Can u say that is a people live like a die...am not sure if am light with ma broken lnguage
@kautharkayu6326
@kautharkayu6326 Жыл бұрын
Good bless
@kinggidion6833
@kinggidion6833 2 жыл бұрын
Mung wa kuhani musa anatisha
@astelliaadrea5478
@astelliaadrea5478 2 жыл бұрын
We mungu tuhurumie wanadam
@bernadetakadyi3955
@bernadetakadyi3955 Жыл бұрын
Achen Mungu aitwe Mungu
@DorikaDorika-ct7fp
@DorikaDorika-ct7fp 4 ай бұрын
Kamikazi
@kkjustn8385
@kkjustn8385 2 жыл бұрын
Mungu ni mwema sana sana
@costavalenci7699
@costavalenci7699 2 жыл бұрын
Hamueleweki
@gloryisrael.7212
@gloryisrael.7212 2 жыл бұрын
Jamani naombeni namba za kihani
@valcomangapie8590
@valcomangapie8590 Жыл бұрын
Ngome ya YESU kimara temboni ndo habari ya mjini
@allymwakibinga442
@allymwakibinga442 2 жыл бұрын
Duh, Bwana utuhurumie
@onedaymandando5225
@onedaymandando5225 2 жыл бұрын
🙏
@worldinternationalgospelmi4907
@worldinternationalgospelmi4907 2 жыл бұрын
Amen
@esthersifa7995
@esthersifa7995 2 жыл бұрын
Amen amen
@anethkiritha6933
@anethkiritha6933 2 жыл бұрын
Nami naamini wapendwawangu waliouwaa na watesiwangu watafufuka
@chazi136
@chazi136 2 жыл бұрын
Mngu azid kukutumiya kuvunja nguvu zotezakichawi
@esthersifa7995
@esthersifa7995 2 жыл бұрын
Yesu kristo ana nguvu kweli kweli
@dianeuwasee6523
@dianeuwasee6523 2 жыл бұрын
Munipatie number ya watsap
@shilaggg5978
@shilaggg5978 Жыл бұрын
mungu ni mwema
@trophywilson7211
@trophywilson7211 2 жыл бұрын
Pole
@sweetletmushi2801
@sweetletmushi2801 2 жыл бұрын
Yesu tusaidie
@fatmaomary3981
@fatmaomary3981 2 жыл бұрын
Nipo Omani Nawapenda sana
@maglenakessy2146
@maglenakessy2146 2 жыл бұрын
Tunatamani sana kuhani musa uje Moshi tunahitaji sana uponyaji baba.
@dianamdaku9802
@dianamdaku9802 2 жыл бұрын
Oooh GOD😢
@blandinamalenda8968
@blandinamalenda8968 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@uchebechebe8653
@uchebechebe8653 2 жыл бұрын
Msukule Kwanza hauongei,pile hauwi na hali ya kibinaadam hata ikitokea umepatiwa dawa kwa haraka....Miaka 12,Msukule huo msukule wa aina gani 😆 aaaah bhas jamani inatoshaaaaaaa
@lizlovedbyGod
@lizlovedbyGod 2 жыл бұрын
Kitu gani kinashindikana mbele zake Mwenyezi Mungu? Mungu akifungua kinywa chake anaweza akaongea. Hivi unamwona Mungu ni mdogo sana hawezi kutenda miujiza kama haya? Basi hujamjua vizuri. Huyu Mungu njia zake na mawazo yake sio kama ya mwanadamu.
@newtonsamwel7790
@newtonsamwel7790 2 жыл бұрын
@@lizlovedbyGod .achana na wachawi hawo mana wanavyoumbuliwa wanahasira sana hawajui Mungu ni zaidi ya kila kitu
@RodahDiwege-gt9pk
@RodahDiwege-gt9pk Жыл бұрын
Huyu hakufa amepotea TU
@RodahDiwege-gt9pk
@RodahDiwege-gt9pk Жыл бұрын
Bhana kuhani MUNGU amguse atoe waliyokufa wapigwe wanga
UNABII MZITO WA KUHANI MUSA KWA MTOTO ALIYEOZA MKONO
12:09
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 44 М.
Tazama Chief Odemba Akimhoji  Maswali Magumu Kamanda Muliro
28:34
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
Крутой фокус + секрет! #shorts
00:10
Роман Magic
Рет қаралды 29 МЛН
''KAMA HUNA IMANI AMINIKUPITIA MTUMISHI WA MUNGU''
52:29
Maisha ya Yesu Onlinetv
Рет қаралды 106
UNABII NA MAOMBI YA UFUNGULIVU
14:26
NGOME YA YESU KRISTO
Рет қаралды 17 М.
UKWELI WAFICHUKA JAMAA AMFUMANIA NA SMS MKE WAKE KUMBE HANA KOSA NI NDUGU ZAKE
15:40
PASTOR DOMINIC KIBOKO YA WACHAWI
Рет қаралды 62 М.
PAT5)FREE MASON WANACHUKUWA WENYE SIFA HIZI TU BILA HIZO HAWAWEZI EV PASCHAL CASSIAN
26:49
PASCHAL CASSIAN OFFICIAL YOUTUBE
Рет қаралды 442 М.
BINTI ALIYEJISALIMISHA KWA KUHANI MUSA KUTOKA KWENYE CHAMA CHA KICHAWI - SHUHUDA
23:57
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН