Niliyoyasema kuhusu wagombea wa CCM

  Рет қаралды 45,150

Amb. Humphrey H. Polepole

Amb. Humphrey H. Polepole

Күн бұрын

Video hii ni sehemu ya kipindi cha Mada Moto ambacho hurushwa na Channel 10 na katika kipindi hicho tulizungumzia uchambuzi wa watangaza nia wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Katika maelezo ya uchambuzi yalitolewa maonyo juu ya namna ya kuenenda katika kutafuta mgombea wa CCM, karibu kufuatilia

Пікірлер: 20
@evancemkawe6791
@evancemkawe6791 3 жыл бұрын
Nani anaangalia hii mpaka leo 2021 .kweli pole pole ulionagambali na ndio maana mweshimuwa alikuona comredi
@Wandastories256
@Wandastories256 9 жыл бұрын
Bro Polepole you have qualities of good leader I like you ideologies really politically you are literary good ahead
@salimfaraji7451
@salimfaraji7451 9 жыл бұрын
polepole anajua ..uko vzr mkuu
@mussahashimu4593
@mussahashimu4593 4 жыл бұрын
Jamaa ana maono makubwa
@hamidabdallah5841
@hamidabdallah5841 3 жыл бұрын
Namkubali sana pole pole
@japharymawanza9307
@japharymawanza9307 4 жыл бұрын
kabla hajapewa uenezi wa chama alikuwa mkweli, na hukuwa mnafiki wala kibaraka aliitendea kazi elimu yake
@habaccucisrael5328
@habaccucisrael5328 2 жыл бұрын
#kataawahuni 💚👍
@leehabari9834
@leehabari9834 7 жыл бұрын
dah kwel..hakuna aliyemtegemea magufuli..hata kwenye hyo list hayupo😱
@geofreymwatonoka8327
@geofreymwatonoka8327 9 жыл бұрын
saf polepole kwa kuwa mkweli
@jackswat
@jackswat 9 жыл бұрын
Huyu bwana polepole si mtu mnafiki, nimekuwa nikimfuatilia vizuri ninaimani kubwa na mchango wake wa kimawazo. Hata kama umri wake ni mdogo lakini mawazo yake ni mazuri - let us be honest!
@kasongomorijo6936
@kasongomorijo6936 3 жыл бұрын
leo wasemaje?
@paulbambaga2160
@paulbambaga2160 9 жыл бұрын
tunaomba utuwekee mada moto kati ya polepole na msigwa
@edwinm.masong1729
@edwinm.masong1729 3 жыл бұрын
2021 CCM
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍
@juliussimeon2612
@juliussimeon2612 9 жыл бұрын
Humphrey Polepole unapozugumzia uadilifu wa watu tafadhari usitoe hoja kwa ujumla jumla , hakikisha unatoa ushahidi wa lile unalosema kudhibitisha hoja yako.
@tozzaalexandar4905
@tozzaalexandar4905 2 жыл бұрын
Polepole ndio mahana nilikuwa nakufutilia miaka mingi wewe ni mtu wa misimamo naikumbuka hii miaka 6 iliyo pita
@angolwisyemwandenuka4728
@angolwisyemwandenuka4728 9 жыл бұрын
Yaani huyo Humphrey bado sana. Yawezekana anahisi ana uelewa mkubwa lkn tunaomsikiliza tunasema bado anahitaji kuongeza elimu zaidi juu ya huo uchambuzi wake. Na kama taifa litafuata nyendo kama hizi basi hatuwezi kupia hatua hata kidogo.
@salummuhija4435
@salummuhija4435 7 жыл бұрын
we unasema Humphrey bado sana! yaani kama ni safari moja wewe na pole pole basi mwenzio kashafika wewe bado upo kigoma huko kwa jinsi alivyokuacha mbali. jamaa anajua huyo.
@philliposylvester9407
@philliposylvester9407 4 жыл бұрын
@@salummuhija4435 kweli kabisa
@edwinm.masong1729
@edwinm.masong1729 3 жыл бұрын
2021 CCM
Mkasi | S11E01 With Humphrey Polepole
29:42
MkasiTV
Рет қаралды 15 М.
ENGLISH SPEECH | PALKI SHARMA: India's Right Path (English Subtitles)
14:44
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 26 МЛН
Alichosema Polepole katika Mdahalo wa Katiba Mlimani-City
33:26
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 82 М.
UMETUACHA IMARA (Official Video) - Peter Msechu
2:20
Peter Msechu
Рет қаралды 706 М.
Polepole Alipata kusema haya PART 1
9:28
Amb. Humphrey H. Polepole
Рет қаралды 120 М.
Humphrey Polepole baada ya kukutana na Rais Magufuli
2:05
Millard Ayo
Рет қаралды 26 М.
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 26 МЛН