No video

Nilizama ZANZIBAR nikaonekana DJIBOUTI, Nimekaa kwenye maji siku 7, Ndugu zangu watano walikufa

  Рет қаралды 83,980

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

4 жыл бұрын

Пікірлер: 227
@gharibgharib7208
@gharibgharib7208 4 жыл бұрын
Chakumshukuru Mungu wazungu waliwasaidia sana ndugu zetu,hawakuwatupa baharini,nawalivunja safari yao wakawarudisha Mombasa,that is what we call humanity.gonga like kama unakubaliana na mimi
@tylerbrown5333
@tylerbrown5333 4 жыл бұрын
Thank God almighty for everything. Mungu awabariki sana mlioathirika🙏
@Da-cr6ow
@Da-cr6ow 4 жыл бұрын
Subhana Allah Allah Akbar kwakweli Allah hashindwi nalolote nimwingi warehma
@allahisone6386
@allahisone6386 4 жыл бұрын
@Da2 Hana Mshirika kbsa100&
@matanobaya7660
@matanobaya7660 4 жыл бұрын
Napenda kila unapoelezea unamueka Mungu ndio alikuwezesha.
@manenojames2011
@manenojames2011 4 жыл бұрын
Aise mm leo nimeaza kufatilia kuazi saa5 usk mpka saa 5 sijalala aise
@fredymahenge3063
@fredymahenge3063 4 жыл бұрын
Jifunze kuhoji maswali ,unarudia rudia sana,ikiwezekana muache aeleze yy menyewe ilivokua
@hassanhamiduhassanbarwan1450
@hassanhamiduhassanbarwan1450 4 жыл бұрын
Pole sana kaka Mwembe Allah amekulinda na atakulinda na kila baya katika utafutaji wa ridhki yako, mitihani ndio sehemu katika maisha. Mtangazaji punguza maswali mengine ambayo hayana maana pia mpe muhusika nafasi azungumze ili watu wapate faidi na kujua jinsi gani mitihani ilivyomsibu. Allah kareem.
@jafarirashidi7456
@jafarirashidi7456 4 жыл бұрын
Hizi stori nazipenda sana mkuu zidisha kutuma nyingi zaidi nazipenda sana
@angelangowi9078
@angelangowi9078 4 жыл бұрын
Mtangazaji unaongea sanaaaaa . mpe chance ajieleze
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 жыл бұрын
@@angelangowi9078 anakuulizia wewe ujue mengi dada
@bridgesportsallyz827
@bridgesportsallyz827 4 жыл бұрын
Azifanye mtindo wa makala zitakuwa poa zaidi
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 жыл бұрын
Mashallah ana imani sana...Allah amzidishie
@abdallaramadhan3850
@abdallaramadhan3850 4 жыл бұрын
Allah qadir,hakika ni mtihani Allah aliwatahini...na aliwajaribu ..kwa hakika duniani kuna mitihani mingi sana na kwa hakika kila mja hutahiniwa kwa mitihani yake.Ewe Mola tutahini kwa mitihani ambayo itakuwa fauza kwetu.Pole kwako na kwenu kaka,Mola atakuwezesha na atakufaulusha ktk mitihani ...Hongera kwa Kumtanguliza Mungu kwa kila jambo ktk mtihani uliowapata.
@dhiabmohammed4238
@dhiabmohammed4238 4 жыл бұрын
Allah amponyeshe ndugu yako na mshutuko na kuwa mjongwa amin
@dubabaxakatv2993
@dubabaxakatv2993 4 жыл бұрын
Masha Allah yaani mliletwa hadi Mombasa,yaani walikuwa na utu..mungu awalipe
@jayjay4313
@jayjay4313 4 жыл бұрын
@Esco, washauri wavuvi wapende kutembea na vipande vya vioo vya kujiangali. Endapo wanapata maafa unaweza kumulika kupitia mwanga wa jua kikatoa ishara kama tochi kali ili chombo hata kiwe mbali wataonekana kiurahisi na kupewa msaada. Hata marubani wa ndege wataweza kuwaona na kusaidia kutoa taarifa za uokozi. Mchango wa bure huo.
@mariamunika6239
@mariamunika6239 Жыл бұрын
Hee inawezekana kumbe.
@jayjay4313
@jayjay4313 Жыл бұрын
@@mariamunika6239 ni moja Kati ya mbinu za dakika za mwisho.
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 4 жыл бұрын
Poleni sana mzee
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 4 жыл бұрын
Mzee pole. Mtangazaji muache jamaa ajielzee kwa kina.
@abdulrahmanmwadini5925
@abdulrahmanmwadini5925 3 жыл бұрын
watu wamekaa 7days Baharini,harafu unawauliza "hamkuogopa"kutupwa Baharini ?, kwakweli hii Elimu ya Uandishi uliosoma!!!!!!????
@binkai9070
@binkai9070 4 жыл бұрын
Allah akufanyie wepesi uncle
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 4 жыл бұрын
Kijana yuko well informed sema anauliza sana maswali ila anajua pia kuuliza sema anauliza sana hopefully atakuwa bora sana huyu soon
@radiorahma
@radiorahma 3 жыл бұрын
inatakikana amuwache amalize kujieleza ndio aulize maswali wakati mwengine anampoteza inakuwa story inaenda mbele inarudi nyuma
@daynahringo3389
@daynahringo3389 Жыл бұрын
Yuko vizuri nadhani nyie hamjakutana na watangazaji hewa
@husseinomary4466
@husseinomary4466 4 жыл бұрын
Napenda SIMULIZI hizi lakini unachoniboa nimaswali ambayo hayampi nafasi msimuliaji tuliza kiherehere tupate stor
@shakukawele9959
@shakukawele9959 4 жыл бұрын
Pole sana kaka mungu azidi ku kupa maisha marefu 🙏🏽🙏🏽
@allahisone6386
@allahisone6386 4 жыл бұрын
@Shaku and Mwisho Mwema
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Hii story kama umeirudia kuisikiliza mara nyingi kama mie gonga like zako hapa pia tupia comments zako mie nimejifunza vitu vingi ww je?
@jumahalifa6436
@jumahalifa6436 Жыл бұрын
P1
@henrickkunambi4022
@henrickkunambi4022 4 жыл бұрын
Maswali ni mengi sana ndugu mtangazaji msimuliaji hanashindwa kusimulia vzr
@kahilissa1862
@kahilissa1862 4 жыл бұрын
Yani anazinguwa kabisa
@abuudharishahidy3074
@abuudharishahidy3074 4 жыл бұрын
Poleni sana kwa yaliyowapata, vijana tushazowea kumla kashakaangwa
@venstonvedasto
@venstonvedasto 4 жыл бұрын
Never change that background music it is so fantastic
@faridaongala2324
@faridaongala2324 4 жыл бұрын
Unamuamini mungu baba ndio mana kakuponya
@fedricklubigisa139
@fedricklubigisa139 4 жыл бұрын
Mapema sana nimewahiiii leo hizi story nazipenda sana
@hamishemed9396
@hamishemed9396 4 жыл бұрын
Dah bonge la mkasa walah poleni sana Mungu ni mwingi wa rehema
@herielmao3900
@herielmao3900 Жыл бұрын
Mtangazaji umeniangusha ktk kuuliza maswali, jitahidi siku nyingine kuuliza maswali kuntu na kitaaluma zaidi
@lilym704
@lilym704 4 жыл бұрын
Mashaallah mwezi mungu ni mkubwa story sana ina sisimuwa uki ifikiriya
@tumacholo7311
@tumacholo7311 2 жыл бұрын
Pole xn
@lupacrisamayc518
@lupacrisamayc518 4 жыл бұрын
Punguza maswali bro.....unamkatisha sana msimuliaji....unamtoa kwenye feelings.....but napenda kipindi kizuri......but tumieni camera nzuri iwe na best quality
@danielmwita4207
@danielmwita4207 4 жыл бұрын
Story nzuri ila punguza maswali kidogo
@rajabumsuya7946
@rajabumsuya7946 4 жыл бұрын
Anazingua maswali mengi hadi story anaharibu sasa
@mosesbarnabas236
@mosesbarnabas236 4 жыл бұрын
Jamaa maswalii mengiiii had inakeraaa yaan
@bensonswai9661
@bensonswai9661 4 жыл бұрын
We kichwa yako n mbovu e bila maswal utaelewa vipi
@shabbyofficial_
@shabbyofficial_ Жыл бұрын
@@bensonswai9661 😂 😂 😂
@matataoneproduction5355
@matataoneproduction5355 Жыл бұрын
Daaah wallahi machozi yamenitoka nilipokua nafikiria wakati wanaingia nyumbani nilijihisi kama nipo
@mussakiziyzi408
@mussakiziyzi408 Жыл бұрын
Umeuliza suali la kishoqa sana Yaaan wawaokowe af wawatose Mjomba rudi kwenye mafunzo
@zuhuraomary3442
@zuhuraomary3442 3 жыл бұрын
Mtangazaji uwe una tulia kidogo kwenye maswali kipindi kizur❤️
@MrSaidi57
@MrSaidi57 4 жыл бұрын
Mtangazaji anahitaji mazoezi, habari zote zingechukua nusu ya muda aliotumia kumhoji aliathilika na ajali. Anarudia rudia mpaka utamu wa habari unaisha
@daynahringo3389
@daynahringo3389 Жыл бұрын
Mtangazaji upo vizuri sanaa hongera
@salimmohamedsalim4448
@salimmohamedsalim4448 4 жыл бұрын
Poleni mzee tuletee story hizi tena na tena
@azizamohd5728
@azizamohd5728 4 жыл бұрын
Ndugu muandishi acha mtu aelezeee unaingilia sana kati unauliiiiza ila unafanya kazi nzuri sanaa
@AhmedSalah-ri3es
@AhmedSalah-ri3es 4 жыл бұрын
Esco aaahhh hapo hamna kucheka tena mbna unauliza maswali ya kitoto
@daudimpulumba6742
@daudimpulumba6742 4 жыл бұрын
Ahmed Salah umeona eeh
@mkambotv5418
@mkambotv5418 4 жыл бұрын
Ndugu mtangazaji acha maswali mengi wacha story iendelee. waboesha sana kwa kumkatakata.
@bujsaudaselemani5562
@bujsaudaselemani5562 4 жыл бұрын
Yani pole sana
@paschalmakondo3163
@paschalmakondo3163 4 жыл бұрын
Anajiela vijimadwali vyako vyamtoa kwenye reli
@theafricaiknow6615
@theafricaiknow6615 4 жыл бұрын
We hujui kihiji. Mtu anaelezea halafu unauliza tena mlijiskiaje, kwa nini alikuwa na hali mbaya. Jifunze jinsi ya kuelewa kabla ya kuuliza tena maana unarudia rudia
@salimsalum7728
@salimsalum7728 4 жыл бұрын
Hata mie sijui maana ya kihiji
@maxeinayoub7734
@maxeinayoub7734 4 жыл бұрын
Hah
@abdullmalik7847
@abdullmalik7847 4 жыл бұрын
Subhanallah
@DalilahamadHamadl
@DalilahamadHamadl 4 жыл бұрын
Msuka kichawini au pole mzee Wang Allah akufanyie wepes
@fatmaaly3056
@fatmaaly3056 4 жыл бұрын
Acha dharau na kukebei wezeo
@DalilahamadHamadl
@DalilahamadHamadl 4 жыл бұрын
@@fatmaaly3056 kwahy kuliza zarau au unajielewa ww au umevuta virus vya corona jitambuwe km mwanamke na ujuwe kutofautisha zarau na kuliza sawa mama
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 жыл бұрын
Dah pole shekhe wangu ulitakiwa uswali sana
@jamilmwinge3695
@jamilmwinge3695 4 жыл бұрын
Kufanya ibada sio mpaka upatwe na janga ata ww na mm tunatakiwa kuswali sana.
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
@@jamilmwinge3695 kabisa
@wardawarda3427
@wardawarda3427 4 жыл бұрын
kama huyo Mungu alowatoa Znbr mpaka Somalia ndio huyo atakae tuvusha na kututolea CORONA VIRUS Ameen. maskini mzazi roho yote kwa watoto japo yupo matatizoni jamani tuwapende wazee wetu yaani yupo kifoni moyo upo kwa watoto.
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 жыл бұрын
Kweli wazazi wanatujali sana
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Kabisa wazazi hawana mfano baadhi Yao mashetan hawajali watoto wao
@yussufmohamed7427
@yussufmohamed7427 4 жыл бұрын
Nakukubali broo kwa simulizi
@omarkhamis7368
@omarkhamis7368 4 жыл бұрын
We muandishi unajifunza kuhoji ilabado hujui nahutojua mtukazama halafu unamuuliza ulijisikia vipi unataka akujibu nilikua na furaha au?
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 жыл бұрын
Sasa alikua anataka kujua hali halisi...jamani tujifunze kutoa comment pia
@omarkhamis7368
@omarkhamis7368 4 жыл бұрын
@@fatumaally3444 nisawa ilahebu jaribu kafatilia maswali ya waandishi wetu mtu kafiliwa na mtuwake wakaribu sana halafu anamuuliza tukio hili umelipokeaje kama ahapo ajibu vipi hapo waandishiwe wana maswali yakipuuzi wakati mwengine
@jumpersamtimber8102
@jumpersamtimber8102 4 жыл бұрын
Omar Khamis kweli anajifunza kabisaa anaboa
@salembaksh6551
@salembaksh6551 4 жыл бұрын
Kazi nzuri esco
@tundahatibu6738
@tundahatibu6738 4 жыл бұрын
Allah barik
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 жыл бұрын
Based on true story
@iddijuma3650
@iddijuma3650 3 жыл бұрын
Allah kareem...Alhamdulillah.
@hussenyussuphu5781
@hussenyussuphu5781 4 жыл бұрын
Unataka uendenamda braza Punguzamaswari
@infochannel5674
@infochannel5674 4 жыл бұрын
Story za kweli zinajulikana.
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Anavosimulia Unaweza Ona Mchezo Lakini Ukweli Maji Yanatisha Sana Hata Aya Ya Balidi Kama Unabisha Nenda Mtoni Usiku Mto Wenye Maji Mengi Kasimame Katikati Ya Mto Uone Woga Wake Usiku Hata Mchana Kama Akuna Watu Wa Kukuona Nilazima Uogope
@malonyrashidi1915
@malonyrashidi1915 4 жыл бұрын
Allah Akbar mungu zaidi
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 4 жыл бұрын
Mtangazaji,unauliza facts lakini jaribu kumwachia nafasi aleze story kuliko kuingilia kati na kutaka kumjibia story.
@sanciroandrea8826
@sanciroandrea8826 4 жыл бұрын
Mwache msimulizi asimulie kwanza kisha badae ndo uanze kumrudisha nyuma
@subiraomari5908
@subiraomari5908 4 жыл бұрын
Nzuri Sana story
@vitalisnyagali1903
@vitalisnyagali1903 4 жыл бұрын
aujui kuoji kk
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 4 жыл бұрын
pole sana ila Allah angekujalia ungeingia mpka saud arabia ungeeenda kuhij kabsaa makka faster. ungejigımboa kabsaaa nguzo ya 5
@findinglela
@findinglela 4 жыл бұрын
Makini, utanivunja mbavu na sina hali tayari
@umbeaeastafrica7943
@umbeaeastafrica7943 4 жыл бұрын
😂😂😂
@jaklinifaustini4259
@jaklinifaustini4259 4 жыл бұрын
Polen sana MUNGU hamtupi mja wake🙏
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Kabisa
@makoyebq879
@makoyebq879 4 жыл бұрын
Next time esco mwache muhusika ajieleze mwenyewe
@bakarimwakabebe9649
@bakarimwakabebe9649 4 жыл бұрын
Allah Akbar
@MWALIMUMBUNIFU89
@MWALIMUMBUNIFU89 4 жыл бұрын
Poleni sana
@emmanueljohn6765
@emmanueljohn6765 4 жыл бұрын
good story
@jaymannjenga5003
@jaymannjenga5003 4 жыл бұрын
Aiseeee jifunze kusikiliza.mpe muda asimulie.usihoji unayotaka kuskia tu jamani..na mtindo wako huo wakukatiza katika kila clip..si unaudhi aiseeee,wacha tuskie vina vya story maze
@zubeirbaia3227
@zubeirbaia3227 3 жыл бұрын
ManshaAllah
@jimmym3049
@jimmym3049 4 жыл бұрын
Huyu mwandishi sio profisional kabisa... Yan watu wameokolewa alafu mwandishi anauliza eti hawakuogopa kutoswa tena baharini... Bure kabisa
@paschalmakondo3163
@paschalmakondo3163 4 жыл бұрын
Huna experience ya maswali kasome tena
@bahatimasibuka7069
@bahatimasibuka7069 4 жыл бұрын
mbona camera zenu low qwalty
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 2 жыл бұрын
Wape zako
@abdallaramadhan3850
@abdallaramadhan3850 4 жыл бұрын
Mtangazaji hadithi n nzuri sana lkn ila yako una maswali ya papo kwa papo mpe kidogo muda msimuliaji aweze kusimuliya kwa upana yale yalomsibu...
@user-xi1pi4zr3b
@user-xi1pi4zr3b 4 жыл бұрын
Nice
@ahmedsaidi438
@ahmedsaidi438 4 жыл бұрын
Mtangazaje yupo vizuri
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 3 жыл бұрын
Apa Akuna Mtangazaji Bola Niachane Nayo Habari Pasua Kichwa Stol Nzuli Lakini Muojaji Ajui Kuzingatia Muda Wa Mtoa Stol
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 4 жыл бұрын
Mtangazaji gani unahoji maswala hayo hayo unarejea mbele nyumba umesoma wapi bro. Unarusha steem
@nurdinalhaji7139
@nurdinalhaji7139 4 жыл бұрын
Mtangazaji unaanza vizur katikati unachanganya bro badilika story kal ila we ndo unaharibu kwa maswal ya kurud nyuma..
@rehemamwachali2491
@rehemamwachali2491 4 жыл бұрын
kazi nzuri kijana
@Elimunamalezi
@Elimunamalezi 4 жыл бұрын
Kaka mwache atiririke na story hapo ndipo unapokosea kwanini unaongea sana ??maswali siyo hivo sasa unaboa kweli,mpe japo dakika kadhaa ajieleze sio kila neno watia swali sio pouwa,hebu angalia harafu jitathimini mwenyewe
@hawamsuya9770
@hawamsuya9770 4 жыл бұрын
Anabooo sana
@ramadhanmasiku4105
@ramadhanmasiku4105 4 жыл бұрын
Mtangazaj ana washwa washwa mpaka anatamani kuhadithia yeye
@allahisone6386
@allahisone6386 4 жыл бұрын
@Ramadhan😆😆
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Jamani uyo Mzee naomba namba yake
@gullaalex6590
@gullaalex6590 4 жыл бұрын
Mmmh polen sanaaaa
@shuhaidaomar3347
@shuhaidaomar3347 4 жыл бұрын
Hi stori mzuri bt huyo muhujaji ana mtihani
@kulwajumanne2718
@kulwajumanne2718 4 жыл бұрын
Zile balaaa mzee tumezipenda balaaa
@mbarakashekallaghe1210
@mbarakashekallaghe1210 2 жыл бұрын
Huyu mtangazaji anaboa .....Yeye anaongea sana kuliko huyo mzee
@TeamKRX
@TeamKRX 4 жыл бұрын
Mbona yuko vizuri mtangazaji 🚣🏿‍♀️
@kulwajumanne2718
@kulwajumanne2718 4 жыл бұрын
Zilete mzee tumezipenda balaaa ujuee
@onesmomassawe6230
@onesmomassawe6230 4 жыл бұрын
nmefurahi sana na nmejifunza sana
@simbabbq4427
@simbabbq4427 Жыл бұрын
Hao waongo nanyie waandishi hamnakazi inavyo onekana
@mashakiabdulrahman3373
@mashakiabdulrahman3373 4 жыл бұрын
So sad Allah Akabar
@ibrahimabdallah2317
@ibrahimabdallah2317 4 жыл бұрын
Hyo ni simuliz au mahojiano maswali meng kma mahojiano wakat ni simuliz
@nurdinalhaji7139
@nurdinalhaji7139 4 жыл бұрын
Kabisa kaka anaharibu kwel
@daudimpulumba6742
@daudimpulumba6742 4 жыл бұрын
Bahari inatisha afu inavitu vingi kwakweli
@tareqhilal6750
@tareqhilal6750 4 жыл бұрын
NDUGU MTANGAZAJI MPE NAFASI MSIMULIAJI MASWALI MBELE YA SAFARI UNAWEZA KUMPOTEZA KATIKA STORI YAKE Vinginevyo unafanya poa
@omarchuo2178
@omarchuo2178 4 жыл бұрын
Yuko vizuri mtangazaji maana wasimuliaji wanatupeleka fasta hawatusimulii vitu vingine
@aminaally242
@aminaally242 4 жыл бұрын
Mtangazaji unaongea kuliko huyo anayetoa ushuhuda
@simonamedous3509
@simonamedous3509 4 жыл бұрын
Jifunze kwa mafundi kama njiapanda na wengine maswalibmengi
@bahatirngulika4493
@bahatirngulika4493 4 жыл бұрын
Maswal yako kaka yanaboa si umuache asimulie unaulza ht yasiyo maana mpka unatukosesha utamu,mfyuuuuuuuuuu
@rashidomar2771
@rashidomar2771 4 жыл бұрын
Unajitahidi kutayarisha vipindi zivuri, kaza kamba
@irenewile
@irenewile 3 жыл бұрын
Bora hamkutokea Somalia doooh
@ramadhanisaidi5729
@ramadhanisaidi5729 3 жыл бұрын
Yan mtangazaj unazingua kinoma yan
@husnahassan6289
@husnahassan6289 4 жыл бұрын
Kipindi changu hiki love u Esco
@officialsaid7541
@officialsaid7541 4 жыл бұрын
Esco lete madini tena na tena
@abdullmahbeshi2903
@abdullmahbeshi2903 4 жыл бұрын
Muache aeleze tuelewe una maswali meng af co ýa msingi ushaur chokoza mwache aendelee
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 11 МЛН
天使救了路飞!#天使#小丑#路飞#家庭
00:35
家庭搞笑日记
Рет қаралды 76 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 12 МЛН
KARUME ALIVYOPIGWA RISASI HADHARANI
12:01
Mwananchi Digital
Рет қаралды 425 М.
"UMEPATA UBUNGE TU, UKAMUACHA MUMEO, TULIA NIKUPASHE WEWE" - MBUNGE KEISSY
6:07
BABA YANGU KIPOFU Full episode /28/ #love
45:53
BabaJoan
Рет қаралды 220 М.
Iran retaliation against Israel expected soon | LiveNOW from FOX
14:34
LiveNOW from FOX
Рет қаралды 666 М.
How I Did The SELF BENDING Spoon 😱🥄 #shorts
00:19
Wian
Рет қаралды 35 МЛН