Hiki ndicho kilichomponza HARMONIZE kwenye KESI yake na CRDB, Wakili Henry Mwinuka AFAFANUA

  Рет қаралды 47,845

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 252
@nyandatesther6045
@nyandatesther6045 4 ай бұрын
Woooiii Harmonize😢😢 Harmonize should have a financial advisor and good management.
@philbertzacharia3087
@philbertzacharia3087 4 ай бұрын
Absolutely, anatakiwa kuajiri mshauri wa biashara na masoko ,mtu atakayekuwa anadeal na soko la bidhaa zake na promotion, anatakiwa kuwa na manager msomi na anajua masuala ya mziki ,anatakiwa kuwa na mtu wa ratiba zake tokea anapoamka mpk anapoenda kulala, lkn muhasibu mtu wa maswala ya udhibiti matumizi yasiyo ya msingi. Aachane na gange la watu wengi wasio na ufaham lkn pia awe na wakili wake
@suleymanjusem8076
@suleymanjusem8076 4 ай бұрын
Kachelewa sasa 😢
@johnnyharrymusic4666
@johnnyharrymusic4666 4 ай бұрын
Wa kwanza tokea kenya nairobi wapi likes zenu nawaomba
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 ай бұрын
karibu mwamba kutoka kenya jirani
@vincej9275
@vincej9275 4 ай бұрын
Ananunulia Kajala Range Rover na wazazi wa Posh Queen gari na halipi deni zake ! Poor financial management.
@Igauf3
@Igauf3 4 ай бұрын
The issues he is encountering are clearly outlined in the fine print. The underlying problem stems from a culture of not honoring debt obligations. It’s important to remember that the bank is a financial institution, not a benevolent family member. If the debt remains unpaid, the bank has the right to initiate arbitration proceedings. It is essential to uphold the discipline of repaying what was borrowed. Due to this unacceptable behavior, the bank may choose to discontinue doing business with him in the future. This could also impact other artists who wish to work with the bank, as this situation may serve as a litmus test for the bank to avoid similar circumstances.
@frankkweka1811
@frankkweka1811 4 ай бұрын
mbn kam unatufokea
@MfaumeRoger
@MfaumeRoger 4 ай бұрын
Kutoka Congo Lubumbashi nawa pata vizuri kabisa🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@samsonnangai1286
@samsonnangai1286 4 ай бұрын
Mzaramo kwenye 1 na 2 😅😅😅
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 4 ай бұрын
asante. karibu jirani yetu
@saifalyazeedy8351
@saifalyazeedy8351 4 ай бұрын
Thanks SNS tumepata funzo kubwa sana
@saeedmagoda9651
@saeedmagoda9651 4 ай бұрын
Na kwa mwanaume kudaiwa hyo ni kawaida sana hyo ni mistake tu imetokea ila Mungu amsaidie tu bwana Rajabu aweze kulipa mapema kuepuka hiyo penaty
@hanspop6961
@hanspop6961 4 ай бұрын
Shukrani Sns tumejifunza kitu
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 4 ай бұрын
Hamo hana washauri au management nzuri.. yeye ni msanii lazima angekua na ulinzi ktk financial. Thanks SNS
@DevZone1089
@DevZone1089 4 ай бұрын
😂😂😂
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 4 ай бұрын
Unadaiwa.. Then unaenda kufungua Kampuni ya Kamari, maana ake, unataka kuwaibia Wananchi Walala Hoi...
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 4 ай бұрын
Ameona njia rahisi ya kurudisha mkopo wake😂😂😂😂
@BigZhumbe
@BigZhumbe 4 ай бұрын
Kwani anawalazimisha watu kucheza kamari?
@taseleli9181
@taseleli9181 4 ай бұрын
kwani yeye ndo wa kwanza kufungua kampuni ya kamari? Hii ni njia ya yeye pia kupata kipato mbona Kuna kampuni nyingi za kamari shida ni nini wacheza kamari si wanaokwenda wao wenyewe
@personalitiesan9806
@personalitiesan9806 4 ай бұрын
Kajala one and two Tena zote ni range.......😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@marthageofrey5607
@marthageofrey5607 4 ай бұрын
😂😂
@einsteinchacha5797
@einsteinchacha5797 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@ramadhanihudhaifani4376
@ramadhanihudhaifani4376 4 ай бұрын
Laana ya kumfananisha Mungu wake na Mwanamke imeanza kumtafuna! Na bado. 😡
@kadito-music
@kadito-music 4 ай бұрын
Nipeni like moja tu ya SNS wanaupiga mwingiii
@jamesngasi7252
@jamesngasi7252 4 ай бұрын
Me wa kwanza naomba lake zangu
@EmmyNamoyo
@EmmyNamoyo 4 ай бұрын
Asante Sky nimejifunza kitu ❤
@hakimkhamis-b8f
@hakimkhamis-b8f 4 ай бұрын
C nlisema bangi mbaya
@DouglasMassop
@DouglasMassop 4 ай бұрын
Baba levo anawaambia kila siku ukitaka kumuiga mondi utapelekwa kwenye maji marefu kisha utashindwa kuogelea
@jacobmenganyi7830
@jacobmenganyi7830 4 ай бұрын
Ww nae Shoga kumbe Sasa Mambo ya kisheria na loan mond anahusikaje apa
@upendoweja6010
@upendoweja6010 4 ай бұрын
Ukitaka kuwa km fulani usiige ila aanae chin akufundishe ila kibur kimemponza kijan
@ChoroTesla
@ChoroTesla 4 ай бұрын
Hapa ndo napowaaambiaga watu hatuongozwi na mihemko tunaongozwa na sheria ndo hii hapa ingekua hakuna sheria watu wangekopa wangekimbia
@billomlewa4985
@billomlewa4985 4 ай бұрын
Shida jamaa ulimbukeni ndio unamponza
@taseleli9181
@taseleli9181 4 ай бұрын
Ulimbukeni unaingiaje hapo?
@MwanaishaShattry
@MwanaishaShattry 4 ай бұрын
Hamo ni mshamba sanaaa. Kama sio kuimba angekuwa hadi leo yuko kijijini analima karanga. Hajui chochote kinachohusu maisha yeye anadhani kukaa uchi, kuvuta bangi na cigars, kufanya ufuska hadharani ni ushamba ulio pitiliza kwa hicho kibra ulichonacho sasa unaaibikqa. Pumba kichwa maji.
@noonelike6382
@noonelike6382 4 ай бұрын
@mwanaishashattry , siyo Kwa povu hilo 😂😂😂😂.
@taseleli9181
@taseleli9181 4 ай бұрын
Ukiona mtu anatoa povu hivyo ujue ni dalili za roho mbaya na wivu na ushamba huo anaomwambia Harmo, asingekuwa mshamba asingeongelea habari za wengine Kwa povu hivyo hakuna asie mshamba kila mmoja ana aina yake ya ushamba eti isingekuwa mziki angekuwa shamba analima kwani kulima ni shida @Mwanamisi.
@justinmwenda7449
@justinmwenda7449 4 ай бұрын
🎉🎉nawapata vinzr kutoka songea namtumbo.
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 4 ай бұрын
Daaaaa pole Sana aise harmonize naogopa snaa mikopo, yaaan hata vikoba 😢
@HeriRamadhan-q7m
@HeriRamadhan-q7m 4 ай бұрын
Ukitaka kuiga maisha anayoishi Diamond waallahi lazima ufilisike, yule mwamba akili mingi na ni mjanja sana .
@JulianaSinka
@JulianaSinka 4 ай бұрын
😂😂 nyashi imemponza nyashi ya poshi inamfirisi
@Aminmwansile-we8vn
@Aminmwansile-we8vn 4 ай бұрын
Kibaka wee unamwamini diamond kama mungu wako ? Mbona hata mwenyewe diamond Hana hata nyumba ya kuishi? Kwa taarifa yako diamond hata nyumba ya kuishi Hana anapanga tuu
@lindacharles998
@lindacharles998 4 ай бұрын
​@@Aminmwansile-we8vnile aliyojenga madale ni kichuguu???
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@fadhilngalanda7520
@fadhilngalanda7520 4 ай бұрын
Mbona ni watu mnapenda kutengeneza ushindani et kuiga maisha ya Diamond nani amesema maisha ni utata huyo ndio mpambanaji yaan maisha siyo mtelezo na sasa anajiongezea followers mnamsoma yaan ni mbinu tu unadhani hawezi kulipa hiyo million 103 amkeni ninyi
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 4 ай бұрын
Kazi kukopa tuu kulipa aaahh!!! Kumbuka hii ni Benki!!! Wanauza mpaka Chupi😆.. Hata Mama Samia hawezi mkomboa hapa.
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi 4 ай бұрын
Anaweza kumkomboa kwa kumlipia deni lakini😂
@BarakaSimon-xy9mp
@BarakaSimon-xy9mp 4 ай бұрын
Akimlipia itakuwa ni matumizi mbaya ya fedha za uma na au hata akitoa pesa zake mfukoni .. Itakuwa anachochea upotovu wa kimaadili kwa kijana harmonize... Nchi inadhiki kubwa sana hii
@maryschroeder521
@maryschroeder521 4 ай бұрын
Well spoken 👏🏾
@ZephaniahSekwa-fl2go
@ZephaniahSekwa-fl2go 4 ай бұрын
Mwanasheria ameeleza vizur sana . Great ✊️
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 4 ай бұрын
Sasa Kwa hizo bangi ataweza kujua kama Kuna KESI MAHAKAMANI 😂😂😂
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
😂😂😂😂anaanzaje?
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@georgedaniel4962
@georgedaniel4962 4 ай бұрын
Hahahaha nimecheka sana alow
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mwili_wa_ndoto_yangu
@mwili_wa_ndoto_yangu 4 ай бұрын
Asante SNS
@muanashaswaleh5110
@muanashaswaleh5110 4 ай бұрын
Yani uyu nae uchukue pesa badala ufanye biashara una ekea boda boda mafuta kugawa mitaani wakati pesa yenyewe yaloni kutafuta magari uwape wanawake jamani mbona ivi tena
@taseleli9181
@taseleli9181 4 ай бұрын
Huwa hatupangiani matumizi ya pesa kila mmoja anatumia kadri anavyoona inafaa Kwa vile hata namba ya kutafuta anaijua yeye mwenyewe, kila mtu anaweza ona matumizi ya mwenzie mabaya tuombeane tu.
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 4 ай бұрын
😅😅😅😅huo na zharau zake
@mtazycomedy
@mtazycomedy 4 ай бұрын
Bangi za harmo ashaurik
@missp1814
@missp1814 4 ай бұрын
Yule bangi zinampelekesha...zinamfanya anakuwa kweli hashauriki.
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j 4 ай бұрын
Mtani apunguze Bangi..
@sheilacruz6458
@sheilacruz6458 4 ай бұрын
Wa kwanza hapa leo
@MibobaBaha
@MibobaBaha 4 ай бұрын
Qq1
@LuluMalima-j1w
@LuluMalima-j1w 4 ай бұрын
Harmonize pole jamani, pambana you solve this issue, the bank will hurt you financially. Mungu atusaidie
@JoyceFrank-be3rj
@JoyceFrank-be3rj 4 ай бұрын
Harmo uwo ni uzembe kwa muda wote huo ungekuw umeish lipa
@Humanity21216
@Humanity21216 4 ай бұрын
Kabisa yani million 3 au 4 kwa harmonize daaa hii ni kujishushia Brand aisee
@svt3
@svt3 4 ай бұрын
​@@Humanity21216lakini ukiangalia vizuri kwenye lebel yake ana msanii 1 tu Ibrah ila ku mu brand, kumu promote na ku mfanyia marketing Ameshindwa hiyo tu inaonesha hakuna pesa
@nuhumaalim4976
@nuhumaalim4976 4 ай бұрын
Kweli kabisa ila angeacha mademu kuwanunulia vitu vya bei kubwa kama range saa hiv angelikua hana deni
@NoName-pp4lo
@NoName-pp4lo 4 ай бұрын
Kukopa safi ila kulipa mbaya iyooo sensema malumde 🤣🤣🤣
@Humanity21216
@Humanity21216 4 ай бұрын
😂😂😂 daaa
@jumaradhm3926
@jumaradhm3926 4 ай бұрын
Hii nyimbo wamei notes
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 4 ай бұрын
😂😂atari sana
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 4 ай бұрын
😂😂😂nyie jmn
@johnmwalule3007
@johnmwalule3007 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LouisianaRiri
@LouisianaRiri 4 ай бұрын
🎶 huwezi kumsema mwenzako bangi mbaya kama ujawahi hata mgongea😅 Hakuna alie kamilika ataunaemzani malaika anaweza kuwa shetaniiiiiiii🎶
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 4 ай бұрын
Hamo alikua amezoea kulilia watu uongo aonewe huruma,sai hajui aseme nini! Mwijaku yuko wapi amtetee! Huyu hamo ni mjinga sana!!!!! Anautaka!!!!!
@nuhumaalim4976
@nuhumaalim4976 4 ай бұрын
😂mwijaku mwenyewe anakesi watakuna mahakamn
@richkaja3317
@richkaja3317 4 ай бұрын
Bora awekwe ndani huyo mpumbavuu sanaa ttzo majungu
@isunga1964
@isunga1964 4 ай бұрын
Kama anadaiwa alipe tu hizo ndoo pes za wanyonge sisi tunaweka tu hatujui kukopa kesho tukiambiwa benk haina pesa tutasema crdb wamekula pesa pls Harmo lipa pesa zetu😂😂😂
@amourabdallah2978
@amourabdallah2978 4 ай бұрын
Jamaa anaongea kama mwana FA
@evansmumo3921
@evansmumo3921 4 ай бұрын
Kumbe jomba ananunulia malaya wake magari na mikopo hajalipa😂😂😂
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
Ndo maisha ya mashindano😂😂😂
@trendz_2548
@trendz_2548 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂huku aliongana range mbili 😂😂😂🙌🙌🙌🙌ushamba mkubwa sana huu
@davidtillya8464
@davidtillya8464 4 ай бұрын
Wakwanza kuona naomba like zangu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 ай бұрын
Nawakubali Sana Yan guys
@givembwilo141
@givembwilo141 4 ай бұрын
auze magari yale
@KhadijaJuma-jx7ny
@KhadijaJuma-jx7ny 4 ай бұрын
Kabisa kila mtu anahaki ya kusikilizwa hata kama unadaiwa mabilion
@criminalminds7723
@criminalminds7723 4 ай бұрын
Hilo ndio yatizo la wasani wabongo,unawaona wana pesa lakini kashida kidogo tu wanaanza kuhangaika,
@elidadinyalemaelidadinyale3686
@elidadinyalemaelidadinyale3686 4 ай бұрын
Usiku Kama mchana tuko pamoja
@murtalla2826
@murtalla2826 4 ай бұрын
Henry 🎉🎉🎉 kichupa kimejaa madini
@Eneraizerofficial-ci3fp
@Eneraizerofficial-ci3fp 4 ай бұрын
Kweli yeye na rayvanny waliimba kukopa safi Ila kulipa mbaya iyo😂😂😂
@ce-08
@ce-08 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 4 ай бұрын
So does it mean he's been living a fake life.
@tzfunchannel
@tzfunchannel 4 ай бұрын
Yeap
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 4 ай бұрын
Definitely
@salimsoyo8118
@salimsoyo8118 4 ай бұрын
Definitely 😂😂😂😂
@davidsika5292
@davidsika5292 4 ай бұрын
Ila wamakonde wanapenda sifaaaaa
@Gujay7
@Gujay7 4 ай бұрын
Yan kama hadi wasanii wana madeni sasa mimi kwanin nisikopee😅😅 sema hii kesi ni ndogo sanaa kwa msanii kama harmonize kwhy watu msipende kuweka negative thou
@victormkello9575
@victormkello9575 4 ай бұрын
kabisa
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 ай бұрын
Kaka sky kumbuka naitaji taarifa zako kuna ishu ya hong kong wanatuzuhia kuingia bila sababu wakati cc tupo entry
@adelinatate9704
@adelinatate9704 4 ай бұрын
Nampataje huyu lawyer?
@dinahkimario3361
@dinahkimario3361 4 ай бұрын
Maisha ya kistar ni changamot sanaaaa....
@vusumuzi_mathumo
@vusumuzi_mathumo Ай бұрын
Harmonize ametomba waschana wote tanzania 🇹🇿
@comics3437
@comics3437 4 ай бұрын
Duh si auze tu hayo magari?
@lilyanmongi1075
@lilyanmongi1075 4 ай бұрын
Tatizo la wasanii we2 wengi ni kufake maisha na majigambo yasiyo na maana. Inaonyesha wazi hana management sahihi
@JamessMeshack
@JamessMeshack 4 ай бұрын
🔥
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 4 ай бұрын
Mara atahusishwa diamond apo watu bwana
@TumsifuErick
@TumsifuErick 4 ай бұрын
Hiyo ni sawa na kesi ya nyanya mbele ya harmonize 🤣🤣
@mialanomanqobo6639
@mialanomanqobo6639 4 ай бұрын
Mandi halinganishwi na wasani was Tz Alijipanga poa sana Yuko hadi na law firm kwa utetezi Siyo kama anakopa, Ila yuko sharp kwa hata wa accounter wake kufanya malipo kwa wakati kwanza wafanyakazi na mikopo yote ya Wasafi na yeye binafsi
@shangwefisima54
@shangwefisima54 4 ай бұрын
Duuuuh aibuuu
@CharlesMboya-gq1wh
@CharlesMboya-gq1wh 4 ай бұрын
Kuhonga magari tuu kulipa ahaa
@nassoromfumya7319
@nassoromfumya7319 4 ай бұрын
Aendelee tu kula kijiti akili itamsogea, aendelee kumuiga Mondi... atapotea sana mjini hapa😂
@Zuu673
@Zuu673 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@mckobatz5861
@mckobatz5861 4 ай бұрын
Kijiti hakijawahi kumwacha mtu salama 😂😂😂😂
@taseleli9181
@taseleli9181 4 ай бұрын
Kumuinga Mondi kivipi ongeeni hoja ya msingi kwani yeye ndo wakwanza kukopa?
@mckobatz5861
@mckobatz5861 4 ай бұрын
@@taseleli9181 we gotta live accordingly
@zaikokingnil7727
@zaikokingnil7727 4 ай бұрын
Ukikopa Safi, ukidaiwa mbaya iyoo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@jumas.sendekwa2788
@jumas.sendekwa2788 4 ай бұрын
Baada ya hili hataaminika na banks!
@rehemamejja8342
@rehemamejja8342 4 ай бұрын
Wanaodaiwa Ni wengi tafuta wakil
@philbertzacharia3087
@philbertzacharia3087 4 ай бұрын
Ili afike mbali aachane na ushikaji piga chini wote wasio na elimu ajiri watakao kufikisha unakotaka kufika
@chibudenga8977
@chibudenga8977 4 ай бұрын
mmakonde ujuaji mwingi unakopa kimya kimya ukishindwa kulipa tunajua ndio hii mtoto kautaka apewe
@ArafaAmirAmir-ci7ld
@ArafaAmirAmir-ci7ld 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@taseleli9181
@taseleli9181 4 ай бұрын
Kwa hiyo baada ya kujua kuwa anadaiwa wewe umepata faida gani? Kwani yeye ndo wa kwanza kudaiwa hapa duniani?
@Ruu974
@Ruu974 4 ай бұрын
Kwa nn wakukope alafu wao wanataka riba kuu zaidi Bora wanidai adi kufa
@TumainiMbati
@TumainiMbati 4 ай бұрын
Starehe Kwa pesa za mkopo
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 4 ай бұрын
Kajala1 na kajala 2😂😂😂😊
@carmelmountainchurch4949
@carmelmountainchurch4949 4 ай бұрын
Mimi niko bujumbura kwa hivi
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 4 ай бұрын
Kajala one and kajala two
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 4 ай бұрын
Afungue nchumari😂😂😂😂😂
@MathewAlphonce
@MathewAlphonce 4 ай бұрын
Wasaniii bhana 😂
@salama1113
@salama1113 4 ай бұрын
Wanajisahau sana wasanii wetu cc wananchi tukipitia changamoto wanajifanya hawaoni acha arudi mtaani tuongee ruga moja😂😂😂😂😂
@franciskalinga6560
@franciskalinga6560 4 ай бұрын
Hela mnamalizia ktk starehe na madem lipa sasa
@AMAZONVOICEMUSIC
@AMAZONVOICEMUSIC 4 ай бұрын
Kwhy hiyo kesi nikesi ya tangu mwaka 2019 na juzi kati tuu hapa ametugawia pesa pale posta 😂😂😂😂😂hila hiii dunia
@Ibrahim-ne3in
@Ibrahim-ne3in 4 ай бұрын
Ndio maana hakua na vibe Yanga day kumbe alikua na mastress yake ya mkopo😂😂...kukopa tu kulipa aaaah
@taseleli9181
@taseleli9181 4 ай бұрын
Maelezo yako wazi Hilo deni alishaanza kulipa sema hajakamilisha ila binadamu sie Kwa kufurahia matatizo ya watu twaongoza ,Nawe usijisahaulishe deni lako Kwa Mangi 😂😂😂😂😂😂
@ibrahimkabeniani4934
@ibrahimkabeniani4934 4 ай бұрын
akili hana badala yakufanya kaI amekalia mapenz
@joshuasanga9213
@joshuasanga9213 4 ай бұрын
Kijeba ni maskini sana that's way anamdomo sana usha wai ona wapi mvuta bangi akawa tajirii
@godfreyaugustino3813
@godfreyaugustino3813 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@SteveWamichano-pk3mv
@SteveWamichano-pk3mv 4 ай бұрын
Konde hela anayo anataka iwekiki mtaonaa jeshiiii atawaimba crdb mpaka mitandaoni vikao au kwavile no star dunian kuna watu wanadaiwa mabilioni kwenye mtandao aaah acheni ujinga i go by the name Steve wamichano from mafisiog
@HissanEzrom
@HissanEzrom 4 ай бұрын
😂pesa anayo wap ww acha ushabik wa kishambas
@SteveWamichano-pk3mv
@SteveWamichano-pk3mv 4 ай бұрын
@@HissanEzrom ko wewe ndio unahela kama konde unasema hana?yan alipe million 500 ashindwe hiyo au hesabu hamna
@TabiaMwangaya
@TabiaMwangaya 4 ай бұрын
Hata hio ml500 alikopo ndipo akalipa kashindwa kulipa hata mln 3 imemshinda kila mwenzi
@SefuHabibu-sn8cx
@SefuHabibu-sn8cx 4 ай бұрын
Wasanii wa bongo bwana kufeki Maisha wanajua sana haya sasa wanaumbuka tu mara kanunua range kampa kajara or mara posh wanazingua sana
@victoriambonde8061
@victoriambonde8061 4 ай бұрын
mzee wa Malinda vipi
@ShenaSalima
@ShenaSalima 4 ай бұрын
Napndag sauti yko kaka afu ni Msarabu🎉🎉
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 4 ай бұрын
Kaka herny watu wengi matapeli hapa Tanzania hawajali kuhusu mkataba na kudaiwa wengi hawaogopi madeni Hadi wanakera
@malkavoice2570
@malkavoice2570 4 ай бұрын
Siku zote kiburi mwisho wake huwa sio mzuri. Serikali na Baraza ni kipenzi chao watamlipia ila anakoelekea sio salama sana
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 4 ай бұрын
Sio kama Hana pesa pesa anazo Ila basi kama ni Dharau tu alifanya
@MapalalaPedeshe
@MapalalaPedeshe 4 ай бұрын
Ina mana bingwa ana pesa kabsa kushindwa kulipa deni ina mana ana kituuu😂😂😂
@carmelmountainchurch4949
@carmelmountainchurch4949 4 ай бұрын
Kweli huu jamaa ana akili kweli, kwa hiyo ni tawezaje kumpata huu mwakili (advocate)? Tafadhali ndugu mutangazaji naomba
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 4 ай бұрын
Wanawake pumbavu sana kajala ndo kamtia madeni hawa viumbe nawachukia sana shenzi sana
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq 4 ай бұрын
Tena walimfanyia wepesi jaman harmo unakwama wapi lakin ww😂😂😂😂
@MagomaPato
@MagomaPato 4 ай бұрын
Harmonize anaamini uchawi utamusaidia Hadi kwa mikopo.... Laana Tz😭😭😭😭😭😭😭
@nesymichael4286
@nesymichael4286 4 ай бұрын
We umejuaje au na wewe mchawi😅
@BHALEEALI
@BHALEEALI 4 ай бұрын
kukopa tu, kulipa aaaahhh?!! 😂
@nimahnoizy8068
@nimahnoizy8068 4 ай бұрын
Huyo jamaa nilikuwa shabiki yake ila vitu anavyo fanya vyakisenge sana
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 4 ай бұрын
Wabongo bado sheria zinatusumbua na mambo ya mikopo tusivamie km atujui wapi tutapata pesa za kurejesha special usijingize kwenye mikopo ya majina makubwa km crdb nbc nmb nk.kk yangu alipoanza kukokopa bnk niliachana nae kibiashara
Yote unayopaswa kufahamu kuhusu ndege za kivita!
28:51
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 6 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
UFC 310 : Рахмонов VS Мачадо Гэрри
05:00
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 1,2 МЛН
North Korea hypersonic missile claims: BBC Learning English from the News
7:28
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Irene Uwoya
Рет қаралды 104 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН