Mwenye ezi mungu atakufanyia wepesi madaktari muda mwengine ni wazembee mama angu mzazi Zanzibar mnazi moja hospital alijifungua kwa kawaida wakasahau zalio walilitowa nusu akakaa kwa muda wa siku Saba wakampasuwa pia hawakulitowa lote aliumwa kwa muda wa mwaka ndio Allah akamponesha kwa rehma zake ila alikuwa tunatizama roho tu kwa kweli
@ashayusuph54535 жыл бұрын
Pole sana Dada,machozi yamenitoka,inshallah utakuwa vizr
@jumakalembo76565 жыл бұрын
mwache mungu aitwe mungu
@rizikisalum96785 жыл бұрын
@@jumakalembo7656 hakika
@jennifermbuya34635 жыл бұрын
Ayi jamani ni.maumivu zaidi ya maumivu jamani mshono mmoja tu unavyo uma uwi adi kizazi emungu mete uyu Dada na mumewe 😪😪
@mwanaididi48943 жыл бұрын
Pole Sana dada mungu atakuponya
@abubakaryalmas76735 жыл бұрын
Kakaangu wewe ni baba bora aisee Mungu azidi kukupa moyo wa upendo na wa imani uzidi kuipambania familia yako maana wangekua wengine apo washatelekeza na mke na watoto
@nasryathabit68635 жыл бұрын
huyu mwanaume ni mtu wa kupewa hongera sana.yani mungu atamsaidia sana
@utapatatabusanautanyooka26005 жыл бұрын
Pole sana dadangu hakuna taktar mwingine isipo kua mungu kuwa naimani namwenyez mungu amini utapona kwalehema za mwenyez mungu sio za binaadam siku zako zakuishi nyingi sana nimiaka mingi tumuamini mungu tusimua mini binadam
@christinamjema2625 жыл бұрын
Mmmmm! my God roho inauma sana jamani wizara ya afya ,mkuu was mkoa,raising wetu,love angalieni hili swala msaidieni hana mtetezi,ho ngera sana baba IPO siku MUNGU atatenda
@aminaturuku30935 жыл бұрын
subhanallah watu wanateseka jamani Subhanallah.pole sana dada dai fidia yako dada
@saviodonas16675 жыл бұрын
Pole Sana dada pleshen tatu ndani ya mwezi mmoja mm hp naugulia pleshen moja tu mungu akufanyie wepesi
@ummesaniyah5 жыл бұрын
Subhanallah!!!Allah akupe shifaa dada yetu. Hawa madaktari wazembe lazima wawajibike. Haya ndio matokeo ya kufoji vyeti na kuiba mitihani ili wafaulu. No education, no knowledge, no skills, no competence, no sincerity, no mercy, no responsibility, no accountability. They just want to make money. They have no concerns about human life. They just Don't CARE
@faridaiddi1045 жыл бұрын
Daah mpk nimelia jmn Mungu atusimamie maana bd tunaitji vizazi Plosana Dada Shukuru mungu umepta mtoto mungu akukuzie mtoto wako Lkn ao wazembe walikupiga sindano cio nzuri wauaji sana Hao magufuri awafukuze tuu sio madaktri og hao
@rehemaahamadiahmadi5665 жыл бұрын
Wanaume kama hawa wako wachache Sana dunia hii ya leo Mungu akubariki na awasimamie daima
@MA-kh2lr5 жыл бұрын
Hao ma. Doctor waongo sanaa Washajua wamefanya makosa alafu wanajifanya ati upelekwe ICU. Yani wataftwe na utaftiwe doctor mzuri... Na walipe gharama yako yote. Pole sana mama maskeen.
Awo madaktar wafungwe Wapuuz sana ao Madactar Wanazan wapo chuo Wanapasua chula au panya Mimi ombi langu wafukuzwe kaz Au wamlipe fidia uyu mama
@shamiraabdallah99445 жыл бұрын
Pole Dada mungu atakufanyia wepes utapona inshaallah
@maryamweston29315 жыл бұрын
LLAA BASA TWAHURU INSHAALLAH DADA,ALLAH NDIYO KILA KITU KWETU,TUNALOLIONA KWETU KUBWA KWA ALLAH NI DOGO SANA,MTUPIE MUNGU KILIO CHAKO DADA
@jumaadicky71865 жыл бұрын
Poleni ndugu zangu kwa changamoto nzito kama hii allah awangalie na kuwapa wepesi
@MuhammadUmar-rz3vn5 жыл бұрын
ila dada unauhai sana misukosuko yote bado mzima kweli mungu yupo nawe😢😢😢😢😢
@rosemary38165 жыл бұрын
Masikini pole Sana Dada angu mwenyezi mungu si mjomba wa mtu ni wetu sote muombe tu atakusaidia kila jambo gumu kwako litakuwa jepesi inshallah
@zakiarashidi34235 жыл бұрын
SUBHANA ALLAHU pole sana dada yangu mwenzangu ni mwema azidi kukufanyie wepesi
@hamidahamida14735 жыл бұрын
Subhanalha
@rahelgika38705 жыл бұрын
Duuh!! Kuna mambo mengine mtu unashindwa hata useme nini!!! Pole dada MUNGU hajakuacha bado yuko nanyi.
@linahmwanga2595 жыл бұрын
Rahel Gika dawa pole
@OmanOman-gc1zu5 жыл бұрын
pole sana familia kwa ujumla, in shaa Allah Allah akupe shufaa upone 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻😭😭unastahili pongez kaka mungu akuzidishie kwa upendo uzid kuw na subila kwa mkeo🌹🌹🌹🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mohammedally68584 жыл бұрын
Pole sana dada ang
@raiyyanrichardmssofe8902 Жыл бұрын
Sina la kuandika,siwezi naumia sana....dada umepata mume bora sana❤❤❤😊
@wemaomary87375 жыл бұрын
Pole sana kaka nimekumbuka mdogo wangu mateso aliyopitia aila kwasasa anaendelea viziri kua namoyo huo Yan wanaume waaina yako wamebaki wachache Sana mungu atalipa hapahapa duniani hawa madakter wanafanya miili yawatu kama sehemu yamazoezi hapo makini nakazi nawengi wao wanakua wanafunzi
@waukweelinikkon65555 жыл бұрын
Daah imeniuma Hii story,pole sana jamani,na wakulipe fidia yako haraka sana,waache kuwazungusha Hivyo bila Hata huruma
@rehemaothman21855 жыл бұрын
pole sana dada hadi roho imeniuma pole sana mungu yuu pamoja nawe
@jaklineally53385 жыл бұрын
inshaalhal mung akupe shifaa
@rosekingalu44035 жыл бұрын
Hii stori inasisimua 😭😭🥺inatia majonzi pole dada
@alyazain2905 жыл бұрын
Pole sana dadaangu mungu akufanyie wepesi na akupe shifaa ya haraka, usikate tamaa ndugu yangu mungu atakuinua na utapona kabisa na kufanya mambo yako km zamani, WiFi yang alipatwa na mkasa km wako tena yy alioza kabisa mpk funza ktk tumbo lake, lkn mola alimsaidia na akainuka tena na mpk Leo yupo salama na afanya kazi zake km kawaida. Hivyo usikate tamaa kabisa nasi tunakuombea dua😢😢😢😢😢😢
@azamansur70865 жыл бұрын
Kwanza dadangu pole kwa yalo kusibu pia mume ulimpata mashaa Allah Allah ampe moyo huo huo Namuomba muheshimiwa mkuu wa mkoa Po makonde kama atapata taarifa hizi aweze kuwasaidia ili mama aweze kulipwa fidia maskini
@antybabybintrashid23335 жыл бұрын
AZA MANSUR uyu mume ana subra sana namapenzi yadhat kwa mkewe
@upendorugimbana60605 жыл бұрын
AZA MANSUR ila mungu yupo pamoja na Wew usijai kwanza kakuvusha pabaya mpaka sasa pia pigania akiyako ukae sawa pia mumeo anakupenda
@shakilamasoud89795 жыл бұрын
Nimeishiwa nguvu,,,, pole dada... Sheria ichukue mkondo wake
@maajabuhamisi30244 жыл бұрын
Inasikitisha sana mwenyenzi mungu awafanyie wepesi, inshaallah
@aminamakacha62585 жыл бұрын
Pole Sana Dada mungu atakuwafu inshaallah
@isayaedinadavid81915 жыл бұрын
Hongera sana we baba mungu akubariki akuonyeshe njia uweze kufanikiwa
@aphlineatieno29165 жыл бұрын
Pole Sana.Toa kilio chako serekali yako ikusaidie.
@fatmakhanii16765 жыл бұрын
Pole sana mungu atakuafu wanawake tunapitia mazito kwenye uzazi pole sana
@winshebby28135 жыл бұрын
Mungu akuponye. Amina
@latifamkulazi83785 жыл бұрын
Poleni ndugu' Allah awape subra hasa wewe Kaka. Hongera pia kwa kukomaa mwenyewe kuilea familia
@Zetona-wk8de5 жыл бұрын
Pole sana anko mungu atakusaidia
@simonmkodya39365 жыл бұрын
Polesana pole sana2 naumia sana2 tutAkufa kwa uzembe wao
@mariamathuman58625 жыл бұрын
pole sana mungu atakufanyuia wepesi utapona inshahllah
@filbeterdotto60064 жыл бұрын
Duh inauma sana pole sana mungu aendelee kukutetea
@fadhilplatnumz62095 жыл бұрын
ALLAH- anakusimamia Utapona Dada"" pole pole pole sana
@JBB8755 жыл бұрын
Pole jaman pole ..! Pole..! Pole.. Daah nimesikitika sana, MUNGU akusaidie dada
@oparetionmaalum90305 жыл бұрын
Maskini ndugu yangu yaani mpaka machozi pole sana nduguyangu Allah atakupa afya inanihuzunisha sana
@nancynasir78905 жыл бұрын
Mungu akutetee dadaang,, daaaah madaktar ninyiiiiii mmmmmh
@nsiamassawe30755 жыл бұрын
Pole Dada. Mungu akutie nguvu
@sadikiismail55795 жыл бұрын
mungu mkubwa ataleta heli zake
@vicktoria49895 жыл бұрын
Siyo daktari wakuwalaumu adui tu mungu tupe macho ya rohon
@nancyjohn41475 жыл бұрын
Pole sana dada yangu Mungu atakua pamoja na ww
@abubakaryalmas76735 жыл бұрын
Dada kwanza Mshukuru Mungu kwakupigania afya yako maana mpaka kuwa hai kwa changamoto ulizopitia ni rehma zake Mungu, pia madoctor wachukuliwe hatua maana ni uzembe wa hali ya juu yani nimeona ayo majeraha mpaka mwili umenisisimuka doh! Nina kidonda cha operation nikawa nakiona kikubwa doh kumbe kuna wengine wanamakubwa zaidi yangu, Mungu tuhifadhi waja wako
@mariamsaidi76255 жыл бұрын
Pole Dada muombe sana mungu maana yy ndo kila kitu ktk maisha yetu
@lilym7045 жыл бұрын
Wanaume yote oneni mfano jinsi mwezenu alivo anastahiki ku saidizwa walla maskini haombi 😢😢😢
@beatriceherman87835 жыл бұрын
Pole xn Dada madaktari muweni waangalifu jmn
@d.a.t33835 жыл бұрын
Poleni sana familia. Yamesha tendeka. HAO madactari maoficer wako maofisini WANAPOKEA CHAPAA bila kuwajalini. Wachange hela kidogo kuokoa AFYA ya watoto na sisi tutumeee pia
@mariamhamis3052 жыл бұрын
pole sana mungu hatakusadia Inshallah
@venancegodfrey40384 жыл бұрын
Daaa pole sana dada angu mungu atakponya
@tusajigwemathias37585 жыл бұрын
Mungu mkuuu nakupenda Mungu Wangu kwa ajili ya huyu dada
@daudandarson97485 жыл бұрын
Pole sana dada angu Mungu yupo pomoja na wewe omba unane na Rais !2
@mwanatumujuma49735 жыл бұрын
Poleni sana Mungu atafungua njia Innah ma'al ghusr yusrah
@dotnatajoseph26205 жыл бұрын
Baba rais wetu Wa jamuhur ya muungano wa tanzania tunaomba msada baba waunguz wetu imekuwa ni changamoto kwetu
@habbysaleh45215 жыл бұрын
Mung akufanyie wepec ndugu
@ameeraaljassim41385 жыл бұрын
Pole sana umepitia sana mungu yupo pamoja na ww
@kubrymtutala17365 жыл бұрын
Mh. Raisi John pombe Magufuli itazame hii familia kwa jicho la tatu, Watanzania wanauhitaji mkubwa sana. Kumbuka wewe ni rahisi pekee wa Wanyonge.
@colletaemmanuel18945 жыл бұрын
Kupo Dada mungu yupi
@esteramon93335 жыл бұрын
Eeee mungu muongoze rais wetu katika kulitatua hili inauma sana
@jaliaotien.o69953 жыл бұрын
Ni hospitali gani hiyo wapumbavu kweli Awana akili na awajui maumivu alafu hata wanawake wapo alafu wanachukulia poa pole dada Allah akujalie utapona dada
@utapatatabusanautanyooka26005 жыл бұрын
Usikae kimya dadangu lazima serkali wakulipe fdia maana wemekufanyia ukatili Inaniuma sana wewe nimwananch wafaa ulalamike
@allybora40215 жыл бұрын
Ni kweli bhana lazma ulipwe fidia,,, huu ni uzembe WA madoctor
@marygaspary1995 жыл бұрын
Hao madoctor kazi hawana na wamlipe huyu dada ! dada mlilie Makonda na Magufuli mpaka wakusikieee !
@latifamkulazi83785 жыл бұрын
Kweli kabisa maana watatuuwa wengi
@fatemaligalawa41515 жыл бұрын
Yani wanakera sana mm yalinikuta kwenyeuzazi
@janethpallangyo26335 жыл бұрын
Yaani
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Baba pole sn km nakuona shida mnazo pitia. Huku nje mngekuwa billionea kwa huo uzembe
@khamisdaima14555 жыл бұрын
Pole sana Dada Mungu azidi kukulinda na atakufanyia wepesi
@zuhurasaid32675 жыл бұрын
Pole sana mungu akupe moyo huo huo wa kuangalia family yako, na hao madaktari nao washuhulikiwe haraka, Raisi asikia kilio cha huyo mama
@abelaernest99055 жыл бұрын
Pole mwaya mungu yuko nawe
@mwanakombaabbas935 жыл бұрын
Allahu Akbar jamaniii niubinadamu kweli mmmmm yaa Allah tunusuru waja wako jamani watu makatili
@mauwaomar35675 жыл бұрын
Allah atakuafu inxhaallah ila madaktari niwazembe sn allah atakujaalia utapona
@neemakilomoni42585 жыл бұрын
🙆🏾♀️Subhallah Subhallah
@qwervcvh2025 жыл бұрын
Subhna allah pole san Allah atakupa shifaa yarab tuhafdh wja wko
@rahmachuji8535 жыл бұрын
Mungu a tunusuru Awa madaktali😨wengine lazma wape we azabu
@mwanakombaabbas935 жыл бұрын
Allah atakulipia dadangu
@nasratabubakary50355 жыл бұрын
Inshaallaah🙏🙏😭😭
@sharifambaruk95765 жыл бұрын
Pole sana mungu atakusaidia..
@kushkomal99065 жыл бұрын
Allahu Akbar mungu atakuafu inshaallah
@jumaadremane77565 жыл бұрын
Allah Akbar. Que allah ajude essa nossa irmão. Insha allah, allah é o misercordioso e o misercordiador. o altíssimo do seu e da terra. May allah help you sister.
@oparetionmaalum90305 жыл бұрын
Nyinyi madokta msipo jirekebisha juu ya hili tatizo la kusahau vitu tumboni tutakula sahani moja na nyinyi
@annaelia57435 жыл бұрын
Mmm pole mungu alikuponya
@scollorpatrick72145 жыл бұрын
Hivi jaman madaktar kwann mnatuuwa lakin, pole sana dada mungu atakupigania wewe nafamilia yako
@bukurudaudi15435 жыл бұрын
God gave you good husband god bless your husband 🙏🙌😇 be strong mama 💪 god be with you and your family
@ladymashaallahilikeuaadvis9975 жыл бұрын
Mmmh, jamani pole sana dadangu mdogo wangu, huo ni mtihani mkubwa huu
@suzanamika67025 жыл бұрын
Dada hata Mimi niliwahi kupata shida Kama yako Mungu akutie nguvu ni kipindi kigumu Sana kwa dada Nina mwaka mitatu namshukru Mungu alinitia nguvu
@joycepilli22665 жыл бұрын
Polen San mwenyez mungu atawasaidia
@paulkkinuma15875 жыл бұрын
Mungu akulinde
@mariamhadija72365 жыл бұрын
Pole Sana Ndg yangu
@nazonahdi99935 жыл бұрын
Hao walikuwa wanafunzi wanataka kujifunza kwenye tumbo lako mm ningewashtaki wallah nisingewaachia
@ashfaynakhamis70345 жыл бұрын
Subhanallah Allah atakulipia inallaha maaswabiriin
@mariamhadija72365 жыл бұрын
Kweli kabisa niudhembe wa Madakitari kabisa siyo uongo
@mariampaul92715 жыл бұрын
Pole sana dada
@aminamauhfoda92015 жыл бұрын
Mungu akuweke mumeo
@swahilitherapytv38465 жыл бұрын
SUBUHANALLAH. KIUKWELI MAMBO HAYA YANAKUWA YANAPUUZIWA SANA NA WIZARA YA AFYA, WATU WENGI WANA PITIA MAUMIVU KWA SABABU YA UZEMBE WA MADAKTARI. DADA FUNGUA KESI TU KUDAI FIDIA ILI WAPATE FUNDISHO. ALLAH AKUPE SHIFAA
@fatemaligalawa41515 жыл бұрын
Saana
@ikisaleh71375 жыл бұрын
Poleniii mtihani munguatawa saidia
@jamilahemed13414 жыл бұрын
Maskini dada amin mungu machoz yamenitoka huu ni uadui gani jamanii allah atakusaidia