MIUJIZA: MAMA AJIFUNGUA WATOTO 10 KWA MPIGO, AVUNJA REKODI YA DUNIA, CHA AJABU MUME HANA KAZI...

  Рет қаралды 74,515

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 95
@khadijamwakutwaa8023
@khadijamwakutwaa8023 3 жыл бұрын
Acheni Mungu aitwe Mungu c kwa maajabu haya ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR ALLAH AKBAR WALILLAH HAMDHI
@aminamauhfoda9201
@aminamauhfoda9201 3 жыл бұрын
Allahu akbar
@manasadunia3458
@manasadunia3458 3 жыл бұрын
ALLAH AKBAR
@zaheernakhwa903
@zaheernakhwa903 3 жыл бұрын
Yarabi nijalie nami kizazi chema nipate mapacha amin inshallah 🥰
@arodiadeogratias6457
@arodiadeogratias6457 3 жыл бұрын
Mungu wangu wa Mbinguni naomba umkuzie watoto wake , ee Mungu nijalie nami nipate mapacha.
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 3 жыл бұрын
serikali imsaidie malezi mungu mwema pongezi kwake
@elizabethmwandu6937
@elizabethmwandu6937 3 жыл бұрын
Aiseeeee hongera zake mwanamke mwenzetu kwa zawadi kubwa aliyomzawadia Mungu ,Mungu awatunze na kuwakuza vyema🙏
@نعيمهعبدالله-خ2ه
@نعيمهعبدالله-خ2ه 3 жыл бұрын
Manshallah
@asiahamis7893
@asiahamis7893 Жыл бұрын
Ameen yaraab
@halimamremi5375
@halimamremi5375 3 жыл бұрын
Mungu Awakuze hao viumbe na wamshru MUNGU sana wtoto ni Baraka kutoka kwa ALLAH!!!
@fadhilarajabu1440
@fadhilarajabu1440 3 жыл бұрын
Allahu Akbar hongera sana na pole pia mwenyezi Mungu amkuzie watoto wake amiin
@aishafeysal9630
@aishafeysal9630 3 жыл бұрын
Allah akukuzie vyema inshallah .namimi mungu anijaalie mapacha japo wa3
@mwadiabulymoshabani6336
@mwadiabulymoshabani6336 3 жыл бұрын
Mungu Ni mkuu, anaweza yote, akikupa kitu anainua na watu wakukusaidia. Mungu akupe watu wema.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu amkuzie watt wake,awakinge nakila baya
@yasminiibwende5221
@yasminiibwende5221 3 жыл бұрын
Masha Allah!!! M/Mungu awakuze vyema kwake hakuna lakushindikana
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 жыл бұрын
Mwenzimungu amkuzie yarabi nami nijarie mapacha wanne
@aviwaomar439
@aviwaomar439 3 жыл бұрын
Kila dawa za Majira zikitengenezwa kwa ajili ya akina mama mungu anajaribu kuonesha uwezo wakee
@neemarenaida6667
@neemarenaida6667 3 жыл бұрын
Mungu ndie kila kitu ndio maana hatupaswi kuingilia kazi ya uumbaji wake kwa njia isiyosahii ,hongera Sana mama
@mariamumapunda4614
@mariamumapunda4614 3 жыл бұрын
Mungu amuekee watoto wake na mie mungu nijalie nipate amiiiiina allahumma amiiiiiiiiiiina
@aishambega4118
@aishambega4118 3 жыл бұрын
Alhamdulilahi Allah hashindwi na chochote jamani hongera zake mungu amkuzie inshaallaah
@hhhghyghgg8640
@hhhghyghgg8640 3 жыл бұрын
Mungu ni wa ajabu sana ufany mambo ambao mwanadamu hawezi kujua wacha mungu atwe mungu nawaombea watoto wakue neema ya mungu iwe juu yao
@nemambelwa142
@nemambelwa142 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah Kareem hakuna lishindikalo kwake hongera Sana nakutamania kweli
@saidhamad533
@saidhamad533 3 жыл бұрын
Mashallah.Allah kareem pia mwanamke ni kiumbe wakuheshimiwa sana
@LILIANSELEMAN-p8i
@LILIANSELEMAN-p8i Жыл бұрын
Hongera mama anguuu mungu akujalie wepes katika kuwaleq wakue.
@happinessmosala2217
@happinessmosala2217 3 жыл бұрын
Maelezo yako ni sahihi kabisa dada.mimi namfahamu mama huyu personal. Tunazidi kumuomba Mungu awatunze watoto hao kwani mama huyo hana familia nyingine. Ni mto to pekee na wazazi wake wote wameshatutangulia.Hivyo Mungu amempa familia tosha.that's how far miracles working God can go.
@guwileguwileyasini758
@guwileguwileyasini758 3 жыл бұрын
Allah kalimu maashaallah allaah awakuze watto wake amiiin
@ameenaabdood2974
@ameenaabdood2974 3 жыл бұрын
Ongera mm mungu u mwema
@ashwramashallah7242
@ashwramashallah7242 3 жыл бұрын
Namimi nijaalie kizazi yarab iwe mapacha sawa yote alhmdulillah..na inshaallah
@allvibes5313
@allvibes5313 3 жыл бұрын
Mashaallah!M/mungu amekupa tena na tena.
@magrethmsuya5542
@magrethmsuya5542 3 жыл бұрын
Ameni nami naomba mungu anijalie mapacha watatu
@madinajamada9180
@madinajamada9180 3 жыл бұрын
Mashallah naomba allah na mm unipatie mapacha nawapendq sana
@leticiamchomvu3623
@leticiamchomvu3623 3 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu awakuzie watoto wao wakue katika kimo na maarifa
@samsonnyiliga790
@samsonnyiliga790 3 жыл бұрын
Mandiko ya mungu hayana makosa Bali mungu ataonyesha njia liziki. Kwa mtoto
@lovenespaulo2187
@lovenespaulo2187 2 жыл бұрын
Mungu amusaidie
@manalhamad4336
@manalhamad4336 3 жыл бұрын
Mashallah allah anijalie na mie nipate mapacha wanne
@احمدالخروصي-ل8ك
@احمدالخروصي-ل8ك 3 жыл бұрын
Wow mungu akupe maisha marefu na family yako naakukinge na mabaya yote
@wivinemwamini9110
@wivinemwamini9110 3 жыл бұрын
Mungunimwema
@gladysgesare9549
@gladysgesare9549 3 жыл бұрын
Mungu atawalinda
@aryanastanley6075
@aryanastanley6075 3 жыл бұрын
Raha sana emungu nisaidie na mimi nipate mapacha
@TumainiMwayonga
@TumainiMwayonga 9 ай бұрын
Congratration to you
@annastaziadaniel2308
@annastaziadaniel2308 3 жыл бұрын
Mungu ana maajabu yake
@saniakisinga3645
@saniakisinga3645 3 жыл бұрын
Hongera Mungu awakuze vyema
@jamilamohammed2771
@jamilamohammed2771 3 жыл бұрын
Hongera
@z.nalnabhani7194
@z.nalnabhani7194 3 жыл бұрын
Allahu Akbar,kwa Allah hakuna linalo shindikana
@jumamkumbi9852
@jumamkumbi9852 3 жыл бұрын
Eeeh mungu bariki kizaz changu km hv
@hamidajuma6861
@hamidajuma6861 3 жыл бұрын
Yarabi nipe wawili tu
@labnalast7551
@labnalast7551 3 жыл бұрын
Masha allah
@zohoraramadan4540
@zohoraramadan4540 3 жыл бұрын
Mashallaaaah
@aviwaomar439
@aviwaomar439 3 жыл бұрын
Duh utashaangaa wamekaaje humo tumboni aisee
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 3 жыл бұрын
Mashaa Allah ibeg almighty Allah to give me twins only two....may Allah protect your angles
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Wow mambo ya Dunia hii
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 3 жыл бұрын
Hadi Raha
@vanisavani1055
@vanisavani1055 3 жыл бұрын
❤️❤️
@davdpaulo9328
@davdpaulo9328 3 жыл бұрын
Mashaallah
@aishatanzania597
@aishatanzania597 3 жыл бұрын
Mashaallh Mashaallh Mashaallh 🙏🙏🙏🙏🙏🇭🇺
@zawadimweri191
@zawadimweri191 3 жыл бұрын
Mashaalllhaa
@salmajumanne8914
@salmajumanne8914 3 жыл бұрын
Mashallah hiyo nikadar
@zuhurasuleiman919
@zuhurasuleiman919 3 жыл бұрын
Mashallah
@fadhilhamdu7063
@fadhilhamdu7063 3 жыл бұрын
Allah akbar Allah atakalo huwa hapo wala halina mpizani
@lindakapongo8421
@lindakapongo8421 3 жыл бұрын
HUYO NDIYE MWE NYEZI MUNGU AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI NIMEIPENDA SANA
@missrukia9661
@missrukia9661 3 жыл бұрын
Allhaa akbalu
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 3 жыл бұрын
Maskini na wanae , tajiri na Mali take🌹
@jesusfirstchurch4162
@jesusfirstchurch4162 3 жыл бұрын
Tajiri na Mali yake
@nuruchikoe1959
@nuruchikoe1959 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@queen-yx8uo
@queen-yx8uo 3 жыл бұрын
Mashallah alf mashallah hasbiyallah alf mashallah hasbiyallah
@devotajulius7572
@devotajulius7572 Жыл бұрын
Hapo serekalini anawasaidia kuwalea na hapo hazaintena anafunga kizazi
@abdallahjuma8168
@abdallahjuma8168 3 жыл бұрын
Huyu ndio SUPER WOMAN wengne photocopy
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
wengine watunza waimbaji taarabu
@sarapaulo4718
@sarapaulo4718 3 жыл бұрын
@@heyumi2340 hadi mama yako copy duh! Dunia hii laana tupu
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 mama yangu kufanya nn
@heyumi2340
@heyumi2340 3 жыл бұрын
@@sarapaulo4718 ungekuwa naakili usingenifata
@aishaaloni9067
@aishaaloni9067 3 жыл бұрын
Ongera yake
@esperancesudi2842
@esperancesudi2842 3 жыл бұрын
To be continued
@bnussrahlimsantah3730
@bnussrahlimsantah3730 3 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@janethpallangyo2633
@janethpallangyo2633 3 жыл бұрын
Mmhh
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
Siamini.
@sulemohd4812
@sulemohd4812 3 жыл бұрын
Mashallah Allah awa linde nahasad
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 3 жыл бұрын
@@sulemohd4812 Aaaamin.
@saudajuma6063
@saudajuma6063 3 жыл бұрын
Mashaa Allah..mungu amkuzie watoto wake
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Nenda south Africa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 жыл бұрын
Tunaomba serikali ya nchi hiyo imsaidie kulea hao watoto hao ni mali ya taifa na mama yao na ni wapiga kura ws nchi hiyo na kati ya hao kutatokea viongozi humo
@aviwaomar439
@aviwaomar439 3 жыл бұрын
Kumi duh
@magrethmsuya5542
@magrethmsuya5542 3 жыл бұрын
Eee mungu nikumbuke nami
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Si yule Aliyetoka Mali??mbona ni watoto 9.?
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Allah qadir
@emmycharles8463
@emmycharles8463 3 жыл бұрын
MUNGU awakuze
@كلثومالفارس
@كلثومالفارس 3 жыл бұрын
Mbona awakuonesha hao watt
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Wapo Chumba cha watoto wasiotimiza siku
@كلثومالفارس
@كلثومالفارس 3 жыл бұрын
Astaghfirullah huu ni uongo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 3 жыл бұрын
Si uongo subiria BBC
@zawiajuma715
@zawiajuma715 3 жыл бұрын
Masha Allah
@yasalaam590
@yasalaam590 3 жыл бұрын
Mashallah
@jumanguya9116
@jumanguya9116 3 жыл бұрын
Allah Akbar
@oman7710
@oman7710 3 жыл бұрын
Masha Allah
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
World's Most Fertile Woman, 44 children and only 41 years old: Mama Uganda 🇺🇬
14:10
Kutana na Mama Mariam Nabatanzi  mwenye watoto 44
5:40
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 9 МЛН
Simulizi ya mwanamke aliyejitolea kukumbatia watoto njiti hospitali ya Amana
17:53