Hakika Zeno unibarika sana kwa nyimbo zako # julius ndiku from Kenya
@DinuZeno2 жыл бұрын
Asante sana mwana wa Mungu.
@glorycharles72192 жыл бұрын
Jaman wimbo ni mzuri,naona mwaka mwingine,sauti ya Dinu Kama sio niliyoizoea na mapigo yake pia,naomba type na nyimbo za Tenzi za Rohoni,navideo pia.
@DinuZeno2 жыл бұрын
Karibu sana. Wiki ijayo inakuja tenzi namba 89. Asante sana mtumishi wa Mungu. Kwangu mimi naiona hiyo kuwa ni sauti ya Mungu kwangu. Nitafanya hivyo. Nimependa shauri hili lililo katika Roho. Amen
@lamecksylvester83992 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen
@furahasophie82012 жыл бұрын
Nimekubali kwa hakika zote
@y-farmonlinetv78252 жыл бұрын
hongera mkuu kazi nzur mungu aendele kukupigania ufike mbali zaid
@DinuZeno2 жыл бұрын
Asante sana kamanda.
@DinuZeno2 жыл бұрын
Sana sana sana
@odenmasebo97772 жыл бұрын
MUNGU WANGU WA MBINGUNI AENDELEE KUKUJAALIA AFYA NJEMA SIKU ZOTE , UZIDI KUTULETEA UJUMBE MZURI BARIKIWA SANA KAKA
@DinuZeno2 жыл бұрын
Bwana ni mwema. Asante sana
@DinuZeno2 жыл бұрын
Amen. Asante sana
@rehemajapheth10972 жыл бұрын
Hongera Pastor kwa kukubali na Mungu akakatumie kwa viwango vyote ktk matumizi