Nimesamehewa | Bahati Bukuku | Official Audio

  Рет қаралды 194,507

Bahati Bukuku

Bahati Bukuku

Күн бұрын

Buy it from iTunes: geo.itunes.app...
Song: Nimesamehewa | Artist: Bahati Bukuku
Facebook: / bahatibukukutz
G+ : plus.google.co...
SUBSCRIBE Injili For Best African Gospel Songs: / injiliafrica
Like us on Facebook: / injiliafrica
Follow us on Twitter: / injiliafrica
Stream music free at our official Website: www.mziiki.com

Пікірлер: 94
@MarlinMar-n8v
@MarlinMar-n8v 9 күн бұрын
Mimi nimurundi 🇧🇮 Niko saudia Arabia nikiwa kwenye matatizo nikiusikiriza huu wimb unanituriza 😔😭
@josephmgalamaundule4255
@josephmgalamaundule4255 4 жыл бұрын
Kama upo 2020 unasikiliza kama mm nisikiye amen
@patrickokello2968
@patrickokello2968 4 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana nimepitia magumu mie kakini mungu pigana nao.Nipigaanie baba
@martynerhraphael8518
@martynerhraphael8518 4 жыл бұрын
Hii nyimbo ni faraja ya moyo wangu nikiitafakari inanifanya natua mizigo yote ya moyoni mwangu
@freddyfredricks3435
@freddyfredricks3435 4 жыл бұрын
Flashing back in 2016 my campus days when I had no school fees, no rent, not to talk about food😭😭. I used to sleep in lecture rooms. Bukuku was my mentor and soul lifter thro school WiFi. Huu wimbo na "majaribu" na "nipe muda" na vinginevyo vilikua my night melodies Hadi najipata nimelia. Mungu naye sio Kamau au Fatuma!! Though I didn't complete that semester lakini nimemaliza shule 2019!! Bukuku I pray that you live hadi my kids wakuone coz I must introduce them to your songs... You are a generational singer!! A day without your sweet special voice that's not a complete day!!
@lawmaina78
@lawmaina78 4 жыл бұрын
Your comment nearly drove me to tears, I will share it with my daughter who is in first year in campus, I need her to appreciate my efforts of making her life easier there.
@isayaomarie2836
@isayaomarie2836 3 жыл бұрын
Pomme
@lubinzasamwel5244
@lubinzasamwel5244 3 жыл бұрын
000q0
@mkwejonathan361
@mkwejonathan361 3 жыл бұрын
Lol, God bless you. Madam Bahati songs are excellent!
@hsjfjhdhdudv4172
@hsjfjhdhdudv4172 3 жыл бұрын
@@lawmaina78 dada baati Mimi nakupenda sana
@selemanimwanamulenda4655
@selemanimwanamulenda4655 3 жыл бұрын
Niko marekani,huu wimbo siku,niliupa kanda yake na siku hiyo ,mke akaniroka na mume mwengine...
@osanomorgan9194
@osanomorgan9194 4 жыл бұрын
Indeed wakati tunapitia majaribu huwa tunadhani kwamba mungu walala bali si hivyo ni imani yetu ndo hujaribiwa kuona kama tutayahistahimili majaribu hayo. ni somo kwamba tumtegemee mungu kwa kuwa ni lazima tunajaribiwa mfano yesu bwana wetu alijaribiwa . wimbo mtamu kweli
@beatricesway6875
@beatricesway6875 4 жыл бұрын
Unaeza kupitia magumu,ukakosa msaada hata kwa ndugu,Mungu pekee ndio hatakuacha ,hakika Mungu yupo macho muda wote tumlilie atatusikia
@goodluckkarata4859
@goodluckkarata4859 4 жыл бұрын
Dada mungu akubariki sana huu wimbo umenivusha ng'ambo ya maisha mengine kuna nyakati nilikua napitia kwakweli kupitia wimbo huu nimevuka na bado sichoki kuusikiliza mungu akubariki sana sana dada.
@silviailenji7745
@silviailenji7745 4 жыл бұрын
Naskia nikiwa released ,,,dadangu barikiwa sana,naomba mungu awasamehe na waone,,,
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
Daaaaahhhhhh!!! Kama hayajakukuta, huwezi kuuelewa huu wimbo vizuri. Asante Bahati.
@emanuelhiza1289
@emanuelhiza1289 2 жыл бұрын
Kabisa dada
@masikaanastasie1311
@masikaanastasie1311 2 жыл бұрын
Mama Bahati Mungu akabariki yani wakati nilipojaribiwa walisema nimepigwa n'a Mungu lakiniyesu alinishindiya vita
@sarahlozi3163
@sarahlozi3163 9 ай бұрын
Be blessed bahati nyimbo zako zinanibariki sana
@peterpaschalmaganga6966
@peterpaschalmaganga6966 3 жыл бұрын
Amen, Bwana azidi kukutunza mtumishi wa Bwana
@lawmaina78
@lawmaina78 4 жыл бұрын
Huu wimbo kuuskliza bila kutokwa na machozi ni mtihani, maana unakumbusha mbali sana na mengi.
@monucesthela1100
@monucesthela1100 3 жыл бұрын
Namupenda sana Bahati bukuku yimbo zako mama zinasisimua mtu kutoka katika huovu
@ruthbosibori1482
@ruthbosibori1482 3 жыл бұрын
Siku ya kujaribiwa kwangu kweli adui zangu walikula na kunywa wengine walikuwa rafiki zangu wa karibu
@divinahkerubo8635
@divinahkerubo8635 2 жыл бұрын
When I listen to this song it brings me alot of memories in mind I usually cry 😢 😭 alot....it brings a full image of what have went through in this life ....but God is always on my side
@wisendaga1726
@wisendaga1726 6 жыл бұрын
daaah imenikumbusha kyela hii nyimbo jamani
@stevenmike9512
@stevenmike9512 4 жыл бұрын
kuna time i had nothing left expect tears day and night. it was sad moment when my biological father rejected me and told me that am not his son. that time i was in school, i need school fee i need a place i can call home but i was on my own world. wishing that my mum was alive but she was gone many years back. i left school and i started hustling for my life. i thank God because every moment i listen to such song they do restore my heart and give more big heart and a fresh one continue with my life knowing God is not blind or dumb. am ok living well i thank God for this far. blessing song almighty lord watch your life bukuku
@kinlightmasai7496
@kinlightmasai7496 4 жыл бұрын
Amen
@marykarebeti9410
@marykarebeti9410 3 жыл бұрын
Daahhhh
@Benzomutisya33
@Benzomutisya33 3 жыл бұрын
Amen
@janenabwire6629
@janenabwire6629 4 жыл бұрын
ukiwa na yesu wewe ni mshindi.
@bidiinaimani9654
@bidiinaimani9654 7 жыл бұрын
Sikuuu ya kujaribiwa kwanguuuu ....I love this tune
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 4 жыл бұрын
Nilipofiwa na mwanangu 2008 kuna watu waliniambia ninepigwa na Mungu, huu wimbo ulikuwa unanifariji sana!Mungu mwema kanipa maisha mengine sasa nina mtoto mwingine nashukuru.Barikiwa bukuku.
@maidamatinya348
@maidamatinya348 4 жыл бұрын
Pole sana! Mungu aendelee kututetea!
@emanuelhiza1289
@emanuelhiza1289 2 жыл бұрын
Amina na pole Sana dada
@christinaalexander1213
@christinaalexander1213 2 жыл бұрын
@@emanuelhiza1289 👋👋
@suleamber844
@suleamber844 3 жыл бұрын
Dear GOD please see this hard time i have i know you see me and how am living right now i know it's not a punishment from you lord ,but it's just things am passing through my goal ... Bahati GOD BLESS yu for this song.
@henryosoro7696
@henryosoro7696 4 жыл бұрын
I would suggest you shot this song again coz old vcd is no more.
@divinahmusa6710
@divinahmusa6710 3 жыл бұрын
This lady is really talented,may almighty God protect you, keep it up my dear
@kellysinzinkayo2314
@kellysinzinkayo2314 3 жыл бұрын
Thanks your song
@nicklausmusyoka7041
@nicklausmusyoka7041 2 жыл бұрын
Feeling like worshipping
@happytimpiyian1347
@happytimpiyian1347 4 жыл бұрын
Mungu tusamehe
@johnmwangeka4165
@johnmwangeka4165 5 жыл бұрын
Kweli kabisa wakati wakujaribiwa watu hufikiria unapigwa na mungu bila kujua majaribu hayana budi kuja
@jumakwembe6871
@jumakwembe6871 5 жыл бұрын
bahati bukuku
@jumakwembe6871
@jumakwembe6871 5 жыл бұрын
kayumba
@mwanziajohn9003
@mwanziajohn9003 4 жыл бұрын
Mungu akukumbuke manake nyimbo zaki zinaguza moto wangu
@mwanziajohn9003
@mwanziajohn9003 4 жыл бұрын
May the Lord bless you in all the days u live for your songs gives strength and hope in life.
@kenpetegathogo
@kenpetegathogo 4 жыл бұрын
One of my best Swahili gospel songs. my testimony
@felistusakoyi5892
@felistusakoyi5892 2 жыл бұрын
Good song, God is still on the Throne
@annwea6506
@annwea6506 3 жыл бұрын
I love this song mami be blessed 😍❤️
@nicholasmbithi186
@nicholasmbithi186 3 жыл бұрын
Wimbo unaonipa nguvu Kila wakati, nilipigwa na mchungaji akiwa na mke wangu wakaniwekelea Mambo ya wongo hatimaye mke wangu akaambiwa na mchungaji aniache. Ila namshukuru mungu kwa maana ulikuwa wakati wakuinuliwa kwangu
@josephineanyango1383
@josephineanyango1383 3 жыл бұрын
Thank you Bahati Bukuku.🙏
@waltertanga6154
@waltertanga6154 4 жыл бұрын
C'est un cantique de réconfort et d'encouragement !! Que Dieu bénisse notre chère soeur Bahati Bukuku
@shalombyukusenge2844
@shalombyukusenge2844 4 жыл бұрын
God bless you
@janetnyandieka4261
@janetnyandieka4261 3 жыл бұрын
Ameeeeen nice and encouraging song it's a very strong message in it much blessings to u
@chebetwinny4134
@chebetwinny4134 3 жыл бұрын
Really blessed by this song
@annwea6506
@annwea6506 2 жыл бұрын
i love this song bahati be blessed
@petermbithi1069
@petermbithi1069 2 жыл бұрын
I like the song
@stacydii3324
@stacydii3324 4 жыл бұрын
What a blessed song🥰🥰🥰
@jeffkinyua8397
@jeffkinyua8397 3 жыл бұрын
My all time favourite
@zaikahirungu5923
@zaikahirungu5923 4 жыл бұрын
Motivational and inspirational quotes from the song
@tikanfrank4733
@tikanfrank4733 3 жыл бұрын
It remind me of my wilderness experience
@gracetamara4297
@gracetamara4297 Жыл бұрын
In 2023....still here👍🏾
@ragybwalya4992
@ragybwalya4992 3 жыл бұрын
The carries me in the spirit. Thanks to our beloved sister. God bless your talent.
@johnnuruwambani1098
@johnnuruwambani1098 2 жыл бұрын
So good. Feeling blessed.
@benmbuvi4833
@benmbuvi4833 4 жыл бұрын
Such a great blessing....
@pendojeremiah9111
@pendojeremiah9111 4 жыл бұрын
Nipo hapa 2021
@parismwenda2851
@parismwenda2851 3 жыл бұрын
GOD IS GOOD
@mashakagwissunengojunior5494
@mashakagwissunengojunior5494 4 жыл бұрын
Nice song
@reginadaud9385
@reginadaud9385 3 жыл бұрын
Safi sana
@jacksonwambugu6521
@jacksonwambugu6521 4 жыл бұрын
Woow...wot a wonderful song....
@josephmgalamaundule4255
@josephmgalamaundule4255 4 жыл бұрын
Asante yohav
@eunicekilungu7056
@eunicekilungu7056 4 жыл бұрын
Kama bado usikiza huu wimbo 2021 gonga like ukisonga mbele
@kinlightmasai7496
@kinlightmasai7496 4 жыл бұрын
Tuko wengi
@omaryjames3777
@omaryjames3777 4 жыл бұрын
Km unaisikiliza hii nyimbo 2021 gonga like bukuku anajua
@corneliosamadaly7009
@corneliosamadaly7009 4 жыл бұрын
Nmeamua kuiseach kw jinsi ninavyoipenda
@kinlightmasai7496
@kinlightmasai7496 4 жыл бұрын
Tukj wengi
@Ndeks-23
@Ndeks-23 2 ай бұрын
@doligetv7717
@doligetv7717 4 жыл бұрын
Nice
@serakonzo9944
@serakonzo9944 3 жыл бұрын
Mimi huyu mwanamama namkubali sana
@serakonzo9944
@serakonzo9944 3 жыл бұрын
Mimi huyu mwanamama namkubali sana
@johnmulinge7812
@johnmulinge7812 2 жыл бұрын
👍👍👍
@omaryidrissa2400
@omaryidrissa2400 7 жыл бұрын
Ilove
@RIZIKISanvura
@RIZIKISanvura 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭
@carolynmusyoka2901
@carolynmusyoka2901 2 жыл бұрын
I'm
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
Nipe Muda | Bahati Bukuku | Official Audio
8:37
Bahati Bukuku
Рет қаралды 609 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Heshima Ya Dhahabu | Bahati Bukuku | Official Audio
9:10
Bahati Bukuku
Рет қаралды 38 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 754 М.
Bony Mwaitege - Safari Bado (Official Music Video) ft. Bahati Bukuku
7:52
Bony Mwaitege Official
Рет қаралды 7 МЛН
Nimesamehewa
9:21
Bahati Bukuku - Topic
Рет қаралды 10 М.
Bahati Bukuku - Waraka (Official Version Video)
12:54
Injili
Рет қаралды 6 МЛН
UNIONDOLEE MAJIVUNO [Rose Muhando cover] WATU WOTE TUBUNI TUACHE DHAMBI By Minister Danybless
23:01
HEAVEN SOUND ONLINE TV KENYA[MinisterDANYBLESS]
Рет қаралды 2,8 МЛН
Joy Mugambi Ft Bahati Bukuku (Official audio)
5:39
Joy Mugambi Official
Рет қаралды 18 М.
BEST OF ALI MUKHWANA WORSHIP MIX
1:44:04
Ali Mukhwana
Рет қаралды 903 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН