NILIENDA ZANZIBAR KUSAKA MZUNGU | NILIJIFANYA YATIMA | WAZUNGU WATAKUTUMIA WAKUACHIE UKIMWI

  Рет қаралды 47,207

Official Dating Assistance

Official Dating Assistance

Жыл бұрын

Ameeleza namna ambavyo kuoa mzungu ilikua ni ndoto yake na namna alivyoipambania na kufanikisha.
Alijifanya mtoto yatima ili tu apate nafasi ya kua na wazungu.
Alifunga safari mpaka Zanzibar kusaka mzungu na mwisho ndoto yake ilizaa matunda.
Thank you Patric Wache for allowing this to be online

Пікірлер: 306
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Uyu kijana ni comedy nimecheka sana ameniongezea siku😀😀😀
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
😁😁🥰
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv Жыл бұрын
anachekesha pia naona kwenye account yake ya insta yeye na mzungu wake
@valenakomba9218
@valenakomba9218 9 ай бұрын
Ni vizuri sana kuweka mipaka katika maisha. Tena ni muhimu. Je unakaa sehemu gani. Usiniambie unakaa rubulana. Sababu sipapendi mimi napenda vijijini.
@Joe_kabye
@Joe_kabye Жыл бұрын
Huyu kijana n honesty and absolute ameeleweka 🤣🤣🤣huyu nia comedian
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Yani yuko amazing
@mohamedimohamedi58
@mohamedimohamedi58 11 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistancenitakutafuta niko 🇺🇸
@homeandaway2811
@homeandaway2811 Жыл бұрын
Hongera sana kaka kwa kufunguka ,wewe kiboko 😂😂😂 nimependa kuna sehemu umesema "sikuwa muaminifu, NIKAACHIKA" Hili neno wengi wanasema mwanamke tu, wakati hii inahusu wote tu.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
He is amazing 🥰😁
@valenakomba9218
@valenakomba9218 9 ай бұрын
Hallo, kujana wangu nimefurahi sana kusikia uko Slovenia. Mimi nimeshawahi kutembelea huko mara nyingi sanaa. Na napenda sanaa wine yao, na masoseji. Huwa nafikia hapo Maribo. Kunafamilia hapo . Nimeshaenda kule baharini PIRANI, POTOROZIE. NA I AZALIKA. YAANI WEWE UNAKAA NCHI NZURI JAPO NI MBALI SANA.
@edwardfaraji1133
@edwardfaraji1133 9 ай бұрын
Ebwana nzuri sana dada yetu Asante kwa kazi nzuri...
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 3 ай бұрын
Patrick uko vzr na very focused, hongera
@azizastationary6383
@azizastationary6383 Жыл бұрын
Nimependa full interview inafundisha sana maisha,pia source wako anajieleza vizuri sana.
@Aishamohd-tu5fj
@Aishamohd-tu5fj 7 ай бұрын
Yani broo umeongeya kweli tu wazanzibar tuko ivooo❤❤❤
@amneriyami2409
@amneriyami2409 9 ай бұрын
habibt shena nimependa sana hii storry kijana mdogo lakili katulia akili yake mungu ambarik
@ilakozasembumende1975
@ilakozasembumende1975 10 ай бұрын
Umejenga tanga kaka umeupiga mwingiiiiii❤❤❤❤❤❤❤❤ yaani una akiri saaaana
@asiaminja3556
@asiaminja3556 10 ай бұрын
Nilikuwa nasikia Wazungu wanakuja Afrika kutafuta wanaume kumbe kweli...kumbe pia kuna watu Afrika nao wanaenda sehemu kusaka Wazungu..,tunajifunza na hii mitandao ya kijamii...kila la kheri
@naturelle1097
@naturelle1097 8 ай бұрын
Shena your interviews are very interesting loving your channel❤❤❤
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 Жыл бұрын
Hongera Kaka waslovenia ni wanawake wasafi watunza nyumba na wenye wivu kupindukia
@Judy-dy4zt
@Judy-dy4zt 9 ай бұрын
Uko vzr kaka mungu awatangulie katika ndoa yenu
@upendowakwelinaamani1060
@upendowakwelinaamani1060 Жыл бұрын
Kijana kafunguka kwakweli mwenye maskio na askie kaka sio mchoyo katoa mbinu zote alizotumia kupata mzungu na ushauri katoa sasa kazi kwetu wananzengo kujiongeza tu asante sana shena kwa kijana Patrick kumleta leo katupa nondo za kweli😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Yani kaka katoa nondo na nondo
@user-jz7td8kb6n
@user-jz7td8kb6n Жыл бұрын
Hahaha dia nitumie ling
@Bikhafija
@Bikhafija 10 ай бұрын
😅😅😅😅
@hassanmataula7063
@hassanmataula7063 11 ай бұрын
Safi sana mwamba pambana Jenga heshima ya TZ
@jamlaashiri372
@jamlaashiri372 3 ай бұрын
Hizo sheria za zanj Uwe na cheti cha ndoa Hao ni wabaguzi wao ndo wanzinzi no 1. Hiyo znj niya kitalii nawatalii wanapenda kuona culture.
@emelecianafrancis5655
@emelecianafrancis5655 Жыл бұрын
Nimefurahi sana ,God bless you broo
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🙏🙏
@mylisheacademictv4290
@mylisheacademictv4290 11 ай бұрын
Dada uko vizur Sana kweny interview
@batulimohamed6088
@batulimohamed6088 Жыл бұрын
Hongera msambaa mwenzangu
@ayah844
@ayah844 8 ай бұрын
Nimefaidika sana shukran kakangu
@MAISHAYACROATIA
@MAISHAYACROATIA Жыл бұрын
Interviews kaliii sana🔥🔥🔥🔥
@AmnaAmna1-xs3rx
@AmnaAmna1-xs3rx 3 ай бұрын
Hongera Sana ndugu Yangu Msambaa mwenzetu
@hamisihassankengejr4375
@hamisihassankengejr4375 11 ай бұрын
Malengo ni zaidi ya utumwa tuishi HUMO Nimependa sana Patrick alichosema amefunguka real, niongee kitu kwa vijana mzungu nilazima akuone mara kwa mara
@brijidalawrence1097
@brijidalawrence1097 Жыл бұрын
hongera kaka kwa kusema ukweli
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 3 ай бұрын
Asante Sana
@ashuramdee344
@ashuramdee344 9 ай бұрын
Kwakweli Patrick unasema ukweli mtupu mimi nilisha mwambia mumewangu sitaki marafiki wengi wanapenda mtu anguke wamcheke
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 Жыл бұрын
Asante sana nimefurahi sana naming nipo Paje nimefurahi asna
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🥰🥰
@Beamarco777
@Beamarco777 Жыл бұрын
Namimi ni je huko
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 2 ай бұрын
Mimi pia
@typicalgamertrevor5086
@typicalgamertrevor5086 4 ай бұрын
Woooowww nimependa interview ya kaka...congratulations ❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
He is amazing
@sarafinasangajenga1378
@sarafinasangajenga1378 9 ай бұрын
Safi sana Kaka maisha yapo hivyo
@trizereve3386
@trizereve3386 10 ай бұрын
Beautiful story haki imenigusa❤love from 🇰🇪🇰🇪
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 10 ай бұрын
Shukran 🙏
@janemugoya1316
@janemugoya1316 10 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance q
@pillykinabo8722
@pillykinabo8722 10 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistance.....Reka huyu😂
@JescaMwagama-oc9yt
@JescaMwagama-oc9yt 9 ай бұрын
Nimekusikiliza sana ila nimeona ww hapo upo kimaslai Zaid maana ww hapo ulimtafuta mzungu unataka utajilike ondoa hiyo
@silasgerrychannel225
@silasgerrychannel225 8 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistancedada naomba mawasiliano ya huyu Patrick kama akiridhia, nataka kwenda kufanya kazi huko Ulaya au America
@geraldgeofrey1916
@geraldgeofrey1916 11 ай бұрын
Hongera sana Kaka.
@dn.n4983
@dn.n4983 Жыл бұрын
Real storh hixi zangu ukitaka kitu ukipigania kwa kweli
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Sana
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Жыл бұрын
Mashallah, mtanga mwenzangu.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
He is amazing
@ecramarajabu7330
@ecramarajabu7330 Жыл бұрын
Kaka Patrick hongera sana nimekuelewa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Yani katoa bonge la darasa
@mwitaagness455
@mwitaagness455 11 ай бұрын
Iman yavunja mlima aisee,
@annamussa185
@annamussa185 11 ай бұрын
Nimefurahi umeongea ukweli japo wapo ambao hawatokuelewa kabisa ❤️
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
Mimi kuishi Unguja siwezi najua nitafilisika kwa sababu kila kitu ghali. Nikiwa Tanzania naenda zangu Pemba kupumzika. Mimi nilipata mwanamke kwenye date site nimepata, nimemfuwata Indonesia na wazee wake wakanipokea na mpaka leo tupo pamoja na tuna mpango wa kwenda kuishi Pemba in sha Allah
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 6 ай бұрын
MashaAllah Nakukaribisha kwenye kipindi 🙏 +4367764790884
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance ahsante sana
@zalfazalfa7810
@zalfazalfa7810 3 ай бұрын
😮​@@OfficialDatingAssistance
@zalfazalfa7810
@zalfazalfa7810 3 ай бұрын
​@@OfficialDatingAssistance😮😮
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb
@stellaprotazibashaijaban-gq4mb Жыл бұрын
Nimependa jinsi unavyo jieleza hongera sana wewe ni shujaa 💪💪🙏
@Mina.15
@Mina.15 11 ай бұрын
Shuja WA kusaka mzungu 😢
@utaani1
@utaani1 6 ай бұрын
Hiyo kali ati beach ⛱️ boy kaletwa hotel hapa tushaletewa mwizi bora tuwafukuze wote
@annatemu4488
@annatemu4488 8 ай бұрын
Ni kweli kbs, watu weusi sisi furaha yetu ni kuona mwenzio anaharibikiwa,ni tabia mbaya sana, na ukiweka mipaka wanakuona unaringa
@simonrusigwa3024
@simonrusigwa3024 3 ай бұрын
Ni bora wakuone hivyo aisee. Piga chini, watu wengi majanga bongo. Ishi kivyako
@barakamazigo4840
@barakamazigo4840 6 ай бұрын
Ya interview 🔥🔥
@queengee4154
@queengee4154 Жыл бұрын
honestly nimeelewa sana sana❤❤
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🥰🥰
@peterkaale6977
@peterkaale6977 9 ай бұрын
Hawa wazungu watatoa watu rohooo jaman mhhh mungu awasaidie wadogo zetu
@user-jq7dd6jo3y
@user-jq7dd6jo3y 8 ай бұрын
Huju jamaa namjuwa vizur sana tena sana alikuwa nungwi
@beatricemortensen8533
@beatricemortensen8533 Жыл бұрын
Yaaani nimecheka sana story nzuri sana , kaka yangu wakitanga umefunguka haswaa.
@kilwadreamsbeachresort9319
@kilwadreamsbeachresort9319 Ай бұрын
Patrick ukija bongo unitafute mimi niko kilwa Dreams beach tunaweza kupeana mawazo ya kujenga Jamii zetu Hakika nipenda Sana interview yako
@user-hi1xf3je6l
@user-hi1xf3je6l Ай бұрын
Good story teller🎉
@haarithomar755
@haarithomar755 Жыл бұрын
Mashalla brother
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🥰
@abdulsama8428
@abdulsama8428 7 ай бұрын
Hongra sana
@Salumchiwili2023
@Salumchiwili2023 Жыл бұрын
Mgosi kafunguka kikubwa kwenye maisha ni kuwa na malengo kila kitu kinawezekana
@naturelle1097
@naturelle1097 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@verombwambo3703
@verombwambo3703 9 ай бұрын
Jmn mbavu zangu mimi patrick we noma.
@fatimambaruku1833
@fatimambaruku1833 11 ай бұрын
Uko vzur Patrick ww ni mpambanaji proud zanzibar and Tanzanians as well
@jonasmpita2206
@jonasmpita2206 3 ай бұрын
Kwahiyo Zanzibar ukiwa na binti wa kizungu bakora ila mzungu akienda na binti wa kiafrica hakuna shida. Hatari sana. sema kwenye kusuka na kuvaa mahereni kwa mtoto wa kiume naunga mkono hoja hata vitabu vitakatifu vinazuia
@amneriyami2409
@amneriyami2409 9 ай бұрын
kiukweli kijana ni mkweli sana kajua kupambana mungu amsaidie mtanga tanga raha
@tecratzmwakyambomwakyambo7243
@tecratzmwakyambomwakyambo7243 Жыл бұрын
Dada asante nakufuatilia sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🙏🙏
@user-ym6hw2ks8x
@user-ym6hw2ks8x 5 ай бұрын
Hongeakk
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 Жыл бұрын
❤❤hongera sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🙏🙏
@user-ym6hw2ks8x
@user-ym6hw2ks8x 5 ай бұрын
Hongeeeaa
@ellawiik1048
@ellawiik1048 3 ай бұрын
Patrick mungu skufungulie milango
@YatimawaUlaya
@YatimawaUlaya 9 ай бұрын
Nakubari
@jennytugara9470
@jennytugara9470 11 ай бұрын
Kaka una Vision nene bado ndoa changa na Mungu anaona moyo wako na una hekima sana. Siku za mwanadamu hazifanani mtajaliwa mali na watoto wa kutosha. Point noted Africa tuna roho za koroshoooo!!!
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Ameen kwake
@kilwadreamsbeachresort9319
@kilwadreamsbeachresort9319 Ай бұрын
Shina ningependa kupata mawasiliono yake mimi pia na hotel napokea watalia tunaweza kufanya jambo ambayo inatwa kilwa dreams beach resort
@neemasalema1546
@neemasalema1546 2 ай бұрын
Patrick umenivunja mbavu umeweza kuniongezea siku sio kwa coz hiyo ya matusi😂😂
@idrisabakar1076
@idrisabakar1076 8 ай бұрын
Hello, namuomba Patric anitafutie wanunu wa Mkonge mm niko Tanga
@pendoclement6672
@pendoclement6672 Жыл бұрын
Brothers Slovenia is an opportunity ,patoo anaimbiwa nyimbo....😅😅😅 kama Tanga vile 😊
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
😂😂
@rahimahamad1016
@rahimahamad1016 3 ай бұрын
Watanzania wengi wakishafika ulaya wanajidai, majisifu mengi mno na hawana msaada wowote isipokua kujidai na wengine wanawasababisha watu kufungwa. Pia tuache tabia ya kuwasifia wazungu ni wabaguzi sana. Apo alipo patrick hana mdomo anakokotwa na kulelewa tu na msichana (yeye mwenyewe anapenda shortcut asiwaseme vijana wa tanzania buana na Africa kwa ujumla.
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 Жыл бұрын
Kumbe kweli wanavyosemaga ukitengeneza mwili wazungu wa kike wanakupenda heeee makubwaa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
😁kila siku ni kujifunza
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 11 ай бұрын
Zamani
@aisharamadhani1948
@aisharamadhani1948 11 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance hakika na Asante dada tunajufunza kweli
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 Жыл бұрын
Mmm😂 umenichekesha we kaka umefunguka sana😂😂
@agnettakamugisha4984
@agnettakamugisha4984 4 ай бұрын
Naishi Marekani. Watoto wangu Baba yao anatoka Slovenia. Nimewahi kutembea mara mbili. Watoto wanaenda kwao mara nyingi tu. Baba yao amefika Kagera na kuzunguka kijijini. Slovenians wanapenda sana Africa. Wa Slovenian wana roho nzuri sana. Wanaishi Radovljica. Nikiena nitakutafuta. Baba yao ndo amerudi Marekani. Nitakutafuta.
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 4 ай бұрын
Karibu sana kwenye kipindi pia utupatie elimu ya Slovenia na Marekani +4367764790884
@JazilaSiraja-st8cu
@JazilaSiraja-st8cu 16 күн бұрын
Imenifundisha kujiamn na kuna nguvu kubwa iliyondan yetu kikubwa n kujiamn na kutokujal
@sospeteralex378
@sospeteralex378 Жыл бұрын
Kweli kaka
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
🔥
@lissamugondo3369
@lissamugondo3369 Жыл бұрын
Yani huyu kaka ana chekesha jaman 😂
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Na anaongea ukweli juu 😁
@magrethmbuma3045
@magrethmbuma3045 9 ай бұрын
Mbona kama wifi kalamba upawa jamaaniii😅😅
@AishaAbdullah-qj1lt
@AishaAbdullah-qj1lt 4 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@idrisabakar1076
@idrisabakar1076 8 ай бұрын
Habari, Mimi namuomba Patric anitafutie wanunuzi wa Mkonge Mimi nipo Tanga
@ELIZABETH-uz6dv
@ELIZABETH-uz6dv 2 ай бұрын
❤❤❤❤❤😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@miryamjohn4995
@miryamjohn4995 Жыл бұрын
Kaka kafunguka vizuri kabisa
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Mnooo
@chalemofaraji8797
@chalemofaraji8797 7 ай бұрын
Kiufupi patrick waache leo uneongea ukweli mno 🇬🇷🇬🇷🇬🇷🇹🇿
@jamesassanga8581
@jamesassanga8581 Жыл бұрын
Huyu jamaa maelezo yake siyaelewagi,kwenye mahojiano mengine anasema kaishia la Saba na anasema alikutana na demu wake Zanzibar kwenye biashara za utalii
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Haya ndio mahojiano yake sasa ya safari nzima ya mahusiano.. 🥰🥰 katufungukia
@pendo8082
@pendo8082 Жыл бұрын
​@@OfficialDatingAssistancemm sielewagi nishafatilia akiwa anahojiwa sasa hapa anasema kingine
@jacqueisaac8155
@jacqueisaac8155 11 ай бұрын
Kuuza culture ni utalii
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 11 ай бұрын
Ndy
@soleotanzania2015
@soleotanzania2015 8 ай бұрын
Alikuwa anauza kacha, hiyo haihitaji elimu kubwa
@doreenniver6643
@doreenniver6643 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂daaah nimefulahishwa nahuyu bro 😅😅
@mohamedimohamedi58
@mohamedimohamedi58 11 ай бұрын
Kupeana nafasi umeongea vyema.sie wenngine tunapitia hilo nimependa kipindi chako.
@user-vm5yf8cs2r
@user-vm5yf8cs2r 3 ай бұрын
Kwakeli umepata Wewe Ni kijana mwenye. Akili muhimu umempenda kakupenda
@joycenshala1310
@joycenshala1310 9 ай бұрын
Nimefurahi kumuona Patrick namuonaga sana Tiktok😂
@ecramarajabu7330
@ecramarajabu7330 Жыл бұрын
Jamani huyu kijana kanifurahisha sana
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
He is super amazing
@mauasama43
@mauasama43 11 ай бұрын
naomba app ya kupata mzungu
@LucyKapinga-fg4dk
@LucyKapinga-fg4dk 8 ай бұрын
Tinder
@zulekhaa6817
@zulekhaa6817 5 ай бұрын
Ina mana wazungu ndio wamefanywa mtaji 😮, duh Mtihani ikiwa hivi watu watazidi kupotea
@neemajulius6403
@neemajulius6403 11 ай бұрын
👏👏👏👏👏
@nahyialetomia9284
@nahyialetomia9284 7 ай бұрын
Gigolo master from Tanga
@joycejackson2320
@joycejackson2320 11 ай бұрын
Upendo wa wazazi wako ni wa msingi sana ndio maana upo hapo ulipo
@mikeraphael957
@mikeraphael957 11 ай бұрын
Nilikuwa na Ndoto hizi😅 Sasa sio Ndoto Tena Naishi Maisha halisi hapa States ila wangu nilimpata hapa States. Bongo niliwahi kupata na kupendwa ila haikufanikiwa sababu nililuwa sijui tabia zao. Na tamaduni zao.
@FrolaNdozi-bd2wg
@FrolaNdozi-bd2wg 10 ай бұрын
Nipe hyo connection ndg Yang mm n gentleman natmia simu ya shangaz yangu
@FrolaNdozi-bd2wg
@FrolaNdozi-bd2wg 10 ай бұрын
Na mm n mtanzania pleas niunganshe jina langu naitwa yusuph samwel hapa nmetmia simu ya shangaz yangu pleas niunganshe au unipe utaratibu dada Yang ahsante
@franek6477
@franek6477 8 ай бұрын
Hi dada I would like to sheer my story with you guys I am from Zanzibar and now living to Europe poland
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 8 ай бұрын
Please contact me WhatsApp +4367764790884
@lucymakendi2728
@lucymakendi2728 16 күн бұрын
@KhadijaAbdallah-kn3ii
@KhadijaAbdallah-kn3ii 11 ай бұрын
Mungu ni wa ajabu sana unachokipenda ndicho anachokusogezea mfano ww unataka kununuwa Noah voks sasa kila unapopita njiani utakutana na noah voksi hivo yaani ndo maana uliona wazungu wanakutaka taka tu ni kitu ulichopenda
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance 11 ай бұрын
Well said
@sarah-hy7gz
@sarah-hy7gz 11 ай бұрын
Uaminifu upo sahihi
@user-oe6lm3pb2w
@user-oe6lm3pb2w 4 ай бұрын
naomba no zako dada shenna
@user-dk9nc7gh3e
@user-dk9nc7gh3e 10 ай бұрын
Nimecheka,eti wanakutumia kwahiyo umetimika Sana wache nawazungu😂😂😂😂😂😂😂
@daxboy8699
@daxboy8699 10 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌jamaa noma
@Jessy-f9w
@Jessy-f9w Жыл бұрын
Kweli kabisa wabongo tunapenda kuona aliyefanikiwa kaanguka
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
Mtihani mkubwa
@angelalyimo2862
@angelalyimo2862 11 ай бұрын
Hatupendani
@user-qx4jy6fz2c
@user-qx4jy6fz2c 9 ай бұрын
Kaka nimekufaham sana Mimi nipo bwenuu wewe umeongea ukweli walio wengi ambao wanawazungu tamaa sana malengo hamuna mwishowasiku wanhalibikiwa wanpoachwanawake wanachanganyikiws hawataki kuniwekeza nahamimi nilikuwa namutaka kwasabu huku najiendereza nakazi yanu jipushi kwanza ndoupushiwe usisubilikupewa bolaulikuwa unajishugulisha ukijazanziba kwamalengounatusua uswemulevimwizi kama ulivyosma mwaminifu Asante nipo Zanzibar bwenuu kwamyaka 24
@user-qx4jy6fz2c
@user-qx4jy6fz2c 9 ай бұрын
Mimi nipo bwenuu myaka 24
@user-qx4jy6fz2c
@user-qx4jy6fz2c 9 ай бұрын
Namimi nipo bwejuu
@marykennedymarwa1641
@marykennedymarwa1641 10 ай бұрын
Afadhali ulivyojua ukweli wa mzungu , 😂 , matapeli kama watu wengine tu , na akitaka kukuua anakuua tu . Binadamu wote tuko sawa. Cha muhimu muombe mungu akupe amani na kuridhika , mzungu au mweusi wote ni sawa.
@BellaBella-mv4uw
@BellaBella-mv4uw 2 ай бұрын
Huyu Kaka anahekimasana na nimuelewa Yani nimependa haki
@aikandosa
@aikandosa Жыл бұрын
Nimecheka jamani..🤣🤣🤣
@OfficialDatingAssistance
@OfficialDatingAssistance Жыл бұрын
😂😂
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН
Best KFC Homemade For My Son #cooking #shorts
00:58
BANKII
Рет қаралды 62 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
Unaenda Marekani Unarudi Tanzania???--My Real American Experience
9:34
MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
57:11
Official Dating Assistance
Рет қаралды 73 М.
NIMEJIKITA KWENYE UJASILIAMALI | WAZUNGU HAWAELEWI MAMBO ZA KUSAIDIA NDUGU
1:08:50
Official Dating Assistance
Рет қаралды 32 М.
TULIISHI MIAKA MITANO TUKAACHANA | NILIKUA NAMILIKI KAMPUNI YA UTALII | MAISHA YA SERBIA
55:41
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 29 МЛН