Mimi ni Mmarekani/Mtanzania, nina watoto wamezaliwa huku, Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu kuwapeleka kusoma bongo boarding ili wajifunze lugha na maadili yetu, ila nawazaga kama wataweza, what will the actual side effects be? Lionking kaelezea vizuri sana. I have watched majority of your videos Shena, this one is in my top 2. Kama ikikupendeza, naomba umhoji tena ila in English, special for children born abroad but with Tanzanian parents. Awape experience yake in English. I have translated some of this interview to my 9 year old son, but he'd enjoy, learn and appreciate it even more if it was in English. Great job Shena!🎉🎉 Congrats to Lionking's parents🎉🎉
@dottobraham90514 ай бұрын
Ahsante kwa maelekezo hayo good boy to appreciate your parents.
@dottobraham90514 ай бұрын
Hii inaitwa mlee mtoto katika njia ipasavyo. Hongereni sana wazazi
@zainabsibuma-omary70615 ай бұрын
Interview Masha Allah, Mwenyezi mungu aendelee kumsimamia huyu kijana ana maadili. Hongera kwa wazazi.
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Amin🙏
@Elizabeth-p4p2 ай бұрын
Kweli kuna haha ya kumsikiliza kila mtu Ana kitu katika interview maana kijana kaongea vitu watu wengi hawajaongea .....nmempenda kijana asante da shena kwa kumleta kijana
@dayana5513story5 ай бұрын
Hakika Wazazi wamefanya kazi kubwa kijana hakubariki sana
@mohammedkidody56185 ай бұрын
🙏
@pammyk44765 ай бұрын
What a brilliant young man! This guy is just Brrrrrrrrilliant! Very matured, upright, wise, humble and very eloquent. He speaks and he entertains at the same time. He is so wise in the sense that he isn’t biased at all. He balances the conversation by reminding us that there are prons & cons to everything! For me, when he praised his father and spoke about how he fears his mother 😂(so typical of African mothers). Moreover, he knows his strengths, he is loyal and his character is so vivid through his speech and how he argues his points. Anajielewa! But when a boy is raised this well and publicly refers to his Father as a hero, it is a great reminder to our society that a man’s contribution in raising a boy well will definitely lead a better society. This boy’s generation will be fruitful as a result of his parents seed. He will make a very huge impact in the contemporary world of our boys to men who are in danger of extinction really (If you know you know). I’m so proud of you young man! My God may God keep you and keep blessing your parents! Shena, this interview was different and very interestingly intriguing. Keep shining ❤
@OfficialDatingAssistance5 ай бұрын
Thank you for the nice comment It means a lot 🙏❤️
@SinaHafidhi5 ай бұрын
Hata mdogo wangu aliwaleta. Wanae. tanzania. Wakosoma. Ndiyo. Wakarudi ulaya
@mohamoudhussein45704 ай бұрын
Kijana yuko Vizuri Maa Shaa Allwah.Kuna la kujifunza hapo
@tutiwatuti5 ай бұрын
Kaongea vizuri sana inaonekana amepata malezi bora sana
@mapishiyetumazuri23124 ай бұрын
Mm nimefirahi aliyorudu pesa kitukangani atafuta Ss hivi anamadili mazuri mm mweyewe nimeishi usa mika 8 Ss hivi nimrudi kuwaleya wanangu kifirika tena wamezaliwa USA
@MALIKSHAFIIIBRAHIM5 ай бұрын
Hii ni best interview kijana mdogo lakn anaongea maneno mazito yenye kuelimisha jamii na ni mstaarabu sana🙌🤝
@judithsalvatory28925 ай бұрын
Hongera sana Mungu akubariki.
@yep_gt5 ай бұрын
Hongera sana huyu kijana kaniongezea kitu kwenye malezi. Asante
@ayshasaid15475 ай бұрын
Safi sana umenda home kujua maadali yetu wazee wapo makini ongera yao
@SawayaNm5 ай бұрын
This is what I insisted all the time ukiwa wa raia wa Nchi zilizo endelea benefits are abundantly! This young man solidified my claim. After I acquired citizenship, benefits are ridiculous! All my kids born within and outside the country! They Acquired their citizenship at birth! Parental citizenship transferred to child automatically! People Google what benefits to be UK or US citizen! Stop hating the truth! 😂😊😂
@NeemaSanga-bc4pz5 ай бұрын
Hongera sana kijana kwa point nzuri
@DM.22005 ай бұрын
Shena naomba kujua ile stori ya shendwa inaendelea lin?
@ZulfahMuhammad5 ай бұрын
MashaAllaah wa Alhamdulillaah kijana yuko vizuri sana na mshukuru wazazi wake kanyoka sana kwenye maadili yake
@maryamkhamfar40295 ай бұрын
A,alaykum Da Shena, naomba LINK ya ile video ya yule mwanamke anaeishi Ujerumani, ambae alifungwa Ugiriki kwa kosa la pasport, yule ambae mwenyeji wake alimuibia pasport yeke....ahsante
@OfficialDatingAssistance5 ай бұрын
kzbin.infomK3JtLHUyvg?si=ee5xEkMele5edTXO
@ashakassanga14 ай бұрын
Hiyo story ya Mama nimechekaa 😂😂😂😂 nimewafanyia sana wanangu daah good boy keep it up
@maria_mutondioriginal54 ай бұрын
Nimempenda ana busara sana huyu kijana mdogo Mungu amlinde aje afanye manbo makubwa Tanzania ❤
@fahimtalib57055 ай бұрын
😂Ishi miaka ya kobe ndugu, nusu ubantu nusu mzungu, umetufunza sana Don Kidodi stay blessed 🫡
@judithlugongo88045 ай бұрын
Kijana yuko sahihi Ana maadili mema hongera kwa wazazi pia
@ninanombo27844 ай бұрын
Uko vizuri sana kijana Mungu azidi kukutunza.endelea kuwasikiliza wazazi wako na utafika mbali sana.
@swedihaji53834 ай бұрын
Upo vizuri kijana mungu hatakuongoza
@nyakatongongo42925 ай бұрын
Safi sana maamuzi ya wazazi wako ni mazuri watoto wangu wamezaliwa na kukulia hapa 🇿🇦 31:49 31:54 31:56 31:57 31:57 31:57
@fatmahussein12385 ай бұрын
MaashaAllah huyu ana miaka ishirini kweli maneno yake ya mtu aliokomaa zaidi... Hongera sana
@MudathirAmeir4 ай бұрын
kidody naona umekonda saiv big up🤟👐
@fatmakombo97935 ай бұрын
Wazazi hawajakosea walichokifanyaaa
@AfricaQueen5 ай бұрын
Dah! Kweli kabisa maneno yako 🤝💯💯💯
@harounramadhan97715 ай бұрын
Shena nafarijiaka sana Nikiwa kuwait Uyu brother Katiyawanao takiwa kurudi tena pls Nimeipenda sana hii Ushauri hakunauwekano akiwa inaganda ukawa unaona Kabla sisi kukuambia Tutashukuru sana kama utalifanyia kazihili asante
@jamilaallysaid-if1jf5 ай бұрын
Hongera mwanangu upo juu nakuwaminia mimi mamako kila la kheri
@mohammedkidody56185 ай бұрын
❤❤❤
@joycebenjamin60175 ай бұрын
Hongera Lion King kwa wazazi wako maana wana malezi mazuri na waliona mbali kwa kweli.kuna watz wapo ughaibuni watoto wao wameharibikiwa hadi ruhuma.kwa ajili ya makuzi na malezi ya ughaibuni yanachangia watoto kuharika kwa ajili ya uhuru na haki za watoto.
@glammummy5 ай бұрын
He was raised well hongera kwa wazee wake
@hajimchomvu78784 ай бұрын
Chotara , mashaallah una hekma Sana Allah akulinde
🤔Kuchapa Ulaya Waafrika, Wahindi, Warabu na makundi mengine huadhibu watoto wao ni kinyume lakini na taratibu za Ulaya. Ole wako mtoto akushtaki utakiona cha moto bora ufanye kisirisiri. Yapo yanatokea wengine hufanikiwa na wengine huripotiwa na kuingia matatani
@abdulyibrahim21255 ай бұрын
Kijana kaongea vzur na kasema kweli ya kweli
@Ena-j5u5 ай бұрын
Yaani yuko vizuri
@HappinessMwangi-s5t5 ай бұрын
Hongera 🎉🎉 kwa wazazi kwa malezi mazuri
@simaisalim1085 ай бұрын
Nimempenda anaongea kiakili❤
@faridapatel75845 ай бұрын
Nimekupenda wewe mtoto uko mweupe kwa ukweli hongera
@moxamedabdillahi38224 ай бұрын
King lion umesema vizuri kwenye matibabu kuwa africa ukiumwa unatibiwa hapo hapo pia na hapa ukiwa waumwa unaenda emergency na kutibiwa baada ya kukamilika vipimo vyote na vyote unafanyiwa kwa siku moja
@hamidmohamed77275 ай бұрын
Ndara si summer sasa winter utavaa ndara nnje vipi
@FatimaAli-of4gh5 ай бұрын
QEEN kafa 2022 sep mimi nilikuwa Afrika narudi U.K
Tanzania uwe na rangi nyeupe tu hupewi kazi ya jeshi
@gloriamwanjali93715 ай бұрын
Cost benefit analysis
@esterMahenge4 ай бұрын
Mtoto mdogo akili kubwa god boy👏
@caashamacalini38874 ай бұрын
Hizo sehemu alizotaja waswahili kibao tena wahuko wenzetu wenye marashi ya karafuu kuna sehemu kama michenzani
@adammjomba58144 ай бұрын
Dada shena kama itakupendeza rudishie ile sorry ya yule mama anaeishi German Alifungwa jella Giris( gurus) pia akaibiwa pass na mwenyeji wake. NI history's ya kusikitisha sana pia kunachakujifunza apo jinsi ya kuishi na wa TZ , NI watu wasio jali hataukifa don't care mradi atimize ubaya wake
@OfficialDatingAssistance4 ай бұрын
kzbin.infomK3JtLHUyvg?si=TP1TIIs1fj2y-Dtt
@estherkibui23714 ай бұрын
Habari coach tupe sorry yako pia wewe.How you met your perner ❤
@OfficialDatingAssistance4 ай бұрын
Angalia chini ndio video ya kwanza kabisa kujihoji
@ukhutfatumah11545 ай бұрын
Mtoto kaiva sana kwenye maadili wallah ya kitanzania yaaan unakula Kisha unaweza vizul muhudu aje kuchukua pili hapo kuweka nguo kwenye yale masaduku wewe unafikilia Tanzania Kuna watu wenye uitaji wa izo nguo unasafilisha kuwapatia hongeren sana wazazi wa huyu kijana haa 😅mtoto unamjua mbka fredy mvunja bei 😂
@jaberrabora47575 ай бұрын
❤❤❤
@hedayamohammed27815 ай бұрын
Hili la hospital kubwa kuwa Muhimbili limenigusa sana.nilipoteza mtoto wangu kwa shida ndogo sana tulikuwa mkoani tuakapewa rufaa ya kwenda Muhimbili.Siku 3 tangia azaliwe ndo tumefika Muhimbili siku ya 6 ndo anapata opereshen akakutwa na shida nyingi zilizosababishwa na kuchelewa kupata huduma alifariki akiwa na miezi 2 hapohapo Muhimbili.Wakati huo kuna watoto walozaliwa Dar kwa shida hiyohiyo wamepata huduma mapema walipona
@OfficialDatingAssistance5 ай бұрын
Pole sana, Mungu azidi kukutia nguvu. Sekta ya afya ni mtihani sana.
@hedayamohammed27815 ай бұрын
@@OfficialDatingAssistance Amiiiiiini
@RealtorZanzibar5 ай бұрын
Kwenye hospital Yuko sawa Kuna kuna mtu alitoka ulaya kutibiwa bongo
@gracelyimo62565 ай бұрын
Watoto wa Ulaya wako proud na fashion ila wa kibongo tuna big dreams 🙂(jokes) Kampuni,majengo,business alafu wao familia zao ni kujitegemea hamna chakuwaza anko wala aunt Sisi tunatafuta lakini unawaza kundi la nyuma yako kwamba utawasaidia vp
@kachabisnea88155 ай бұрын
Dogo nimemuelewa kinouma
@marykennedymarwa16414 ай бұрын
Kwahiyo wewe , ulipelekwa nyumbani sababu ulikuwa mkorofi ili ukawe na utulivu 😅😅😅
@Kibaadvocate5 ай бұрын
Shena kwani hana account insta jamani
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Ni maleek lion king
@davisminja37425 ай бұрын
Shena.......please do something
@OfficialDatingAssistance5 ай бұрын
About what kaka ?
@jennytugara94705 ай бұрын
Wanaume wa bomgo Mtu ana miaka 30 anakaa kwa Baba 😂😂 akiambiwa kuoa anataka Mke alelewe na Wazazi wake!!!
@flavianakanga47265 ай бұрын
African parents waaa only the eye will tell
@OfficialDatingAssistance5 ай бұрын
The eye 👁️ tells all 😁
@nasibujuwe30385 ай бұрын
Wow shena..leo nimeipanda sana show yako..nimeangalia show zako nyingi...mimi naishi Canada kwa miaka mingi sana ni watoto wangu nimewaza hapa Canada laki nichoshukuru kila mwaka watoto wangu wanakwenda bongo kila mwaka uyu kijana nimempenda bule vijana wangu ni wazawa wa hapa Canada na kila summer wanapenda kwenda nyumbani bongo na Wana ulimli kama wa uyu kijana alivyokwenda nyumbani kwenye miaka 14
@nasibujuwe30385 ай бұрын
Wazazi nawapa ongela sana kwa kumpa maadili uyu kijana wetu mashahalla nimempenda bule amepata malezi mazuri in western countries like me I live here na watoto wangu najuwa kweri anachosema
@mohammedkidody56185 ай бұрын
Hi guys,ningependa kuwajuulisha kuwa mm ni kaka yake tunaishi wote huku uk😊