Mungu akuzidishie kheri baraka na amani katika kuelimisha umma
@FatmaOmar-r1t7 ай бұрын
Mashallah mtangazaji umekimbiza ,hakika wewe hatukuiti mtangazaji wewe ni msomi ,au mtangazaji msomi Mashallah,mi nafurahi sana Allah akuwezesheni
@awatifalghanim11067 ай бұрын
Bismilahi Mashaallah Sister Layla umejistiri vizuri hata watizamaji na waskilizaji wanaona raha kukuskiliza. Mtangazaji Mungu akubarik na kazi yako.
@halimamghana22933 ай бұрын
MashaAllah mashaAllah madam Leila Allah akujaalie ana akuinue daraja la juu,Amiin Alhamdulillah nimepata madini mazuri kutoka kwako.
@w40587 ай бұрын
Dada you are the real raw model kwa wanawake wema wa kiislam
@ahz69072 ай бұрын
Role model sio raw model 😂
@w40582 ай бұрын
@@ahz6907 naam spelling error ahsante kunireke bisha
@zahoralmsulhy97322 ай бұрын
mashaa lllah M.Mungu awalipe kheri
@FatmaOmar-r1t7 ай бұрын
Mashallah,alfatah ,watu wote mnaotuletea watu wa mana ,mi nimpongeze huyo Director anaewatafuta hao washiriki , Allah akulipeni kheri
@VORTEXAF7 ай бұрын
Unamaneno mazuri Alhamdulilah
@VORTEXAF7 ай бұрын
Usipende kuapaupa
@VORTEXAF7 ай бұрын
Wallahi
@VORTEXAF7 ай бұрын
Kubwa kujitibu mwenyewe ni kumshukuru mungu kusema Alhamdulilah
@nadhifamohammed77497 ай бұрын
Alhamdulillah nikiwa oman 🇴🇲 madam nakufuatilia ww na alfatah ❤
@ramadhanbigirimana26173 ай бұрын
Maa shaa Allah madame Leyla
@HidayaJamada5 ай бұрын
Hongera sana Allah akutunze
@sheikhanasser47147 ай бұрын
Bismilah Ma Sha Allah TabarakaAllah Blessed from Allah 🤲🤲
@bintsalimalbimany2877 ай бұрын
Mashallah mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah Wewe Dada Ni malkia Yaan Unahikma nimekupenda nimekupenda bure Jaman Nnimfatilie kwa Jina lipi naona Account zake pls Nimegundua anaongea Kama Mama Samia Huyu awekwe makamo wa Rais nchi yetu itanyanyuka sana Mashallah Allah akuhifadh Dafa layla Na Shar za binaadam na majin Kwa kipaj ulichonacho Wapo watakaojivunia na wapo watakaochukia Mim Nakupongeza Namuomba Allah akuhifadh na kila shar🥺😍😍😍😍😍😍😍😍Love u much love from UAE😍😍😍😍😍😍😍
@bintsalimalbimany2877 ай бұрын
Namomba Account zake pls
@nduwimanafatma99487 ай бұрын
Madam laila abubakar@@bintsalimalbimany287
@hassankhamis3444 ай бұрын
Mashallah dada kweli tupo wengiii sana
@zalbak27387 ай бұрын
Mashaallah natarajia atasoma hii comment nampenda sanaaa huyuuu mwanamke
@MahmudOmar-gx2ok7 ай бұрын
ASSALAMU ALEIKUM. HATA MIMI NI KENYA KWA SASA NIKO SAUDIA NAKUFATILIA MA SHA ALLAH
@AbdulMadjidiNkurunziza-gs3iu7 ай бұрын
Madame Leilah hongera
@Nassor23777 ай бұрын
Maashallah dada upo vizuri points na elimu..na mtangazaji you are the best of best unaeeza good personality na upangaji wa maswali
@1vy1231vys7 ай бұрын
Mashaallah wajina nakupenda nakufatilia sana
@JumaNassor-cj3zy7 ай бұрын
Huyu dada namfuatilia mpole sana saut mzur
@jumaadachi70247 ай бұрын
Hongera kwa juhudi kubwa unayofanya kuwasaidis watu ktk saikolojia
@SalehMustafa-c7l7 ай бұрын
Me personal ilove this sister for ALLAH
@ashasaidi18957 ай бұрын
Allah akujaalie mwisho mwisho nasisi tunaokufatilia pia
@nasrimswaki48247 ай бұрын
maashallah mtangazaji msomi
@aminaabdallah87287 ай бұрын
MaashaAllah madam
@shekhjumaayubu96737 ай бұрын
mashaallah mashaallah mnafanya kaz kubwa sana al fatah kuleta watu ambao wanaleta faida kubwa sana katika jamiii
@ShabansaidNgogomi7 ай бұрын
Naam,hakika tunajifunza mengi.
@salahhddindasuvic64477 ай бұрын
Nzuri sana
@ashashaban64847 ай бұрын
MASHALLAH MASHALLAH ALLAH AKULIPE KILA LA KHER NDUGU YANGU