Usiache roho yangu ielekee kuzimu usiache giza lake likanipata......
@bonangatuni80773 жыл бұрын
KAMA AYALA AYAONEAVYO SHAUKU MAJI YA MITO NDIVYO MOYO WANGU WAKUONEA SHAUKU MUNGU WANGU.....
@juliethmwakanyamale91558 ай бұрын
Zaburi 42:1
@happycharles20092 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 Baba nisamehe baba yang ninaomba🫱🏽👏👏
@tinamshiu2441 Жыл бұрын
Amina nisamehe Baba
@amosnyanda11604 жыл бұрын
Mungu nimekukosea sana , nisamehe dhambi zangu😭😭😭
@PriscaLekando-p7f Жыл бұрын
Amen mbarikiwe sana nawapenda
@heriethmaximilian89533 жыл бұрын
Wimbo huu unatusaidia Kama kujikuta unaingia magotini kwa toba mbele za mungu na kububujika tuu
@vicentmeshack7612 Жыл бұрын
I love this song,Tumaini choir be blessed
@silakinyamagoha60804 ай бұрын
Bonge la wimbo yaaan Hadi raha
@juliethmwakanyamale91558 ай бұрын
Aisee nyimbo nzuri sana hii toka nikiwa mtoto hadi leo. Imekuwa shangazi😂
@TumainiShangilieniChoir8 ай бұрын
Amen, Endelea Kubarikiwa
@aminashilla9422 ай бұрын
❤..God of Mercy
@mosesngeni1354 Жыл бұрын
Hawa watu wanastahili tuzo kwa utunzi wa nyimbo zener ujumbe
@bwirathandiko982823 күн бұрын
Amen❤
@encouragementoasis333 жыл бұрын
2021, God's love remain static. Thanks Jesus Christ for your forgiveness over my life.
@mosesmwangu88992 жыл бұрын
TUMAINI CHOIR YOU ARE GREAT MIGHT MEN OF GOD, KEEP ON SINGING AND PRAISING OUR LORD FOR HE IS OUR REFUGEE'
@maymsigalla89626 жыл бұрын
Wimbo mzuri, ipo nguvu katika Msamaha. Maombi ya toba yanayo nguvu ya kuvunja ukuta uliosimama mbele yetu uzuiao upenyo wa maombi yetu kwa Baba. Hatupaswi kujihesabia haki. Mbarikiwe sana Tumaini Shangilieni Choir
@elkanamtangoo97682 жыл бұрын
Amen, Barikiwa mtu wa Mungu
@NaomiLaizer-wp6ch7 ай бұрын
amina 🙏
@ziribarmurumwa4 жыл бұрын
Wimbo nzuri pia ujumbe uko vizuri. Naupenda sana kuuskiza kila Mara, Mungu azidi kuwabariki na kuwainua kwa huduma yenu Amina.
@petermbuja37833 жыл бұрын
moja kati ya Albamu bora kuwahi kutokea mbarikiwe sana
@lastonesanga27153 ай бұрын
Nabarikiwa sana na huduma yenu
@msc.ing.ericmpayimana91422 жыл бұрын
Amen amen❤
@florenceakyomo43194 жыл бұрын
Wimbo mzr sn ,, uminigusa sn,, Mungu awatunze watumishi kwa uimbaji mzr
@eliasagrey49872 жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa kazi nzuri
@agneshassan4712 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana wapendwa😭😭😭😭😭
@joycemoshi7382 ай бұрын
Ni❤
@gresialoni98882 жыл бұрын
Bwana awabariki waimbaji wote amen
@elizabethmwanjali75453 жыл бұрын
Wimbo mzuri mbarikiwe waimbaji,unaniweka sawa sana nikiusikia.siachi kusema mbarikiwe
@shedrackkitimu14487 жыл бұрын
We missed the song in KZbin for some months! Be blessed for making it available once again! It has a divine touch!!
@elkanamtangoo97682 жыл бұрын
Amen
@winifridamasele69635 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na huu wimbo, Mungu awabariki.
@isaiahsitati60077 жыл бұрын
St.James Tumaini,I always have a special attachment to your songs.They are do bless & insipire me.God bless you.
@juliethmwakanyamale91552 жыл бұрын
My all time song 2018 jkt
@ShephersMbugus6 ай бұрын
I love this song very much🙏.. God bless Tumaini choir
@TumainiShangilieniChoir6 ай бұрын
Amen Amen!!
@mosesngeni1354 Жыл бұрын
This si song tunatakiwa kuimba
@samwelmwasanjobe1777 жыл бұрын
Message ndani ya nyimbo hizi ni muhimu Sana Kwenye maisha yetu kwa wakati huu
@elinathankarabwe6153 Жыл бұрын
Amina nimebariliwa
@angolilemwakalundwa5645 Жыл бұрын
Good song
@carolinemuthama11372 жыл бұрын
Amen 🙏
@fionawahu55734 жыл бұрын
What a great and blessed song! God bless you Tumaini Choir. Love from Kenya!
@TumainiShangilieniChoir3 жыл бұрын
We send much love to you and your beloved ones. We hope the Lord does you more favor.
@isabelavictor996410 ай бұрын
I love this song may God bless you 🙏
@UrFavFAH3 жыл бұрын
Wimbo hihi ume nifanya nitubu
@UrFavFAH3 жыл бұрын
Emen
@musamutambuki41547 жыл бұрын
Ujumbe murua kabisa. Mbarikiwe sana Tumaini Shangilieni Choir. Mungu aturehemu
@zewelanjisimkanga93017 жыл бұрын
Musa Mutambuki amina
@maryvictor34124 жыл бұрын
Ujumbe mzuri sana mbarikiwe
@marrygweba56352 жыл бұрын
I feel blessed with this song 🙏 Mungu awabariki sana, mnatubariki sana na uimbaji wenu
@charleskonyony8181 Жыл бұрын
A very powerful message of repentance I am blessed
@carismakundy93175 жыл бұрын
Mbarkiwe waimbaji kwa nyimbo nzur,za kutuburudsha na kutuimarisha
@benedictlutumo99453 жыл бұрын
Mungu awabariki kwa uimbaji Bora.
@mollelmeliack10164 жыл бұрын
Mmeimba vizuri sana huu wimbo umetulia sana. Munguvwa mbinguni aendelee kuwabariki. Nabarikiwa sana na nyimbo zenu
@jeskanguwila82514 жыл бұрын
Imenibariki Sana huu wimbo.....utanishikaaaaa kwa mkono wako
@russimakombe71085 жыл бұрын
nisamehe Yesu wangu😭😭😭😭
@Joybajuta4 жыл бұрын
I have been the biggest fan of your songs... Be blessed
@fadhilimcharo30227 жыл бұрын
Twahitaji rehema na neema ya Mungu sana
@frednjau77682 жыл бұрын
Amen
@yustonzelwa78225 жыл бұрын
Mbarikiwe milele nawapenda tangu nikiwa mvulana nasasa ni mzee
@damareshilary6126 жыл бұрын
Waoooh!!! Nisamehe baba ukiniacha nitakwenda wp
@onetoanotherglory20242 жыл бұрын
Good
@sixmartin30633 жыл бұрын
Mbarikiwe
@justinkasongo334511 ай бұрын
Je bénis L'ETERNEL pour ce culte d'adoration à son honneur, qu'il bénisse ce groupe Tumaini Shangilieni choir Arusha. Puis-je avoir votre numéro de téléphone s'il vous plait ? Je vous ai écris depuis la ville de LUBUMBASHI en République Démocratique du Congo.
@mlekwamathis27406 жыл бұрын
fantastic. tumaini. nawapenda
@dinnalameck24046 жыл бұрын
Nawapenda,mbarikiwe sana
@RmwanashaMbeteRMM4 жыл бұрын
May God forgive us. May He not shun away from us
@SuzyKibay10 ай бұрын
😭😭😭😭😭😭
@matekerekurwijira31757 жыл бұрын
Amen mbarikiwe watu wa Mungu
@piusvalerian98273 жыл бұрын
This is the best worshiping song for me, Thanks Tumaini Choir
@mediatrixngemela573 жыл бұрын
Amina God is good
@nalethphilipo37285 жыл бұрын
Usiache hilo giza likanpata nisameheee
@carolinemuthama11372 жыл бұрын
Amen 🙏...... blessed song
@emilyfwamba41447 жыл бұрын
God bless you people so much, nyimbo ze naniinua sana. I wish I could all your songs. Mbarikiwe sana.
@elkanamtangoo97682 жыл бұрын
Amen
@astonoluko66213 жыл бұрын
Very powerful
@Regnard9994 жыл бұрын
Kudos to the sololist, adorable Melody😘 Glory to God,, nisamehe Baba.
@aiyasageo25726 жыл бұрын
yesu ni mwaminifu sana . Be blessed
@furahavicent72847 ай бұрын
2024🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@elijahaywago72745 жыл бұрын
aminaaa
@fibioko89166 жыл бұрын
nisahamehe
@kalobeflix4 жыл бұрын
So touchy
@shilikale6 жыл бұрын
Nice song. I love it
@marrynyagawa17946 жыл бұрын
Mungu awabariki sana,Tumaini choir
@sarahyateri67944 жыл бұрын
Mungu yu mwema mbarikiwe sana
@nicksonmjema76707 жыл бұрын
so good, b blessed
@newtonsimba79303 жыл бұрын
Amen. Awesome.
@zachariamsafirithebassarus62556 жыл бұрын
Amen
@mwitamwigora39555 жыл бұрын
Be blessed
@wakukayajr65366 жыл бұрын
Nice song
@arthurlwena65034 жыл бұрын
Natubu baba nisamehe one of the best song ever congratulations tumaini choir for the massage
Wimbo mzuri sana toba ya kweli. Na Mavazi ya Heshima. Ila nashauri wa Dada /Mama jaribu kufunika mishono ya vifua vipo wazi sana! Kumbuka Nyie ni Kioo cha Jamii Katika Kumtumikia MUNGU Kwa Njia ya Uimbaji kama Wimbo huo. ASANTE.